Yule sio raisi wa Kenya ni kibaraka wa nchi za ulaya
@kombosalehe978715 күн бұрын
Kumbe viongozi wanayafahamu matumizi ya hovyo Hadi walazimishwe ndio wafute
@hemedmwipopo78015 күн бұрын
Mchambuzi, siyo Serikali ya Ruto kuingia Moja kwa moja na kuwa mshirika wa nchi za Ulaya Marekani na NATO ambayo ndiyo mataifa yaliyo ifikisha hapo Kenya?.
@dennismuendo876215 күн бұрын
Mapinduzi ilikuwa 1982
@KhamisiSalimu15 күн бұрын
Kenya mitihan yao rahis hawafelishwi had wanafikia chuo ila tanzania mitihan migum kufelishwa kwa wing
@user-ke1hb4pk7h15 күн бұрын
Kuja kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉
@bishweko15 күн бұрын
Huyo Obunde kama anaongea maneno yangu vile! Yaani ako trueth
@jumamussantuiche15 күн бұрын
Ajijuwi kuwa ajuwi.ebu mjulisheni kuwa ajuwi abali ya maandamano.
@bishweko15 күн бұрын
Na nikwambie Alex hii shida ya ajira inaenda kuwa shida kubwa zaidi ya hapa kufikia 2030. Sababu ya hii technologies za Akili bandia.
@DaniDani-v3w14 күн бұрын
Si atoke
@rashiduchongole133315 күн бұрын
Huyu jama hajuwi kinacho indelea shida ruto anachukuwa loan nchi za inje na uku anaongeza ushuru je pesa zinaenda wapi