hii nimeipenda kuliko "Bahati katika mafanikio ni pale ambapo maandalizi yanakutana na fursa" you are so smart Nanauka.
@khadijakisingo79202 жыл бұрын
Joel nanauka umenibadilisha mno ww ni mwalimu wng najifunza mengi sana nikiwa hapa Oman haipiti cku bila kusikiliza🙏🇹🇿🇴🇲
@joelnanauka2 жыл бұрын
Ahsante sana Khadija, nashukuru kuendelea kunifuatilia.
@nassibugodfrey14052 жыл бұрын
Mwalimu Joel Nanauka Siwezi kukusahu kwenye maisha yangu
@danielsimwanza10462 жыл бұрын
Ja usipokuwa na marafiki kabisa unaweza kuendelea
@felistersylvester97702 жыл бұрын
Mungu akuongeze zaidi na zaidi Pastor joel nanauka hakika nabarikiwa sana na mafundisho yako tangu nimeanza kusoma vitabu vya maisha yangu yamebadilika 🙏
@frankbenandi87642 жыл бұрын
ansante sana joeli hakika kwangu umekua baraka mnooo mungu namuona kupitia wewe nanajitaidi kuishi mafudisho yako vitabu yvako vyote ninavyo namshikuru mungu kunipa ufahamu wakukuerewa 🙏 joeli enderea kutafta maarifa mengi zaidi maan wengine tunakuangaria wew
@joelnanauka2 жыл бұрын
Nashukuru sana l
@JamalPaulo-jt1ju3 ай бұрын
Joely NI WEWE LAFIKI PEKEE NILIKUA NIMESUBILIA KWENYE NDOTO ZANGU .p6&❤️
@kelvinsanga36142 жыл бұрын
Asanteh Sana kaka Joel sifa za malengo nimependa mno Sijuti kukufahamu kaka Daima nitaendelea kukufwatilia
@MRLIO-gy7zy11 күн бұрын
bro ur so minded enoughly kuna vitu kwa akili ya kawaaida huwez elewa mpaka upate akili za ziada ndo utuboe kiukweli unatupa motivation za kutafuta life
@shawejimnipera29372 жыл бұрын
Umefanya ndoto yangu saizi kila mtu aione the big vision nilianza na kuku 10-50-100 up to 500/600 sasa. Asante sana never disappointed
@joelnanauka2 жыл бұрын
Hongera sanaaa
@zamopazi-dr1tk Жыл бұрын
Kuku hao ni wa kienyeji au kizungu?tuelimishane ndugu. Mi mwenyewe nipo kwenye straggle ya ufugaji kuku.
@glorydenis51112 жыл бұрын
Hivi watu Kama Joel nnauka dunia inawachukuliaje .... Kwanza niwapongeze radio mawingu kuandaa huki kipindi. Bravoo kwako Mwalimu wangu Na Mwalimu wa wawatanzania Nakuona unakwenda kuwa Raisi wa Nchi.
@felsonsanga85027 ай бұрын
Nikweli KABISA
@victaeliud9482 жыл бұрын
sikufahamu kwa kila kitu kaka Nanauka! ila nakukubali sana...kama ingekuwa inawezekana kuku cut and paste basi mi ningekuwa wa kwanza...ila ndo hivo tena kila mmoja kaumbwa kivyake...but you are so blessing to us. nakupenda sana
@dennischelula97992 жыл бұрын
Asnte sana Joel kwa ushauli wako huu mungu akujalih afya njema uzidi tufundisha kila siku
@a.p.monlinetv35612 жыл бұрын
Ahsante Sana Mwalim Joel Arthur Nanauka nayapenda Sana mafundisho yako maana yananisaidia Sana kwa kias kikubwa Mwenyez Mungu azid kukulinda
@joelnanauka2 жыл бұрын
Nashukuru sana Alex, tuendelee kujifunza
@edithakalemwa62982 жыл бұрын
Namshukuru Mungu Kwa Makuu anayotutendea,binafsi nimesikiliza sana nyaraka mbalimbali kuhusu fedha lakini Nina changamoto kubwa sana ya kifedha naomba msaada wako nifanye nin?
@kennethmahanyi16532 жыл бұрын
Ahsante kaka kwa somo lako hakika nmekuelewa sana shukran sana MUNGU azid kukupa maarifa kwa ajil ya kutupa na uwe na afya njema
@joelnanauka2 жыл бұрын
Ameen Keneth, nashukuru kusikia hivyo🙏🏼
@alexbushishi83422 жыл бұрын
Ubongo umeumbwa kufanya kiholela
@felsonsanga85027 ай бұрын
Nanauka ubarikiwe unaakili sana,licha ya kwamba Mungu anakutumia
@lightnesskashi32262 жыл бұрын
Huwa naishi mafundisho yako na yamenibadilisha sana. Blessed Joel
@joelnanauka2 жыл бұрын
Nafurahi kusikia hivyo Lightness
@devotastambuli8642 жыл бұрын
@@joelnanauka qqq
@devotastambuli8642 жыл бұрын
@@joelnanauka aaa
@isayaanthon72652 жыл бұрын
You are so good brother. Mafundisho yako ni halisi kabisa. Mungu azidi kukuinua.
@rudovickmodest32532 жыл бұрын
sijawai kukupinga bro be blessed amina
@evastesheni80242 жыл бұрын
Hongera kwa mada nzuri, nami nakuja na wazo ambalo nimeliwaza kuhusu maendeleo, likae katika maandishi then nishare na watu. Nitakutafuta.
@babaloisethan70102 жыл бұрын
#JoelNanauka Wewe Ni Zaidi ya Zaidi,You mean so much in my life..Kuna kipindi nilisikiliza video zako mpaka ideas zako zikawa zinazunguka Kwenye Damu,Na kwa Mara ya Kwanza Nikaanza Kufanya Biashara... #Nguvu ya Malengo iko kwenye tabia.
@robertmafie79082 жыл бұрын
Najifunza vitu vingi xanaa kutoka kwako kaka Joel big up xanaa kwako
@charlesjustine58122 жыл бұрын
Shukrani sana kaka, mwenyezi MUNGU akupe maisha marefu sana, ili tupate hii neema ya kujijua zaidi, wengi tunachelewa kufanikiwa katika maisha yetu kwasababu tumechelewa kujua maarifa hayo
@rashidkhamisjuma3714 Жыл бұрын
huyu jamaa yko vzr sana
@muswahilianouvaDingi2 жыл бұрын
Najuwa utasoma. pls nipo south Africa nakufataka sana
@joelnanauka2 жыл бұрын
Karibu sana 0756-094875
@worldofpeace38982 жыл бұрын
Life coach.... umekuwa kiongozi wangu... nimekuwa na hekima mpk watu wananishangaa sababu ya mafundsho ako... Mungu akutunze
@daniellepari45252 жыл бұрын
Ahsante sana ndugu jeol Nanauka kwa elimu yako nzuri ushauri wa mwisho umenielimisha sana nitaifanyia kazi kama ulivyo nishauri mungu Akubariki
@comrademlewaisavile3362 жыл бұрын
Elimu unayotupa ni zaidi ya Elimu bure 🙏🙏🇹🇿💪🔥
@neemalaurent983622 күн бұрын
Nitaweka malengo yangu binafsi, Nitaweka kipaumbele yaani break through goal Nitajikita kwenye lengo moja Kujijengea ujuzi
@FelixMyuki3 ай бұрын
Nashkuru nanauka kwakunipeleka katika ulimwengu mpya
@sulleyally50402 жыл бұрын
Hivi ndio vipindi vya kusikiliza hingereni sanaaa
@G-JMK692 жыл бұрын
Thank you so much mr. Miaka miwili na nusu ijayo nitakua star mkubwa sana known as "mangi more" and i will thank you again 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@pascalkasandakasela45412 жыл бұрын
Leo Sam na James tupatupa wamekutendea haki ni mara chache sana vyombo vikubwa vya habari kukupa nafasi kubwa kiasi hicho hasaa kwenye mambo ya msingi kama hayo. Ni mahojiano bora sana kwangu. Yanayofatia dar24
@ramabizo4tizo4162 жыл бұрын
Joel nataman kila kauli yako niiweke status, kila neno ni fundisho aisee
@selemanramadhan3279 Жыл бұрын
Ni kweli bro Kama ulivyosema penye changamoto ndipo penye fedha!!
@gtubgxuxj69062 жыл бұрын
Asant san kak umenibadilisha mno kwenye maisha yangu🙏🙏🙏🙏🇸🇦
@catherinemzurikwao32652 жыл бұрын
Kaka Joel uko very smart. I like you, God bless you.
@gmaemba222 жыл бұрын
Kaka wewe mkali sana.. Nakukubali kwa asilimia 102 naomba tuwasiliane nahitaji msaada wako
@mohamedkudura8114 Жыл бұрын
Allah AKUPE AFYA NJEMA Na umri mrefu wenye mafanikio katika uislaam
@neemankya55512 жыл бұрын
Always i appreciate your work you're more than a teacher to me..... I've done a lot of things because of what I've been learning from you
@African5112 жыл бұрын
Mungu asante kwa kumleta huyu Joel nanauka,kwa wakati.
@nestorykeja39972 жыл бұрын
Ahsante sana kiongozi nimejifunza nawezaje kupata vitabu mkuu
Asante sana ndugu Joel najifunza Mambo mengi kwako nikiwa US
@joelnanauka2 жыл бұрын
Ahsante kwa mrejesho, tuendelee kujifunza.
@judithsalvatory28922 жыл бұрын
Kaka Joel shida yangu kusoma vitabu nimenunua vitabu vyako navipenda sana nimeisha vinunua tatizo kuvisoma.Hii mada imenigusa
@hassanihassani7154 Жыл бұрын
Asante kaka joerl tuko tabora tunakufatiria
@mikikimikikitv63762 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuzidishie baraka. Umenijenga sana
@mussalulenga99392 жыл бұрын
Ndugu yangu nimejikuta ni kama vile sina marafiki Isipokua nakua kalibu na wafanya kazi wangu ndo wanaonizunguka
@kijeshiabdalla63162 жыл бұрын
Mungu akubarki kwenye kazi zako Joel nanauka🙏
@christopherlivamba91112 жыл бұрын
You're very influential People on the world,, Jah bless you!
@bukuruphilibert29686 ай бұрын
Mungu akuinue kama Yusuph
@sajumahelatz3972 жыл бұрын
Daaah kwann nashindwa kuacha tabia ya kucheza kamali 😭😭😭Bro naomba msaada wako maana pesa zangu zote zinaishia huko pia nimejarbu kuacha ila imekuwa ngumu sana,plz nisaidie kaka
@vipbeautypoint62512 жыл бұрын
hiyo Ni roho ya kukufilisi, unahitaji maombi
@yusufuheri65242 жыл бұрын
My brother from another mother video zako huwa zinanisaidia sana yahni nime download video zako zaidi ya mia tatu na sijawahi kukinai kuziangalia kwasababu mawazo ya tofauti tofauti ni sauti ya mungu
@joelnanauka2 жыл бұрын
Aisee hongera sana, nafurahia kusikia hivyo
@sudaisathman3831 Жыл бұрын
Upo sahihi dadangu khadija mm nisipomsikiliza Kwa siku nahisi kama nimepoteza siku yangu
@user-en6dk7et2x2 ай бұрын
Barikiwa sana kwa mafundisho ya msingi
@papyprosper89222 жыл бұрын
Asante Brother Naomba Ile Video ulikuwa unaongerea Refreshing Power na Kadharika nimekosa Title Please nilisikiliza u was Busy But for almost 6months sijayiona tena Asante
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
Aisee!! Huyu mwalimu hatari...
@testarguy86092 жыл бұрын
Iko sawa ngoja niishi nayo hii 2022
@kensamwelperopuk2 жыл бұрын
very good educative and mind opening discussion, pongezi kwenu wote
@joelnanauka2 жыл бұрын
Shukrani Ken
@violethmapunda35002 жыл бұрын
Umenijenga sana bro Joel mungu azidi kukutunza na sisi tuzidi kufaidi mafundisho yako.
@azmamasala62762 жыл бұрын
Nakufuatia sana nashukuru Mungu unisaidia Mwenye ezi Mungu akulipe mazuri .
@asiaa65732 жыл бұрын
Asnte kaka joel kwa kuzidi kutufungua akili Mungu azidi kukutunza kwa ajili yetu
@abdulazizzali62182 жыл бұрын
joe kwa sisi ambao tupo zanzibar tutapataje vitabu vyako natumai utanijibu nataka sana vtbu vyako nisome ila nipo visiwani
@robertjisandu56 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na mada hii
@eliamakere30892 жыл бұрын
sam ww ni mtangazaji lakn hujui kuuliza maswali,lakn pia unapoteza muda mwingi kwenye kuuliza maswali...pia acha tabia ya kiswanglish na kingereza hujui....alienifurahisha kati yenu ni joel nanauka..brother joel barikiwa sana brother..
@epifaniamilinga28482 жыл бұрын
Unamwonea,anauliza maswali ya kumsaidia mwingine
@paulfrnck50832 жыл бұрын
Joel ntashukulu sana nime ununuwe vitabu vyako vinanisaidia sana kwakutimiza Marengo yangu
@mathiasvicent99552 жыл бұрын
Kaka yangu mimi hongera sana
@essaukinunda31982 жыл бұрын
Kaka fanyia kazi na reference za kiafrika kama zipo...
@nehemiahmissanga Жыл бұрын
You are my good role model
@mshigilakarume44252 жыл бұрын
God bless you bro
@hezronmangulamangula97182 жыл бұрын
Nafanikiwa kwa mawazo yako joer mungu akuweke
@ameirzapy13182 жыл бұрын
Thanks Joel , tunajifunza vizur sana.
@husseinally60562 жыл бұрын
nakusoma sn kaka. #Mungu akuzidishie elim
@saumually35622 жыл бұрын
Loh!! Ghafla nimepata uoga wa kufungua Diary yangu🙍🙍🙍 Maanake Nothing nlicho kiandaa😪😪😪😪inabidi nianze upya na si kazi ndogo🤦Ubarikiwe kaka joel
@joelnanauka2 жыл бұрын
Haujachelewa kabisaa
@gracesimon98012 жыл бұрын
My Mentor! What i love the most about u is learning & laughing at the same time! I enjoy the teachings!Stay Blessed
@dismasshirima6822 жыл бұрын
Ap
@user-my9hc6uf9l Жыл бұрын
"...waliofaulu maishani wengi ni waliofeli darasani sio kwamba hawakuwa na akili,bali mfumo uliowekwa ndio ulishindwa kuelewa kilichomo vichwani mwao" Hahahaaaa! Nimejifunza kitu kikubwa sana.
@kijamalimi75072 жыл бұрын
My role model
@nipapy95372 жыл бұрын
Nimesaidika sana na mafundisho yako kaka je mtu akiwa Kenya anawezaje kupata vitabu hivyo (nisaidieni kuvipata)
@joelnanauka2 жыл бұрын
Watsapp 0756 094 875
@mooy77452 жыл бұрын
Very educative and insightful interview Mr. Joel Nanauka. Don't stop educating people. However, the person who is in the middle of you two people shows lack of seriousness and unprofessionalism! He should stop using his phone while on air!
@pilichuli44492 жыл бұрын
Barikiwa sana sana
@manofgod4471 Жыл бұрын
Points mumgunakuweke sana nataman siku mona nije nishuhudie mafanikio yangu kiukwel najifunza
@TheSalma19992 жыл бұрын
Asante sana kaka kupanga malengo
@manenolugendo63962 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana
@yumbujackson8692 жыл бұрын
Great future message, God bless you.🙏🙏🙏
@alexbushishi8342 Жыл бұрын
Naendelea kupata madini tena na tena.
@hezronmangulamangula97182 жыл бұрын
Kweli naogopa kupoteza mtaji nijipangaje hapo joer nimepambana mbaka nimepata mtaji na lengo ni kujenga nyumba nzuri
@halimaramadhani9792 жыл бұрын
It's stupendous motivation stayed blessed and Allah grant your journey of inspired us
@chrissmalloy92 жыл бұрын
Sawa brother
@arstonodidier45722 жыл бұрын
Thank you so much pastor
@dannymoshi41442 жыл бұрын
God bless you more Bro
@jacksonwillison40722 жыл бұрын
Exactly
@maryamgalu55232 жыл бұрын
Brother Joel is very smart good bless you
@shukranjulius95262 жыл бұрын
Amina barikiwa zaidi kaka
@anithamichael46942 жыл бұрын
Thanks, bro Joel
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Thanksfull brother 🥰
@hezronmangulamangula97182 жыл бұрын
Naipataje hicho kitabu nakihitaji
@neemalaurent983622 күн бұрын
Mfumo wa uwajibikaji Kuambatana na mtu asie sahihi