Munguwangu hayamambo ningeyajuwaka mapema singekuwa jinsi nilivyo leo basi isaidiye basi watoto wa ngu
@everinemasoka692316 күн бұрын
Amen
@user-ud8jq4ez4h9 ай бұрын
Mimi ni mama,I wish ningepata his somo kabla sijaoleka,singefanya uamuzi mbaya but bcoz sikujua ,God help me and rem my marriage.
@happyshoo-to5sn3 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishi nmejifunza vingi sana hapa kwako
@edwinonsombi Жыл бұрын
Ameni asente kwa somo hili
@terrynjuguna560210 ай бұрын
I found this church on KZfaq. I have been watching all the videos and I've been taught a lot. Thank you for allowing God to use you to teach the word. Much love from Kenya
@annekombo69452 ай бұрын
Pastor asante kwa huu ujumbe,haya ndo makosa nilifanya sahi sina ndoa lakini naamini Mungu atanibariki na ndoa sahihi
@beammicrocredit Жыл бұрын
Ahsante pastor kwa SoMo zuri MUNGU nisaidie nijue kuijenga ndoa ya badae Amen.
@davidmghanga850211 ай бұрын
Eee asante umejaa neema ya kufundisha bila kuchoka
@veronicanzingula5426 Жыл бұрын
Amina sana pastor, Somo hili limekuja wakat ulio sahihi.
@estherwilliam5125 Жыл бұрын
asante mtumishi, tunaomba sehemu ya pili somo hili
@user-nf5gi5ru4s7 ай бұрын
Amina,umenifungua baba ubarikiwe sana
@joycewambui2270 Жыл бұрын
Baba Neema ya kufundisha mafuta iko juuu
@Jenvier-jz2lg Жыл бұрын
Baba yangu unanibariki xna ni Léonard tka Drc Congo
@yoshuamwakisopile8212 Жыл бұрын
Asante sana Yesu!
@joycewambui2270 Жыл бұрын
Kukosea ndoa nikitu kigumu mno
@hagailumbwe9146 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Baba
@joycewambui2270 Жыл бұрын
Mafunzo ya baraka sana
@joycewambui2270 Жыл бұрын
Hili somo limenipa utulivu kabisa na umakini sana blessed dady
@stephanosospeter1709 Жыл бұрын
Ameen
@tumainichanya3268 Жыл бұрын
Baba Asante sana ukweli hayo yapo wazi
@IdrissPrecious Жыл бұрын
Mungu mwema azidi ku kubariki baba mchungaji umekuwa baraka saana ningelikuwa tz ningelikuwa mushorika wako kabisa
@joycewambui2270 Жыл бұрын
Afadhali kuishi pekee kuliko ndoa rong
@thomasgervas5883 Жыл бұрын
Amina
@marianguli7994 Жыл бұрын
Asante Pastor unatufundisha vitu vizuri sana na ni mafundisho adimu sana
@upendomollelu726010 ай бұрын
Kweli poster umenifundisha ukweli mtupu Mungu akutunze.
@mildredsakali2243 Жыл бұрын
Pastor naomba uzungumzie kwa kina jinsi ya kuvunja mahusiano mabaya au kuvunja agano la ujumba mbaya please 🙏
@giftmuchai210623 күн бұрын
Am so sorry me😢
@fastprostudioclips4528Ай бұрын
nisaidieni number ya mchungaji
@amedesamki4259 ай бұрын
Kinywa cha kuhani kitatoa maarifa ya kuendesha ndoa kama maarifa ufahamu na busara
@HezronZacharia-vi4kv Жыл бұрын
Unapatikana wapa pastor?
@JumaNussura8 ай бұрын
Mm ñi màmà nilimtege.meà muñgu kwenye ndoà
@Udindigwa10 ай бұрын
Jioni leo Nimefatilia Tena Kipindi hiki Kuzuri SANA Mungu Asimame Nawe Uzidi Kutujenga Unamchango Mkubwa SANA
@tumainichanya3268 Жыл бұрын
Baba ukweli umenigusa hadi nimejisikia kulia ukweli ni mateso mabaya na magumu Sana kulazimisha ndoa sababu ya kupa mimba ni mateso yasiyoelezeka ni mateso ambayo yanakupa nafasi ya kuogopa hata kuingia kwenye mahusiano na kuogopa hata waliomuhimu maana kila ukikumbuka unakumbuka makosa ya yule aliyekosa
@RizikiMarie Жыл бұрын
Niatari sana ndugu yangu sisi wengi tulihingia tukiwa miaka 15 na nusu nikulia tu kwa hii somo
@davidmghanga850211 ай бұрын
🎤
@ChristinaSanga-pl5jm9 ай бұрын
Kwa kweli mtumishi hili somo ni muhimu sana ingekuwa ni vyepesi lifundishwe kupitia TBC taifa au ITV