Рет қаралды 10,435
Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Jesca Msambatavangu, alipochangia hotuba ya bajeti ya Wizara wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum iliyowasilishwa mapema ya leo Bungeni amesema wenye Afya nzuri ya akili wanatunza mbegu zao kuliko kitu chochote.
Pia Mbunge wa Iringa Mjini amesema hawezi kuwa mshabiki kwa Mwanaume akifanya kosa ahasiwe kwa sababu kutakosekana kwa mbegu.
Tembelea akaunti yetu ya KZfaq “Clouds Media” tumekuwekea mzigo wote.
#KutokaBungeni
#CloudsDigitalUpdates