JPM:MAKONDA/"NILIKWAMBIA UACHE TAMAA/NILIJUA UTAKOSA KURA ZA MAONI KIGAMBONI"

  Рет қаралды 1,206,786

Crest Tv Tanzania

Crest Tv Tanzania

4 жыл бұрын

JPM:MAKONDA/"NILIKWAMBIA UACHE TAMAA/NILIJUA UTAKOSA KURA ZA MAONI KIGAMBONI"
#JOHNMAGUFULI
#TANZANIA
#KIGAMBONI
#NDUGULILE
#MAKONDA
#PAULMAKONDA

Пікірлер: 627
@felicianamutakyahwa1549
@felicianamutakyahwa1549 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukupigania baba yetu,wanao kudhihaki wasamehe bure maana ni wivu tu
@elithotweve6332
@elithotweve6332 4 жыл бұрын
Asante JPM Mungu akulinde utufikishe mahali Tanzania ya sasa na ijayo inapendeza na itapendeza sanaaa
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
Asante Sanaa Baba magufuri Mw/MUNGU 🙏 akujalie maisha marefu Zaid
@henryxavery1713
@henryxavery1713 4 жыл бұрын
Amen, Mkuu Wa Nchi.Mungu Mwenyezi akulinde Sana..
@pendotengele698
@pendotengele698 4 жыл бұрын
Ahsante mungu kwa kutuletea uyuuuu raisi
@raphaeltimoth5288
@raphaeltimoth5288 4 жыл бұрын
Kichwa cha habari tofaut na habari yenyewe ndo mana hatu subscribe wala comment tena no like
@leahsimba7159
@leahsimba7159 4 жыл бұрын
Mungu akubariki Jpm una Roho wa Mungu.
@ibydow187
@ibydow187 4 жыл бұрын
magufurioye.nakukubarisana.umeifanyatanzania Imebadirika.tunajivunia.sanababa.munguakueke.amina
@wasafat98
@wasafat98 4 жыл бұрын
😍 Mimi ni Moroccan kutoka Ufalme wa Moroko 🇲🇦 Ninaipenda sana Tanzania na ninawapenda watu wake.Nimekuwa karibu sana na wewe, watu bora zaidi duniani.Nimejifunza utamaduni wako, lugha, nyimbo, na kila kitu kwa sababu nakupenda na hivi karibuni nitakutembelea, Mungu akipenda, na nikawa balozi wako katika Ufalme wa Moroko hivi kwamba nilianza kuwaambia marafiki wangu mambo yote juu yako na baadhi yao walipendwa na wewe Kama mimi nakupenda na nitaendelea kufanya hivyo hadi nitafanya wale wote ambao najua wanaipenda Tanzania kama mimi kwa sababu wewe ndiye watu bora zaidi ulimwenguni na nimejua thamani yako na ninatamani kama ningekuwa na wanachama kwenye chaneli yangu ya asili ya kitanzania lakini kwa bahati mbaya sina mtu yeyote ambaye amejiandikisha kutoka Tanzania nakupenda watu wangu wa thamani zaidi katika moyo wangu wakuabudu Kila mtu ambaye damu ya Tanzania inatiririka na natumai kuwa utajiandikisha kwa kituo changu, wewe tu, watu wa Tanzania, hautapoteza kitu chochote ikiwa utaniandikisha, lakini sifa yake ni kwamba utanifurahisha sana, kwani watu 10 wananiandikia na wao ni kutoka Tanzania bora kwangu kuliko wanaosajili 1000 kutoka nchi nyingine, nataka Kuwa na familia kubwa kutoka Tanzania ndani ya chaneli yangu, wewe ndiye kitu cha thamani zaidi hapa duniani kwa sababu nakupenda sana na nimefurahi ikiwa nitawaona kwenye watangazaji wa chaneli yangu kutoka Tanzania na nitakuwa msichana anayefurahi zaidi ulimwenguni kwa sababu ni heshima kubwa kuwa na wanachama kutoka Tanzania Wakati na mtu yeyote anayetaka kufanya utalii katika Ufalme wa Moroko amekaribishwa nyumbani kwangu na salamu elfu nitakufurahi sana🤩
@pastorcarolicarlostokunmbo826
@pastorcarolicarlostokunmbo826 4 жыл бұрын
Haha nimeipenda
@ramadhanimohamedisheshe7073
@ramadhanimohamedisheshe7073 4 жыл бұрын
Karibia pia Tz.
@abdullahpongwa1537
@abdullahpongwa1537 4 жыл бұрын
Karibu sana Tanzania
@c-4839
@c-4839 4 жыл бұрын
Kiswahili murua, hongera
@mwitafabian9403
@mwitafabian9403 4 жыл бұрын
Karibu Sana Tanzania tunakupenda pia👏
@withongelenge997
@withongelenge997 4 жыл бұрын
Hongera ndg.fadhiri hongoli umeonwa
@linusjohn5950
@linusjohn5950 4 жыл бұрын
Saf sana Dr magufuli
@donussack2438
@donussack2438 4 жыл бұрын
Walioteuliea Ni askari wamiavuli. Hapa ni kazi tuu! Hongereni Sana.
@tzfarming3742
@tzfarming3742 4 жыл бұрын
Mungua akubariki magu....mkali wao
@sifuelinyaki3341
@sifuelinyaki3341 4 жыл бұрын
Nampenda sana mkuu anasemaga viwanda alafu anataja kimoja vingine havijui😉
@asmarajabu1008
@asmarajabu1008 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@pamelahaaahthreewifemweeem2141
@pamelahaaahthreewifemweeem2141 4 жыл бұрын
😂😂😂🚶🚶🚶🚶
@pastorcarolicarlostokunmbo826
@pastorcarolicarlostokunmbo826 4 жыл бұрын
Nakuelewa sana
@akilihabibu4203
@akilihabibu4203 4 жыл бұрын
Mheshimiwa rais MAKONDA ni mkuuwa mkoa wa tanzania na nimpambanaji kweli alitaka akaibadilishe kigamboni lakini MUNGU hakupenda kaanguka kwenye kura za maoni. Tunakuomba usimtupe tutupie hatauku KATAVI tunampenda kwa kazizake nzuri (amina)
@obedilaizer2228
@obedilaizer2228 4 жыл бұрын
Mavi yakoo
@bellamy_cc
@bellamy_cc 4 жыл бұрын
Mungu akubariki Mkuu wa Nchi
@annaantoni133
@annaantoni133 4 жыл бұрын
Your so good Makonda bado unanafasi wala MH hakuongelei wewe songa mbele heshimu mawazo Yake,mpende na utafika mbali ulijaribu na haukupat bado.unaweza umefanya mazur mkoa WA dar
@fredrickipembe6277
@fredrickipembe6277 4 жыл бұрын
Wamemfanyia hila is true makonda anafaa kwa kazi yoyote
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 4 жыл бұрын
Ni kweli ikiwezekana aende jimbo la Ukonga akapaweke vizuri Mimi Kura yangu itampata ninamwelewa vizuri ,mapungufu anaweza kuyaondoa maana ni kijana
@nikupyelesyantupwa6826
@nikupyelesyantupwa6826 4 жыл бұрын
Mtoto anakaaje tumboni
@mwinshame
@mwinshame 4 жыл бұрын
Kuandika héading ya uongo ni kuonyesha udhaifu wenu kielimu. Wapumbavu wakubwa. No ethic
@kweka14l35
@kweka14l35 4 жыл бұрын
Wanataka viewers wengi ndo maana sameandika uongo hapo ili watu waangalie
@mwanahamisnyenzi4429
@mwanahamisnyenzi4429 4 жыл бұрын
Wamenikera
@mrambamushi6720
@mrambamushi6720 4 жыл бұрын
Achen uongo mbn sjaona katamu vle kuligana na heading
@abelaize
@abelaize 4 жыл бұрын
tena ni ukosefu wa akili na kuharibu kazi yake. kisa trending he/she is very stupid hawa ndo wale ambao wnaharibu fani za watu zionekane bogas
@ismailyismaily8072
@ismailyismaily8072 4 жыл бұрын
Wapumbavu kweli mm nikionaga ujinga huu m2 unaandika kichwa cha habari chingine na taharifa nyie nachukiaaga washeni kweli hawa kichwa cha habari nyingine taharifa nyingine
@kelvinlwiva5380
@kelvinlwiva5380 4 жыл бұрын
MUNGU NI MWEMA! Ni ijumaa njema Mungu ameifanya, nakusalimu rafiki! Jana nilikuwa kazini kwangu, alikuja kijana mmoja ambaye anashutumiwa na wenzie kwa kukosa uaminifu, moyoni mwangu Mungu alinitazamisha kitu ambacho napenda kushirikiana na wewe leo. Yule kijana kabla ya hapo hakuwa na maisha mazuri, wale wenzie walimuita toka huko alikokua aje wafanye nae kazi, na kwa wema wa Mungu alifanikiwa kupata pesa zaidi ya 25,000,000/=, pesa ambazo zingetosha kufanya biashara za aina nyingi tu kwa hapa Tanzania, pamoja na kusaidiwa huko kote roho chafu ya kukosa uaminifu ikamuingia, akawaibia wenzie zaidi ya 90,000,000/=,baada ya kukamatwa ikabidi wachukue pesa zote pamoja na zile zake, akabaki sifuri! Nataka nikwambie, hiki sio kitu cha kawaida ni roho kamili ya umaskini, roho ya kuzuia kusonga mbele, habari njema ni hii, MUNGU NI MWEMA! Soma hii “Kwa kitambo kidogo nimekuacha; lakini kwa rehema nyingi nitakukusanya” Isaya 54:7. Pamoja na uovu wote wa huyu ndugu Mungu anaahidi bado anaweza kumkusanya tena na kumsaidia, na hii “Maana milima itaondoka, na vilima vitaondolewa; bali wema wangu hautaondoka kwako, wala agano langu la amani halitaondolewa; asema Bwana akurehemuye” Isaya 54:10. Mungu anataka kumrehemu mtu fulani leo, inawezekana wewe unayesoma huu ujumbe unashida kama ndugu yetu hapo juu, nafasi ya kufunguliwa na kuponywa mbali na roho hizo chafu ipo, chakufanya ni kumwambia Mungu niko tayari UNISAMEHE NA UNIOKOE, tubu kwa Mungu kwa kumaanisha na uache njia zako zote mbaya,hakika wema wa Mungu utadhihilika kwako, sikia hii “Bali wabaya wanafanana na bahari iliyochafuka; maana haiwezi kutulia, na maji yake hutoa tope na takataka. Hapana amani kwa wabaya; asema Mungu wangu” Isaya 57:20-21. Vinginevyo hutakaa utulie na ufanye unayotaka na kufanikiwa. TUBU LEO UUONE WEMA WA MUNGU WAKO, Amina! Nakutakia tafakari njema na Mungu akutokee. Kwa msaada zaidi piga: 0756-292-211 au 0711271110 Mwalimu kelvin Nathaniel Lwiva
@jipangemwambajatv3350
@jipangemwambajatv3350 4 жыл бұрын
Amina Rais wa watu
@alfredaloyce5310
@alfredaloyce5310 4 жыл бұрын
Hongera sana rais wetu mungu akupe maisha marefu
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 4 жыл бұрын
Hongera Sana mheshimiwa baba Yetu kuthamini ubora wa mtu na elimu yake na bidii yake
@zawadiwaziri3634
@zawadiwaziri3634 4 жыл бұрын
Hongera sn kwao... Sisi wengine tuendelee kuwa wavumilivu/wapole. Ipo siku yetu tuu
@hyasintarocky404
@hyasintarocky404 4 жыл бұрын
Nawaona
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 4 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana baba yetu katika jina la.Yesu Kristo
@mudibendera9397
@mudibendera9397 4 жыл бұрын
Safi sana magufuli
@stevenmkuwa9995
@stevenmkuwa9995 4 жыл бұрын
Nakupenda sana rais wangu
@venancemengo574
@venancemengo574 4 жыл бұрын
duuh kweli kaz kaz TZ
@hassanmsangi3554
@hassanmsangi3554 4 жыл бұрын
Mungu hamjalie maisha marefu mfalme wetu wa nchi hana waku fananishwa nae tumuombee hawe na afya nzuri na nguvu achape kz jembe letu
@josephatkaganda267
@josephatkaganda267 4 жыл бұрын
Nakukubali Sana baba JPM
@silvesternicas8555
@silvesternicas8555 4 жыл бұрын
Sylvester Nicas,Hongera mheshimiwa Rais kwa kumtanguliza Mungu juu ya ukweli wako we ni BABA LETU Ubarikiwe
@jeremiahmosi3105
@jeremiahmosi3105 4 жыл бұрын
Tunaye Rais Makini sana
@tevintevin6254
@tevintevin6254 4 жыл бұрын
thats very true about njombe Thank you magu
@dominickbugerula352
@dominickbugerula352 4 жыл бұрын
Good sanaa honorable JPM
@dominamollel6753
@dominamollel6753 4 жыл бұрын
Never give.up Makonda, That was God's something good is behind you! Endelea kumtegemea Mungu..mti Wayne matunda siku zote hupigwa mawe.
@farajaoyoo9675
@farajaoyoo9675 4 жыл бұрын
Faraja
@herimoshi3550
@herimoshi3550 4 жыл бұрын
Aisee Huyu Mh JPM ameshushwa na Mungu, Mungu akutunze President wetu, hivi hata kama ulikuwa huipendi CCM , kwa sababu za msingi kabisa, hivi Kweli kuna sababu yoyote kweli yakutomkubali President JPM ! Aisee ni way mimi sikuwahi kuipenda CCM but with Magufuli kura zangu zoteeee, nilichokiona kwenye hizi kura za maoni ni dhahiri kweli JPM amekibadilisha CCM , ile demokrasia iliyokuwa imechimbiwa chini sasa ipo wazi, wale wazee wa rushwa rushwa Safari hii hawana lao, Viva JPM.
@patrickrobison7091
@patrickrobison7091 4 жыл бұрын
Nataman sana ccm ibadilishiwe jina kwa sabab ya kaz nzur anazozifanya mheshimiwa Rais Magufuri maana siyo ya enz za ccm tena,
@mtopwaally8733
@mtopwaally8733 4 жыл бұрын
Unajua maana ya kushushwa ww?
@abdulrahmanngaluma3768
@abdulrahmanngaluma3768 4 жыл бұрын
Mmmh umerogwa wewe
@ericmlisho3453
@ericmlisho3453 4 жыл бұрын
Oijjjjjioirijrijrjuj
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 4 жыл бұрын
Heri Moshi tumia akili zako kwa faida kwa hv baadh ya watu wanavouawa INA maana huyu kashushwa na Mungu kumbuka ,,,AQULINA WW
@bizuwena623
@bizuwena623 4 жыл бұрын
Huu ni wizi mnatuibia muda pamoja na mb.Hata kama taarifa ya Mh Rais ni nzuri msidanganye ktk kichwa cha Habari.taarifa nyengine
@mrmahmoud1278
@mrmahmoud1278 4 жыл бұрын
WALE WALIOCHUKIZWA NA HILI tu UN SUBSCRIBE SOTE
@priscuschuwa3138
@priscuschuwa3138 4 жыл бұрын
Ukweli hii ni mbaya Kabisa.Kuudanganya uma kwa kichwa cha habari then content ni kitu kingine kabisa inawapotezea credit yenu kabisa.Watu wengi tutapoteza interest ya kusubscribe post zenu.Kumbukeni kuwarudisha wateja wenu itawacost sana.Hii haikubaliki kabisa.Ni upuuzi mtupu.Jirekebisheni mara moja.
@kyaruskbuberwa4589
@kyaruskbuberwa4589 4 жыл бұрын
pole sana mr Makonda usikate tamaa we kidume zidi kupambana
@babuallyabdallah2964
@babuallyabdallah2964 4 жыл бұрын
Kwa upuuzi huu wa kuongopa. Mtazidi kuwaona wenzenu wapo juu siku zote.. Someni kwa Milard Ayo, Global nk
@lydiambila5205
@lydiambila5205 4 жыл бұрын
Nakuunga mkono... ni kutojiamini.....WANAONESHA UDHAIFU WA HALI YA JUU SANA.
@mpendwamillanzi7166
@mpendwamillanzi7166 4 жыл бұрын
Ni wajinga
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 3 жыл бұрын
KWELI MKUU
@alikombo2980
@alikombo2980 4 жыл бұрын
Mungu amjalie Aisha Mmaka Hamadi Ashinde
@alexmwanyanyala3978
@alexmwanyanyala3978 4 жыл бұрын
thankx
@allythomass9285
@allythomass9285 4 жыл бұрын
Tatizo watu wanapenda sana mada kesi
@kulwainnocent5162
@kulwainnocent5162 4 жыл бұрын
Magu wewe ni nomaaa
@b.truthful
@b.truthful 4 жыл бұрын
I salute you Mr. Magufuli wewe ni mfano bora kwa viongozi wa Africa uchaguzi ni mapito tu ila wewe ndie utakae endelea na uongozi maana juhudi zako kwa Watanzania ziko wazi na bado Taifa la Tanzania lakuhitaji
@amosndakama3773
@amosndakama3773 4 жыл бұрын
Pole Sana kijana Paulo ungeenda kuogombea Jimbo la missungwi nadhani ungeshinda
@selemanitukopamojaabaini1190
@selemanitukopamojaabaini1190 4 жыл бұрын
Baba jesca Rais wangu mungu akulinde tyuu
@alexmitwe21
@alexmitwe21 4 жыл бұрын
Mungu akutangulie na upite tena
@annamosha2800
@annamosha2800 4 жыл бұрын
Nipo upizani lakin nakuamni sana na nakuombea
@tumainiagoro605
@tumainiagoro605 4 жыл бұрын
The issue is not blood relation ..the issue is performance...Thank you JPM
@goldenfuturemovie39
@goldenfuturemovie39 4 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/i7ennd2cndmzaKM.html
@jacksonmlula5281
@jacksonmlula5281 4 жыл бұрын
Yes , That's what we need at all
@neemanjau7152
@neemanjau7152 4 жыл бұрын
Jamani minampenda Sana huyu raisi .niwapekee.sana.munguampe miakamingi
@mudhihirumikidadi6066
@mudhihirumikidadi6066 4 жыл бұрын
Hongera sanna makonda ndo demokrasiyahiyo
@nickoomben8128
@nickoomben8128 4 жыл бұрын
Tamaa mbaya
@lamsonkilave5750
@lamsonkilave5750 4 жыл бұрын
Tamaa ilimponza fisi
@noeldickson7078
@noeldickson7078 4 жыл бұрын
kabisa mkuu
@cornelfaya3746
@cornelfaya3746 4 жыл бұрын
Namkubali sana makonda kwanza anamsimamo, angepita tu uku tungemchagua bila wasiwasi
@felixngoya7246
@felixngoya7246 4 жыл бұрын
Wandishi wa vichwa vya habari wasenge kinachoongelewa ni tofauti kabisa wajilekebishe kuandika talifa zinazo ashilia yaliyomo
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Umetumwa
@MichaelJohnson-ow6me
@MichaelJohnson-ow6me 3 жыл бұрын
We unaemchagua makonda itakuwa unawekwa
@shanyabdul2386
@shanyabdul2386 4 жыл бұрын
Tunakupenda baba 💪💪ccm mbele kwa mbele
@winfridikomba804
@winfridikomba804 4 жыл бұрын
Namukubal Sana JPM atakama mm ni Chama pinzan ongera Sana mweshimiwa rais kwa jitiada zako kwa kuipigania Tanzania👏👏👏
@edgarlema8309
@edgarlema8309 4 жыл бұрын
Iyo habari ya makonda iko wapi sasa au mtoa habari kadata
@WAKRISTOKANISALAMUNGU
@WAKRISTOKANISALAMUNGU 4 жыл бұрын
Safi sana Rais wetu Magufuli.
@paulopetterchipalo5481
@paulopetterchipalo5481 4 жыл бұрын
Sawa mzee
@tizzoimotarity1330
@tizzoimotarity1330 4 жыл бұрын
Hongera sana mzee wetu Mungu aendelee kukulinda na maadui
@williamvalenzuela8888
@williamvalenzuela8888 4 жыл бұрын
Asiyesikia LA mkuu ---------- makonda!!!!!!.
@williamvalenzuela8888
@williamvalenzuela8888 4 жыл бұрын
Asiyesikia LA mkuu ---------- makonda!!!!!!.
@agnessmwendwa7542
@agnessmwendwa7542 4 жыл бұрын
Mungu yupo pamoja na we
@johanesdeocles6337
@johanesdeocles6337 4 жыл бұрын
Makonda poleni sana jipange Sikh nyingine
@mbagaproperty9010
@mbagaproperty9010 4 жыл бұрын
safi mheshimiwa
@liberatusemmanuel1654
@liberatusemmanuel1654 4 жыл бұрын
Ndio mzee mambo yako mazuri
@fatmambaroukmwalimu8404
@fatmambaroukmwalimu8404 4 жыл бұрын
Chamra kanta
@franklwehela7595
@franklwehela7595 4 жыл бұрын
Thanking to Mr.President,kweli naomba uiangalie Njombe yetu kwa jicho la pekee kabisa. Nimefurahi umeizu gumzia barabara ya Makete,naomba uongezee na barabara ya Njombe Ludewa pia. Karibu Sana mkuu mpya wa Mkoa,karibu Sana Njombe.
@rashidjumamohamed3437
@rashidjumamohamed3437 4 жыл бұрын
Issue sio ndugu Issue perfomance Safi sana Huu ndio uzalendo
@goldenfuturemovie39
@goldenfuturemovie39 4 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/i7ennd2cndmzaKM.html
@ibydow187
@ibydow187 4 жыл бұрын
johari.juma.porekakayangu.pomakondawasikuvunjemoyo.aowapambe.munguyunawekakayake
@rajabpembe7546
@rajabpembe7546 4 жыл бұрын
Kweli magu ni noma yn watumishi wote hao cv zao anazo kichwan co poa
@NkomokomoMedia
@NkomokomoMedia 4 жыл бұрын
Si vzr kuandika uongo kwenye heading
@amiridaz2569
@amiridaz2569 4 жыл бұрын
Makonda tumfikirie tu
@wiliminajustin7636
@wiliminajustin7636 4 жыл бұрын
Jaman
@mamaahmad8615
@mamaahmad8615 4 жыл бұрын
Mzee muheshimiwa kiukweli tunakupenda raisi wetu uko vizur mzee baba mwenyezi mungu akupe uhai mrefu
@agiasaidi5294
@agiasaidi5294 4 жыл бұрын
Amin, inshaAllah
@mussamgonda8953
@mussamgonda8953 4 жыл бұрын
Tamaa nimbaya sana makonda ulikuwa huliziki na unachopata umeyumba sanaaa yan
@phoibembwambo981
@phoibembwambo981 4 жыл бұрын
Makonda mungu yuko naweee
@samsonsimon7882
@samsonsimon7882 4 жыл бұрын
Never give up man!!!! you fail today you win tomorrow!!!
@benadolphabiandustan4109
@benadolphabiandustan4109 4 жыл бұрын
Mnamaliza mb za watu next time siangalii chochote mtakacho appload
@wistonlaizer5124
@wistonlaizer5124 4 жыл бұрын
Mungu msaidie makonda maana amejifunza kwa kweli hata Mimi nimejiongeza sana asante diwani mstaafu kata Sambasha Arusha DC WISTON Melakiti laizer
@mussarashidi6789
@mussarashidi6789 4 жыл бұрын
Wizry
@christinamwambola9329
@christinamwambola9329 4 жыл бұрын
Magufuli jembe, Mungu akulinde
@danieldugange8738
@danieldugange8738 4 жыл бұрын
JPM FOREVER.
@mkombozsanga
@mkombozsanga 4 жыл бұрын
tamaaa sio nzuri
@manyakuulaompondelo4419
@manyakuulaompondelo4419 4 жыл бұрын
ULIYEANDIKA KICHWA CHA HABARI HUNA AKILI KABISAAAAAA. NYIE NDO MNAHARIBU SIFA YA IDARA YA HABARI.
@immamlowe7151
@immamlowe7151 4 жыл бұрын
Ustaarabu sifuri kuandika kichwa cha wongo ni mapungufu
@adolphinakaiza3326
@adolphinakaiza3326 4 жыл бұрын
Hivi kwa nini msiandike ukweli!!!
@abasilihundu200
@abasilihundu200 4 жыл бұрын
Halaf pamoja na ujinga na uongo uliopostiwa lakini ipo kwny trending 🤣🤣🤣
@experiusstephen9167
@experiusstephen9167 4 жыл бұрын
Mti
@veronikamabula7101
@veronikamabula7101 3 жыл бұрын
Bora aliondoka Maswa,kwani aliwanyanyasa Sana wanyonge wa Maswa,hatufai kabisa!!!
@rashadallamki8862
@rashadallamki8862 4 жыл бұрын
Hahahahahaaaaaa Asante Makufuli tu nakupenda xxx
@mohamedmnemba4986
@mohamedmnemba4986 4 жыл бұрын
Ulioweka kichwa cha habar inafaa TCRA ikuchunguze
@dennisngonyani8594
@dennisngonyani8594 4 жыл бұрын
Kitakachombeba Makonda Ni performance yke,
@bestonlufyagila4741
@bestonlufyagila4741 4 жыл бұрын
vichwa vya habari viendane na kilichomo, mspende kuandika vichwa vya habari ambavyo havisadifu yaliyomo
@ramadhaninyangusi2028
@ramadhaninyangusi2028 4 жыл бұрын
Good
@salummwanjali3207
@salummwanjali3207 4 жыл бұрын
Ninapenda kumsikiliza sana mh,Rais kwa kuwajuwa viongozi anaowateua nje ndani na kuwatoa chini kabisa na kuwapandisha juu Mungu azidi kumuweka salama pasipo na misukosuko
@edinajoseph1533
@edinajoseph1533 4 жыл бұрын
Nice
@emanuelsinzo4915
@emanuelsinzo4915 4 жыл бұрын
huyu jamaa wa GeeMedia pumbavu sana kuna siku aliwah posti samata aweka goli Manchester United.
@fabianycharles3954
@fabianycharles3954 4 жыл бұрын
Da nilipenda Sana makonda achukuwe Jimbo lakigambon
@davidoboy9213
@davidoboy9213 4 жыл бұрын
Uyo u RC ulikuwa unamfaa sana sjui kitu gani kimempelekea akataka ubunge
@oscarmelo551
@oscarmelo551 4 жыл бұрын
Tamaa na kiongoz mwenye tamaa hatufai
@masuseleman978
@masuseleman978 4 жыл бұрын
Weh kigamboni ndo unapoishi ? Au unataka kuleta shobo tuh
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
nenda kampe
@sabunitv2121
@sabunitv2121 4 жыл бұрын
Hao wa chuo kikuu pia wanahitaji kupewa nafasi ili wawe matured!
@khabibumussa5663
@khabibumussa5663 4 жыл бұрын
Saw
@elithotweve6332
@elithotweve6332 4 жыл бұрын
Viva JPM
@giftvicent3827
@giftvicent3827 4 жыл бұрын
Noma sana
@abdallahyasin6829
@abdallahyasin6829 4 жыл бұрын
Hata ww mkuu hukukubali katiba mpya. Utaona inchi inaondoka mapema tuu Kwan TZ siyo wale wa ndioooo
@lemsanyajoel8360
@lemsanyajoel8360 4 жыл бұрын
Hongera Rais...wakati was kuapisha kweli una maneno mazuri yanayoguza moyo...mungu akutangulie kwa kila jambo
@MajaxiFx
@MajaxiFx 4 жыл бұрын
Kulala maskin kuamka tajiri
MAGUFULI AMPIGIA MKURUGENZI TAKUKURU LAIVU, AMFUKUZA KAMISHNA WA MKOA!
13:52
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 16 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 19 МЛН
MASANJA AIGIZWA LIVE NAYE AKIWA HAPO HAPO
14:23
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 902 М.
[FULL] Isi HP Dibuka, Kasus Vina Auto Terbongkar! - Rakyat Bersuara 06/08
1:56:09