#pressurecooker #mapishi #mchemshowanyama Sayansi na teknolojia imeturahisishia mapishi, jifunze jinsi ya kuandaa mchemsho wa nyama na viazi kwa dakika 15. ... Soma: jikopoint.co.tz/ Twitter: / jikopoint Facebook: / jikopoint
Пікірлер: 16
@AshuraAli-j7n7 сағат бұрын
Nawashinda kupika nyote 🎉🎉
@estherAkiza-xg6ie4 ай бұрын
Bei gan
@christopherkaluya430011 ай бұрын
Good🎉
@JikoPoint11 ай бұрын
Thanks
@aishazahor46342 ай бұрын
Kwa hio hicho kifuniko cha kutoa mvuke utakifungua tu ukitaka kufungua mfuniko??
@GraceKombe-kj2tx3 ай бұрын
Naomba unielekeze namna ya kupika keki kwenye presure cooker
@johwilly872310 ай бұрын
hii haina kelele zile za mvuke kama zile za zamani?
@JikoPoint10 ай бұрын
Hapana, kelele za mvuke zipo kidogo sana wakati wa kufungua
@jumaato530811 ай бұрын
Hii unaeza kupikia ugali?
@JikoPoint11 ай бұрын
Ndiyo. Unaweza kupika chakula chochote kwenye pressure cooker zikiwemo chips. Video ijayo tutakuja kuonyesha namna ya kupika ugali.
@careenrespicus19478 ай бұрын
Haukuongeza tena maji mengine tofauti na yale ya mwanzo?
@JikoPoint6 ай бұрын
Hapana, pressure cooker inapika kwa kutumia mvuke hivyo ukiweka maji mengi chakula chako kinaweza kurojeka.
@khaulathally1226 Жыл бұрын
Jaman yangu mbona haina hio sehem ya program? Nafanyaje
@JikoPoint Жыл бұрын
Habari Khaulath, pole sana. Kama una aina nyingine unaweza kupiga picha na kututumia WhatsApp kupitia 0677 088 088 waandishi wetu na wataalamu wanaweza kukusaidia ushauri. Usisahau kusubscribe kufahamu video zijazo huenda ukapata pia suluhu ya mambo mengi ya jikoni. Share pia na wengine itawasaidia.
@khaulathally1226 Жыл бұрын
Nimewatumia pc wasap hata hamjafungua
@agripinameinrad65 Жыл бұрын
Langu linatoa mvuke jaman likitoa mvuke chakula hakiivi 😭