Blender hii ni Kati ya blender zenye ubora na uwezo mkubwa zaidi, Unauwezo wa kusaga vitu mbali mbali vibichi na vikavu .
Пікірлер: 92
@ayubuidd6664 Жыл бұрын
Unazorota Sana bro
@margaretmkangala7774 Жыл бұрын
Asante,sh ngapi?
@mussampeyama67957 ай бұрын
Nimeipenda hiyo breande bei gani
@emmamwatele88422 жыл бұрын
I need one
@belithakalinga4263 Жыл бұрын
Mbona inapata moto sana
@HawaHusseinHawaHussein2 ай бұрын
Ndo kama yakwangu sijui shinda nini jaman na nibado mpya nimetumia miezi 2
@winniewilson2855 Жыл бұрын
Namba I need one
@safinakemibalo7232 жыл бұрын
Kwahapa. Morogoro mpaka inafika nishingapi?
@abdulwakati8342 жыл бұрын
Naipataje?
@emillianapaulo4622 жыл бұрын
sh. ngapi?
@EmanuelChapa-dw3jlАй бұрын
Kariakoo mtaa gani
@stevenmlangai47982 жыл бұрын
Moko wapi ili tufikeofisini kwenu
@kwetu164 Жыл бұрын
Mh uyu anaeelekeza arudi shule kwan me sijaelewa kabisa
@user-ch3db9wq1i3 күн бұрын
Apo amna kitu mabovu sana
@gracefedrick6365 Жыл бұрын
Kwanin motor zake zinaungua sana
@rabaonetv Жыл бұрын
1. Matumizi tunayo tumia sio sahii, 2. Tuna nujua quality ya chini sana , mana izi Brenda zile Heavy kabisa china kwenyewe ni laki 2 sasa hii ukileta tz utauza bei gani ? Kwaio matumizi na quality pia inachangia.
@mudasiribakari59583 жыл бұрын
Inauzwa sh ngap
@rabaonetv3 жыл бұрын
100,000 ukiweka Oda, Kariakoo 200,000/180,000
@kiehbhzh70442 жыл бұрын
nzuri sn hiyo brend nimeweka oda kutoka china kwa bei rahisi na nimeipata arhamdulilah
@joycemsegea77872 жыл бұрын
@@rabaonetv oda uanawekaje?
@joycemsegea77872 жыл бұрын
Nahitaji
@joycemsegea77872 жыл бұрын
Laki na nusu haiuziki
@ibraomary9002 Жыл бұрын
Inaitwaje
@moshacav10612 жыл бұрын
Unauzaje
@jescaphilberth77943 жыл бұрын
Je haitumiki kusanga matunda matunda??
@rabaonetv3 жыл бұрын
Kila kitu
@alfredjamboryimana625410 ай бұрын
Mimi naomba sehemu za kubadilisha yani vishu vya brenda hiyo.
@rabaonetv10 ай бұрын
Kariakoo gerezani
@rajabhussein40883 жыл бұрын
Asante sana kaka
@rabaonetv3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@pilisaidi31292 жыл бұрын
@@rabaonetv unauzaje tujue bei
@rabaonetv2 жыл бұрын
2 in 1 adi inafika Tanzania ni Tsh 75,000
@safinakemibalo7232 жыл бұрын
Thanks for
@semenmohamed47582 жыл бұрын
Habari za asubuhi hiyo blenda inauzwa kiasi gani na mnapatikana wapi
@rabaonetv2 жыл бұрын
Kariakoo ni Tsh 180,000 sisi uwa tunaanza kwa oda ya mtu kutoka china to Tanzania bei inakua tsh 87,000
@MamaJasi-qh7iy8 ай бұрын
Yangu haisagi nahitaji fundi mzuri Yani bado mpya
@user-cb9ze5bz8e4 ай бұрын
Samahan mbona yakwangu nikisaga matunda kabla sijamaliza inazima na nimpya je kuna namna ya kutumia ukisaga matunda!?
@rabaonetv4 ай бұрын
Itakua inatatizo mtafute fundi akurekebishie
@rehemamasoud7982 жыл бұрын
Onyesha jinsi ya kufunga Brenda na jifunze kuelekeza unachukua muda Sana Yan Kama huna uzoefu
@elizabethabel76622 жыл бұрын
Ukisaga juice je utaichuja au inakua lain kabisa
@user-jb9vh6pg5q4 ай бұрын
Bei yake
@user-bx2pk5jt2u9 ай бұрын
Beigani hio
@asialema5540 Жыл бұрын
Tunaomba no mawasiliano
@rabaonetv Жыл бұрын
0755912838
@prosmacharius707411 ай бұрын
Sina hamu na Hilo librenda.nimenunua hata wiki haijaisha likaungua.ela yangu mere😭😭
@rabaonetv11 ай бұрын
Pole sana, matumizi pia ni njia moja wapo wa kuaribika kwa izi blender
@prosmacharius707411 ай бұрын
Sio matumizi ni feki.yaan nilipowasha tu kuanza kusaga ikatoa Moshi Sana na mwisho nikaona inaripuka kwa ndan
@rabaonetv11 ай бұрын
Ndio mana nikasema matumizi, na kama sio matumizi pole sana
@user-tm4or4tl9q7 ай бұрын
Kunamtu aliniletea ananiambia nimpe elf60 nikakaaa nikahisi ni feki😢
@rabaonetv7 ай бұрын
Inategemeana, ila izi bei mara nyingi uwa nikuanzia tsh 100k na kwenda juu
@denissiedisoni-lk7xm3 ай бұрын
Nime nunua lakini inavuja maji kwa chini
@rabaonetv3 ай бұрын
Pole, irudishe
@raibasalimu26163 жыл бұрын
My dear yangu imekufa mashine je naweza pata speak yake
@rabaonetv3 жыл бұрын
0755912838 tutafute kwa maelezo zaidi
@tinahphinias1470 Жыл бұрын
Ina saga nyama
@rabaonetv Жыл бұрын
Zipo za nyama
@tinahphinias1470 Жыл бұрын
@@rabaonetv zinauzwaje ?
@rabaonetv Жыл бұрын
Tumebakisha 1 kubwa ya lita 6 bei ni Tsh 150,000
@gracejoshua96502 жыл бұрын
Jagi lake lonapatikan
@rabaonetv2 жыл бұрын
Ndio, kwa wanao uza vitu used
@gracejoshua96502 жыл бұрын
Nisaidie nataka jagi lake au naweza kumpata sehemu gani
@rabaonetv2 жыл бұрын
Katafute kariakoo kwa wale wanao uza vyo used
@aginesntandwa26853 жыл бұрын
Inauzwa shingap
@rabaonetv3 жыл бұрын
Hii unaagiziwa kwa Oda yako Tsh 85,000 adi inafika Dar
@yulithadaudi90822 жыл бұрын
Mimi mbona nikisaga inatoa harufu na moshi shida nini
@dottogodfrey9842 Жыл бұрын
Bei yake shingap kaka
@rabaonetv Жыл бұрын
Kula mtu anakua na bei yake , mm bei yangu ni Tsh 100,000
@dottogodfrey9842 Жыл бұрын
@@rabaonetv ofs iko WAP nij tuzungumz naitj mbl
@msafirimsuya41633 жыл бұрын
Tutapata wapi?inauzwa shilling ngap
@rabaonetv3 жыл бұрын
Kariakoo zipo ni Tsh 200,000 kwa 180,000 Ila Kama utaagiza moja kwa moja kutoka china adi inakufikia aizidi 95,000
@msafirimsuya41633 жыл бұрын
Inawezekana kuagiza mojakwa moja?
@rabaonetv3 жыл бұрын
Ndio inawezekana,Ila tu lazma uwe mvumilivu Mana mzigo unachukua kuanzia siku 28 na zaidi
@gracejoshua96502 жыл бұрын
Mimi huwa naogopa kuagiza nahisi nitatapeliwa
@rabaonetv2 жыл бұрын
Uwonga nao ni akili ila ndio umasikini
@lizymaro5700 Жыл бұрын
Mbona inapata moto sana wakati unaitumia tatizo huwa ni nini
@rabaonetv Жыл бұрын
Yenyewe si inatumia moto, kwaio inavyo fanya kazi lazima itachemka tu, Ndio mana imeachwa nafasi za wazi uko chini ili iwe inaingiza hewa sasa ukiibana na kuzuia ayo matundu ya wazi ni shida zaidi
@sabrinamohamed99343 жыл бұрын
kenwood na silver crest ipo nzur zaidi
@rabaonetv3 жыл бұрын
Zote
@sabrinamohamed99343 жыл бұрын
@@rabaonetv nabei zake je zinafanana
@rabaonetv3 жыл бұрын
Silver Crest Ina Bei ndogo
@sabrinamohamed99343 жыл бұрын
@@rabaonetv samahan kw maswali. inaweza ikawa bei gani