Uzalishaji wa Ndizi wapaa Bukoba/ Ndizi Chakula, Ajira na Biashara/Wakulima waeleza Mafaniko yao.

  Рет қаралды 2,838

Radio Mbiu

Radio Mbiu

4 жыл бұрын

Wakulima wa zao la Migomba Mkoani kagera katika Wilaya ya Bukoba, wamenufaika na mradi wa Banana Agronomy ambao umewaletea Mafanikio makubwa wakulima hao kwa kufuata njia sahihi za ulimaji bora, nakupeleka kupata mazao mengi katika mashamba yao na kiasi cha pesa wanachopata wakifanya mambo ya maendeleo katika jamii inayowazunguka. Karibu kutazama sehemu ya simulizi hii ya Wakulima waliofanikiwa kupitia kwa wataalamu wa TARI-MARUKU na mradi wa BANANA AGRONOMY.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
#NdiziChakulaAjiraNaBiashara

Пікірлер
Jinsi ya kufanya Kilimo cha Ndizi na kuepuka Minyoo na Magonjwa
27:02
Mwananchi Digital
Рет қаралды 15 М.
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 2,4 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 525 М.
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 51 МЛН
#TBC: SHAMBANI KILIMO CHA NDIZI
28:23
TBConline
Рет қаралды 1,2 М.
Askofu Mwijage atoa maelekezo kupatikana  usafiri Kisiwani
6:31