Hii Ni Video Inayoonyesha Jinsi Ya Kutengeneza Fondant Kwa Ajili Ya matumizi Ya Kupambia Keki
Пікірлер: 395
@nemienemie37324 жыл бұрын
Ni vizuri kusema kama n kikombe kikombe aina gani, make wengine tutachanganya mambo... Asante dear kwa somo
@santinakitalika9304 жыл бұрын
Hellow Dada Mungu akubariki sana sana kwa elimu na namna unavyokuwa muwazi maana hata hao ambao unaenda kulipia hawaelezei kwa uwazi hivo.👏
@floragordian79272 жыл бұрын
Asante Sana dada, hakika mwenyezi Mungu akuzidishe Sana na Sana, kwa video zako umenifanya niweze kupika keki vizuri Sana,.. Mungu muumba mbingu atakulipa kikubwa...
@irenegomanga86543 жыл бұрын
Nakupenda hadi basi yaani unafundisha hadi mtu mwenye kichwa kigumu kama mimi anaelewa asante sana. God bless u🙏🙏🙏
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
😃😃🙏🙏🙏
@richaelmichael26553 жыл бұрын
Kweli anafundisha vizur mungu akubariki mpendwa
@marthaosward44574 жыл бұрын
Asante Dada unaelekeza vzur sana, na hauchoki kujibu maswal,
@evachaz38723 жыл бұрын
Dear one asante Sana kwa recipe nimejarbu na imetoka nzur inavutika adi Raha na ilikua Mara yangu ya kwanza, ur the best thanx
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Thank you dear, karibu tena😘
@stellahnanguka6544 Жыл бұрын
Asante dada Mungu akuzidishie maarifa nasi tujifunze zaidi! Unga unaotumika kuchanganyia ni ulele wa icing sugar au ulichanganya na ngano ulivyoendelea kufinya ama kukanda
@neemakivuyo44873 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri ila nimeona umeandika gelatine vijiko viwili lakini ukasema ni kimoja, ipi ni ipi dadaa?
@thabialayden33124 жыл бұрын
Yaaan ww...ni habari nyingine. Mungu akubariki sana. C mchoyo nasema c mchoyo
@pendoiszrael48254 жыл бұрын
Nakupenda sana unatusaidia wengi,Mungu akubariki
@beatricejadon13694 жыл бұрын
unafundisha vizuri na unaeleweka
@ashfatkalokola79438 ай бұрын
Ur so helpful,be blessed dada♥️,…je fondant inaweza kukaa hadi wiki ngapi bila kuharibika?…na je inakaa room air au kwa fridge for storage? Plz help 🙏🏼🥰
@sintawaisiku83083 жыл бұрын
I reaaly love u mziwanda,unatufundisha vzr sana wale ambao ni learners,ubarikiwe
@liliankitosi11762 жыл бұрын
Uko vizuri sana kufundisha
@hotkitchenapple83 Жыл бұрын
Asante kwa SoMo ila yangu huzidi maji. Hadi niweke kwenye fridge niikande tena ndo ifae. Vipimo nimefuata vyako lkn inanitesa bado
@agnnesludovick33128 ай бұрын
Nic
@user-nu7js7ck7q6 ай бұрын
Asante sana nimepata elimu ya kutosha
@sharqaawsingoyi81663 жыл бұрын
Wallah wew dda nimalaika kwakweli mungu akulipe ufke mbalizaidi ya hapo ulipo❤
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
🥰🥰🥰🙏
@veronicakibago73163 жыл бұрын
Hongera mamiii kwa somo zur🥰🥰 Mungu azid kukubarik🙏🙏🙏
@gracegithendia16984 жыл бұрын
Much love from Kenya 💖💖💕💕
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
😘😘😘
@lilianshao81544 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 jaman naomb video ya kufundishwa jinsi ya kutengeneza butter icing nitashukuru Sanaa mamii napenda Sanaa kazi zako na nmejua kutengeneza keki kupitia wew
@@mziwandabakers8297hello dear hizo ingredients naweza pata wapi kwa dar es saalam
@wematony9792 Жыл бұрын
Asante sana kwa SoMo nzuri, ila nikitengeneza yakwangu haiumuki kama bubblish Hadi niweke blueband
@theresianico85873 жыл бұрын
Habar dear,, naomba vipimo vya kutenfeneza fondant box 2 na vipimo vya box 1,, nimekuelewa Sana na njia ni rahis nimejaribu imetoka vizur , barikiwa Sana mae
@andrewnjuguna26424 жыл бұрын
Mami, you have really really helped. Nimejaribu Leo na imetoka perfect. Nime-enjoy ku-decorate keki sana. Asante sana
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Shukran sana na karibu
@happympende18154 жыл бұрын
Naweza tumia stand mixer kukanda au ni lazima nitumie mikono?
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
@@happympende1815 ni sawa kutumia
@doricekafuku74 жыл бұрын
Dada samahani hapo kwenye vikombe vya icing sugar ni km gram ngpi
@tumainichanzera22302 жыл бұрын
Gelatin n nn
@emmyraspitsosy4173 жыл бұрын
Asantee umeelekeza mpaka kichwa imefunguka ila hiyo radha cjaielewa kwajina ingine kama naenda kununua nisemeje
@LaylatDottoАй бұрын
Asant kipenz
@pulcheriamayombo52224 жыл бұрын
Nimeongeza. Ujuzi Mungu awabariki sana karibu Kagera
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Shukran sana nitakuja
@fatumakabetero94545 ай бұрын
Asante sana dada
@neemasteven56993 жыл бұрын
My favorite teacher nakupenda
@parvinhenry44283 жыл бұрын
Unafundisha vizuri
@eastcuisines1243 жыл бұрын
Kupitia wewe napika keki za kuuza bila kulipa ada ya laki 7😄Asante dada ❤️❤️
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
😂😂😂
@florahmzena4650 Жыл бұрын
Hata Mie ada ya laki 4 kwa wiki 2 🤣🤣🤣🤣
@marymalyos3662 Жыл бұрын
Barikiwa
@sakinakilangi5424 Жыл бұрын
Hongera San kpenz
@sadasaleh83594 жыл бұрын
I lovee kutoka moyoni naapa kwa jina lamola wangu nmepondaa kitu og yan kama umeponda ww tcha wanguu hahha sasa mm nmemaliza box kwa vpmo hvyo swali langu inapamba cake ikapambika hiyo recep
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Unapamba dear bila shaka,hongera sana
@nishumedy60384 жыл бұрын
Hi anty samahani napenda sana somo lako .. Jeratin ni nn anty
@happynessanacklet65483 жыл бұрын
mmh
@bujunebusanya39664 жыл бұрын
Thank uuu.
@stellakatega96173 жыл бұрын
Mwana upo vzr ila mm hicho kiungo ulichoweka ktk ice sugar sikifahamu ni kipi👏👏🙏
@annaamsi78253 жыл бұрын
Hi dear hongera kwa kazi nzuri, love you sana samahani nahitaji culture naomba tuwasiliane
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Shukran dear upo mkoa gani??
@annaamsi78253 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 niko mbeya
@rosettelowhim97304 жыл бұрын
Mungu wangu akubariki na kukuzidishia kila kitu hujui tu namna gani umenisaidia kwny kipato changu kwa hii Video
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Shukran sana nafurahi zaidi mkifanikisha 🥰
@hanaelmutalemwa43803 жыл бұрын
Ubarikiwe saana
@siriyangu47244 жыл бұрын
Mashaallah nizury
@floramisafi27234 жыл бұрын
Mziwanda mpo juu
@hanaelmutalemwa43803 жыл бұрын
Thank u.
@pendezanamamaeuge8122 жыл бұрын
Very good
@safiaali9743 жыл бұрын
Asante nimejaribu na imekuja vizur sana ila nilitumia zesta je naweza kutumia icing sugar nyengine?au haiji
@emmaculateakumu17833 жыл бұрын
nakupenda bure....thanks for these classes
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Karibu dear
@zaitunilyimo90124 жыл бұрын
I love you 😘😘💐
@salmaseif87553 жыл бұрын
Ook asantee nitajaribu namm Inshaa Allah
@user-vh2ei3ic8o Жыл бұрын
Asante xn kwa somo zuri ila hapo kwenye cmc naomba kuuliza ni nusu kijiko cha chakula au cha chai
@EstherBuhuru-bp6yf10 ай бұрын
Vikombe vinne kwa kipimo gani cha kikombe,je fondat inahifadhiwaje
@sharifahega68112 жыл бұрын
Nimefuata hatua zote lakini ikawa nzuri TU baada ya masaa kuja kuiangalia imekua ngumu sans haivutiki tena
@ikamalle4 жыл бұрын
Na mimi Nita jaribu hii! #roadTo1K Subscribers 🍾🎉🥰🥰
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Bosslady wangu 🥰🥰🥰
@noelakataraiha66924 жыл бұрын
Dada Boss!!
@carolinedismas10064 жыл бұрын
My dear naomba kujua hyo cmc
@mariamtofiki94893 жыл бұрын
Asante sana umenijuza mengi my dear
@linnetmbotto72124 жыл бұрын
Mungu akubariki dada
@pulikisia79639 ай бұрын
Asante sana kwa somo zuri,hiyo ladha inaitwaje kama naenda dukani kuinunua ntasemaje??
@hustlerasanda91204 жыл бұрын
Mimi ni mkenya napenda vidio zako sana maelezo yako ni rahisi
Asante kwa somo zuri ila kunakitu kimoja sijakielewa ninini hiyo umeita sms
@aidaabdul46334 жыл бұрын
Cmc ndonini dada
@phiahofficialtv71404 жыл бұрын
Thanks so much dada
@lillywilly54622 жыл бұрын
Cmc kirefu chake
@juliethurio68404 жыл бұрын
Be blessed mrembo napenda
@naomisamatwa66904 жыл бұрын
Hv naomb kuuliz hii ni nyeupe huwa mnachangany na nn una kuta keki ni pink,kijani,blue napenda sana unavyofundisha nmejua kupika keki kupitia maelezo yako
@azzahsultan68104 жыл бұрын
Shukran sana kwa maelekezo yako
@edinaleonidace55232 жыл бұрын
Yaan nakupenda we dada had naumwa ,n mwalimu mzur kiukwel huna choyo ya aina yoyote be blessed dear umebadilisha maisha yangu I wish nikutafte physically tuonane but one day yes
@edinaleonidace55232 жыл бұрын
Yaan nakupenda we dada had naumwa ,n mwalimu mzur kiukwel huna choyo ya aina yoyote be blessed dear umebadilisha maisha yangu I wish nikutafte physically tuonane but one day yes
@fredymwaisaka76403 жыл бұрын
Asante dear nimejaribu name
@brayufulala57484 жыл бұрын
Asante sana
@salmagulam66194 жыл бұрын
Asante kwa recipe pls tunaomba recipe ya cheese
@mackynicky9474 жыл бұрын
Iangalie kwa Aroma Zanzibar ,,ameitengeneza vizur kwa vinegar tu
@salmagulam66194 жыл бұрын
@@mackynicky947 asante my ile nishaiona ya cheese mozzarella me nataka ya cheddar km anajua
@nevarichard46243 жыл бұрын
Napenda unvyo fundisha umenifundisha mpaka Sasa napika keki, ila ukishapamba keki icing sugar inakaukaje
Habari ivi uo unga unao tumia kwenye mchanganyo wa maziwa ya unga, vanila na unga flani apo unapatikana kwa Bei gani!?
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Kilo elfu 17000 inategemea na muuzaji lakini
@halimaleila23232 жыл бұрын
ASANTE SAN DD YANGU NA ENDEREYA KUNJIFUNZA HAPA KWAKO NAIPENDA IYO KAZI NIKIWA BURUNDI🇧🇮
@anethalex22544 жыл бұрын
CMC ni nn dada?
@zuhurashafii63053 жыл бұрын
Recipe hii inatoa kilo ngap ya fondant au haifiki kilo , je ulishawah kumeasure , help me please madam
@aminaayubu62732 жыл бұрын
hasate sana
@agnnesludovick33123 жыл бұрын
Ukovizuri sana
@adinayusuph70724 жыл бұрын
Msaada nipate vifaa vya kutengenezea foundant
@arafasaid28782 жыл бұрын
Cmc ni nini mamy
@nuzbaby21244 жыл бұрын
Mziwanda bakers Habari mm nimetengeneza fondant nikitumia siku ya pili but ilikua ngumu haisukumiki Na ikisukumika inajikataa jee waweza kunisaidia nimepata vipimo hivyo hivyo
@fadhilajecha72914 жыл бұрын
Asante sana dada kw video ila naomba kuuliza hivo vifaa vya kutengezea fondant kma glucose griselin na gelatin vinapatikan wapi au supermarket tu
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Maduka ya vifaa vya keki
@edithondari5954 жыл бұрын
Nico one.nipo Kenya mombasa.napenda channel yako .naeza pata vipi cake mixer Ka io yako na n hela ngapi
@muniraali86563 жыл бұрын
Inxhallah namiomba mungu aniwezeshe km ww🤲
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Amiin Yaa Rabb
@MonicaLucius-cn8mc8 ай бұрын
Vip nilitaka kutengeneza nyingibzaidi ya hiyo
@mahfudhakassim95924 жыл бұрын
Gelatin ni nin
@bahatistrongwoman4 жыл бұрын
Mimi pia najiuliza hhh
@GodefridaModest-lc5voАй бұрын
Mbona utumii unga was pep to on
@shyfettymtunda49353 жыл бұрын
Ubarikiwe mno mamii
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Amiin
@fatmakombo46402 жыл бұрын
Asante sana ipo pouwa hivyo vifaa napata wapi jmani
@DOTOCHARLES-so7rh11 ай бұрын
Icing sugar umeweka box ngapi😊😋
@groryeliah36254 жыл бұрын
Haiki wegaya tha wetu niho nzega nifundisha nami
@monicagama18064 жыл бұрын
Unafundisha kwa vitendo pia?km ndiyo unapatikana wapi na sh.ngapi?
@liliankitosi11762 жыл бұрын
Samahani nauliza maji umetumoa kiasi gani maana sijui kipimo vhako ni kiasi gani
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
1/4 kikombe
@babyejames33983 жыл бұрын
Gelatin kiasi gani na pia glycerine kiasi gan
@wj14213 жыл бұрын
Je hivyoo vifaa unauza
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Ndio karibu 0768859358
@venerandafussi29542 жыл бұрын
Habar dada n nilazimu uiweke kwanza masaa 5 au 8 ndo uitumie au uneweza kuitumia hap hap upomaliza kuitengeneza?