JINSI YA KUTUMIA RICE COOKER HII, IVI NDIVYO INAVYO FANYA KAZI KWA HARAKA NA KISASA ZAIDI

  Рет қаралды 32,956

RABAONE TV

RABAONE TV

3 жыл бұрын

Rice cooker hii inatunza muda na kwa mapishi ya haraka ni Bora ukatumia hii cooker.

Пікірлер: 54
@rehemamasoud798
@rehemamasoud798 2 жыл бұрын
Hebu fanya kueleza taratibu kuelekeza jinsi ya kuwasha jinsi ya kupika hapo hujaeleweka maelezo madogo NAIPENDA Ila maelekez hayajitoshelezi elezea kwenye kupika nyama,keki,soup onyesha kwa vitendo sio maneno mengi
@shyakaeric2444
@shyakaeric2444 Жыл бұрын
Asante usingekuwa hii page nilikuwa nachemuka usiku huu jamanii.
@saphinacuthbet1343
@saphinacuthbet1343 4 күн бұрын
Mko wapi.Namba za simu please.
@abouzahrajabir8466
@abouzahrajabir8466 2 жыл бұрын
Habari Naihitaji hiyo
@ShamsaMohammad-v1b
@ShamsaMohammad-v1b 10 күн бұрын
Bei gani
@ShamsaMohammad-v1b
@ShamsaMohammad-v1b 10 күн бұрын
Niya kilo ngapi hiyo
@shuumekki9446
@shuumekki9446 Жыл бұрын
M nalitak bei gan
@mwadawayusuph8102
@mwadawayusuph8102 3 жыл бұрын
Inauzwa sh ngap
@rabaonetv
@rabaonetv 3 жыл бұрын
Inauzwa kwa oda 0755912838
@sospetermoses2685
@sospetermoses2685 2 жыл бұрын
Unazingua br
@rabaonetv
@rabaonetv 2 жыл бұрын
Asante
@LucasNelson-sw9li
@LucasNelson-sw9li Ай бұрын
Unaweza kupikia mboga kam zamajani au dagaa
@rabaonetv
@rabaonetv Ай бұрын
Ndio
@jumambenile9125
@jumambenile9125 7 ай бұрын
Shi ngapi tafadhari
@MinzaGululi-bh3om
@MinzaGululi-bh3om 10 ай бұрын
Nahitaji multicooker
@JasminJuma-ip8zz
@JasminJuma-ip8zz Жыл бұрын
Unapatikana wap na unauza bei gan
@neemasalim7317
@neemasalim7317 Жыл бұрын
Yangu ipo kwa lugha ya kichina na kila nikiseti inakata moto
@devothasemen4386
@devothasemen4386 2 жыл бұрын
Inauzwa shingap kaka
@aishaathumani4895
@aishaathumani4895 6 ай бұрын
Kwaiyo inapika Hadi makande
@kanasiamremi2400
@kanasiamremi2400 3 жыл бұрын
Nimekuelewa San lakini zipo za aina mbali mbali inakuwaj
@rabaonetv
@rabaonetv 3 жыл бұрын
Aina mbali mbali ujui mahana yake? Mfano simu ya Tecno Ina Aina ya tecno F1, Pop 2, 3, 4,5, w3, w4, w5,....
@minaidirisa299
@minaidirisa299 3 жыл бұрын
Inapika keki
@rabaonetv
@rabaonetv 3 жыл бұрын
Ndio
@jenniferjames3927
@jenniferjames3927 2 жыл бұрын
Ni nzuri na ipo vzr kwenye matumiz ya umeme ila sufuria ni mchina feki sana jepes sana likiungulia kidogo weusi wote unatoka
@rabaonetv
@rabaonetv 2 жыл бұрын
Basi iyo yako laba ndio Ila iyo itilafu Ila ili aliunguzi na Wala chakula akishiki, Mana ata maji ukiosha sekunde kazaa yanakauka kabisaaa utazani ujaliosha
@jenniferjames3927
@jenniferjames3927 2 жыл бұрын
Aisee basi hilo ni originally ni la Japan? bei gani kuagiza? Mm niliagiza ni la kichina yaan sufuri ni jepes sana wali lilikuwa linaunguza hata hizo alama za kupunguza moto ukipunguza haupungui na menyu ni kichina
@jenniferjames3927
@jenniferjames3927 2 жыл бұрын
Hata silitumii saiz weusi wote umeisha linaweka kutu na sijawahi kulisugua na Steele waya lilikuwa likiungulia unavotoka ukoko unatoka na ule weusi.
@rabaonetv
@rabaonetv 2 жыл бұрын
Pole Sana
@annatarimo1681
@annatarimo1681 3 жыл бұрын
Mbona yangu imeandikwa kichina?
@rabaonetv
@rabaonetv 3 жыл бұрын
Ndio inaweza kuandikwa kichina Ila kama una uzoefu unafatisha tu
@jenniferjames3927
@jenniferjames3927 2 жыл бұрын
Hata me ninayo iliyoandikwa kichina we ipoje hadi sasa me yangu ilitoka weusi wote halifai kupika sufuria linaweka kutu
@rabaonetv
@rabaonetv 2 жыл бұрын
Matumizi pia kama ulikua unaoshea kijiko au kuparua kwa kijiko ilo nalo ni tatizo
@zakyahya4645
@zakyahya4645 2 жыл бұрын
@@rabaonetv nikweli kabisa aitaki wi kutumia kijiko cha chuma na unapo osha utakiwi kusugua na stili waya
@dorrysuleiman6756
@dorrysuleiman6756 8 ай бұрын
Gharama yake ipo vp
@rabaonetv
@rabaonetv 8 ай бұрын
Inategemeana unainunulia wapi
@latiphibrahim
@latiphibrahim 2 жыл бұрын
Mmmh mbona hukuweka mafuta au sio lazima
@rabaonetv
@rabaonetv 2 жыл бұрын
Aina haja
@shanas
@shanas 2 жыл бұрын
Sasa wali bila mafuta utakua mtamu kweli
@SakinaJoshua-ee6hx
@SakinaJoshua-ee6hx 10 ай бұрын
Je inapika maharage
@rabaonetv
@rabaonetv 10 ай бұрын
Ndio
@SakinaJoshua-ee6hx
@SakinaJoshua-ee6hx 10 ай бұрын
Sawa mkuu
@SakinaJoshua-ee6hx
@SakinaJoshua-ee6hx 10 ай бұрын
Ahsante
@miriammtandi9921
@miriammtandi9921 2 ай бұрын
Siwezi kupikia ugali.????
@rabaonetv
@rabaonetv 2 ай бұрын
Huwezi
@user-ib1jh5ty4r
@user-ib1jh5ty4r Жыл бұрын
Haiwekwi mafuta ama
@rabaonetv
@rabaonetv Жыл бұрын
Yanawekwa ni ww tu
@rabaonetv
@rabaonetv Жыл бұрын
Yanawekwa ni ww tu
@jenniferjames3927
@jenniferjames3927 2 жыл бұрын
Nimependa hiyo imeandikwa kizungu nilionayo mm ni kichina na sufuri imetoka weusi
@rabaonetv
@rabaonetv 2 жыл бұрын
Pole Sana iyo ulipigwa
@rebeccarupia5184
@rebeccarupia5184 2 жыл бұрын
Anayeelezea inaonekana hajui vizuri,uji unapikwa lisaa how?vitu vingine anaelezea juujuu tu
@rabaonetv
@rabaonetv 2 жыл бұрын
Kwaio ikiwa dakika 60 sio lisaa? Tatizo la watanzania kila mtu ni mjuzi
@winfridakamuabwa964
@winfridakamuabwa964 2 жыл бұрын
Maji baridi
@rabaonetv
@rabaonetv 2 жыл бұрын
Ndio
@user-es7sk6fu1p
@user-es7sk6fu1p 9 ай бұрын
Bei gani
TOFAUTI KATI YA PRESSURE COOKER NA RICE COOKER
10:07
DADE'S
Рет қаралды 1,7 М.
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 34 МЛН
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 50 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 24 МЛН
JINSI YA KUPIKA PILAU /PILAU LA PRESSURE COOKER @ikamalle
8:14
Multi-purpose rice cooker/Silver crest rice cooker
4:34
Anazel G. Vlog
Рет қаралды 29 М.
4in1 Juicer Blender. Call 0654731446
5:13
PRAYGOD TV
Рет қаралды 100 М.
Kuchoma Nyama Bila Mafuta ni Rahisi Haraka na Salama Kiafya
5:44
Dr Boaz Mkumbo MD
Рет қаралды 6 М.
Jifunze matumizi sahihi ya 'pressure cooker'
5:05
Jiko Point
Рет қаралды 41 М.
ИНТЕРЕСНАЯ ИДЕЯ (@kelvin_bryant25 - Instagram)
0:16
В ТРЕНДЕ
Рет қаралды 27 МЛН
Wonderful street food making skill
0:25
Fruit University
Рет қаралды 63 МЛН
Козы Едят Траву за Деньги
0:31
РЕТАРД
Рет қаралды 1,5 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
0:32
Mini Katana
Рет қаралды 8 МЛН
Егор заново учится кататься на велике
0:40
Pavlov_family_
Рет қаралды 2,3 МЛН