Yuko vizur ataadapt mazingira ya ligi yetu then atafanya makubwa ukizingatia pia kuwa umri unaruhusu
@abdulkarimissa12935 күн бұрын
Duh huyu mbona kama zidane
@BUTILANJIA5 күн бұрын
Asante soccer data🎉
@hamzaibrahimu5 күн бұрын
Karibu unyamani brother 🎉🎉🎉🎉
@RamanhoDossantos5 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@samponews16895 күн бұрын
Leta uchambuz wake tutafurah zaid✅🙏
@shanmlawa4 күн бұрын
Chambuz una baya🎉🎉
@Maggab-cl5od5 күн бұрын
Daah uyu ni atari kama Ronaldinho gaucho
@dallovision5 күн бұрын
KAMA YUKO SERIOUS KUMBE BADO HAJAKUTANA NA COPRO BACA
@tumwitikemanda76015 күн бұрын
Yetu macho
@jemsjems92785 күн бұрын
mpila mguuni tu Yuko powa sana
@jumannemohamedy14565 күн бұрын
Ana piga pasi za uhakika asee kwa ujumla mpira anajua
@hamisimtente21265 күн бұрын
Kama umekubali mm nani nikatae brother
@saidikhalidi1595 күн бұрын
Hapa tz hakuna ligi ngumu ni mpira wa siasa tu
@mohammedjuma67365 күн бұрын
Mashine hiyo
@adrophinamwanguse15105 күн бұрын
Haina kulemba hiyoooo oyooooo
@AletasMbawala-si5kj5 күн бұрын
Eti ligi yetu ngumu! Kwahy tukasajil ugeruman?!🐸🐸🤣
@AbbasMahamed-vx8oq5 күн бұрын
Hakili huna ligi zaifu
@rajabukidendasaid71595 күн бұрын
pacome ametoka ligi gani na azizi ki nani hana hakili sasa😂😂
@kassidpandu8665 күн бұрын
una chuki nae tayari
@RaphaelKaswahili5 күн бұрын
Ni mzuri ila ligi yao ni dhaifu .....tusubiri kuona kama ataweza kuikabili ligi ya bongo
@januarymalanda92625 күн бұрын
Aziz k, PA come na yao wametoka ligi gan ww utopolo?
@danielngotto56525 күн бұрын
Achana nayo ni wivu tu@@januarymalanda9262
@kassidpandu8665 күн бұрын
ligi ya bongo sio ngumu mbona bingwa hupatikana mechi ,5 kabla kumalizika?
@RaphaelKaswahili5 күн бұрын
@@kassidpandu866 tatzo bro unabishana bila kua na evidence fatilia team zetu zikikutana na team za nje utasikia washambuliaji wao wanasema mabeki wa wao ni makatili sana...
@RaphaelKaswahili5 күн бұрын
@@januarymalanda9262 aziz ki ni dalaja jingine kabisa inawezekana saii angekua ulaya akikipiga huko ..... kingine usichokijua mimi ni shabiki wa mpila
@alitante42795 күн бұрын
Huyu ligi yetu kutoboa ni ngumu sana wacha tuonee
@EmizPaul5 күн бұрын
Ngonja tuone tu
@davismuzahula9075 күн бұрын
Kwamba tunatumia mpira wa pembe tatu au?
@RaphaelKaswahili5 күн бұрын
@@davismuzahula907ligi yetu ni ngumu saana
@EzekielKwili5 күн бұрын
Mpira ni uleule atafanya makubwa ukizngatia pia kuwa umri n mdgo