MAMBO 5 YANAYOPELEKEA KUFURAHIA MAHUSIANO AU NDOA | DEO SUKAMBI

  Рет қаралды 10,908

Deo Sukambi

Deo Sukambi

6 ай бұрын

Karibu katika kipindi cha UPONYAJI WA FAMILIA na Pastor Deo Sukambi.
Unaweza Kusapoti huduma hii
TIGO PESA 0715 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
M PESA 0746 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
Endelea kunifuatilia kwenye kupitia
/ deosukambi
/ deosukambi
/ deosukambi1
Usisahau ku subcribe kwa mafundisho zaidi
www.youtube.com/@DeoSukambi?s...
#DeoSukambi #Familia #Malezi #Watoto #Ndoa #MahusianoUnaweza Kusapoti huduma hii

Пікірлер: 28
@user-or2sc3ql5b
@user-or2sc3ql5b 4 ай бұрын
Mimi nimeanza kusikiliza leo Mungu akubàriki naamini nitapàta mema ya kutosha
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 5 ай бұрын
Kuna Mchungaji alitumia maisha yake yote kuisaidia watu na kisafiri sana lakini dunianbado matatizo hayaishi akasahau familia yake hakuwa na muda na familia yake na familia walikosa mapenzi yake kwa sababu aigeuka kuwa mwokozi waa dunia na dunia bado ipo vile vile na hali ni mbaya zaidi balance maisha yako na kazi ni muhimu sana familia yako must be the first dunia hii ipo tu
@ANNASEPHANIA-lg1uj
@ANNASEPHANIA-lg1uj 6 ай бұрын
Aiseeeeh!!! Ubarikiwe sanaa mchungaji nimejifunza sanaaa na tayari nimepata mambo mengi kuhusu hili somo na yoye yaliyopita soon uyekelezaji umeanza kiakili 🙏
@alyehemed4477
@alyehemed4477 2 ай бұрын
M.mungu akubariki,akupe afya milele, na kukupa umri mrefu ili tuzidi kufaidika na mafunzo yako.
@happiness_713
@happiness_713 5 ай бұрын
Leo nimepokea kitu cha maana sana, thank you 💕
@user-iz9ci4rs3d
@user-iz9ci4rs3d 6 ай бұрын
Pastor Deo Mungu akubarki sana kwa Elimu hii 🎉🎉
@mwalijuma7257
@mwalijuma7257 5 ай бұрын
Asnt xn pastor umenigusa kiukweli🙏🙏🙏
@successconcious703
@successconcious703 6 ай бұрын
Barikiwa sana Pastor Deo.. nilihitaji sana kusikia somo hili kwa wakati huu kuliko wakati mwingine wowote.. right message.. right person.. right time🙏🙏
@wahidakisingo3588
@wahidakisingo3588 5 ай бұрын
God bless you dear
@amanimasawe
@amanimasawe 5 ай бұрын
Ubarikiwe
@mrisholulu2909
@mrisholulu2909 4 ай бұрын
Asante sana pastor Deo MUNGU akubariki kwa masomo mazuri 👏👏👏 Nna maswali mengi sana natamani kuuliza ila apa kuyaorodhesha nashindwa
@mwijagemindset
@mwijagemindset 3 ай бұрын
Thank mzee baba nimekula nondo sana 🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 5 ай бұрын
Kitu cha kwanza ni familia yako iwe happy sio watu wa nje, watu wa nje watapona kutoka kwenu but yenu yanakufa, wengi wana focus n watu wa nje na ndani mwao wanasahau
@fredrickerasto1550
@fredrickerasto1550 6 ай бұрын
conviction 🔥🔥 your teachings are always worthy. Just thankful
@levinavenance1200
@levinavenance1200 Ай бұрын
1.Tafuta kujua kusudi la ninyi kua pamoja Kuna watu wengine wananufaika kwa nyie kua pamoja, different seasons in life,nyie muwe kama mti,mkikosa purposes hamuwezi kukabiliana na lolote, 2.Epuka kumbadili au kumboresha mwenzi wako( wanadamu wanapenda kubadlika na si kubadilishwa) jilinde usiwe vile alivyo usiwe offenssive be defensive, uwe na mtu unaeweza kumchukulia udhaifu wake, 3.Epuka kuchukulia vitu personal 4.Upendo hautoshi kuwapa furaha( swala c kupenda ni mnahusiana vp?)baki kwenye mahusiano kwasababu zako binafsi na c kwa yale anayofanya na yale yaliyokuweka 5. Usikae kwasababu ya personal conviction utaumia zaidi
@user-pr9hw4nc5y
@user-pr9hw4nc5y 5 ай бұрын
Asante sana Pastor
@user-ny1xj4mh4h
@user-ny1xj4mh4h 4 ай бұрын
Nimekuwa nikiwafuatilia Mara kwa Mara mbalikiwe Sana kwa vipindi vizuri! USHAULI kabla ya kurekodi jiandae vya kutosha mf kuzima simu zenu na mazingira!! Epuka kutaja muda mf ( kistamka mwaka mwezi na TAREHE ) au kusema jioni ya leo! SWALI JE KUNA MADHALA YOYOTE YA KIAFYA KWA MWANAUME KUKAA MUDA MREFU BILA KUFANYA TENDO LA MDOA???
@HamidakomboKombo-xs2ju
@HamidakomboKombo-xs2ju 6 ай бұрын
Kaka somo zuri
@estherkalwira9799
@estherkalwira9799 5 ай бұрын
Asante mwalimu sasa kama umeguduwa mazaifu hiyo natayari muko ndani ya mausiyano😢mutu ata fanya nini 😢??
@DeoSukambi
@DeoSukambi 5 ай бұрын
Inabidi umuache na madhaifu yake we ukatafute asiye na madhaifu au ujifunze kuishi naye na madhaifu yake..
@beatricerenalda8071
@beatricerenalda8071 4 ай бұрын
Hakuna asiyekuwa na madhaifu kila mtu aliye chini ya jua ana madhaifu yake
@tumainselestine3398
@tumainselestine3398 4 ай бұрын
Ila ni kweli mtu uliyokutana naye ukubwani siyo kazi rahisi kumbadirisha character zake, perception zake n.k
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma 6 ай бұрын
Hilo kusudi likiisha mnafanyaje sasa? Kwa mfano kama mmefungua biashara halafu ikafilisika, hapo vipi?
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Biashara sio kusudi..sikiliza vizuri nilichofafanua kuhusu maana ya kusudi..nimesema ni jambo mnalofanya pamoja linalogusa maisha ya watu ya ninyi..kama lina ukomo basi sio kusudi, kusudi halina ukomo na linaweza kubadilika kulingana na muda na majira its all about nini mnafanya kubariki na kuboresha maisha ya watu wengine..biashara ni huduma/bidhaa mnayouza ili kujipatia faida ninyi
@LeticiaShoka-me2wq
@LeticiaShoka-me2wq 6 ай бұрын
Asante Kwa somo zuri.....gumu lahitaji utulivu kulielewa ......you genius pastor
@IreneMlwale
@IreneMlwale 6 ай бұрын
​@@DeoSukambimm naomba kuuliza vipi Napo kuwa na mwanaume ambae yeye mda wote yupo busy sana kila siku yeye yupo busy kuwasiliana na wewe mpaka atakapo amua yeye unaweza ukapiga cm ipo busy na akiona call zako asipige mpaka wewe uje upige tena mpaka una shindwa kumuelewa kama ana upendo na wewe Au laaa sababu anaweza kukuonesha upendo kidogo sana anakuwa haeleweki anakupenda Au laa kiufupi inakuwa ni mtu ambaeeuna shindwa kumuelewa anataka nini?
@nuruthomas673
@nuruthomas673 5 ай бұрын
​@@DeoSukambiubarikiwe sana
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 6 ай бұрын
Kama kumubadilisha haiwezekani, na nikagundua siwezi vumilia kwa tabia alizo nazo, na tuna watoto. Nifanye nini Sasa Na nini kinafanya mtu a tamani kubadilika lakini, awe anashindwa kusimamia, mamuzi yake ya kubadilika. Mana ukweli nikwamba watu wengi wana tamani kuacha sigara pombe umalaya uvivu ila nk ila wanashindwa
TOFAUTI YA MKE NA MSAIDIZI | DEO SUKAMBI
53:50
Deo Sukambi
Рет қаралды 6 М.
SHERIA 4 ZINAZOATHIRI NDOA NA MAHUSIANO |  DEO SUKAMBI
56:44
Deo Sukambi
Рет қаралды 2,1 М.
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 27 МЛН
FAHAMU VIASHIRIA VYA KUWEPO KWA HESHIMA KATIKA MAHUSIANO
16:41
Mwl. JOYCE KISHA
Рет қаралды 3,2 М.
FIKRA 4 HATARI KUHUSU NDOA |  DEO SUKAMBI
51:23
Deo Sukambi
Рет қаралды 2,1 М.
LIFE WISDOM : NUSU YA MWAKA ILIYOBAKIA FANYA HAYA - JOEL NANAUKA
13:57
MALEZI BORA YA WATOTO | Ngome SDA Church, IRINGA, TANZANIA | Mrs. DEBORAH URIO
1:02:35
NILIJARIBU KUIBA MTOTO MUHIMBILI KUNUSURU NDOA YANGU
14:05
Wasafi Media
Рет қаралды 25 М.
NAFASI YA PESA KWENYE NDOA | Deo Sukambi
48:28
Deo Sukambi
Рет қаралды 3 М.