JE DR SULE YUKO SAWA KUTUMIA MAJINI ? msikilize Baba kiruwasha Akupe faida.

  Рет қаралды 9,291

AUFY ONLINE TV.

AUFY ONLINE TV.

2 ай бұрын

Пікірлер: 80
@user-fq1gg8rj9i
@user-fq1gg8rj9i 2 ай бұрын
Swali linakuja hv sasa JEE? Uyo jini,,unae mtumia anakuja Kwa njia gan ili usimuasi Allah Tabbarak Rahman
@shawwalmsati3405
@shawwalmsati3405 2 ай бұрын
SHEIKH upo sawiya kabisa. Pia mimi nimempa ushauri mmoja wa hao wanaopinga aliyoyasema Dokta Sule kwa kumwambia haya mambo wayatazame kwa umakini, vinginevyo watafanyiwa raddi mpk watajiona wamekurupuka kuyazungumzia kwa kuyakataza. Bali nilimpa baadhi ya dondoo kwa kumfahamisha kuwa wanachozungumzia wao ni kitu kingine, na alichosema dokta sule ni kitu kingine. Nikawaambia aya mnazotumia ni za mashetani, na sule hazungumzii mashetani, ispokuwa azungumzia majini wema. Na nikamtajia baadhi ya dalili za kufaa kuwatumia majini. Ila nligundua huyo alompinga Dokta Sule kakaririshwa hoja na wala hajatumia misingi ya kielimu Allah akupe TAWFEEQ zaidi.
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 2 ай бұрын
IPO AYA HASWA INAZUNGUMZIA JINI WALA SIO SHETANI. BAADHI YA WANAUME WA KIBINADAMU WALIKUWA WAKITAFUTA ULINZI KWA WANAUME NA KIJINI WAKAQADISHIA MADHAMBI AYAH IPO KTK SURATUL JINNI وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi
@jumangozi2720
@jumangozi2720 2 ай бұрын
Jini mwema utamtuma aende kula faili mahakamani ili lionekane limeliwa na mchwa na utamtuma unamuona wapi wewe mjinga
@user-fq1gg8rj9i
@user-fq1gg8rj9i 2 ай бұрын
Subhana Allah ,,, Jaman haya tuambieni inafaa kivip Jaman mbona mnatuchanga hivo nyie ndio mtabeba jukumu kesho yaumu lkiyama
@kassimabdillah5998
@kassimabdillah5998 2 ай бұрын
Kama hili jambo munasema linafaa dini yetu inaenda Kwa dalili basi ninani katika wema waliotangulia waliwatumia majini katika mambo mema Musilete hoja za Nabii Suleiman kwanza hio ilikua ni hasa kwake tuu naalipewa nguvu na uwezo wa kufanya hivyo na Allah pili Sheria ya mitume waliopita sio Sheria yetu Baba kiriwasha kabla ya hujafanya maamuzi ya kumdifai Dr Sule kumbuka ana Shubha nyingi ikiwemo kuamini elimu ya nyota pili ushirikina wa hirizi yaani peta yenye kutia bahati pia bidaa za vichinjo katika Dua zake kama atakua hawachinjii mashayatini ila kama atakua anachinjia mashetwani basi atakua mushriki Baba kiriwasha musitetee maasia na ushirikina tutaenda kuulizwa mbele ya Allah kwayale tunayofanya Kwa ndimi zetu
@user-qe9pd9zk8v
@user-qe9pd9zk8v 2 ай бұрын
Jiupusheni na mambo saba yanayoangamiza, wakasema maswahaba: Ni yapi, ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu? Akasema Mtume ﷺ: Kumshirikisha Mwenyezi Mungu, na uchawi, na kuuwa nafsi aliyoharamishwa na Mwenyezi Mungu ila kwa haki, na kula Ribaa, na kula mali ya yatima, na kukimbia vitani,(katika jihadi) na kuwasingizia kuwa wamezini wanawake waliojihifadhi walioghafilika tena waumini]. [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
@binnyandwecheikhmuhamed
@binnyandwecheikhmuhamed Ай бұрын
Machallah
@fasilkais5669
@fasilkais5669 2 ай бұрын
Usiwapoteze watu ofopa siku ya mwisho)( acha kiarabu chako Cha uwongo icho wewe unauhakika kama abuu temia ndie aliye andika)( jini asie onekana utamjuaje kama ni mwema mpesha potea wewe na sule wako
@user-pd2fk6kt5i
@user-pd2fk6kt5i 2 ай бұрын
Daah kumbe nawe ndio waleeee wakupoteza ummaah tambuwa kuwa Allaah anakuona na utaulizwa
@IsmailIsmail-ix1yd
@IsmailIsmail-ix1yd Ай бұрын
Acheni malumbano, someni kwanza kisawasawa kuhusu elimu ya hao viumbe kisha ndio mtafahamu kufaa kwao na kutokufaa kwao, sio unaaya mbili tatu na hadithi moja mbili ukatoa fatwa, tusomeni kwanza huu ulimwengu ni wa ajabu sana, ni ushauri wangu tu.
@user-fq1gg8rj9i
@user-fq1gg8rj9i 2 ай бұрын
Jini yyte anaekaa ktk mwili wa mwanadam uyo ndie jini anae muasi Allah ,,,hawaruhusiw kukaa ktk mwili wa mwanadam
@user-ns4lc3yg2c
@user-ns4lc3yg2c 2 ай бұрын
swahihi
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 2 ай бұрын
Endelea kuongea ila ufahamu kila unalolitamka linaandikwa wew unamjuaje jini mcha Mungu na muovu
@MkutiNandaja-rz3nk
@MkutiNandaja-rz3nk 2 ай бұрын
Ndio usome sasa sio kuongea tu
@SamMus-qn1pu
@SamMus-qn1pu 2 ай бұрын
Nyinyi muna beba dhima mbele ya allah
@user-fq1gg8rj9i
@user-fq1gg8rj9i 2 ай бұрын
Majini wameumbwa wakae sehem zao na wafanye Ibada zao na Sisi tukae sehem zetu tufanye ibada zetu ,,,,, Allah ataleta fatwa Kwa hili ndie mjuz Zaid
@chalinzeone6599
@chalinzeone6599 2 ай бұрын
ILA IBADA ZAO NDIO IBADA ZETU.
@user-zs7eq8up5s
@user-zs7eq8up5s 2 ай бұрын
Huyu kweli kiwashwa washwa sasa anaongea kitabu kinesema hatoi dalili..ataje hivyo vitabu halafu tuone watunzi wake wana dalili au ni ngonjera..kitabu sio dalili ulamaa sio dalili
@user-xx2ex2nj8f
@user-xx2ex2nj8f Ай бұрын
Acha usenge kama inafaa kwa nini asifanye mtume (swa).Dah mashekhe wa bara bwana ashapewa bahasha na dr yaani apo razi allah ashirikishwe na kesho atapewa bahasha na mtu mwengine atatoa fatuwa kunywa pombe inafaa.Nguruwe huyu hana hata haya.
@isihakaabdul1134
@isihakaabdul1134 2 ай бұрын
Faida ipi yeye mwenyewe hajiamini na akisemacho kwa maana anajua anababaisha
@galatonetz
@galatonetz 2 ай бұрын
IBN TAIMIA ni mtume au ninan?..je muongozo wa QUR'AN na mtume unasemaje ??..
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 2 ай бұрын
MBONA NABII SULEIMAN ALIWATUMIA NA UMMA WA MUHAMMED NI UMMA BORA KWANINI TUSHINDWE KUWATUMIA NA SISI NI WATU UMMA BORA.
@binismail8527
@binismail8527 2 ай бұрын
Sasa maliza kuongea kwanza ili uekwe sawa
@OMARYHASSANI-xn5es
@OMARYHASSANI-xn5es 2 ай бұрын
NAN AMENUKUU HAYO MANENO KUTOKA KWA IBNU TAIMIYYA NA NI KIPI KITABU HICHO SASA KAMA MUDA HAUTOSHA SIUSUBIRI UTOE MADA KAMILI SHEIKH ABDURAHMAN MUHIMU TAMBUA UNAONGEA NA WATU WENGI WAJUZI NA MAJAHILI SASA FANYA BAHTHI VIZURI
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir 2 ай бұрын
Mawahabbi na Masalafi hawamtaki huyo Shekh wao hawamtaki tenaaaa maana alikua ni sufi...hahahahahaaaaa
@KarimuYusuph
@KarimuYusuph 2 ай бұрын
Iyo ni kwer inafaa anae kataa mwacheakatae nasio lazima
@ramazaniradjabu1862
@ramazaniradjabu1862 2 ай бұрын
Hadaka llahu ya sheikhana
@DavidMatata
@DavidMatata 2 ай бұрын
Ni kweli kabisa majini wazuri waislam ni wandugu zenu...Upo sahihi kabisa.
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir 2 ай бұрын
Huyo Ibnu Taymia hata hawamtaki tena wenyewe weshamsuta mbaaaaali
@DanKanu-ox4hx
@DanKanu-ox4hx Ай бұрын
Mimi niliingia msikitini lakini mnanichanganya Eti mwisilamu kutumia jini kwani ALLAH ana nguvu?
@user-ts1kz1lw9p
@user-ts1kz1lw9p 2 ай бұрын
Mwanafunzi wa dr Tule
@user-gn2rq8sf7t
@user-gn2rq8sf7t 2 ай бұрын
👏👏👏👏INAFAAA NDIO INAFAAA
@user-id1gz3ng3k
@user-id1gz3ng3k 2 ай бұрын
makafiri wameuvamia uwisilam 😢😢😢 mtegemeeni Allah tu
@Elecovid
@Elecovid 2 ай бұрын
😅😅😅😅 kumbe majini dili kwenye dini
@RamaMbwambo-ru8ym
@RamaMbwambo-ru8ym 2 ай бұрын
Unajizingua broo
@user-do7ui5wi3n
@user-do7ui5wi3n 2 ай бұрын
Upo sahihi
@fasilkais5669
@fasilkais5669 2 ай бұрын
Mamlaka aliyepwe nabii sulewmani umnanishe na sulew)( acha kupata umaarufu Kwa kuwapoteza watu )(wewe shee njaaa itakupeleka bay mtu yeyote anae miliki jini ataingia motoni bila esabu acha izo ongelea mayele ndio fani yako
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 2 ай бұрын
We na dkt sule nyot wachawi
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 ай бұрын
ukimduatilia mtu kama huyu utagundua kuwa ni öganga !!😅😅
@mashaurimvungi2232
@mashaurimvungi2232 2 ай бұрын
Hao ndio mashekh mnaowasikiliza usiku kuhusu ndoa kumbe ni mfuasi wa majini
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir 2 ай бұрын
Kuvaa na kutumia Pete sio ushirikina acheni ujingaaa
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv 2 ай бұрын
Hahahahaha kipele kimepata mkunaji
@user-ob2ik5gy1b
@user-ob2ik5gy1b 2 ай бұрын
Wewe ndo walewale wanaotumia vitabu vya watu walipotoka na wewe usitupotoe kama ushapotoka, kinyume na muongozo wa Quran na Suna za mtume ni shirki kwa Muislam. Pili muislam haongozwi na vitabu vya watu kama dini zingine bali ni Quran tuuuu ndicho kitabu cha kweli.
@amanifadhi
@amanifadhi 2 ай бұрын
Usimhukumu mtu shekhe katoa vipengele nawewe toavipengele sikusema nawewe niwalewale tusome
@user-qe9pd9zk8v
@user-qe9pd9zk8v 2 ай бұрын
Kutoka kwa Hafswa bint Omari bin Khattwabi- Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- Kutoka kwa Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake- Amesema: "Atakayemuendea mpiga ramli akamuuliza kuhusu lolote, akamsadikisha, haitokubaliwa kwake swala yoyote siku arobaini". Sahihi - Imepokelewa na Imamu Muslim
@Allybinamour
@Allybinamour 2 ай бұрын
kwa kueka sawa tu niku:mwenye kumuendea mpiga ramli na akaamini alichoambiwa amekufuru alokuja nayo muhammad s.a.w na ambae kumuendea na asimuamini kwa siku 40 sala zake hazikubaliwi. namshangaa mtu kama baba kiruasha kuitetea shirki kama hii.
@AbuuAbdillah-tv8yn
@AbuuAbdillah-tv8yn 2 ай бұрын
Hakika
@user-xx2ex2nj8f
@user-xx2ex2nj8f Ай бұрын
Wewe mbwa acha kupotosha watu kwa ajili ya kuangalia tumbo yaani ufisadi wote watu wanafanya hukoweza kulingania umeona ulinganie ushirikina .mbwa wewe , nguruwe mkubwa
@muhsinkimaro4283
@muhsinkimaro4283 2 ай бұрын
Allah katuambia hakika ya shwaytun ni adui jitengen naye, vp leo tumfuge? Baba kiruasha nimekua nikikjfuatilia sana darsa za usik, leo inanitoa kwny reli, acha kuwanukuu mashekh, muongozo wetu ni quran na sunna
@abasishayo3232
@abasishayo3232 2 ай бұрын
Sasa akhy ungeshuka na dalili kuliko kuleta maneno ya jumla jamaala.....
@IsaKinyonga
@IsaKinyonga 2 ай бұрын
Pumbavu nyinyi mnafezehesha dini allah
@user-ts1kz1lw9p
@user-ts1kz1lw9p 2 ай бұрын
Sheikh unahunzunisha sana Kama huja jiandaa yanini kuleta vituko kuongea kwako hakujakalimilika kabisa na haya maudhui ni mazito sio yakuongewa nusu nusu Pili wasema Huyo Sheikh alinukuu kwa kitabu cha ibn Taimia kwa nini hurudi kwa hicho kitabu cha ibn taimia waenda kwa mnukuu wake
@issaomari7244
@issaomari7244 2 ай бұрын
Baba kiruwasha a.k.a muhina kumbe pia nawewe nimuhuni subhanallah nilikua nakupenda kwaajili yaallah nakumbuka umeshawahi kunifundisha somo la lugha (kiarab) mkoa wa kilimanjaro sehem za boma ng'ombe masjid bilali ila sikujua kama nimuhuni kiasi hicho tumuogope Allah
@OMARYHASSANI-xn5es
@OMARYHASSANI-xn5es 2 ай бұрын
UNAKUAJE NA MSIMAMO NA MANENO HUNA UHAKIKA NAYO
@Fardadihd
@Fardadihd 2 ай бұрын
Mgonjwa ww
@IsaKinyonga
@IsaKinyonga 2 ай бұрын
We mchawi kama wachawi wengine
@lilmojr7
@lilmojr7 2 ай бұрын
Wewe sio baba kiruwasha utakuwa baba kiruzima kwanini unamtetea dr sule anapoteza umma,usifanye qatu wakuchukie na wewe.
@jumangozi2720
@jumangozi2720 2 ай бұрын
Akhuy huyo jini ndugu yako katika imani ili umtume unamuona wapi na ndio utamtuma akuletee utajili? Yani hata wewe pia unanunuliwa na wachawi
@KubwaKuliko-dk4bm
@KubwaKuliko-dk4bm 2 ай бұрын
Uekwesawa vp wakati wewe mwenyewe hujaongea isipokua shubha hakuna ulicho sema ila shubha
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 2 ай бұрын
Nini maana ya shubhat??wewe ndy unaleta shubhat, kasome na hao Mashekh zako, unafikiri kusoma ni kujaza mavitabu,ni kuelewa nyie walokole ,mnacho khofia nyie na hao walokole kusema dini ya kiisilamu ni dini ya majini,badala ya kuelekezwa wazi ya dini ya kiislam,ile masjid jinn asili yake nini ??kwa walio enda hijja wanajua baada ya hija huenda pia kutembelea pale mtume alipokuwa anakutana na majini wakati wa kuwalingania,
@KubwaKuliko-dk4bm
@KubwaKuliko-dk4bm 2 ай бұрын
@@iddyjohn1032 hio qur'an ina sura inatwa surat jinni isome kwanza uone namna inavyo onesha majini na watu wanaposhirikiana mwisho wao ni moto,., na majini walipo amini walijua hilo la kutumikiana majini na watu halifai...na kila unapo soma quran kila panapo zungumzwa habari ya kushirikiana majini na watu mwisho wao hao walio seidiana kati ya majini na watu mwisho wao ni jahannam....quran inasema mwenyezimungu ameumba majini na watu ili wamuabudu...sio kuja kutumikiana wao kwa wao soma qur'an sura 6 aya 128
@KubwaKuliko-dk4bm
@KubwaKuliko-dk4bm 2 ай бұрын
Unaongea shubha tu,,kila kitu nitakuja kukitaja taja kwanza ACHA SHUBHA
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 2 ай бұрын
Kasome wewe mtoto wa kiislam ,haya mambo hayana makosa ikiwa mipaka imachungwa tu,kila kitu katika Uislam kwa sasa kimekuwa haram haram how???mbo na mmekuwa wajinga wa dini?? Kwa hiyo ukisema kufungamana na jini mwema ni kosa???acha uhuni wenu nyie naona mmeisha kiwa walokole nyie,kwa hiyo hata Qur'an imekosea kusema wameamini?
@KubwaKuliko-dk4bm
@KubwaKuliko-dk4bm 2 ай бұрын
@@iddyjohn1032 unaonekana hujielewi qur'an kutufahamisha majini pia wapo walio amini linalo wajibika kwao ni kumuabudu mungu walio muamini...sio kutumikiana wao na wanadamu hakuna mafungamano kati ya jini na mwanadam kila 1 ana majukumu yake sio kutumikiana watu na majini..na kama jini ni mwema basi na amuabudu mwenyezimungu na sio jengine
@bago-5
@bago-5 2 ай бұрын
Video hii ipo kamili kwa baba kiruwasha official tv hii apa ni ya wizi haipo kamili
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 2 ай бұрын
Haipo kamili ametowa hivyo hivyo
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
Wachawi watupu
@IsaKinyonga
@IsaKinyonga 2 ай бұрын
Wee kweli kiluasha mpumbavu wewe
@jumangozi2720
@jumangozi2720 2 ай бұрын
Tunakusubiru tukuradd mjinga wewe
@fatmaally7241
@fatmaally7241 2 ай бұрын
Kumbe na wewe!!!!!!
@eslonblack8096
@eslonblack8096 2 ай бұрын
Vkweri Majini ni ndugu zenu 😂😂😂😂
@MohmmedGandhi-zc9wo
@MohmmedGandhi-zc9wo 2 ай бұрын
Watu wasome ama waulize walio mbele yetu, almuhim tunasoma kitu hapa tuwe watulivu
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft 2 ай бұрын
Wewe Baki na ukungwi wako jahili mkubwa wewe
@HappyClogShoes-hp9ho
@HappyClogShoes-hp9ho 2 ай бұрын
Peleka mbele uchawi wako
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
HIZI NDIO NJIA ZA KUMTULIZA MWANAUME WA SASA"BABA KIRUWASHA.
25:46
ZVP ONLINE TV
Рет қаралды 7 М.
HISTORIA YA SHEIKH MSLEM HADI KUINGIA GEREZANI
31:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 85 М.
JEE YAFAA KUWATUMIA MAJINI
5:24
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 38 М.
MAJINI WA DK SULE SIO WEMA USIMTETE || MAJIBU KWA BABA KIR'WASHA || Muhammad Bachu.
1:04:29
HATIMAE BABA KIRUWASHA ATIMIZA AHADI YAKE
17:15
Baba kiruwasha official
Рет қаралды 16 М.
SHEIKH IZUDIN AMKOSOA M.BACHU KWA KHIYANA ALIYO FANYA KATKA ILMU.
37:37
Sherehe zetu - Ukht Fatma Mdidi
1:12:27
Kalamutz
Рет қаралды 5 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН