Tumia surat Quraysh kujifungua vifungo vikali vyakichawi au majini, kutunisha chakula, na kupata wepesi katika safari.
Пікірлер: 27
@mrkassim-zw1vy2 ай бұрын
Mashaallah maalim Alla akudumishe katika afya njema tuendelee kuipata faida
@user-rv9vw7in2s2 ай бұрын
Shukran ustadh kwa elimu unayotupatia,, jazakallaahu khair.
@GasoreJuma2 ай бұрын
Jazakallahul kheyr
@shayiatv67262 ай бұрын
Shekh nashukuru Allah akupe maisha marefu elimu zako zimenisaidia sana
@abubacaranli61082 ай бұрын
Shukran Malim Bashir
@hassanbilali1697Ай бұрын
Shekh za kuambiwa changanya na zako. Kumbuka hata mtume wa Allah alisafiri kwa kipando
@user-sr5bw8ro4f2 ай бұрын
Jazakallahu ghairra
@NoorynMody2 ай бұрын
Mtu wa maana sna ❤
@aminakassim83111 күн бұрын
Unapatikana wap
@sulekhan71192 ай бұрын
Nivyema kujiombea duwa rakini ukweli nikwamba mtu ivi ivi hawezi kujitibu ndo maan mungu akaleta watu wenye kitu flani ili wasaidie wenzao
@HusseinAbdullahiHamadi2 ай бұрын
🎉
@chibarmohamed19132 ай бұрын
ahsante sana dr
@aminakassim83111 күн бұрын
Kwa tuliopo nje ya nchi
@user-ui1yo4kz3t2 ай бұрын
MIMI NAOMBA NITOE USHUHUDA JAPO MADA KWENYE VIDEO SIYO HII NAENDA KUSEMA BHN SHKHE WEWE NI KIBOKO KIPINDI CHA NYUMA MWEZI 1 KWENDA WA 2 NIKAANZA MAJINA YA BARAHATIH NA MIMI KAZI ZANGU NI UDALALI JAMANI HAZIKUPITA ATA MIEZI NILIUZA MAGARI MARA 4 KWA MPIGO ILA SASA NIKAJA KUACHA NA MAMBO YAMERUDI NYUMA
@tibafactsonlinetv2 ай бұрын
😭😭😭😭
@user-ui1yo4kz3t2 ай бұрын
@@tibafactsonlinetv NIMEYAANZA TENA SHEKHE HAYA MAJINA NA SAFARI HII SIYAACHI MPAKA NAKUFA
@zuberhamza7852Ай бұрын
Yaani unayasoma tuu au umeyafanyaje
@kassongokittapa7762Ай бұрын
Tunaomba utaratibu uliotumia
@user-ui1yo4kz3tАй бұрын
@@kassongokittapa7762 UTARATIBU UKIZINGATIA KILA SIKU UYATAMKE WALLAH NDANI YA SIKU HIZO AROBAINI HAZIFIKI KILA KITU KINAFUNGUKA
@OstazOstaz-zh2rn11 күн бұрын
Asalamu aleikum mbona hupatikani kwenye cm
@OstazOstaz-zh2rn11 күн бұрын
Na vitabu vinapatikaba wapi Kwa dar
@e_sir8972 ай бұрын
Shukran MWALIMU pia nauliza kitabu Cha muogozo wa Tabibu hakija kamilika?
@tibafactsonlinetv2 ай бұрын
Bado, kikiwa teari nitatoa taalifa rasmi
@hassanbilali1697Ай бұрын
Ushauri tengeneza video fupi fupi zenye ujumbe Kwa kila maudhui
@chibarmohamed19132 ай бұрын
ustadh kupitia video hii naomba marudio ukitaka ujifungue mwenyewe unafanyaje?
@rashadally68712 ай бұрын
Je sura hizi unapo andika unaanza na bismilah au unaandika tu?