Jinsi ya kufanya Kilimo cha Ndizi na kuepuka Minyoo na Magonjwa

  Рет қаралды 14,967

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

Ni kutoka Nanenane Mbeya 2022 ambapo tunakuletea mtaalamu wa kilimo akikueeleza namna bora ya kufanya kilimo cha Ndizi

Пікірлер: 24
@baltazarybasingo5773
@baltazarybasingo5773 Ай бұрын
Safi sana jembe halimtupi mkulima
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Жыл бұрын
Watanzania bwana vitu kama ivi comment tatu ila watu wakichafua hali ya hewa comment laki 1 machawa wakizungumzia upupu coment elfu, tuna ujinga mwingi sana ndo mana nyerere alitwambia adui yetu n ujinga nimeamin
@elicktilia4430
@elicktilia4430 Жыл бұрын
Ukweli unauma
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
watanzania wao nyimbo tu
@baltazarybasingo5773
@baltazarybasingo5773 Ай бұрын
Tunashabikia vitu ambavyo kiuchumi havina mchango wowote. Kweli TU wajinga maana tunashindwa kuchagua vipaombele.Hatari sana kuchezea muda🤔😭
@tabithamchanga5286
@tabithamchanga5286 2 ай бұрын
Asante sana kwa eliminate MUNGU akubariki sana aana, naomba kuuliza. Mkungu aina ya mzuzu, kile kishungi kinapokwisha kabisa chote ndo mkungu unakua umekomaa naweza kuukata au unaendelea kbakia kwenye shine lake mpaka mud gani?
@rahmasuleiman8688
@rahmasuleiman8688 7 ай бұрын
Very nice maashaallah
@johnmagoma6962
@johnmagoma6962 Жыл бұрын
Nashukuru sana kwa jali kazi yako haswa
@GreatTractor
@GreatTractor Жыл бұрын
Safii Baba, endelea kutufunza zaidi.
@ramadhanhassan8196
@ramadhanhassan8196 Жыл бұрын
kazi nzuri sana Mwananchi hongereni nimejua sasa kupanda migomba
@kennykazung3824
@kennykazung3824 Жыл бұрын
Miche ya migomba naipataje
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
shamba safii sana dah hadi raha
@hafsanoman3952
@hafsanoman3952 Жыл бұрын
Nimejifunza kitu mungu akubariki
@selemanisalimu8377
@selemanisalimu8377 11 ай бұрын
Asante mtaram
@jacksonmtaswa2885
@jacksonmtaswa2885 2 ай бұрын
Je hzo ndiz huwaga zinakubari kila maeneo nikimaanisha km mrima ambao unaasili ya mawe mawe
@rukiaissa5878
@rukiaissa5878 Жыл бұрын
Mungu akupe nguvu kwa kutupa taaluma hii sahihi ya kilimo cha migomba
@innocentmakala6542
@innocentmakala6542 10 ай бұрын
👍
@pamellabosire3705
@pamellabosire3705 2 ай бұрын
Naomba ya mtalamu huyu
@priscachale5646
@priscachale5646 Жыл бұрын
Dar Migomba inastawi?
@PrestonKwizombe-qf1gc
@PrestonKwizombe-qf1gc 9 ай бұрын
mtaalam naomba weka namba nahitaji miche
@shangemollel5603
@shangemollel5603 10 ай бұрын
Nipe dawa ya myauko wa ndizi mshare
@IssaBashir-pk2ks
@IssaBashir-pk2ks Жыл бұрын
ungojwa wa mnyauko unadawa?
@isayaanthon7063
@isayaanthon7063 Жыл бұрын
Kuna dawa ya kuua minyoo ktk migomba?
@shangemollel5603
@shangemollel5603 10 ай бұрын
@@isayaanthon7063 nipe dawa ya myauko wa ndizi mshare
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 52 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,6 МЛН
SEEDS OF GOLD: How to invest wealth from growing bananas
24:19
NTVUganda
Рет қаралды 118 М.
Ukulima   wa   Ndizi  wa   kisasa......
9:07
Kenneth Chagara
Рет қаралды 7 М.
🔴KILIMO NA MAZINGIRA, FAHAMU ZAIDI KILIMO CHA MIGOMBA
17:51
JIMBO LA NGARA TV
Рет қаралды 6 М.
ZIJUE AINA ZA NDIZI NA MASOKO YAKE
11:18
AsiliGrowers
Рет қаралды 6 М.
ALIBEBA ZEGE/SASA ANAINGIZA MKWANJA NA KILIMO CHA MAPAPAI
13:55
Mwananchi Digital
Рет қаралды 22 М.
Wachimbaji wa madini watwangana na mwekezaji, Waziri aingilia
12:24
Mwananchi Digital
Рет қаралды 10 М.
A-Z Kilimo Cha Migomba //Kuandaa Shamba Hadi Kupanda
21:57
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 10 М.
KILIMO CHA NYANYA KINAMKOMBOA MKULIMA // KILIMO SOKONI
35:49
Tumaini_Tv
Рет қаралды 16 М.
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15