Kama wewe ni mfugaji mpya ukijua tofauti kati ya biashara ya Nguruwe na Mbuzi itasaidia ufanye maamuzi sahihi.
Пікірлер: 17
@mwajumamanjale5704 Жыл бұрын
Asantee sana kwa Elimu nzuri
@jafariatwai688010 ай бұрын
Mbuzi wa mwezimmoja anatakiwa kupata chanjo ya ainagani?
@mulapfarm966410 ай бұрын
Tunawapa vitamin na dawa za minyoo.
@eliapendaelisantemariki88237 ай бұрын
Asante kwa elimu nzuri. Mko wapi?
@mulapfarm96647 ай бұрын
Kibaha
@northerntanzaniatv4033 Жыл бұрын
Thank you for this education tips
@mulapfarm9664 Жыл бұрын
Asante sana mkuu
@northerntanzaniatv4033 Жыл бұрын
Soon ntaanza ufugaji rasmi maeneo ya bagamoyo hivyo ntakuja kinunua high breed kwako kma boer kaka
@ayubumitiakimitiakikivuy-fo3yp Жыл бұрын
brother uko wapi nikutafute
@mulapfarm9664 Жыл бұрын
Kibaha pwani +255659770886 nipigie
@melkion Жыл бұрын
Kiongozi nimeanza kukufatilia napata madini mazuri sana kutoka kwako, nipo pamoja na wewe endelea mkuu kutufungua akili...
@mulapfarm9664 Жыл бұрын
Asante sana mkuu
@northerntanzaniatv4033 Жыл бұрын
Tuko pamoja kaka hata mimi nilikuwa sina idea yeyot ya ifugaji wa mbuzi lkn sahiv nimejifunza vitu vingi sana humu youtube ukiitumia vizuri inakusaidia 🙏🙏