No video

JIKO LINALOTUMIA UPEPO, LINAWAKA MASAA MAWILI BILA KUZIMA “NIMELIBUNI”

  Рет қаралды 10,758

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

David Kalinga ni mtanzania anayeishi Arusha ambaye amebuni jiko na pasi ambavyo vitu vyote vinatumia upepo,kwa mujibu wake amesema linajazwa upepo kulingana na jinsi mtu anavyotaka kulitumia nakuweka mafuta kidogo ya taa ambapo huweza kuwaka kwa zaidi ya saa mbili bila kuzima.
Kalinga ansema jiko lake lina uwezo wakuwaka muda mrefu na amekuwa akilipikia kwa muda mrefu lakini anasema endapo atapata watu wakumshika mkono ataweza kutengeneza majiko mengi zaidi nakuyauza kwa watu watakao kuwa wanahitaji

Пікірлер: 40
@kato_tz
@kato_tz 3 жыл бұрын
Wabongo bhana, unapungukiwa nini ukiappreciate kazi ya mtu, amjibu kabisa ukitumia hilo jiko utatumia mafuta ya taa kidogo sana compared na ukitumia jiko la mafuta yaa taa tupu.
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 2 жыл бұрын
Big up sana brother, serikali iwaangalie vijana wenye vipaji na iwawezeshe kwani hata nchi zilizoendelea ziliwawezesha wabunifu wao.
@KIMSwahili
@KIMSwahili Жыл бұрын
Mashallah kazi nzuri
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 жыл бұрын
Safi sana Tanzania ibadilishe mitaala iwape vipaji fursa sio kukomalia elimu ambao haina faida kwa wanafunzi, safi sana
@michaelstephen3743
@michaelstephen3743 3 жыл бұрын
Umefanya jambo zuri lakini Kuna majiko yalikuwepo yanayoitwa STOVU nadhani ni muundo TU ila big respect
@saidmahaba1326
@saidmahaba1326 Жыл бұрын
Good brother
@josephjohn2114
@josephjohn2114 3 жыл бұрын
Hongera kwa ubunifu wa vifaa rahisi kufanikisha jiko la stove....... ila hii teknolojia ya stove ipo tangu miaka mingi nyuma...
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 3 жыл бұрын
Hongera sana kaka... Hili jiko ni muundo mwingine wa stovu... Ama kile kijiko cha kuchomelea kinachotumia petroli na upepo
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
MashaAllah🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌hongera sana kaka
@caslidajosephat8912
@caslidajosephat8912 3 жыл бұрын
Tatizo Tanzania vipaji haviendelezwi.
@NyumbaniHabariMedia
@NyumbaniHabariMedia 3 жыл бұрын
Safi sn David Kalinda
@petroatanas8988
@petroatanas8988 2 жыл бұрын
Hongela pambana mungu atakusaidia ila kwaviongoz hatuna
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
Mashallah 🙏
@mosesngirila8716
@mosesngirila8716 3 жыл бұрын
Mungu akutangulie
@sometimes5621
@sometimes5621 3 жыл бұрын
Hongera sana kwa ubunifu.
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 3 жыл бұрын
Duh aiseeeee safi
@tamimtours6934
@tamimtours6934 3 жыл бұрын
HAIPO HIYOO FANI KABSAA
@masoudkipara5053
@masoudkipara5053 3 жыл бұрын
Asa ilo co la upepo bali ni lamafuta
@paschaltsaxara2376
@paschaltsaxara2376 3 жыл бұрын
Mafuta ya taa tena daaah changamoto nyingine! Huo upepo ni kusaidia tu mafuta yawake
@mosesngirila8716
@mosesngirila8716 3 жыл бұрын
Vizuri kaka
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Ohooo
@elidaimamnzava3649
@elidaimamnzava3649 3 жыл бұрын
Hiyo inaitwa stove toka zamani inatumia mafuta taa
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 3 жыл бұрын
Stove inatumia tambii tofauti na hili jiko
@dennisdinomineta8435
@dennisdinomineta8435 3 жыл бұрын
👏
@karimhamisi4627
@karimhamisi4627 Жыл бұрын
Hili Ni jiko la stove Ni kitambo tu hata ukienda kwa mafundi radiotor wanatumia mfumo huo sasa sijajua tunaita ubunifu ama Kuna jina lingine alafu ukituambia kinachowaka Ni upepo mh
@yasinathumani2623
@yasinathumani2623 8 ай бұрын
Bro wengine tupo uku tunatengeneza majiko yanatumia oil chafu hatuna pakusemea bro
@tumainimwanyonge1098
@tumainimwanyonge1098 3 жыл бұрын
Naliitaka unauzaje
@johnb.j.m206
@johnb.j.m206 3 жыл бұрын
Ayo TV unafanya kazi nzuri ya kuibua vipaji. Ila huu ubunifu ukishatangazwa hapa hatupati mrejesho baadaye. Hawa wabunifu wa Kitanzania wanapaswa wawezeshwe ili waibue mengi zaidi. Serikali iwape support.
@kelvinjonson1069
@kelvinjonson1069 3 жыл бұрын
MUNGU Aibark Kaz ya MIKONO yako ndgu
@jamesmasanja1963
@jamesmasanja1963 3 жыл бұрын
Kwamba gas haiwezi kupika maharagwe Aaah Tafadhali hii ni kitu ya zamani Sana umebadilisha tu umbo la stove kaka
@mgawerevocatus8582
@mgawerevocatus8582 3 жыл бұрын
Shida kubwa kwa hawa wabunifu mnaowatangaza hawajitambui ukiwafuata ufanye nao biashara ni wasumbufu kweli kweli. Yupo mmoja nilimfahamu kupitia ninyi kishachukua pesa Kazi hataki kufanya mwezi wa 4 sasa
@yasinathumani2623
@yasinathumani2623 8 ай бұрын
Bro me nipo natafuta mtu wa kufanya nae kazi me natengeneza jiko linatumia oil chafu
@mgawerevocatus8582
@mgawerevocatus8582 3 жыл бұрын
Kitu kingine Ayo TV muwe mnasoma comment zinazolalamikia watu mnaowatangaza itawasaidia kuwapa uoga kuwa wanafuatiliwa
@internetviralvideos9064
@internetviralvideos9064 3 жыл бұрын
Haya majiko nayafahamu ni utaalamu wa kizamani babu yangu alikuwa nayo mengi sio kuwa ndio kubuni wa Kwanza..... Yanaitwa stove...
@umiy1971
@umiy1971 3 жыл бұрын
Hii ni stima sio ugeni wala ubunifu mpya
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
😁😁kmb
@internetviralvideos9064
@internetviralvideos9064 3 жыл бұрын
@@umiy1971 kwetu tuliyaita stove
@internetviralvideos9064
@internetviralvideos9064 3 жыл бұрын
@@khadijahali4837 yap
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
@@internetviralvideos9064 ok
@tamimtours6934
@tamimtours6934 3 жыл бұрын
WABUNIFU WAPO ILA KUWEZESHWA WATU WINGI MKONO WABULI .NA SERIKALI IMELALA
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 15 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 49 МЛН
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 17 МЛН
How to make a simple and beautiful waste oil burning stove / Super effective idea
10:39
Good Creative Idea Dmkt
Рет қаралды 3,6 МЛН
it took me 30 years to learn these Amazing Technique
15:11
Weird Diy
Рет қаралды 1 МЛН
MFAHAMU MPALAGATE MBUNIFU WA MAJIKO YA KISASA
18:05
NJB TV NEWS
Рет қаралды 3,8 М.
Jinsi taka zinavyogeuzwa  kuwa mkaa mbadala
11:29
Jiko Point
Рет қаралды 3,9 М.
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 15 МЛН