Katika video hii nimekufahamisha njia 4 ambazo unazowezatumia kupunguza uzito na kitambi 'milele' kwa namna ya kudumu bila kujitesa kwa kutumia njia zisizokuwa salama kwa afya yako. Contact: 0767759137
Пікірлер: 601
@catherinejabeya44554 күн бұрын
Asante kwa ushauri mungu akubariki nimejifunza mengi
@DrNatureclinic3 күн бұрын
Karibu sana
@bentaadhiambo8222 күн бұрын
Hasante sana kujitoa naujuzi wako kutujuza kuhusu kuishi maisha mazuri bila magonjwa..mungu akulinde pia
Shukran sana. Share kwa watu wengine pia wajifunze
@joycekasimbazi981721 күн бұрын
Nimeipenda
@athumanikadaika581725 күн бұрын
Shukrani sana dr. Allah akubarik.
@DrNatureclinic25 күн бұрын
Amina
@user-ec6ow2cx7c19 күн бұрын
Ubarikiwe doc sasa nitajikaza kukula kachumbari na hayo machani chai nijitahidhi nimalize kitambi
@DrNatureclinic19 күн бұрын
Amina
@user-sx6zw1pr1w16 күн бұрын
Hii numbe niya Tanzania ama kenya
@hasnakid28 күн бұрын
Shukran san Dr wet hakika umetup somo zur.
@DrNatureclinic26 күн бұрын
Nimefurahi kuwa umependa! Share kwa wengine pia
@user-le6xw9kt9f14 күн бұрын
Jambo docta nitaipa wapi mimi Niko Congo nisaidiye baba
@franciscamuindi9266Ай бұрын
Wow thanks for this lesson I will start doing so especially for the raw food like kachubari
@DrNatureclinicАй бұрын
Best of luck!
@JoyceCosmas-lf2ltАй бұрын
Naipataje
@user-dr9qe8cp8cКүн бұрын
❤❤️👌👍🥰🥰 Safi
@mireillemanirakiza101917 күн бұрын
Asante
@user-kb8wv6kg8g9 күн бұрын
Naipataje na kiasi gani?
@DrNatureclinic8 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/whatsapp +255767759137
@pacifiquebarengayabo620526 күн бұрын
Ubarikiwe sana
@DrNatureclinic26 күн бұрын
Amina
@NancyMabera-th5duАй бұрын
Good advice
@DrNatureclinicАй бұрын
Glad it was helpful!
@user-uy5iy7ny8j20 күн бұрын
Asante Daktari kwa masomo ya kiafya
@DrNatureclinic19 күн бұрын
Karibusana
@christaoman88907 ай бұрын
Asante sana Docta kwa ushauri mzuri
@AngerinaJohn-xg1hjАй бұрын
Tusaidie docta
@jaeltheafricanteacher16 күн бұрын
Asante daktari,ntajaribu sana
@DrNatureclinic14 күн бұрын
Ukafanikiwe🙏
@arafatsaid96216 күн бұрын
Daktari wa ukweli utamjua tu, kaka una presentation nzuur. Hongera doctor mwenzangu.. wape tiba kaka
@DrNatureclinic14 күн бұрын
Asante sana🙏
@AfirenAfiren26 күн бұрын
Sasa wengine tuko warabuni, unakula hata saa nane usiku naamka saa kumi na mbli, hapo ni Mungu sasa
@SaoblackSaoblack26 күн бұрын
😢 kabisa
@TabizaAaАй бұрын
hongera babaa Mungu akubariki🙏🙏🎉🎉🎉
@DrNatureclinicАй бұрын
Amina
@user-fk1fd8on6e27 күн бұрын
Habari nipo omani
@eyshamdee66094 ай бұрын
Ezchoper naipataje
@everinamathias812 ай бұрын
Asant kwa elimu nzuri mm pia naitaji kupungua dr
@user-ut5tu4su7w17 күн бұрын
Asante kwa darasa zur hiyo dawa ni sh ngap nana ipataje nipo dar
@DrNatureclinic16 күн бұрын
Tshs 50,000 tuwasiliane kwa simu/Whatsapp +255767759137
@user-ek7nu1qc8g15 күн бұрын
Unapatikana wapi
@antonetymudeizi82792 күн бұрын
Vipi ukiwa na shida ya menses
@DrNatureclinic2 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp +255767759137
@SaumaBakari-ld2dy6 ай бұрын
Aste kaka
@user-mw3rn6tc9u5 ай бұрын
Asante doctor napataje hyo dawa m npo mbal af n kijijini, npo kahama
@DrNatureclinic5 ай бұрын
Tuwasiline 0767759137
@sylviamosonik42723 күн бұрын
Hello
@HarrietMmoji20 күн бұрын
Thanks for sharing am going to try it immediately, how can i get the product (easy chopper)
@DrNatureclinic19 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/whatsapp +255767759137
@SelinaSimbaya3 ай бұрын
Asantee napataje hiyo dawa
@DrNatureclinic3 ай бұрын
Tuwasiliane 0767759137
@JudithDaison2 ай бұрын
Naomba namba yasimu
@esterkinunda227513 күн бұрын
How about lipid lowering bld eg atovastatin dr
@DrNatureclinic12 күн бұрын
Ukiwa na easy chopper you dont need statins.. inashusha cholestrol faster with no side effeccts. Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp +255767759137
@CecyRoby14 күн бұрын
Naipaje Dr
@DrNatureclinic14 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp: +255767759137
@CecyRoby13 күн бұрын
@@DrNatureclinic thanks
@christopherwarutere348919 күн бұрын
Dr what causes ED & how to reverse it?
@user-ii1tc7gt9r8 күн бұрын
Dr. Mm nakula kila siku ugali na kachumbari ingawa kunakua na mboga nyingine kwa ufupi sianzi kula kachumbar kama unavyosema hapo napatia au vp?
@kibenakimoso234129 күн бұрын
Namba naomba
@DrNatureclinic29 күн бұрын
0767759137
@magrethmanintveld5477Ай бұрын
Asante doctor endelea kutujuza, Ubarikiwe
@DrNatureclinicАй бұрын
Amina
@user-rx3rl9yb3o21 күн бұрын
Easy choper inapatikana wait.
@DrNatureclinic21 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp: +255767759137
@PlasidaMbilinyi6 күн бұрын
Uko vizuri doctor, namba please
@DrNatureclinic3 күн бұрын
Tuwasiline kwa simu/Whatsapp: +255767759137
@ayshahussein657422 күн бұрын
Nataka
@DrNatureclinic21 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp: +255767759137
@RaiyaAlbulushi2 ай бұрын
Naomba no
@DrNatureclinic2 ай бұрын
0767759137
@lilsean-lb4ho9 күн бұрын
Asalam alaykum doctor mimi naipataje hiyo dawa
@DrNatureclinic8 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/whatsapp +255767759137
@zakariahussein94734 күн бұрын
Vipi doctor niko nairobi nashkuru sana nataka dawa...plz
@DrNatureclinic3 күн бұрын
Tuwasiline kwa simu/Whatsapp: +255767759137
@JoseckNjuguna26 күн бұрын
Good morning doc...i need one nko nairobi
@DrNatureclinic26 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/whatsapp +255767759137
@danielmwakatumaakimu105014 күн бұрын
Asante doctor..naomba namba ya cimu doctor Ili nipate hiyo choper kirahisi
@DrNatureclinic14 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp: +255767759137
@divinahmusa671027 күн бұрын
Please translate in English
@neemaedward85228 күн бұрын
Dawa bei gani
@DrNatureclinic26 күн бұрын
Tshs 50,000 Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp +255767759137
@MetrineKorir15 сағат бұрын
naitaji ni pesa ngapi
@happykastorykihongo224825 күн бұрын
Dr mimi naomba ushauri mimi mwili wangu unajoto sana yaani mda wote namwagika jasho yaani ata nikitoka kuoga akati najifuta maji natawer namwagika jasho tatizo nini?
@DrNatureclinic25 күн бұрын
Ni vema ukafika hospital kwa uchunguzi na matibabu
@harrietajiambo2296 күн бұрын
Congs doc hadi nimekuongezea sub yangu
@DrNatureclinic3 күн бұрын
Shukran sana
@levinalyimo62402 ай бұрын
Saa nitaipatajee
@DrNatureclinic2 ай бұрын
Tuwasiliane 0767759137
@eyshamdee66094 ай бұрын
Naipataje hiyo easy chopper
@DrNatureclinic4 ай бұрын
Tuwasiliane 0767759137
@user-lz9gz4bp9mАй бұрын
Nipo Dodoma naipataje mahitaji sana
@DrNatureclinicАй бұрын
Tuwasiliane 0767759137
@gracekagoma323127 күн бұрын
Great 👍❤Dr
@DrNatureclinic26 күн бұрын
Thank you 🙂
@levinalyimo62402 ай бұрын
Nakukubali kabisa doctor
@DrNatureclinic2 ай бұрын
Shukran sana
@pstndyambi563028 күн бұрын
Kumbe maelezo yooote yale, meishowe utangaze hiyo mitishamba kwa jina la food suppliment! Haya, unauzaje!
@pamelasimuyu-cg8dq13 күн бұрын
Namba
@DrNatureclinic12 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp +25567759137
@FlaviaNyakato-of8vc7 күн бұрын
Namba Yako pia naomba
@DrNatureclinic3 күн бұрын
Tuwasiline kwa simu/Whatsapp: +255767759137
@jescarukele560428 күн бұрын
Habari Dr naipataje hiyo dawa nipo Mtwara
@DrNatureclinic28 күн бұрын
Tuwasiliane 0767759137
@stevemutuadiconwakanisa877212 күн бұрын
Kachumbari kwa wingi mwanangu
@ashurakiaga781228 күн бұрын
Dr,Asante kwa SoMo nitajaribu.ila nna vidonda vya tumbo Kuhusu hiyo kachumbali nikiweka chmvi tu badala ya ndimu itakuwa sawa?natumiaga juisi ya bamia ndio naona afazari
@user-fz1ph3cn4s26 күн бұрын
Amesema usitie chumvi. Ndimu sawa
@grolylucas686725 күн бұрын
Asante Doktar Kwa ushauri mzuri mm nahitaji Easy Chopa shs ngapi Niko DODOMA naipataje?
@DrNatureclinic25 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp: +255767759137
@DrNatureclinic25 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp: +255767759137
@user-qg8jo6bv1k23 күн бұрын
Njia nzuri ya kukonda we tafuta stress au kuwa mteja wa madawa
@DrNatureclinic23 күн бұрын
Kukonda inamadhara mabaya kama kunenepea.. kinachoatakiwa ni kuwa na uzito sahihi kwa kuchoma mafuta ya ziada
@nasirmohamed158921 күн бұрын
Streess inaongeza unene unajua nn wewe fala mmoja tu sikiliza wasomi wakupe faida acha bangi kumamako
@GraceMethuselaNtwale27 күн бұрын
Nimekuelewa naipataje
@DrNatureclinic26 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp +255767759137
@hasanchobu771522 күн бұрын
naipataje @@DrNatureclinic
@lucywanjiku636121 күн бұрын
22:32 @@DrNatureclinic
@dorcaslundumen437018 күн бұрын
Asante sana unafanya kazi nzuri. Mimi nipo south ke nitapaje?
@DrNatureclinic17 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/Whtaapp: +255767759137
@JoyceCosmas-lf2ltАй бұрын
Naipataje jamn
@JoyceCosmas-lf2ltАй бұрын
Unapatikana wap nanaipataje
@DrNatureclinicАй бұрын
Tuwasiliane 0767759137
@user-fz1ph3cn4s26 күн бұрын
@@DrNatureclinicExcellent Dr.
@naomiwambua718314 күн бұрын
Mimi yngu ni kitambi
@DrNatureclinic14 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp: +255767759137
@JeniferDouglas-hb4re2 ай бұрын
Napataje daw
@DrNatureclinic2 ай бұрын
Tuwasiliane 0767759137
@GraceMethuselaNtwale27 күн бұрын
Niko Dar
@DrNatureclinic26 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp +255767759137
@user-hq2mc7fi9g5 күн бұрын
Dr naomba namba ya simu
@DrNatureclinic3 күн бұрын
Tuwasiline kwa simu/Whatsapp: +255767759137
@modestamuga446115 күн бұрын
Hi,mimi niko msa, naweza kuipata vipi,na kwa hela za Kenya ni ngapi
@DrNatureclinic14 күн бұрын
Kshs 2700 Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp: +255767759137
@pamelasabugo371020 күн бұрын
Asante kwa elimu yako sasa wa dodoma tutaopataje?
@DrNatureclinic19 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/whatsapp +255767759137
@mercylinekerubo688317 күн бұрын
Mafundisho mzuri sana doctor ❤❤❤na mtu akitumia maji moto mingi inasaidia nini tafadhali???
@DrNatureclinic17 күн бұрын
Kuupatia mwili maji ya kutosha✅
@priscillahsstyle545014 күн бұрын
Afu hiyo dawa sh ngapi? Na unatuma out of TZ???
@azizaa1098 күн бұрын
Naomba namba zako naitaji dawa
@DrNatureclinic8 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/whatsapp +255767759137
@kulthummbura673516 күн бұрын
Dr hongera sana maji ya mchai mchai asubuhi kabla hujapiga mswaki je yanasaidia?
@DrNatureclinic14 күн бұрын
Ni mazuri sana kiafya
@happykazungumenzamenza127719 күн бұрын
Asante Doc kwa Mafundisho..nakuhusu dawa unatuma Kenya na kwa bei ngani
@DrNatureclinic19 күн бұрын
Moshi.. tuwasilianw kwa simu/whatsapp +255767759137
@JosephineLutufyo2 ай бұрын
Dr anaenyonyesha
@DrNatureclinic2 ай бұрын
Kuanzia miezi 6 inafaa
@user-gn2uz9yo9u12 күн бұрын
Easy chopper naipataje Dr?
@DrNatureclinic12 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp +25567759137
@user-mi9vt7gt5p26 күн бұрын
Hi Doc, how can i get the medicine? Niko Nairobi
@DrNatureclinic26 күн бұрын
Check me on WhatsApp +255767759137
@felistermoraa9510Ай бұрын
Am from Kenya, how can I get it doctor?
@DrNatureclinicАй бұрын
WhatsApp me +255767759137
@itumbajoh5399Ай бұрын
Boss unajua concempt ya net energy expenditure...?
@DrNatureclinicАй бұрын
Ndio. Nadhani kuna swali unataka kuuliza.. karibu
@wizgamer17887 күн бұрын
Doctor napatajee namba yako
@DrNatureclinic3 күн бұрын
Tuwasiline kwa simu/Whatsapp: +255767759137
@HamyDancer-if4ulКүн бұрын
Nipo tabora
@DrNatureclinicКүн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp +255767759137
@user-ul6yw3vx6f17 күн бұрын
Nimeisikiliza vizuri je ntaipataje hio dawa,nipo USA
@DrNatureclinic17 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/whatsapp +255767759137
@Zuu67314 күн бұрын
Dokta nahitaji dawa ya kupungua mwili mzima
@DrNatureclinic14 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp: +255767759137
@norahndanzi4146Ай бұрын
Dr. Mimi ninanyonyesha mtoto wa miez mi3 naweza kutumia hii formula na maziwa nikawanayo mengi?
@DrNatureclinicАй бұрын
Kuna namna ya ku-modify kidogo. Group la PERMANENT WEIGHTLOSS chat.whatsapp.com/EiBLnokVR9H3v4JV1yf1i5
@nasirmohamed158928 күн бұрын
Hakuna kupungua bila mazoezi na diet na intermittent fasting.madawa mtadanganyana mpaka yesu arudi
@chayogasperi978323 күн бұрын
Mwanzoni alisema atakupa maelezo ya kupungua uzito bila diet wala mazoezi , Mbele anakupa maelezo ya kula na aina ya vyakula , ni janja janja tu
@ruthmsechu923919 күн бұрын
Anaitwa Yesu not yesu
@nasirmohamed158919 күн бұрын
@@ruthmsechu9239 kamwambie mama yako kumamako
@aggraypeter.500820 күн бұрын
Mazoez ni 20%
@duniamwakwikiza-yh5qu19 күн бұрын
Niko Kenya naipataje Easy Choper?
@DrNatureclinic19 күн бұрын
Tuwasiliane kwa simu/whatsapp +255767759137
@esthermwango3598Ай бұрын
Kenyan money ni how much, I'm from Kenya and I need it