ASANTE SANA. UMETOA SOMO ZURI SANA MUNGU 🤲AKUBARIKI & AZIDI KUKUPA NGUVU YA ELIMU KILIMO TUKIPENDE. UMENIGUSA SANA NA NITAKUTAFUTA TUFANYEKAZI PA1🌹👊
@KilimoProTanzania16 күн бұрын
Asante Karibu sana! Endelea kufuatilia vipindi vyetu
@gracekawiche5 ай бұрын
Asante sana kwa darasa zuri naomba mawasiliano ni kilimo tija
@KilimoProTanzania5 ай бұрын
Karibu, 0715 866 027
@erickmgongolwa8505Ай бұрын
Nina experience ndogo ya avocado for busness, ukitaka kulima kwa biashara tafuta maeneo kimo 1500 from sea level, alafu yawe yenye mvua za kutosha, hutapata shida kuhudumia. chini ya 1000m, ww lima kwajiri ya chakula chaco tu. ukifika Arusha ukaangalia hass inavobeba, alafu ufike dodoma uangalie unaelewa kwamba dodoma umeforce,
@KilimoProTanzaniaАй бұрын
Asante kwa Mchango wako, Karibu
@Salumchiwili202320 күн бұрын
Mimi nawaza kuanza kilimo hicho handeni tanga ila bado sijafanya utafiti mana nipo nje ya nchi sijui unaweza kunishauri nini hapo kiongozi
@daudhenry62125 ай бұрын
👏 👏 👏 👏 👏
@KilimoProTanzania4 ай бұрын
Karibu
@user-vj9pu3rr8q4 ай бұрын
Nimependa sana mafunzo
@KilimoProTanzania4 ай бұрын
Karibu sana
@lamama.26 күн бұрын
mi natoka Songea, mwinuko 1060m. vipi unadhani avocado inaweza kukuballi vizuri kama ntazingatia mahitaji mengine kwa usahihi.
@KilimoProTanzania26 күн бұрын
Ndio unaweza kulima vizuri tu! Karibu 0715 866 027
@lamama.5 күн бұрын
@@KilimoProTanzania ahsante ntawatafuta
@stevenelisha143 ай бұрын
Kwa Kanda ya ziwa ipi mbegu bola yakulima
@KilimoProTanzania3 ай бұрын
Hass Avocado! Inapatikana kwetu, Karibu 0715 866 027
@PaulEddy-bi3fi2 ай бұрын
Natafuta soko la kuuza parachichi naomba connection, nipo Iringa, wiliya ya Mufindi
@KilimoProTanzania2 ай бұрын
Wasiliana Nasi 0715 866 027
@AZAM_MEDIAАй бұрын
@@KilimoProTanzaniaKwa Iringa aina Gani ni Bora Zaid?
@KilimoProTanzaniaАй бұрын
@@AZAM_MEDIA Hass Avocado
@witnescholela115626 күн бұрын
Naweza pata namba yako
@KilimoProTanzania26 күн бұрын
@@witnescholela1156 0715 866 027
@mercyMahenge-sp2yj5 ай бұрын
Asante kwa elimu. Naomba mawasiliano yako, nahitaji kuwekeza katika hii industry
@KilimoProTanzania5 ай бұрын
Karibu sana 0715 866 027
@suaside70214 ай бұрын
Mbona hujaizungumzia songea kwani huko parachichi haifanyi
@KilimoProTanzania4 ай бұрын
@@suaside7021 Mkoa wa Ruvuma pia unaweza kulima parachichi na ukapata matokeo bora, ni moja ya mikoa mikuu ambayo unaweza kulima! Karibu
@isaacmwaipopo5 ай бұрын
Broo upo vizuri sana. Unajua kuelezea sana. Mungu akubariki. Ntakuchek kwenye namba yako kwa ushauri zaidi.
@KilimoProTanzania4 ай бұрын
Karibu sana
@corneljoseph66533 ай бұрын
Unayo namba yake nisaidie kiongozi
@KilimoProTanzania3 ай бұрын
@@corneljoseph6653 0715 866027
@saimonwantango95693 ай бұрын
Mkuu nimeingia you tube mara kibao kufatilia kilimo cha ovacado ila sikupata jibu, niko wilaya ya kibiti kilomita 2 kutoka baharini,je naweza kulima na mimi ovakado ama sio sahihi kwa kilimo hicho?
@bavonwatson73602 ай бұрын
Inawezekana ndugu, Mimi Niko Masoko karibu na Kyela Kuna joto pia lakini nimepanda avocado na navuna kwa sasa kama uko what's app nitakutumia picha kwa ushahidi zaidi