JE KUNAULAZIMA KUFATA SAUDIYA AU NCHI ZETU - SHEIKH IZUDIN ALWY

  Рет қаралды 5,922

HAJI ONLINE TV

HAJI ONLINE TV

Ай бұрын

#hajionlinetv
#mawaidha
#subscribe

Пікірлер: 61
@isaack100
@isaack100 Ай бұрын
Jazakallah sheikh hawa hawawezi kutwambia Ramadhani tuangalie mwezi kisha hija tusihesabu mwezi ukiandama Bali tuangalie mahujaj
@JUMAKANYEBWE-hy7ge
@JUMAKANYEBWE-hy7ge Ай бұрын
Hakuna tarehe moja mbili kwa mungu tofauti masaa tu
@anisasalim667
@anisasalim667 Ай бұрын
Sheikhe langu mungu akujalie uende haji na iwe tofauti ya matalii kama hivi,kisha wewe usiende Arafa uende siku ya pili ufanye wuquf peke yako,kwa huja kuwa watoka nchi iko nyuma kwa siku
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Ай бұрын
Maa Shaa ALLAH 💚💚💚
@user-ic2cb9gm2j
@user-ic2cb9gm2j Ай бұрын
Hamujasoma kushinda masheikh wa Saudia na mtume wa mwisho atoka saudi
@ZANAZETU
@ZANAZETU Ай бұрын
Mashallah sheikh law kwa ufafanuzi wako
@MariamAsudi
@MariamAsudi Ай бұрын
MashaAllah MashaAllah ❤❤❤
@nassoroseif3332
@nassoroseif3332 Ай бұрын
Shekh uko sahihi ukanda huu tulionao haufungamani na makka
@MariamAsudi
@MariamAsudi Ай бұрын
Zii unakosea tufuate Sunnah za MTUME swallallahu alayhi wasallam basi!!! Kumbuka haya yote masuula ukisoma vizuri Hadithi za MTUME Moja wapo ni HIJJA ni pale wanapo HIJJIH WATU BASI!!!!
@Abdulalwaily
@Abdulalwaily Ай бұрын
Mashallah
@hajihajihaji8351
@hajihajihaji8351 Ай бұрын
Mm nimejifunza kitu hawa wanachuki na saudia
@salumharuna5872
@salumharuna5872 Ай бұрын
Mtihani Wallah
@JUMAKANYEBWE-hy7ge
@JUMAKANYEBWE-hy7ge Ай бұрын
Hakuna tarehe moja mbili kwa mwezi
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
5:104. Na wanapo ambiwa: Njooni kwenye yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, na kwa Mtume, husema: Yanatutosha tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawajui kitu wala hawakuongoka?
@JamalAli-tz6pj
@JamalAli-tz6pj Ай бұрын
Ustadh uko sahih kabisa nyny mnaotukana hapa mwajiona warabu pia nyny ebu tuheshimiananeni..ustadh shika msimano wako nasituko na dua
@MariamAsudi
@MariamAsudi Ай бұрын
Si kwa ubaya lakini ndugu yangu tunachojaribu kuatete hapa ni SUNNAH za MTUME ukisoma hadithi vizuri mtume anasema HIJJA ni pale wanapo HIJJIH WATU BASI!!! Jamani tuacheni kuhitilafiana katika dini sote ni ndugu samahani kama nimekukwaza EID MUBARAK 🤣🤣
@JamalAli-tz6pj
@JamalAli-tz6pj Ай бұрын
@@MariamAsudi Dini haitaki ushabiki na hakuna muislamu ambae hafati sunna au hadithi ispokuwa wanafik tatizo kubwa dadangu liko hapa saa hii hawa wanafanya waislamu wachukiane kiusawa sio mitandaoni kama kweli wataka mrekebisha mtu mpigie direct call upate kujadiliana nae sio mitanadaoni kutaka kupata ushabikii hio sawa ya mwanaume sio kutaka kuonesha watu na wakati sisi wasikizaji pia hatutaki kusoma twataka kusikia hop umeelewa point yangu..shukran
@MariamAsudi
@MariamAsudi Ай бұрын
@@JamalAli-tz6pj unaposema hakuna muislamu ambaye hafati Sunnah za MTUME unakosea kwani Maulidh pia sio Sunnah ya Mtume Wala watu hawajali wanafanya kulingana na akili zao zinavyowaambia ,kweli sisi ni waislamu na tunafaa kufuata Sunnah ,LAKINI kumbuka Kuna watu wanajiongezea elimu katika fikra zao , Kuna makombora yanayo rusha SAUDIA unajuwa kwa nini??? Wanataka kuivunja Al ka'bah,kwani wanafanya hivyo sio waislamu??? Ni hao hao ndungu zetu, wapo waislamu wanaohitilafiana wengine WAO wanataka kujuwa wapi kaburi la FATIMA (RA)kwani hao sio waislamu ???? Bado ni ndugu zetu , yapo mambo mengi tuu yanayofanyika na kuhitilafiana baina ya sisi kwa sisi ,,,, Alafu unaposema kumwelekeza mtu sio mitandaoni unakosea ,maadamu tatizo ni la mitandaoni,basi tutaelekezana mitandaoni vilevile ,licha ya hivyo Kuna wenzetu pia hawajuwi wanataka kuelimika pia,sasa tukilichukulia swala hili liwe la ana kwa ana wenzetu wataelimika vipi???? Tukisema tuelimishane Siri kwa Siri vpi kuhusu Hawa wengine ???. Kama nimekukosea niwiye radhii ila lazima tukumbushane na tuieneze Sunnah za MTUME swallallahu alayhi wasallam...kwani Mwenyezi Mungu anatuambia tuwalinganie watu katika dini ya haki ,,na ili kuitimiza dini lazima Sunnah za MTUME pia tufuate!!!!! Hope umenielewa
@MahmoudMwacharo
@MahmoudMwacharo Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@ImamuDossa
@ImamuDossa Ай бұрын
Ee sheikh wee.Fuata Jamaica achana na Makka.
@user-ic2cb9gm2j
@user-ic2cb9gm2j Ай бұрын
Sheikh kuwa mkweli mwezi ukionekana sehemu za Digo au Garissa hamuutaki mwataka mwezi wa lamu
@wakwetu2444
@wakwetu2444 Ай бұрын
Sio lazima. Tufuate mwandamo wa nchi zetu.
@salumsimai642
@salumsimai642 Ай бұрын
Na inaonekana unachuki ba saudia wamekukosa nn ?
@JUMAKANYEBWE-hy7ge
@JUMAKANYEBWE-hy7ge Ай бұрын
Mwezi wa saudi na apa kwetu nimmoja tu ubishi tuacheni
@user-ic2cb9gm2j
@user-ic2cb9gm2j Ай бұрын
Mukienda hijjah mwafuata Saudia lkini mukiwa Mombasa mwafuata mutakavyo
@abdallahsuwed65
@abdallahsuwed65 Ай бұрын
Shekh hujataka kunyoosha maneno.hujakubaliana na Chief
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Ай бұрын
Kadhi asema kuifuata saidia tu bila yalitiwa hadithi wala aya ss wataka anyooshe maneno upendavyo ww tu..ama???
@abiabi9353
@abiabi9353 Ай бұрын
Mawahabi wana akili fupi kweli.Sasa wataka sheikh akubaliane na chief kadhi kwa lipi?
@abdallahsuwed65
@abdallahsuwed65 Ай бұрын
Kwa sababu ndio kiongozi wao wa kidini na ndio hua anawambia fungeni na fungueni
@omarrumbanyamawi
@omarrumbanyamawi Ай бұрын
Assalam a'lykum wrahmatullahhi wbarakaatuh kka, ka chf kadhi kakosea tupe mwongozo wako ARAFA ya Kenya ni lini ndo tufunge....
@abiabi9353
@abiabi9353 Ай бұрын
Wewe jahili wakiwahabi hujui hata uulizalo
@BaruaniAllyally
@BaruaniAllyally Ай бұрын
Kitu ambacho kina shangaza Sana Nipale tu ma shekh wakiwa Makka kwenye inchi zao huenda sambamba na makka kwakuwa na wao wapo makka wakiwa Hawapo Makka ihtillafu zaanza
@FadhiliFadhili-qq7zi
@FadhiliFadhili-qq7zi Ай бұрын
Arafa kuipata lazima tufuate saudia
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
Ushabiki wameuweka mbele ushabiki, na hili ni tatizo
@mbarakmwanyanje1563
@mbarakmwanyanje1563 Ай бұрын
Khaswaa
@ImamuDossa
@ImamuDossa Ай бұрын
Kwani Jamaica ni lini?Fuata arafa ya Jamaica.
@user-tr5xx3vi7x
@user-tr5xx3vi7x Ай бұрын
Wacha bifu ww huyo unamueza kwa elimu ? Mwajifanya mnajuwa sana mtume hakuwa na tabia hio mwakosoa watu kwani jamaica hakuna waislamu nahuko sudia nimabaya mangapi yafanyika hamumuezi huyo
@MariamAsudi
@MariamAsudi Ай бұрын
Samahani sheikh ila kwa Hadith alioitowa DARAQUTWNIY ,,kutoka kwa bwana wetu MTUME swallallahu alayhi wasallam kuwa amesema ;HIJJA ni pale wanapo HIJJIH WATU basi,..kesi imeisha hapo. Katika RAMADHAN hapana watu wanafuatwa miji Yao.... lakini DHUL HIJJA sote tunafuata SAUDIA inamaana. ARAFAH ni sote... Tuacheni kuhitilafiana katika mahujaji na tufate Sunnah za MTUME basi!!!.
@mbarakmwanyanje1563
@mbarakmwanyanje1563 Ай бұрын
Watu washindani Sanaa sijui kwa nn hawatisheki n Hadith y mtume Swallallahu aleyhi wassalam?
@ABDULLAOALI
@ABDULLAOALI Ай бұрын
Sheikh, ameshajifundisha tmemsikia
@user-ic2cb9gm2j
@user-ic2cb9gm2j Ай бұрын
Sheikh Izudin mutake musitake Allah alichaguwa Saudia ndio kitovuu cha uislamu
@abdallahsuwed65
@abdallahsuwed65 Ай бұрын
Aseme tu kama kadhi yupo wrong.asijizingushe
@abiabi9353
@abiabi9353 Ай бұрын
Amakweli mawahabi hawaelewi. Kwani hukumuelewa Sheikh tangu mwanzo? Sheik kasema ndiyo chief kadhi yupo wrong kulazimisha watu kufata Saudia bila dalili
@abuusalmaan-kw2xz
@abuusalmaan-kw2xz Ай бұрын
wewe huna elimu nyamaz
@user-ib1yl3zp5v
@user-ib1yl3zp5v Ай бұрын
Masala sichuki na saudia ni ilimu iweke wazi hakuna dalili ya kufuata funga ya arafa kwa kisimamo cha arafa historia ya mashekhe walio tangulia kulazimisha Kwak sababu saa hi twaona watt wako arafa je zama za kina imamu shafi rahimahullah walikua wakifunga vipi watu walio mbali na saudia ilimu sio chuki
@salumsimai642
@salumsimai642 Ай бұрын
Huyu anaongea kwa chuki na jazba
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Ай бұрын
Acha polojo kuhusu saa .mbona muongo wewe
@abdallahsuwed65
@abdallahsuwed65 Ай бұрын
Kimsingi una chuki na saudia
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 Ай бұрын
Saudia hawana mwezi kwao ni kalenda wapi ufuate kalenda au mwezi usiseme ana chuki
@user-pu2uw2ib5y
@user-pu2uw2ib5y Ай бұрын
Kwa nini hata ukasema haipendi saudia?
@user-pu2uw2ib5y
@user-pu2uw2ib5y Ай бұрын
@@saidalhinai1131... Pia hakuna aalimu yeyote anaesema km watu wafate saudia sasa sijui awo wenzetu ni kigenzo gani wanachokifata
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Ай бұрын
Ebu jiweke mbali na thana mbaya
@abiabi9353
@abiabi9353 Ай бұрын
Wewe ni jahili tu wakiwahabi wala hujui usemalo
@mohammadswaleh6900
@mohammadswaleh6900 Ай бұрын
Sio lazima ufuate Saudia Wala hatuna haja ufuate Saudia fuata Lamu peke yake Riayadhwa ndio makka ndogo hyo
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
Huyu Izzudin hajifahamu,Saudia leo ni jumamosi,Kenya,Tanzania leo ni jumamosi,ati siku moja tarehe tafauti,ana chuki na choyo na hii nchi ya Saudia,kisa wanazipinga shirki zao za kisharifu za Tawwasul,eeh wewe Ezzudin Umesoma wapi???.
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 Ай бұрын
Jumamosi inachomozewa na jua au mwezi
@nassoroseif3332
@nassoroseif3332 Ай бұрын
Shekh uko sahihi ukanda huu tulionao haufungamani na makka
@mifugozanzibartv1196
@mifugozanzibartv1196 Ай бұрын
Mashallah
TUSOMENI TUJUWE FADHILA YA SIKU YA ARAFA - SHEIKH IZUDIN ALWY
58:30
KHUTBA YA KWANZA YA SAYYIDINA OMAR // SHEIKH OTHMAN MAALM
57:17
arkas online tv
Рет қаралды 2 М.
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 61 МЛН
JE TUFUATE SUDIA AU MWANDAMO WA MWEZI SHEKHE SAID ALI HASSAN
7:06
USTADH JEYLAN HASSAN
Рет қаралды 4,1 М.
SHK.MSABBAH HAKUNA UHARAMU VITU VYOTE NI HALALI KWA MUJIBU WA SHERIA HII
17:19
AGANO LAKWELI NI QURAN DR SULE
23:25
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 423
IPI NISIKU SAHIHI YA KUFUNGA JUMAMOS AU JUMAPILI SHEIKH IZUDIN ALWY
17:19