Dada nimependa sana kipindi chako, hakika tunapata somo zuri, big up
@maryinyas93203 жыл бұрын
Ni vyema kutumia mwiko(wooden spoon )
@frankie-nw3tq3 жыл бұрын
Sante sana kupitia hii video nimeweza kupika wali samaki mzuri leo...👏👏👏👏
@cesiliasaid69873 жыл бұрын
Napenda unavyo pika unaweka wazi kilakitu
@meshackbahati80253 жыл бұрын
Samahani dada mi nilikuwa naomba siku kipindi jinsi ya kuandaa stock
@SelemaNdulabi2 ай бұрын
Habari naomba kuliza kwani ni lazima samaki wakaangwe??
@medicristakessy1636 Жыл бұрын
Nice and good
@happinessmkambeni82032 жыл бұрын
Nakupenda sana nakufwatilia tangu unaonyesha on startv kweli nimejaribu Mara nyingi kufwata ur recepise zako na natoa Chakula kitamu sana ila leo nimefwatilia naona tangu wafanya marination kwa samaki hukuweka chumvi na kwa wali pia na kwa mchuzi pia sasa sijajua but nadhani wakati mwingine Wa kipindi ukumbuke thanks you
@rajabmtunguja5269 Жыл бұрын
Imewekwa hukuwa makin wakati wa kipind
@glorycharles Жыл бұрын
Chumvi ameweka kote ila wali sijaona akiweka mafuta ila chumvi kaweka
@abdullatifsalim74743 жыл бұрын
Amzng
@anasaweli5717 Жыл бұрын
nice
@desirenathan37349 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@meshackbahati80253 жыл бұрын
Kwenye huyo samaki huwezi weka fish masala
@allymsham71293 жыл бұрын
Sasa jaman sisi tunaotumia mchele was kawaida inakuaje hp