Hii imekaa poa sana , inatangaza pia fahari ya Tanzania ❤
@kassimchuo529026 күн бұрын
All the best INSHAALLAH my lovely team YOUNG AFRICANS nikiwa QATAR
@lukwagopaul657226 күн бұрын
Am happy that pacome and Aziz ki are back
@godfreysimoni427026 күн бұрын
Niwatakie maandalizi mema wapambanaji wetu💚💛💚💛🖤
@user-hy3en6vk5f26 күн бұрын
Nawependa sana jeshi langu Mungu awalinde na awape afya njema🥂💚
@MzeewaYanga-hm8jq25 күн бұрын
🙏🙏🙏
@user-ox3ij7ki3t26 күн бұрын
Mungu awe pamoja nanyi wachezaji bench la ufund na viongozi wetu Amen🙏🙏🙏
@catherineamiri985426 күн бұрын
OMG I LOVE THIS TEAM😊❤
@louidaniel994426 күн бұрын
Nmekumoyo asee❤
@hk_ballers25 күн бұрын
We all love this team 💚
@mwajayhaxxan550726 күн бұрын
Allah akawaongoze wapambanaji wetu,, ukawe msimu bora ndani kwa league ya ndani na kimataifa. Kila la kweli wananchi 💗💗
@anonziatamrema26 күн бұрын
Amina
@HusseinJumahussein-lf1xk26 күн бұрын
Familia ya furaha💚💚💪💚💚💪🔥🔥🏆🏆
@julianasimon551825 күн бұрын
Mi nimependa yanga kuiongezea thamani nchi yetu, kutokutoka nje ya nchi, walianza kina diamond kutoenda kushut video nje, sasa kambi pia hapahapa, ahsante rais wa yanga Mungu akuweke💚💛💪
@andersonbruno625525 күн бұрын
Kila la heri young Africans kwenye mandalizi na mazoezi kuelekea msimu ujao Hawepo ata mmoja kumia amen Daima mbele nyuma mwiko 🔥🔰🇹🇿💯
@AmaniOmari-ev2gu26 күн бұрын
Yanga bingwa teeeena❤❤❤❤❤❤❤ mpaka 2030
@AhmadSahabu26 күн бұрын
Hadi nashindwa nifurah kwa njia gani big up sana
@chieframadhani497626 күн бұрын
Baba karib.🎉kwa wanainchi utanenepa baba kunaraha zote
@EvaristJosiah26 күн бұрын
Chama ameanza kung'aa kweli yanga maisha mazuri
@DanieliMzirai26 күн бұрын
Mmh umenichekesha 😅😅😂
@user-ic8oj1fy7q26 күн бұрын
Keki kumi na saba si mchezo 😂😂😂😂😂
@AmanaAmos-hv3yz26 күн бұрын
Hahahaha ❤❤
@user-qn1ot2bx8b26 күн бұрын
Mamae kocha ashaanza kumpa madini chama
@IsaacNkonu25 күн бұрын
Hahaha wapinzan wajinyonge
@HusseinJumahussein-lf1xk26 күн бұрын
Yanga sc bingwa🙏🙏🙏🙏🏆🏆🏆
@SadajumaJuma-tu2dx26 күн бұрын
Nice
@MohamedibakariBakari26 күн бұрын
Nimeuona ulafiki wa chama na msheli balaa
@SIKUDHANISHIRINITZ26 күн бұрын
Yani wachezaji wanang'ara adirahaa🎉 naipenda sana yanga yangu jamani❤❤
@brightontheogenes509326 күн бұрын
The Biggest team in AFRICAA Nyie hamuogopiiii....
@Purity-l2v26 күн бұрын
😂. Dah tunaogopa
@lucymsheshi587126 күн бұрын
Mambo ni fire pit 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@OmaryzingZing-jd3xm26 күн бұрын
Nawatakia maandalizi mema Timu yangu ya Yanga tuchukue makombe yo tutakayo shiliki Biidhinila by Ronaldo Jr apa flom Bagamoyo❤
@PaulinaAndrea-tk4of26 күн бұрын
❤❤
@OmaryzingZing-jd3xm25 күн бұрын
P1 kazi kazi
@ShafiiHungo25 күн бұрын
Asante jeshi letu Mungu akupeni afia njema amini toka zenji
@kisaveryraphael43226 күн бұрын
Alooh yanga likes apa✅
@binmohammed717126 күн бұрын
Ligue iyanze naona Makolo washaanza kunenepa
@zeddymourice424926 күн бұрын
😂😂😂😂😂kwahiyo haitakiwa hata kanyama kaziada kaongezeke?
@nehemiakiswaga181926 күн бұрын
😂😂😂😂😂😊
@user-zs4qz4wm2n26 күн бұрын
Umetutabilia mazuri ...ni mwendo wa kunenepa tu zamu yenu kukonda uto😅😅
@mamboshepea888826 күн бұрын
@@user-zs4qz4wm2n Yanga kuna raha jamani...hadi chama katakata😅😅
@yassinchuwa882426 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@LightMeck26 күн бұрын
Chama na gamond 💛💛
@veronicapius347626 күн бұрын
Tulimiss haya mambo😊😊😊
@Purity-l2v26 күн бұрын
Umeona eee❤
@user-ql6hg7fy9p26 күн бұрын
Hakika Yanga Sc ni familia moja kubwa Duniani inayotuleta wote pamoja, umoja na upendo ziwe ndani ya timu yetu daima, kwa kila hatua Mungu awe pamoja na timu yetu.
@naliakafatuma987026 күн бұрын
MUNGU ni mwema hongera Sana nyote kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
@safiaothman750626 күн бұрын
Mashallah❤❤
@MeryFrancey-fs4qm24 күн бұрын
Naipenda yanga na naitakia msimu mwema one day nataman niitumikie tim yangu from kigoma
@bravoremy26 күн бұрын
Yanga 🔥🔥🔥
@Cuteeeee47726 күн бұрын
Tuliorudia kuangalia zaidi ya mara moja tujuane hapa 😂😂🔰💛💚
Wanangu yanga nimetoka kuangalia club bingwa ulaya kuna vitu vingi vya kujifunza ,nawaaminia daima mbele,watoto wa jangwani.muhimu mapambano yaendelee zaidi ya tulipoyaacha,team work ndio njia ya mafanikio ...love u yanga.
@zaynabhabib77026 күн бұрын
Mungu ayongoso yanga msimu ujao iwebora ndani na nje hongera sana aziz k kuendelea kubak yanga
@pambaboniface119926 күн бұрын
Asha Ngedele wanakifa 10😅
@laizerlstvchannel26 күн бұрын
Much ❤️
@levislwamba569526 күн бұрын
Nawatakia kila la heri kwa msimu huu uwe msimu wa.mafanikio makubwa sana my best team in Africa , nawafatilia sana nikiwa nyumbani kwangu marekani,
@angelathanas599326 күн бұрын
Team ya ushindi💚💛🔥🔥
@nelsonbenitho805025 күн бұрын
My lovely team ever
@DaudiIpyana26 күн бұрын
I love you yanga❤❤🎉🎉
@user-er1dk6zj6u26 күн бұрын
Mpaka raha Yan 🍀🌼🍀🌼
@cchuwa698026 күн бұрын
Familia ya yanga 🧡 inaishi kwa upendo sana
@Sumamnazalety26 күн бұрын
🎉GooD luck young african
@georgesamwelchacha768025 күн бұрын
That is a real meaning of team
@Emanuelimiyonjo24 күн бұрын
Yanga tamu💛💛💚💚🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
@InnocentArchery-zi6vu25 күн бұрын
Yanga bingwa
@JamesJamesphares-db3uh26 күн бұрын
Usajili tulio fanya uko vizuri sana naipenda yangaa❤❤
@JumaMngumba25 күн бұрын
My team🎉 daima mbele nyuma mwiko💚🖤💛
@mningoiman991626 күн бұрын
Yanga raha saaaanaaa hiyo ndio daima mbele nyuma mwiko hiki kikosi mwaka huu kuna mtu atakimbiza timu uwanjani
@victornzebele399026 күн бұрын
All the best my team🔰🔰🔰🏆🏆🏆🥇🥇🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@changigejuma747926 күн бұрын
Noma sana
@DejacoDejoh26 күн бұрын
Yanga ni timu kubwa Sana na msimu hujaaao sijui😂😂❤❤❤
@BARAKAMADUHU-nf1kr25 күн бұрын
Good kudadeki anachoelezewa chama niupasuaji wa odi ya akina mama
@eliudhezron18126 күн бұрын
Wakwanza leo 🎉🎉🎉🎉
@JohnMkumbo-e4e23 күн бұрын
Nimeipenda hii
@daudimichael733826 күн бұрын
Yanga inaipa hadhi kubwa sana nchi na ligi yetu Africa
@neemadavid758725 күн бұрын
Kwan huyu n chama au macho yng jmn❤❤
@Antelius-ew6it26 күн бұрын
Hadi raha sana 🙏
@user-mb2ln1et5w26 күн бұрын
Kwahyo Tena chama anavaa jezi no 20
@RashidAhmad-op9yi26 күн бұрын
Tuko wengi wananchi daima mbele nyuma mwiko 💚💚💚💚💚
@Togolay25 күн бұрын
YANGA 4 LIFE
@suzan420025 күн бұрын
Hivi mmegundua sahv video zetu zinafuatiliwa sana
@ommykiss704925 күн бұрын
Yn kila nikimuangalia chama natabasam peke yng😊
@NyemoLucas25 күн бұрын
The club above all.
@ArnoldRwegasira-hp9gt26 күн бұрын
All the best champions
@mariaerenest563226 күн бұрын
Kumbe chama ni hesamu boy walimtesa Sana kolo
@neemadavid758725 күн бұрын
Umeona hesamu wa maan kabisa makolo hawajui kutunza kabisa😂😂😂❤
@user-fb9wp5xe8w24 күн бұрын
Adi raha
@petersynto204326 күн бұрын
Viva mwananchi chama langu ❤❤❤
@daudtegemeo25 күн бұрын
Walifanya vizuri kabisa
@user-em2sd9tm1n26 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉maua yenu mastaa wetu
@johnjames-pw1dp25 күн бұрын
Wananchiiii 👍👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💚💚💚💚💚🏆🏆🏆🏆🏆
@user-cv4yi5hz9b25 күн бұрын
Master gamondi🎉🎉🎉🎉💚💚🤩🤩💚🏆💪🏿✅
@user-nn9xj3jd1v26 күн бұрын
Good tem 🎉😂❤
@RamadhaniMangwira-s6w26 күн бұрын
Nakubali sana chama kubwa yanga
@mikwilemyovela338225 күн бұрын
Upendo kwetu❤❤
@josephchuwa120626 күн бұрын
Gamond na Mwamba wana agenda gani😂😂😂
@abdullahhashimu238026 күн бұрын
Huyu yao yao ni noma sana saninaaa
@fahadfahmy26 күн бұрын
Barcelona yabongo ✌
@williamlilangala782626 күн бұрын
Daa hili jesh noma
@user-wp4fc6tf8f26 күн бұрын
Jamani raha 🔰🔰🔰🔰🙏
@immaknight441425 күн бұрын
Fitinessss 😅😅😅😅😂😂 daima mbelee nyuma mwikooo
@emanuelyngoi444026 күн бұрын
Good🎉🎉🎉
@ALCADOJAMES26 күн бұрын
Mm mwanasimba naomba wanasimba tujitoe mapema ligi kuu la sivyo tunakuwa magori kama mvua ya Hanang😅😅😅😅
@frida-oi6kw25 күн бұрын
😂😂😂😂
@dahelahmad633126 күн бұрын
Wachezaji wote wa YANG'A watoke TIMU LKN Kama rais wa mahiri engineer Haris bado yupo Yanga naamini TIMU Bado Moto ule ule.
@user-tf2kr5hv7z26 күн бұрын
Vzr jesh le2 la wananch
@RamadhaniMangwira-s6w26 күн бұрын
Halafu haka kawimbo kanamatumaini makubwa 😄😄kanaitwaje jamani