JIFUNZE JINSI YA KUANDAA MASHIMO KWA AJILI YA UPANDAJI WA MITI YA MATUNDA

  Рет қаралды 3,543

Frida Homestead

Frida Homestead

2 жыл бұрын

Uandaaji wa mashimo.
Miche ya miti ya matunda kama machungwa, migomba, na milimau hupandwa kwa nafasi ya mita 5 hadi 7 kati ya mche na mche, mita 6 hadi 8 kati ya mstari na mstari, shimo linatakiwa kuwa na upana na kina cha futi 2 hadi 3, kutegemeana na hali ya udongo wakati wa kuchimba shimo udongo wa juu ulio na rutuba na ule wa chini usio na rutuba ni lazima utenganishwe.
Udongo wa juu ulio na rutuba unaweza kuweka kulia kwako na ule usio na rutuba unaweza kuweka kushoto kwako. Hakikisha samadi (iwe imetokana na ile ya ng`ombe, mbuzi au kuku) iliyo iva vizuri au yenye iliyopoa vyema, changanya samadi na ule udongo wa juu ulio weka kulia kwako kisha jaza mchanganyiko huo ndani ya shimo, Shimo lazima lijazwe udongo hadi kutengeneza mwinuko wenye kitako cha sm 50 - 100 na kimo cha sentimeta 10 toka usawa wa ardhi

Пікірлер: 7
@user-xe8rf3uh4x
@user-xe8rf3uh4x 9 ай бұрын
Asante sana
@benamifaustine5392
@benamifaustine5392 2 жыл бұрын
Hatari
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 2 жыл бұрын
🙏
@fidelisCN
@fidelisCN 2 жыл бұрын
Big up madam
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 2 жыл бұрын
Thank you 🙏
@TheMakala21
@TheMakala21 Жыл бұрын
Habari Dada Frida, kwanza nikushukuru kwa elimu unayotoa, naomba kuuliza; unaposema udongo wa juu una maana gani?
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 Жыл бұрын
Asante ndugu🙏🙏🙏. Udongo wa juu ni ule unaoanza kuutoa wakati una Gomba shimo. Huo huwa unarutuba kiasi. Unavyozidi kuchimba chimo kwenda chini na rutuba ndivyo inazidi kupungua.
AINA MBALIMBALI ZA MBOLEA NA MATUMIZI YAKE KWA AJILI YA KUOTESHEA MAZAO
10:10
Kuandaa shamba kwa ajili ya kilimo cha Miti ya Matunda
14:13
ILU FARM
Рет қаралды 1,5 М.
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 177 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Fahamu tofauti zilizopo kati ya kuku chotara aina ya Kuroiler na Sasso
9:11
MITI YA MITIKI YAGEUKA HAZINA KWA WATAWA WA MILIMA YA USAMBARA
13:55
(UMTV) USAMBARA MOUNTAIN TV
Рет қаралды 2,7 М.
KILIMO CHA MIPAINA, (MISINDANO) MITI YA MBAO
28:24
Kilimo Biashara
Рет қаралды 24 М.
NAMNA MBALIMBALI YA KUPATA FAIDA KWENYE UFUGAJI WA MBUZI
10:05
Frida Homestead
Рет қаралды 4,6 М.
KILIMO CHA MAHARAGE: UPANDAJI, MBOLEA NA UTUNZAJI
15:16
AGALUS TV
Рет қаралды 59 М.
MBUZI AU KONDOO???
10:24
Frida Homestead
Рет қаралды 3,4 М.
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 177 МЛН