JESHI LA TANZANIA LATOA TAMKO KUHUSU TETESI ZA KUMPINDUA RAIS SAMIA

  Рет қаралды 126,760

HABARI 24

HABARI 24

11 ай бұрын

Connect with Us| Tufolow
Twitter👉 / assenga_online
Instagrma👉 / assengaonline
Tiktok👉www.tiktok.com/@assengaonline...
Telegram 👉 / assengaonline
TUNAKUPA HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA VYANZO VYA KUAMINIKA DUNIANI KOTE
REPORT TO US
If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright, email us assengablogtz@gmail.com

Пікірлер: 270
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 11 ай бұрын
Apinduliwe leo leo mungu awasaidie wapinduzi wafanye kwa amani tu
@abubakaradnan4689
@abubakaradnan4689 11 ай бұрын
Mkita msitaki Samiha Suluh Hassan ni Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania mpaka 2030
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 11 ай бұрын
@@abubakaradnan4689 hilo liko wasi kama ww ni mungu lkn km ww ni number km zingine akunahaja yakujibishana na ww ata magu alikufa yy ni nani mpaka 2030 ata hii 5 si ajabu asimaliza kwn ni mungu ajuaekesho
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 ай бұрын
@@abubakaradnan4689 wewe sio MUNGU upange
@bright115
@bright115 10 ай бұрын
Hakunaga mapinduzi ya Amani.
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 8 ай бұрын
Hakuna mapinduzi ya amani
@thomaselias1424
@thomaselias1424 11 ай бұрын
Ukweli nikwamba raia hatupendezwi na uongoz wote kiujumla
@emanuelnisetas7510
@emanuelnisetas7510 Ай бұрын
Mm naunga mkono hii serikali tumeichoka
@emmanueltamnaay5781
@emmanueltamnaay5781 11 ай бұрын
Kazi ya jeshi letu nikutetea rais tu,wamesahau kutetea wananchi.
@zulungconde1647
@zulungconde1647 Ай бұрын
Mpuuzi wewe.. Hoja yakipumbavu pungwani wewe.
@aviationwonders7575
@aviationwonders7575 11 ай бұрын
Kutoa bandari kwa waheni bila kikomo ni uharifu pia, kuwataka Watanzania waombe ruhusa kwa DP World juu ya mali zao ni uharifu na uhaini UHAINI NUMBER MOJA.
@bonabonala5559
@bonabonala5559 10 ай бұрын
mungu tusaidie mama wa kambo apinduriwe tuongozwe kijeshi tujuee moja tu kuriko ma ccm haya mungu bariki tupate katiba mpyaa kabra ya uchaguzi mpyaa aamina
@maheitumdintunya2928
@maheitumdintunya2928 Ай бұрын
unacho kiongea unakijua kweli wewe🤔🤔
@HusenNdwata-yb6nw
@HusenNdwata-yb6nw 11 ай бұрын
Polis wa Tanzania ni waoga mnoo
@masterhptv4065
@masterhptv4065 11 ай бұрын
Mungu atawaadhibu wote mnaojua ukweli nanasimama na wapigaji wa nchi hii
@wazirimakua12
@wazirimakua12 11 ай бұрын
Ushadanganywa na chadema
@BenjaPas
@BenjaPas 9 ай бұрын
@@wazirimakua12 wew ndo umedanganywa na maccm
@mlawayusuph8842
@mlawayusuph8842 11 ай бұрын
Mnaangaika na nafsi zenu tu tena mtakuja jutia baadaye
@molamahago
@molamahago 11 ай бұрын
Hatuogopi kufa, wanao piduliwa sio watu 8:04 8:04
@wazirimakua12
@wazirimakua12 11 ай бұрын
Acha uongo ww huogopi kufa.. Umejifungia ndani.. Nenda ikulu pale kadai haki zako hahaha
@aviationwonders7575
@aviationwonders7575 11 ай бұрын
Polisi nyie mnaish kwenye nyumba duni, maisha ya shida madawa hospital hamna, bado mnakubali ujinga huu. Mnaona sawa wajukuu wenu wakitumikishwa kama watumwa? Kwanini vijana wetu wasiwezeshwe? Watu weusi kweli matatizo mpaka awepo Mzungu auMzungu kukusanya pesa bandarini. Ili si suala la kutngeneza madawa au kwenda mwezini😭😭😭😭😭🥱
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 11 ай бұрын
Kwani huyo Polisi ndio atatisha watu? Huyo si Raia tu? Kashapigana vita wapi?? Apinduliwe tu hata saa hii tutasherehekea sana
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 ай бұрын
Hakuna wakupindua wacha awaendeshe mzobe mzobe..mbn cc znz mnatuletea marais kutoka bara
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 9 ай бұрын
Nadhani mwandishi kuandika kichwa cha habari hii hivo kuna kitu anakitafuta ,mi binafsi sidhni kama kuna matamshi yoyote yaliyotlewa na Jeshi la Tanzania labda ni jeshi la polisi Tanzania.
@surusuru1994
@surusuru1994 11 ай бұрын
Huyu mam hatumtaki kabisaaa 2025 akalee wajukuu
@wazirimakua12
@wazirimakua12 11 ай бұрын
Wewe ndo humtaki.. Sio useme hatumtaki.. Fikra ndogo kabisa yan ubongo wako mchanga mno..
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 9 ай бұрын
MAMA UONGOZI UMEMSHINDA KABISAAAA ANAO WATEUA NIWEZI,WANAIBA WIZARA HII WANAHAMISHWA WIZARA NYINGINE,WAZIRI WA FEDHA KAKOPA PESA WALIPAJI WATANZANIA,MAFUTA YANAZIDI KUPANDA,NAKILA KITU KINA PANDA BEI,HATA WAKURUGENZI WANAIBA KILAMTU KWENYE WIZARA ANAIBA U ZURI WAKE WEZI HAWAFUNGWI HIYO NDIYO CCM CHUKUA CHAKO MAPEMA BILA KUFUNGWANA.
@hamisimhenwa7082
@hamisimhenwa7082 3 күн бұрын
Nchi yetu tuilinde wenyewe na pale unapokosea na kutoa maamuzi ambayo hayajaupendeza umma basi rudi nyuma kuusikiliza umma. tunao wataalamu wa kila aina hakuna haja ya kusumbuana kwenye kuijenga nchi yetu. na kama kuna shida itatuliwe mara moja. isije kutokea kukatokea kilichokibaya.
@user-gq6vz6we3m
@user-gq6vz6we3m 11 ай бұрын
Mali za wananchi zinachezewa igp anawalinda hawa waliochukua Hela ya mwarabu hapatakalika wamrudishie tu mwarabu Hela yake serikali imedhamilia kuipoteza amani iliyopo
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 5 күн бұрын
Mnasikia ham yakuuwisha watu kama congo mama Samia anawabeba vzr bila vurugu kiukweli mie ni mrudiye lkn nasikiya naumiya kweli tena machozi yananitoka kbs
@jeremiatitus4414
@jeremiatitus4414 11 ай бұрын
Mama umekaa kimya sana ktk hili mbona linataka kukuharibia sifa ya uongozi wako? Kwa nn uingie kwenye historia ya machafuko kwa Jambo lililo ndan ya uwezo wako? Msitishane kaeni chini nchi hii ni yetu wote askali na raia , nawaombea Mungu wape hekima ,,,🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭😭😭
@emmanuelmwakyoma5746
@emmanuelmwakyoma5746 11 ай бұрын
Igp ulisha chelewa wananchi tulisha andamana tayari mbona??? Kwani hamsomagi coment za watu?? Kilichobaki ni kutuweka ndani, Hata police wameandamani mbona
@masterhptv4065
@masterhptv4065 11 ай бұрын
Viongozi hawa ndo wenye makosa, hakuna aliyetamka kupindua serikali zaidi ni maandamano ya amani kupinga mkataba, kwa nini wasijibu Hilo???
@babuloliondo74
@babuloliondo74 11 ай бұрын
makama imesha futakesi sasa munatakanini amuamini makama sasa mandamano yanini ugaiditu mama tiandani mbwa ao
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 8 ай бұрын
Nyerere alisema serikali inayo puuza wananchi ck moja itawakuta Ccm waizi wanaona Nnchi kama ya Baba yao, Uwezi kuuza lasilimali za Nnchi viongozi wa Africa manyumbu
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 11 ай бұрын
Kwakuwa umepewa manyota lazima useme ivo kutetea tumbo lako
@beriasmasanga6859
@beriasmasanga6859 8 ай бұрын
Utaishi kwa laana nzito sana we,achana na utetezi wa mafisadi,tambua uliapa kuwafanyia nini watanzani na mali zao na raslimali za nchi kwa ujumla
@vicentgodda3357
@vicentgodda3357 11 ай бұрын
Amani haitapatikana nchiy haina amani Watu watulivu hata maji ya Kisima yakitupiwa ma we huchafuka
@JohnpurkeiLaizer-kq7he
@JohnpurkeiLaizer-kq7he 10 ай бұрын
tunaomba mungu,aguze jeshil letu tukufu wanqalie kwa jicho, tatu malalamiko,ya bandari letu,Kwa masilahi ya taifa letu.
@simonmartin5358
@simonmartin5358 11 ай бұрын
Kwenye hili tuacheni kubeza. Rasirimali zetu ni uhai wetu. Tusipelekwe mkataba gani usiona ukomo. Tuamkeni
@PetroMadada
@PetroMadada 4 сағат бұрын
Ukweli huyo mama hazi ya kulea watu wazima imesha mshinda labda kulea watoto
@mashannapapaaa9582
@mashannapapaaa9582 10 ай бұрын
Wewe lizikanamushahalawako usizani tunaamani wakati tunaumia achamatisho wote nibinadamu kamawewe wegi walijiamini hatazaidi yawewe laki no leohii hawapo huwezi ukawatisha watu kutetea haki kisatu wewe unalipwabmusgahalamunene mukipuzia maoni yawananchi mutakujaukimbie Tanzania munaojiona nimugu
@HuseniRashidi-ms7nz
@HuseniRashidi-ms7nz Ай бұрын
Tukubaliane2 na uhalisia wa maisha yalivyo kwa sasa kwasabab haya yameletwa na sisi wenyewe kukubali kuongozwa na alie takiwa aongozwe hakuna nyumba ambayo kiongoz wake ni mwanamke ambayo wataishi kwa sheria na ustarabu hata vitabu vya dini vimekataza kua mwanamke asipaze sauti MN bele ya wanaume
@alphoncemichael6545
@alphoncemichael6545 11 ай бұрын
Huyu nae amelalia upande mmoja.... Tanzania ina viongozi wa hovyo sana..😂😂😂😂😂
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn Ай бұрын
Kwa swala la mikataba ni mbona sana hatukutaki samia umetufikisha pagumu
@user-bx3em9jc6m
@user-bx3em9jc6m 10 ай бұрын
Kwanza ungetetea haki za wastaafu mstafu a analipwa mafao mil.16 miaka 30, penshen ya mwezi laki 2 umekaa. Kimya! Huoni aibu wakati jwtz mkuu wao katetea wake
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 11 ай бұрын
vimeamka hivi viteteautumbo
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 ай бұрын
Ujinga tuu waisilamu mnafikili kwakutumia. Mikundu
@user-ev2sg1dy1f
@user-ev2sg1dy1f 10 ай бұрын
Sisi wananchi hatutaki fujo wala machafuko shida yetu tunapinga kuuzwa kwa bandari
@jumaissa9535
@jumaissa9535 9 ай бұрын
Mungu tusaidie Mama wa kambo apinduliwe tuongozwe kijeshi
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 ай бұрын
Weye unajua utawala wakijeshi au upuuzi2
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 11 ай бұрын
Watanzania Bwana kipindi Cha magufuli ohooooo anatupelekesha kaifanya nchi familia ohooo kajenga chato ,ohooo anaukabila mungu akaona isiwe tabu akamtoa apumzike she tunaemtaka Samia Tena ohooo tumpindue ohooo anauza nchi Bora tunyamazetu kuliko porojo
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 11 ай бұрын
Kuna watu kaka wana tamaa ya madaraka,nakumbuka wakati Magufuli ananunua ndege walisema manunuzi hayakuidhinishwa na bunge,leo hii wanamsifu.
@simonmartin5358
@simonmartin5358 10 ай бұрын
Puuz ww
@secelelamatonya3179
@secelelamatonya3179 10 ай бұрын
Hii inaitwa ukiruka mkojo unakanyaga mavi, Mungu anatamani tuwe na macho ya kuona, naamini kwa sasa tumeshajua mema na mabaya, maana tulipewa mema kwa sababu hatujui mabaya basi mema tukayahesabu mabaya, na sasa tumeingia kwenye mabaya yenyewe kuna jambo la kujifunza kabla hatujaletewa mwingine. Hili ni funzo kubwa sana kwetu, tufungue akili zetu kwa wakati mwingine
@ChejoBuchejo-mm8bb
@ChejoBuchejo-mm8bb 11 ай бұрын
Hata mtoto wa vijidudu anajua Hana Rais Ila MTU aliekalia kiti Cha Rais
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 11 ай бұрын
Huyu mwehu jamani. Risasi zimetikisa ubongo
@hamisimhenwa7082
@hamisimhenwa7082 3 күн бұрын
Kama nchi inaumia basi tusikubali iumie na kama tutakubali basi watakaosikia hayo maumivu ni sisi wenyewe. tuwe makini kwa kila uamuzi
@user-pv3rj5yk5n
@user-pv3rj5yk5n Ай бұрын
Jamani tusifanye mzaha hii fursa tuliyonayo tuilinde Watanzania wenzangu hayo munayoyafikiria hayawezi kutufikisha huko mnapotaka tufike tusikubaliane na hiyo hali Amani yetu ndio ngao hemu tuangalie baadhi ya nchi ambazo ni jirani tu je zinakalika je watu wana amani tusifike huko tutakuja kujutia sana hii amani ni kitu cha thamani mno wenzetu wanataman kuwa nayo.
@joachim5650
@joachim5650 11 ай бұрын
Mie ntaandamana vizuri kabisa
@hamadnkeyemba6300
@hamadnkeyemba6300 11 ай бұрын
Utapigwa virungu. Tulia acha mama apige kazi.
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 5 күн бұрын
Mungu walaani apo watu wanataka kuharibu amani Yao mbona mko zenu vzr watanzania??
@user-eh2fi9ds5h
@user-eh2fi9ds5h 16 күн бұрын
Kwanin jaj huyo asiachishwe kaz kwan katiba inamluhusu kufanya maamuz ya utatuaj migogor atafute best solution so kwa mazoea afanye kaz
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 Ай бұрын
Mama Samia anajali wafanyakazi mishahara imepanda sana kipindi chake Mungu ambariki sana
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Ай бұрын
Hilo la bandar n Rohooo ya Tanganyika baada ya Egypt n Dare salaam,in Africa,lkn Wa Tanganyika tunakufa kw umaskin, petroleum sukar matbab juu maisha magumu tunadaiwa songesha huku nipigetafu,wao wana vx, za M 500,wa,wapunze vat, Tozo petroleum sukar matbab,zishuke au wizara zipunguzwe,n mzigo kw Raia, Raisi KIKWETE, alipunguza wizara ndiomaana tulitesa,
@ramasulutan3068
@ramasulutan3068 11 ай бұрын
Shoga t uyoo
@denisjoel1592
@denisjoel1592 11 ай бұрын
Naunga mkono rais atoke hatufai kabisa
@abdulyabdunuru1476
@abdulyabdunuru1476 11 ай бұрын
Bhana eeh msitutishe hata sisi tunaweza vaa hizo nguo sisi tunataka bandari yetu tu baas hizo habar akauze zao huko tunechoka bhana Kila k2 nyie mnatetea kwan nyie hamuoni au hamuishi nchi hii
@lothanathanael2286
@lothanathanael2286 7 күн бұрын
Tunakatwa sh 2000 Kila mwezi kil ukinunua umeme bila taarifani huo ni unyang'anyi serikali inatunyanyasa Sana watanzania tuamke.
@ishipalemypasco2567
@ishipalemypasco2567 11 ай бұрын
Apinduliwe ndio ingekua ni serikali ya kusikiliza wananchi wake ingesitisha huo mkataba.
@isaliisu3408
@isaliisu3408 11 ай бұрын
Bandarini unaenda kufanya nini huna hata sondano
@ishipalemypasco2567
@ishipalemypasco2567 11 ай бұрын
@@isaliisu3408 we ndo moja ya mikundu hapa tz
@PetroMadada
@PetroMadada 4 сағат бұрын
😂😂😂 tunalia tunalia kwasababu mzazi
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 ай бұрын
Askari mteteni sana huyo Samia anatuuza wote na nyie mnauzwa huku mnamtetea jipendekezeni sana na MUNGU atawalipa
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 11 ай бұрын
Hawa mapolisi ni mashoga siku hizi wapimwe akili na matako yao, vibaraka kazi uwongo tu. Mwaka huu mtayuuwa wengi nyie madhalimu ndio maana video zenu za kufirana zinaonekana mitandaoni
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 11 ай бұрын
Iko siku itafika maraisi vichaa wata toka wote African kimapinduzi waache siku itafika
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 11 ай бұрын
Mimi nadhani hekima na busara ni muhimu zaidi hasa kwa wakati huu. Ni muhimu sana kila upande usikilizwe ili kumaliza mvutano huu unaoendelea.
@laurnyandwi-sb1gu
@laurnyandwi-sb1gu 11 ай бұрын
Samia apunduliwe.,nipo tayali kujiunga na jeshi lakumpindua huyo muuza mali z wananchi 💪
@wazirimakua12
@wazirimakua12 11 ай бұрын
Nakufwatilia.. Tutakupata tu
@isayashayo4777
@isayashayo4777 10 ай бұрын
​@@wazirimakua12 😅
@ndilibangokaruhawe9335
@ndilibangokaruhawe9335 11 ай бұрын
Hatuna mahakama
@mohamedmtulia3691
@mohamedmtulia3691 10 ай бұрын
Hawa wanao jifanya watetezi wahii nchi wanafki2 nao vibaraka vilevile wawazungu
@MpwataOmari
@MpwataOmari Ай бұрын
Nikweli hawawote ni mawakala wa papa😢.
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 9 ай бұрын
Tunapinga kauli ya IGP WAMBURA Tanzania Sio AMANI NENDA Ngorongoro ukaone kinachofanyika hakuna AMANI.
@molamahago
@molamahago 11 ай бұрын
Hatarii sana nanyie polisi mnatetea nini tuna buluzwa inamaana hamwoni 😂
@user-ch6qv3wf6t
@user-ch6qv3wf6t 10 ай бұрын
Tunajua maaskali wote ni ssm tyuu
@babuloliondo74
@babuloliondo74 11 ай бұрын
siasa mchezo mchafu iyo kesi ario pereka makamani nani nyinyi wenyewe sasa mnapiga kerere yanini mama fungia vyama sasa wanashiba mbwa awa
@user-ts1pe5fw6y
@user-ts1pe5fw6y 10 ай бұрын
Ukweli uliopo tusidanganywe inchi jaman imewashinda
@stevensosipita
@stevensosipita 10 ай бұрын
MBONA HIZO HOJA HAMJIBU NA BADALA YAKE MNATUDHARAU WATANZANIA ?
@abuuluqmaana8444
@abuuluqmaana8444 11 ай бұрын
Wawa danhanye hao wapuuzi wenzao lakin mtu mwenye akili hawawez kuwasikiliza wehu kama hawa wanawadanganya watu kua wanatetea maslahi ya watu kumbe wenyewe wanapigania ugali wao
@stephendilala-fn3ho
@stephendilala-fn3ho 9 ай бұрын
Kwan na we afand ulipew kitu kidg hatutanuamaza bandar iend wananch wawe watulifu Aman gan ipo tena mbeya mnahamish watu lazim ngorongor loliondo sa Kuna Aman gan yena nchi hii
@AminiKanda-vc1pn
@AminiKanda-vc1pn 13 күн бұрын
Tujue kumba tanzania sio nchi thamani ila kisiwa cha uvumilivu
@user-xx9jl9lv6r
@user-xx9jl9lv6r 11 ай бұрын
Tuachieni bandari yetu
@saimongilala8938
@saimongilala8938 11 ай бұрын
Mungu awatangulue waadamanaji
@aviationwonders7575
@aviationwonders7575 11 ай бұрын
Aksante we kama vituu vyako havitapelekwa utumwani uwe na amani, kula bata
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 2 ай бұрын
Ubongo wa huyu polisi ukapimwe uwezo wa kufikiri. Ni wapi tamko la maandamano limeeleza lengo ni kupindua serikali!! Kuandamana sio kosa la jinai. Bila shaka anaona AIBU kwa maandamano yanayofanyika nchi nzima kwa amani.
@kelvinhaule-ot2yr
@kelvinhaule-ot2yr 10 ай бұрын
Pambania tonge Mzee bandari Sio mali ya mtawala nyinyi ndiowahaini mnaosaini mikataba isiona miguu wala tumbo hiyo nihakiyetu sisi wazalendo tutakufa keajili ya manufaa ya vizazi vyetu na hata vizazivyenu nitawa shangaa Sana kukandamiza ukweli huyu mtawala hatadumu naatawaacha mmepauka borayetu sisi tutakuwa wendazetu hatuna Baya na hatutaoza mkijua
@isayamgazaTZ
@isayamgazaTZ 11 ай бұрын
Kazi ya jeshi la police ni kulinda raia na mali zao, sasa mbona mali za raia zinachewa halafu wanaozichezea wanaungwa mkono na hao hao police?!! Hilo mmekiuka jeshi la police, na hakuna lenye mwanzo likakosa kua na mwisho, huyo mama angepinduliwa tu na hata kunyongwa angenyongwa tu, ni bola tuwe maskini lakini mali zetu tunaziona na tunajiamulia wenyewe kuliko kuamuliwa na mtu mmoja anayetoka visiwani huko, ahonga bandali na mnaenda kujenga visiwani huko,, hamna uwekezaji wa myaka 💯 hata kidogo, muwekezaji anaongezewa myaka mingine kutokana myaka ya mwanzo imeishaje baina ya muwekezaji na mwenye mali,, na wakiingia mkataba wa uwekezaji imezidi sana ni myaka 10, kwanza, ikiwa atahitaji nyongeza tena ni hapo baadae baada ya kumaliza myaka hio 10 ya mwanzo kama ameimaliza kwa ufanisi mzuri,,
@wazirimakua12
@wazirimakua12 11 ай бұрын
Mali zipi zimechezewa... Umeshachotwa kifikra na hao jamaa zenu wa chadema..
@user-gt9zl8gs4x
@user-gt9zl8gs4x 10 ай бұрын
Mvuta banging mkubwa wew rud kijijin kwen mjin shule
@BenjaPas
@BenjaPas 9 ай бұрын
@@wazirimakua12 wew ndo umechotwa mpumbavu hajui kama ni pumba.
@BenjaPas
@BenjaPas 9 ай бұрын
@@user-gt9zl8gs4x wew ndo mjinga
@Hasnspop
@Hasnspop 11 ай бұрын
Mama SAMIA MAMA SAMIA MAMA SAMIA NAKUITA MARA TATU MAMA Lete Dp wold
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Ай бұрын
Bila katiba haki hakuna,lbda Allah atusaidie,w Tz,
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 11 ай бұрын
Tunavyompa Rais mlaka ni kwamba yeye ndio tumemuamini kutuongoza na anawashauri wake, sasa oweje sisi ndio tumekuwa washauri? Tena tunalazimisha 😅😅
@user-mh9hj3lx7q
@user-mh9hj3lx7q 2 ай бұрын
Uyo samia atukumchaguwa sisi atumtaki
@johnchanzi610
@johnchanzi610 11 ай бұрын
😂ukome mwenyewe
@raismalingumutz8473
@raismalingumutz8473 11 ай бұрын
Hakuna haki
@masterhptv4065
@masterhptv4065 11 ай бұрын
Natamani Raisi angewasikiliza watanzania na kusitisha mkataba huu
@abduljuma7807
@abduljuma7807 11 ай бұрын
Nyie polis waongo mbona mlipo danganyw kuhusu waislamu kuwa ni magaidi kwa uwongo mkaingia kwa nguvu Hawa wanasema kabisa tutapindua serekali na watu mnawajua mbona hamuwakati kunakiti kipo nyuma ya pazi kawakamateni
@wazirimakua12
@wazirimakua12 11 ай бұрын
Wewe unajua nn kuhusu mkataba au bendera fuata upepo
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 Ай бұрын
Tumbo
@KijahboyChita
@KijahboyChita 2 ай бұрын
Sasa ss wananchi tukitaka kuandama kwajili yakumpindua huyu rais tuandamane kisasa yan kutumiana meseji kwenye mitandao yote kwajili yakumpindua huyu 😂
@allysimu6856
@allysimu6856 11 ай бұрын
Msisubutu kabisi nitalipiza kisasi kwayeyote atakaejalibu mapinduzi
@RehaniKharidi-st4oe
@RehaniKharidi-st4oe 11 ай бұрын
Hi mipinzani inavuta bangi
@user-gt9zl8gs4x
@user-gt9zl8gs4x 10 ай бұрын
Rudin kijijin mlikuja mjini kufanya nini
@GeofreyMwandanji-ot2lf
@GeofreyMwandanji-ot2lf Ай бұрын
Tunaomba iweivyo mikopo kilasiku wananchi bado tunahali mbaya
@lothanathanael2286
@lothanathanael2286 7 күн бұрын
Kuuzwa kwa bandri imeongeza ugumu wa maisha
@emmanueltemu3606
@emmanueltemu3606 3 ай бұрын
Mama Samia ,,Kama as watanzania tumeshindwa kuongoza bandari bs tumekwisha ,,maeneo nyeti tote yako kwa wazungu ss tumekwisha ,,,na hiyo mikataba iwe wz kwa wote ,,baby mangu haligoma ule mkataba wabagamoyo ,,hakasema mtu mwenye hakili timamu hawezi kusaini mkataba huu Sasa kulikoni nyie
@DaudiHamisi-un2uu
@DaudiHamisi-un2uu 11 ай бұрын
Polisi ameongelea upande mmoja
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 11 ай бұрын
Police za michongo unakua Police watu wenu wakubwa ili ulinde ujinga yao
@YonaMathiaJohn
@YonaMathiaJohn Ай бұрын
Okay
@GeofreyMwandanji
@GeofreyMwandanji 2 ай бұрын
Mngu atusaidie huyumama nihatali kwataifa hili
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Ni nyoka tena koboko
@ommyzubery8358
@ommyzubery8358 11 ай бұрын
Ndugu zangu mbona mmefikia mbali kiasi hicho Neno Mapinduzi mnafikiria ni jambo la kimzaha hebuni oneni I mfano mdogo wa hapo Kenya Hali ya kutokuwa na amani?
@sanda960
@sanda960 11 ай бұрын
Kama hutaki kuheshimu utawala wa Sheria katika nchi hii utafute nchi ya kuishi
@medsonulendo4221
@medsonulendo4221 11 ай бұрын
Hapo kuna jambo halijaeleweka Kupindua Rais kwa wananch ni jambo lisilo wezekana maana wananchi sio.jesh na hawana slaha yoyote labda kue na kundi ambalo limetengenenzwa na hawa magharibi ambao migogoro ilio mingi wanatengenexea kwa kutuchonganosha tugombane wenyewe kwa wenyewe kwa maslah yao
@mohamseyf6243
@mohamseyf6243 11 ай бұрын
Mkataba unakipengele cha marekebisho hivyo unaweza kurekebishwa,sasa hawa wanasiasa wetu hawataki marekebisho bali wanataka maandamano, Watanzania👁️?
@YahyaHashiru-ze9vi
@YahyaHashiru-ze9vi 7 ай бұрын
Ao waloo wa madalaka tanzania nchi ya amani lispect afande
@partysekemi5
@partysekemi5 9 ай бұрын
Walisema jeshi la polisi kazi yake ni kulinda raia na Mali zao ila imegeuka kuwa protection ya wahujumu uchmi na wanasiasa wenye nia mbaya na taifa letu pamoja watrifu wa Mali za uma
@EnickoAlfredy-di7oe
@EnickoAlfredy-di7oe 11 ай бұрын
Eeh kazi tunayo kunasiku kuna watu watalia
@bensondaud3372
@bensondaud3372 11 ай бұрын
🧐
@ImaiJuna
@ImaiJuna 4 күн бұрын
Sasa picha ya putini inafanya nini hapo achen ujinga
@AbubakariMakoke-kk5kq
@AbubakariMakoke-kk5kq 10 ай бұрын
Hawa wanadhalau mihimili yadora nawako lave hats mitandaon nchi isiwapuuze. Wananiambaya
@alisalimo2861
@alisalimo2861 11 ай бұрын
Wao hukimbilia ulaya hawa nahayo mandamano wao wakae mbele
@user-zu1fq9xv7h
@user-zu1fq9xv7h 10 ай бұрын
Wewe Acha ujinga tutakupeleka mhakama ya kimataifa wewe no kitu kidogo to ujui sheria
@user-bx3em9jc6m
@user-bx3em9jc6m 10 ай бұрын
Wow umeshindwa kutetea haki za mapolisi wako
@sindanojumanne-qr7hb
@sindanojumanne-qr7hb 10 ай бұрын
hatuna raisi tanzania tumekwisha
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 11 ай бұрын
Msishituke viongozi chadema haina wafuasi wakuwashinda viyama viyote hatuwaungi mkono wala msiweke tamaa chadema kwamba tutawaunga mkono tumesha kugunguweni mna udini ubaguzi hamuwezi kutushinda mmeharubu kutia udini ukabila uzanzibary
@HarufaniJagh-bz7it
@HarufaniJagh-bz7it 5 ай бұрын
Ukuu wa mwafrika
@GeofreyMwandanji-ot2lf
@GeofreyMwandanji-ot2lf Ай бұрын
Atuwezi kuwapuza chadema ila tunawapuza nyinyi majiziii
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 55 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 103 МЛН
Jane Muthoni gûcokia cîûria iria aingî mûragia na mîhehû
1:07:56
Wambui wa Mwangi
Рет қаралды 7 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 8 М.
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 55 МЛН