JINSI YA KUWEKEZA NA UTT By Pauline Kasilati

  Рет қаралды 13,489

Edmund Munyagi

Edmund Munyagi

3 жыл бұрын

Jifunze jinsi ya kuwekeza na UTT kwa ajili ya malengo yako ya sasa na ya baadaye kama ilivyofundishwa na Dada Pauline Kasilati kwenye mafunzo ya LET'S TALK FINANCE.

Пікірлер: 18
@ROBERTMAXIMILIAN
@ROBERTMAXIMILIAN 9 күн бұрын
Powerful and Transformative
@khalfanikhalfan797
@khalfanikhalfan797 3 жыл бұрын
Somo Zuri sana
@user-ok8wi6si5r
@user-ok8wi6si5r 7 ай бұрын
Mm ni mwanachama wa utt tangu mwaka 2006 na niliwekeza ya watoto ya kukua. Ni siku nyingi sijapata mawasiliano. Sasaivi naishi kilimanjaro nitapataje mawasiliano?
@saumibrahim8701
@saumibrahim8701 2 жыл бұрын
Dodoma branch lenu lipo wapi
@haroungeorge7603
@haroungeorge7603 2 жыл бұрын
Vipi kuhusu market crash inayokuja uta affect vipi investors wa utt
@jacksonndaletian265
@jacksonndaletian265 Жыл бұрын
Ofisi yenu ipo wapi mbeya?.
@SophiaMfinanga-mr8bm
@SophiaMfinanga-mr8bm 4 ай бұрын
Faida naipataje in cash nikiihitaji
@tuliasanga4580
@tuliasanga4580 Жыл бұрын
Najiungaje sasa na ofis zenu xikowapi Kwa songwe
@ntilisindakafugugu7596
@ntilisindakafugugu7596 Жыл бұрын
R na L ni tatizo kwa huyu dada. Good content though.
@christinesulle5051
@christinesulle5051 2 жыл бұрын
Arusha mpo sehemu gani nipate kuenda
@mikematusela4059
@mikematusela4059 Жыл бұрын
Jengo la Ngorongoro karibu na ofisi ya mkuu wa mkoa
@emanuellorivi3904
@emanuellorivi3904 11 ай бұрын
Jengo la Ngorongoro
@rukiaramadhan8680
@rukiaramadhan8680 2 жыл бұрын
Dar mpo wapi
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
Sukari House Ghorofa ya Pili. Sokoine na Ohio
@harrymbogo
@harrymbogo 11 ай бұрын
Faida unaipataje yaani baada ya miaka mingapi
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 11 ай бұрын
Faida inaongezeka kila siku.
@zedianakangalawe1880
@zedianakangalawe1880 3 жыл бұрын
Morogoro mpo
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 3 жыл бұрын
Unaweza kukapata huduma za UTT kupitia branch za CRDB zilizopo karibu na wewe.
TENGENEZA UTAJIRI KUPITIA HISA na Emilian Busara
57:11
Edmund Munyagi
Рет қаралды 50 М.
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
MTAZAMO WA KIFEDHA By Blandina Njau
19:48
Edmund Munyagi
Рет қаралды 6 М.
AMUA UNACHOTAKA LEO - JOEL NANAUKA
17:14
Joel Nanauka
Рет қаралды 97 М.
JINSI YA KUJENGA MIKONDO MINGI YA KIPATO na Edmund Munyagi
21:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 36 М.
VITU AMBAVYO VINATUPOTEZEA PESA KILA SIKU Na Edmund Munyagi
8:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 3,9 М.
BUILDING WEALTH WITH REAL ESTATE by Larry Lyayuka
33:03
Edmund Munyagi
Рет қаралды 6 М.
JINSI YA KUTUMIA TEKNOLOJIA KURATIBU FEDHA ZAKO na Agness Mollel
15:02
Edmund Munyagi
Рет қаралды 1,9 М.
Episode 4 | Mfuko wa Ukwasi | Mfuko wa Hatifungani | Ijue UTT Amis
20:36
Mindsetting Initiative
Рет қаралды 1 М.
UWEKEZAJI NA MANUFAA YAKE: UTT AMIS WANATOA UFAFANUZI ZAIDI
22:47
FAIDA ZA KUWEKEZA KUPITIA UTT AMIS.JOSEPHINA LIMBILA
57:36
MARANATHA ONLINE TV.
Рет қаралды 10 М.
JINSI YA KUKABILIANA NA MADENI By Denis Simon
33:42
Edmund Munyagi
Рет қаралды 5 М.
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН