No video

JAMBO FOOD PRODUCT CO. LTD MWEKEZAJI MKUBWA SEKTA YA VIWANDA ALIYEAMUA KUJIKITA MKOANI SHINYANGA

  Рет қаралды 21,936

GSengo

GSengo

Күн бұрын

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amejipambanua kuwa na Sera ya Serikali ya Viwanda, Jeh kwa wawekezaji wa ndani, sera hii inawashika mkono kwa kasi gani na kuwavusha?
Uchumi wa Viwanda ukiimarika, Uchumi wan chi utakuwa kwa kasi na matokeo yake yataonekana hasa kwenye kuongeza wigo wa soko la ajira. Jeh kuna usawa kati ya udhibiti bidhaa za nje ili kulinda viwanda vyetu vya ndani?
Kwa majibu ya maswali haya na mengineyo, Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Food Products Company Limited, Bwana Salum Hamis anafunguka zaidi……
KUHUSU KIWANDA
Kiwanda cha Jambo Food Products Company Limited kinachojihusisha na uzalishaji wa vinywaji baridi ikiwemo soda, juisi na maji kimejichukulia umaarufu wa bidhaa zake bora ambazo zinapendwa na watu wa rika zote kutokana na uhalisia wake.
Kiwanda hicho ambacho kilizinduliwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli, mnamo Januari 13, mwaka 2017, hadi sasa kimekuwa moja wa viwanda vya uzalishaji bidhaa bora za viwango vya kimataifa toka hapa nchini, vywenye radha murua kukufanya ujisikie fresh kabisa muda wote, kuupa mwili nguvu na mzuka zaidi, afya bora na kukuburudisha.
Jambo wanazalisha na kusambaza vinywaji aina mbalimbali kwa jumla na rejareja.
Vinywaji kama, Jambo Malta Lemon, Jambo Apple, Jambo Embe, Jambo Energy, Jambo Malta Pineapple, Jambo Lemon, Jambo Vito, Jambo Orange, Jambo Drinking Water na nyingine kibaooooo!
Kiwanda cha Jambo kipo Shinyanga Mjini.
Simu: +255622666692 au +255622666680
Email: info@jambogrouptz.net.
Website: jambogroup.co.tz

Пікірлер: 13
@MUSK_HARMONY
@MUSK_HARMONY 4 ай бұрын
Congratulations to patriotic inventors
@ngojankupesiri5269
@ngojankupesiri5269 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana, hongera... Ntakuja kupata uzoefu
@JorynSamuel
@JorynSamuel 3 ай бұрын
Mko vzur
@salbokosaid8992
@salbokosaid8992 3 жыл бұрын
Safi Sana Jambo mm ninaeneo Nina kiwanda Cha kutengeneza kuku wa nyama hapo vp
@nyambuyaadriano6152
@nyambuyaadriano6152 2 жыл бұрын
Uko wapi boss
@nyambuyaadriano6152
@nyambuyaadriano6152 2 жыл бұрын
Naomba tuwasiliane
@wisaamsajid-km7dh
@wisaamsajid-km7dh Жыл бұрын
Good quality
@wisaamsajid-km7dh
@wisaamsajid-km7dh Жыл бұрын
Mashallah
@yuvencepatrice8956
@yuvencepatrice8956 3 жыл бұрын
ajira kwa mwaka 2021
@barakakoko4776
@barakakoko4776 3 жыл бұрын
Mimi ni dereva naweza kupata kazi?
@chiluchuma7363
@chiluchuma7363 4 жыл бұрын
Maisha popote aisee
@danforddaud5784
@danforddaud5784 4 жыл бұрын
N vzur sana!
@gastonndaka508
@gastonndaka508 3 жыл бұрын
Mi ni oparetar wa filling mashine nafasi iyo ipo??
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 22 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 7 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 2,3 МЛН
"WADUDU TAFUTENI HELA" MAKONDA AKUTANA NA WADUDU AWAPA MBINU
5:36
Millard Ayo
Рет қаралды 138 М.
How Chinese EVs Are Taking Over Mexico
11:03
CNBC
Рет қаралды 493 М.
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Show Me the World
Рет қаралды 4,6 МЛН
How BYD, Nio And Other Chinese EVs Compare To Tesla
15:05
CNBC
Рет қаралды 1,3 МЛН
Why Lego Is So Expensive | So Expensive | Business Insider
28:18
Business Insider
Рет қаралды 1,9 МЛН
MKURUGENZI JAMBO GROUP- NILIANZA NA DUKA LA REJAREJA
4:20
Jambo FM Radio Tanzania
Рет қаралды 6 М.
SIRI YA KUMILIKI KIWANDA KWA MTAJI WA KUANZIA MILIONI SITA
18:20
TanTrade Tanzania
Рет қаралды 26 М.
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН