JINSI TENDO LA NDOA LINAVYOWEZA KUFICHUA TATIZO LA KIHISIA | Deo Sukambi

  Рет қаралды 6,300

Deo Sukambi

Deo Sukambi

Ай бұрын

Karibu katika kipindi cha UPONYAJI WA FAMILIA na Pastor Deo Sukambi. Leo tunajifunza JINSI TENDO LA NDOA LINAVYOWEZA KUFICHUA TATIZO LA KIHISIA
Kwa ushauri nasihi piga +255 746 104 034 au e-mail booking@deosukambi.com
Unaweza Kusapoti huduma hii
TIGO PESA +255 715 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
M PESA +255 746 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
Endelea kunifuatilia kwenye kupitia
/ deosukambi
/ deosukambi
/ deosukambi1
Usisahau ku subcribe kwa mafundisho zaidi
/ @deosukambi
Deo Sukambi is Counselor | Mentor | Pastor | Public Speaker | Corporate trainer | Author
#DeoSukambi #Familia #Malezi #Watoto #Ndoa #Mahusiano

Пікірлер: 34
@chrissg4026
@chrissg4026 Ай бұрын
Wewe Pastor ni mwamba! Unajua mpaka unajua tena!
@DeoSukambi
@DeoSukambi Ай бұрын
Amen amen kaka
@madaniel9290
@madaniel9290 Ай бұрын
Upo sahihi kabisa kw asilimia mia nimekuelewa then nimekuelewa tena
@DeoSukambi
@DeoSukambi Ай бұрын
Asante sana
@novatusmwikola742
@novatusmwikola742 Ай бұрын
Amen sana mchungaji kwenye uandisi kweli akukufahi " malezi ya familia " umenifanya nimekuwa mwalimu kwa jamaa zangu na wananishanga nimepata wapi haya madini hili ni ww sifa na utukufu ni Bwana kwa kipawa hiki alichokipatia, hila leo umeniachia maswali bado tutatibu vipi hili mwenzangu anifungulie mlango
@samwelmigera7274
@samwelmigera7274 Ай бұрын
Ana matope ana Nini kweli mchepuko sio diri😂😂😂😂😂
@antoniasanga4974
@antoniasanga4974 20 күн бұрын
Somo nzuri
@muhamadharun9432
@muhamadharun9432 Ай бұрын
Hili darasa la leo ni 🔥🔥
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Good job. Ahsante na hongera sana.
@user-en6dk7et2x
@user-en6dk7et2x Ай бұрын
Asante kwa mafunzo mazuri
@GlidaPeter
@GlidaPeter Ай бұрын
Asante Mtumishi kwa mafundisho
@habibajumahabiba6730
@habibajumahabiba6730 Ай бұрын
Mungu akubariki❤
@fabianchrizostom5743
@fabianchrizostom5743 Ай бұрын
ase somo zur mno
@SteveAvelinBuretter
@SteveAvelinBuretter Ай бұрын
Waooooo ongera. Baba. Umesema kweli. So how to solve this problem
@harosicharo2736
@harosicharo2736 Ай бұрын
Umeongea ukweli kbsa mungu akubariki
@user-po9jw6pz8s
@user-po9jw6pz8s Ай бұрын
Nawewe doctor, uelewa wako uko hivo,
@zuhrakhamis6508
@zuhrakhamis6508 Ай бұрын
𝚔𝚠𝚎𝚕𝚒 𝚞𝚗𝚊𝚌𝚑𝚘𝚔𝚒𝚜𝚎𝚖𝚊 ❤
@sadamkyndo2719
@sadamkyndo2719 Ай бұрын
Somo zuri bali sasa ile sheria ya kuwa inabidintushiriki baada ya ndoa tuigeuzwe nau????ili kujua ili kama naingia kwenye nafsi sahihi au?? Laa
@DeoSukambi
@DeoSukambi 29 күн бұрын
Tendo linafichua majeraha..kuna dalili na viashiri vingi vya kujua mtu ana majeraha kabla ya kufanya..ukifanya na mtu kabla ukakuta ana majeraha na ukamuacha maana yake umemuongezea jeraha..so hiyo sheria ibaki watu watumie njia zingine kufanya utambuzi
@kennedyjohn8900
@kennedyjohn8900 Ай бұрын
Kweli nisomo zuri ila tatizo nikwamba nafsi zingine zikichafuka inakuwa tabu sana kuzisafisha unaweza ukagundua ila kuzisafisha ikawa tabu nambaya zaid kama mnawatoto wanaumia hadi watoto
@maryedward5680
@maryedward5680 Ай бұрын
Unaponaje majeraha😢
@DeoSukambi
@DeoSukambi Ай бұрын
Ni lazima kupata therapy..wasiliana nasi kwa 0786903727 kubook a session
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma Ай бұрын
Ukisema wewe na kuamini….
@DeoSukambi
@DeoSukambi Ай бұрын
Haaaa🤣
@chrissg4026
@chrissg4026 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 Ай бұрын
Lafik yangu, anamke ambaye akimwanza yeye, wa nainjoy.akianza mwaume yani akimwanza mke wake mke mkavu hainjoy tiba iko wapi hapa
@DeoSukambi
@DeoSukambi Ай бұрын
Maana yake tatizo lipo kwa mwanamke sasa lazima tujue limesababisha na nini..inawezekana ana changamoto zake binafsi ambazo ni mpaka yeye ajisikie au zimesababishwa na mwanaume kwa hiyo mpaka huyo dada awe anahitaji ndio anajiswitch on..
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 Ай бұрын
@@DeoSukambi Asante unatusaidia Sana, mwalimu. Nikijaliwa pesa natakiwa niuzurie dalasa
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Mara zote wanaume tuko sawa, unaweza kudhani nyote mna enjoy kumbe mmoja na hasa mwanamke kamchoka mwenzake siku nyingi. Mwenye tendo ni mwanamke UTAYARI wake ndio unawasha mashine.
@LeonelCarlosCongolo
@LeonelCarlosCongolo Ай бұрын
Mimi naishi na mwanaume myaka 6 nimebahatika kupata mutoto mumoja lakini toka naishi naye tunagombana na sijawahi kumuchiti na nina myaka 3 sinamapenzi naye hata tukifanya mambo ananirazimisha nimeshamuambiya kila mutu aishi namaisha yak lakini hataki anangangana na kuna mutu mwingine nimeshamupenda na sitaki nimuchiti nahitaji nimalizane naye kwanza ndo nifanye nahuyo ninayomupenda nikiwaza kufanya nahuyo mwingine nahisi siwezi nikapata furaha kwa sábabu bado naishi namwingine
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
@@LeonelCarlosCongolo Hakuna mwanamme wa hivyo awe kakuoa kwa namna yoyote ile inawezekana ulimuonesha mapenzi akadhani ni upepo lakini chochote alichovutiwa nacho kwako kamalizana nacho ndani ya miezi 3 kitachomuweka kwako ni tabia na kama humpendi bila shaka na tabia njema haitakuwepo. Sasa kwa nini bado hakuachi? Bila shaka umemdanganya hukuwa na upendo na mumeo alidhani unaupendo na akawekeza kwako inawezeka alijenga au aliimarisha maisha yenu kwa namna fulani hivyo hawezi kukuacha hivi hivi. Ungekuwa Muislam ungedai talaka "Qurui" yaani mwanamme unamlipa fidia kwa namna anavyotaka yeye. Kuwa makini na huyo mwanamme wako mpya atakuwa na experience na wewe kwa ulichomfanya huyo uliyenae. Ulichomfanyia mume wako ni dhulma.
SABABU 4 ZA MTU KUMNYANYASA MWENZI WAKE | Deo Sukambi
32:32
Deo Sukambi
Рет қаралды 1,3 М.
SABABU ZA WANAWAKE KUTOKUWA WAAMINIFU KWENYE NDOA | Deo Sukambi
26:01
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 33 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН
Kuwa Makini Nani Unamuoa | Kuuweza Wakati Ujao | Pastor Tony Kapola
17:02
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 89 М.
MAMBO 5 YANAYOPELEKEA KUFURAHIA MAHUSIANO AU NDOA | DEO SUKAMBI
36:45
NAFASI YA PESA KWENYE NDOA | Deo Sukambi
48:28
Deo Sukambi
Рет қаралды 3 М.
SIFA TATU (3) ZA MUME | DEO SUKAMBI
55:00
Deo Sukambi
Рет қаралды 45 М.
WANAWAKE HUOGOPA KUKOSEA, WANAUME HUOGOPA KUSHINDWA | Deo Sukambi
12:54
MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA GIZA by Innocent Morris
28:01
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 307 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Fix You: Ni Bora Mwanamke akosee kuolewa kuliko Mwanaume akosee KUOA!
1:03:55
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 3,1 М.