"Tusileteane Ujinga Ujinga hapa, Kuanzia leo wewe sio Mkuu wa Idara" MAKONDA amtumbua Mkuu wa Idara

  Рет қаралды 87,522

Habari Digital

Habari Digital

Ай бұрын

Пікірлер: 198
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Ай бұрын
Makonda safisha wote hawana maana rushwa tu..Hongera Makonda
@vicentnyanda828
@vicentnyanda828 Ай бұрын
Hahahaha
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 13 күн бұрын
Mungu akulinde Makonda,takuombea muno
@kartelgizemc1590
@kartelgizemc1590 Ай бұрын
Anaesema makonda anafanya maigizo ni mwehu,,
@ashakijaji5869
@ashakijaji5869 Ай бұрын
Kwa kweli Arusha wamepona stress mbalimbali
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Ай бұрын
Mungu awatangulie katika kazi zako MAKONDA ❤❤ Watu wamejaa viburi mtu apokea mishahara alafu anajibu jeuri
@justinog3105
@justinog3105 Ай бұрын
Rakini Makonda Mungu akupe maisha marefu unaleta amani kwa wananchi nami nakupenda sana nikama umetumwa na Mungu saidia wa nyonge ❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@stocks2545
@stocks2545 Ай бұрын
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunahitaji mtu kama huyu Mr Makonda. Hata akae mwaka moja pekee atoe corruption na ujeuri ulio kwemye viongozi wetu🇰🇪🇰🇪
@breymbasa3451
@breymbasa3451 28 күн бұрын
Kenya pazito watamtegea na lolote limpate ili apotee kwenye uso wa dunia😢
@johnsonlekashu7901
@johnsonlekashu7901 20 күн бұрын
Pigweni kwanza mabom
@SalumuMashauri
@SalumuMashauri Ай бұрын
Mweshimiwa makonda mungu akurinde sana iribadaye uwe mkuu wanchi yetu
@davidfanuel3010
@davidfanuel3010 Ай бұрын
Mheshimiwa tunakuomba Geita, huku kuna mambo mengi ya rushwa tupu
@kasongoIDDi-mx7gz
@kasongoIDDi-mx7gz Ай бұрын
SAS wewe wa geita wakina msukuma anafanya nini uko hawapo
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 Ай бұрын
Shida tunaweka viongozi wajinga ofisini ndio maana yanatokea haya makonda Fanya kazi yako ya kuwatumikia watu.
@HamisiForogo
@HamisiForogo Ай бұрын
Anajibu kama katoka ku.......na mke wake eti hujui na mshahara unachukua weka ndani baba makonda piga kazi MUNGU akulinde
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Ай бұрын
Kuwa na watu serious kama hwa ni muhimu sana
@hurumajosephat6333
@hurumajosephat6333 Ай бұрын
Nan sasa yuko sereous mwanasheria au mkuu wa mkoa
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Ай бұрын
@@hurumajosephat6333 unayo akili ya kuelewa
@RamadanPaul
@RamadanPaul Ай бұрын
​mkuu wa mkoa.
@user-hh8xl4yc8m
@user-hh8xl4yc8m 23 күн бұрын
Big up Sanaa makonda✅✅
@shaban6644
@shaban6644 Ай бұрын
Hivi ndivyo inapaswa nchi iendeshwe, Makonda ni Mfano wa Kuigwa na watumishi wengine Serikalini.
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 Ай бұрын
Rais Samia asipodhibiti watendaji naona dharau inakomaa
@TabithaObellykasangila
@TabithaObellykasangila 7 күн бұрын
Mungu naomba akulinde kila hatua Mh.Makonda safi sana
@purchasesunshine2752
@purchasesunshine2752 Ай бұрын
makonda you are the best piga kazi
@CostantineChola
@CostantineChola Ай бұрын
Yaani nakuelewa sana makonda RC, wezi hawawezi kukuelewa ila utawashinda tu jipe moyo.
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
Ebo! hata kama ana kaimu you should know what the hell is going on around you
@user-hu9bf7nw4c
@user-hu9bf7nw4c Ай бұрын
Makonda hafanyi maagizo Bali ,anafanya Kaz nzur kwasabab ndio nafsi yke ilivyo kutenda haki kwa watu, ingekua maagizo mbna wengne mikoa mingne wakuu wa mikoa wapo wapo tu hawayafanyi hayo kama ya makonda kama ingekua maagizo
@mwanduelizabeth2282
@mwanduelizabeth2282 Ай бұрын
Hongereni sana wana Arusha kwa kupata kiongozi shujaa anayetetea haki za wanyonge.Mungu amewaletea mtu sahihi.
@KelvinAlfred-rc1hq
@KelvinAlfred-rc1hq Ай бұрын
Chuma kipo arusha Mtakunya moto
@MasseTv1
@MasseTv1 Ай бұрын
Hii sio quality nzuri ya video kwa ukubwa wa media yenu
@edwardshija9630
@edwardshija9630 Ай бұрын
Turudishie Makonda wetu Dar
@user-ty2kc5jy7s
@user-ty2kc5jy7s Ай бұрын
😂😂 acha ujinga wewe zamu Kwa zamu
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j 22 күн бұрын
Pambaneni na Mkuu wenu huko Arusha zamu yetu sasa😅😅😅😅
@user-se9no4rg3k
@user-se9no4rg3k Ай бұрын
Jamanii makonda
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Ай бұрын
Yaani mafisadi wangekuwa china ni kupigwa risasi tu, katiba ni muhimu sana kwa sasa
@emilianchibinda82
@emilianchibinda82 Ай бұрын
Watumishi mnajiaibisha,si Arusha tuu bali popote mlipo yanapofanyika haya.
@user-xl5xi1uq9z
@user-xl5xi1uq9z Ай бұрын
Wanyooshe tu makonda
@miriummbisse2278
@miriummbisse2278 Ай бұрын
Mungu yuko upande wako makonda mungu atapigana na wanaopigana na wewe usiogope chapa kazi
@Piscesblair
@Piscesblair 14 күн бұрын
We need serious leaders like this man in this country. Ana uthubutu unao takiwa.
@NeemaMasonga
@NeemaMasonga Ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukulinda, kukupigania na akupe afya njema, Makonda wetu.
@DaynessSteven-yr4ud
@DaynessSteven-yr4ud Ай бұрын
Mungu akulinde Mh makonda
@VictaLupenza
@VictaLupenza Ай бұрын
Hongereni Arusha mungu amewaletea neema
@petroyohana1126
@petroyohana1126 Ай бұрын
Makonda the leader 🎉
@ndolimanaamani9106
@ndolimanaamani9106 Ай бұрын
Mtu anajibu kibosi bosi
@ProudB719
@ProudB719 19 күн бұрын
Dharau na jeuri, Inasikitisha sana.
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 Ай бұрын
Mh.Makonda piga kazi. Mungu anatosha kukulinda kwa uadui wa hayo majizi yaliyotopea
@FrankMkome-df9bn
@FrankMkome-df9bn Ай бұрын
mungu baba mbariki makonda anachapa
@kulwankuba2785
@kulwankuba2785 Ай бұрын
Yaani nikose bando la kufuatilia makonda,nitaumia Sana
@barryrioba3934
@barryrioba3934 Ай бұрын
Ewe Mwenyezi Mungu Mpe Ulinzi Huyu Mtumishi MAKONDA Aishi Maisha Marefu Na Afya Njema ili Awe Imara Asaidie Wananchi Wengi Walioumizwa Na Viongozi Mashetani.
@HamisiForogo
@HamisiForogo Ай бұрын
Piga kazi baba MUNGU yupo anaona
@lucyanney5948
@lucyanney5948 Ай бұрын
Najiuliza sana sipati jibu,,,,hivi mtu anapewa nafasi na ndio anapata chakula kwa kulipwa mshahara,,,ila anashindwa kuielezea na ndio kazi yake kila siku,,,aisee watendaji hawapo siriuz
@user-xr8qv9mw9v
@user-xr8qv9mw9v 24 күн бұрын
Twakupenda san mungu akupe maisha marefu
@jerryshah4880
@jerryshah4880 25 күн бұрын
This guy is a great administrator.
@generosennko8343
@generosennko8343 18 күн бұрын
Arusha oyeee. Yaani nawaonea wivu at the same time najisikia raha sana kila nikimuona kiongozi kijana wetu makonda. Wala rushwa, waongo, wavivu mshukuruni mungu. Huu ni wakati wa ukombozi kwenu. Muda wa kunyooshwa umewadia. Tena mumpe heshima yake mkuu wa mkoa
@pauloipanga7881
@pauloipanga7881 Ай бұрын
Mimi namwombea mungu aka tu miaka miwili juu monduli juuu
@albastarmkawa-gx8pg
@albastarmkawa-gx8pg Ай бұрын
😂😂😂makonda anawapeleka mchakamchaka
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 Ай бұрын
Makonda mm nakupenda bana
@GeorgeGibson-pi3xi
@GeorgeGibson-pi3xi 21 күн бұрын
Hekima Bro,Maamuzi yafanyike Hila Utashi Wa KiMungu Pia Ukumbukwe.Toa Nafasi Ya Kusikiliza Jambo Kwa Kina,Shirikisha Washauri Wako Maana nao Wana lolote La Kukujuza(Naamini Wao Sio Empty Buckets).Vijana Wenzako Hao/Wazazi Na Walezi Kama Wewe🎩
@wilsonsamike535
@wilsonsamike535 Ай бұрын
Kuna mtu simuoni kufika mbali 😮😂😂
@reginatyler5849
@reginatyler5849 29 күн бұрын
Mungu akupe Maisha marefu Muheshima Makonda
@user-tk4es1uw7e
@user-tk4es1uw7e Ай бұрын
halmashauri tariban yote nchini shida kubwa
@user-zp9qw7oi5w
@user-zp9qw7oi5w Ай бұрын
Uko sahihi huko Jamaa mjinga alitaka kujifanya mjeuli
@YonaNgoka
@YonaNgoka 12 күн бұрын
Uje ata tukuyu mweshimiwa kuna wala rushwa weng sana
@FunnyHikingWaterfall-wv7dc
@FunnyHikingWaterfall-wv7dc 9 күн бұрын
Tky tena
@philipombwambo1980
@philipombwambo1980 Ай бұрын
Kuna kitu hakipo sawa hapa muda utaongea
@AsiaNgoleka
@AsiaNgoleka Ай бұрын
Unaheshimisha nchi mheshimiwa,wakuu wa mikoa baadhi yao hulea maovu wewe unakitendea vizuri cheo chako hongeraaa chapa kazi baba,kuna uozo mkubwa ktk halmashauri na watendaji au wataalamu wengi.
@ericfelician7996
@ericfelician7996 Ай бұрын
Safi sana makonda wazembe hawa hawatakiwi
@FatumaMombo
@FatumaMombo Ай бұрын
Ukimaliza hapo njoo Manyara pia
@user-kt2qo4dn5c
@user-kt2qo4dn5c Ай бұрын
Huyo naye kaingia 18 za Makonda
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 Ай бұрын
Yani haya mambo yangekuepo tokea zaman aise hata taa za barabarani zisingekua za Sola,lami ingekua standard,mashamba ya miti yangekatwa ovyo,umeme usingekua wa mgao. Hakuna kitu kinanuma kama pale Mtera umeme unatoka pale afu eti kuna baadhi ya wenyeji wa pale hawana umeme😭. Tunazidiwa na Rwanda walianzisha tokomeza nyumba za nyasi na ikawa yani Rwanda nzima haina nyumba za nyasi afu umeme wa kutosha🎉
@BarackaSamweli
@BarackaSamweli 20 сағат бұрын
Hiyo ngomaa ni yaa Kenya , 😂
@kasongoIDDi-mx7gz
@kasongoIDDi-mx7gz Ай бұрын
Sasa, wewe geita wakina msukuma anafanya nini huko hawapo
@salumjabir813
@salumjabir813 11 күн бұрын
😂😂😂😂😂....tanzania bhana..vituko kwel
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri Ай бұрын
Jamani jamani mhe RC Makonda hapo hakuna kipingamizi juu ya hao Wananchi kurudishiwa vibanda vyao. Na hilo ni jambo kubwa sana baya Nchi nzima kwenye utawala wa JPM ambapo watu wengi walinyan'ganywa kwa dhulma vibanda vyao Mhe RC Makonda jamani.
@Kanyikatv2610
@Kanyikatv2610 Ай бұрын
Viongozi Hawa mbona wanajibu kwadharau sana, futa kazi hao
@cosmaskulaya5297
@cosmaskulaya5297 Ай бұрын
Maigizo yamahamia Arusha na waarusha wanajaaa. Hamna kitu
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Ай бұрын
Utakuwa fisadi wewe au mtoto
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 Ай бұрын
Lipa madeni ya watu utakuwa na amani sir
@HamisiForogo
@HamisiForogo Ай бұрын
Hakunaga maigizo ya ivyo wewe una afya ya akili
@olivastephano2900
@olivastephano2900 Ай бұрын
We chizi nini maigizo yap
@bkkomesho9272
@bkkomesho9272 Ай бұрын
Tahira wewe, eti maigizo
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 Ай бұрын
😂😂 Gendere Katema Bingo hiyo
@agreykombe5396
@agreykombe5396 Ай бұрын
Nilishasema hamna mikoa korofi kama Arusha Kilimanjaro Kunawahuni walio shindikana
@PeterJohn-sg4oe
@PeterJohn-sg4oe Ай бұрын
Sawa, kwani ukaimu wa idara nn bwana! Tuache manyanyaso, Kaimu Mkuu wa Idara yuko vizuri
@titusmwele6885
@titusmwele6885 Ай бұрын
Ndiyo walewale yuko vzr kiaje,anaulizwa swali na mkuu wa mkoa analeta jeur, mbona kwenda kupokea mshahara anaijuwa tarehe,wewe mwenyewe hujielewi na huyo mkuu wa idara 😡
@Ali-zs5ed
@Ali-zs5ed 18 күн бұрын
Huyu mtumishi ni jeuri sana shush cheo huyo Kwanzaa hatufai kabisa
@Barakah2590
@Barakah2590 Ай бұрын
Uwogozi mzuri
@PeterJohn-sg4oe
@PeterJohn-sg4oe Ай бұрын
Kwa hiyo yeye anaweza ajili, anatoa promotion na demotion, utumishi wako wapi wakati watumishi wananyanyaswa?! Sheria na taratibu zikoje
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 21 күн бұрын
Makonda kazi ya kufukuza mtu kazi si yako
@kingngojea
@kingngojea Ай бұрын
Alusha mnakichwa kwerikwer mungu ambaliki makonda
@selector728
@selector728 Ай бұрын
Arusha sio Alusha,,kwelikweli sio kwerikwer,ambariki sio ambaliki
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j 26 күн бұрын
@@selector728😂😂😂😂
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Ай бұрын
Eewaaaa❤
@deborajulius7772
@deborajulius7772 19 күн бұрын
Kwani ameshakuwa na mamlaka ya kupandisha vyeo na kushusha
@AliAbdallah-yo8dx
@AliAbdallah-yo8dx Ай бұрын
Kweli wafisadi tanzania wapo hoi 😂😂😂
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz Ай бұрын
Tukitoka kufanya kazi na makonda ni faraja kubwa sana
@user-hu9bf7nw4c
@user-hu9bf7nw4c Ай бұрын
Makonda chapa Kaz ,safisha maana hao ndio wasumbufu ktk nchi hii kwakutotenda haki ,wataka kufanya Kaz kwa kujiskia pasipo kuwajibika
@HussainMaula-tz8dh
@HussainMaula-tz8dh Ай бұрын
Eeeeeeeeee Arusha mtanizeeeesha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@HamzaMbasha
@HamzaMbasha Ай бұрын
Arusha kuna madudu sana... Hile kauli ya Samia kipindi anamuapisha... Naona ni haya yanayofanyika...
@LovenessFedrick-cy9fh
@LovenessFedrick-cy9fh Ай бұрын
Umeshamfukuza basi kazi iendelee 😢
@user-yl2br2ts3i
@user-yl2br2ts3i Ай бұрын
chuga hyo chuga hyooo
@user-bn3kf7kk3u
@user-bn3kf7kk3u 17 күн бұрын
Makonda hoyeeeeeeerr
@valyagraphicstz799
@valyagraphicstz799 Ай бұрын
KZfaq yangu nikiingia tu ni MAKONDA tuuu
@user-cx1dw6vi2z
@user-cx1dw6vi2z Ай бұрын
mmh samahani naomba kuuliza hivi kwani huyu makonda ni nani serikalini ndio magu au
@dannyosolo2752
@dannyosolo2752 24 күн бұрын
MAGUFULI Part 2
@user-rt7kd9mo5v
@user-rt7kd9mo5v Ай бұрын
Ujeuri umemponza
@froma3732
@froma3732 Ай бұрын
Halafu anatokea mtu anasema Wananyanswa Ukifanya Utumbo unatarajia upewwe nin
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Ай бұрын
anaelalamika kavaa kofia ya ccm 😁😁
@petrochester7795
@petrochester7795 Ай бұрын
Hiv kigezo gan ambacho kinamzuia makonda kugombea uraisi
@success-only
@success-only Ай бұрын
Hewa 😂😂😂
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 22 күн бұрын
Inawezekana jamaa anapiga kazi ila akiondoka anayaacha officin
@Bugandotalents613
@Bugandotalents613 Ай бұрын
Ukifuata maneno utagundua vingi Ila kubwa ni kwamba viongozi na wapenzi walipoteleza
@mr.erickmwacha8575
@mr.erickmwacha8575 Ай бұрын
HERI JAMES umemsikia lakini??? mkuu wwa wilaya anakupiga majungu
@AbrahamSekuza
@AbrahamSekuza Ай бұрын
Kwa maoni yangu Dada atupishe 2025 ili tumheshimu daima Makonda anafaa
@thobiasshikome1993
@thobiasshikome1993 Ай бұрын
Bagorolange gete ngalu
@nwntz
@nwntz Ай бұрын
Je ulishanyimwq mkopo kww ajili ya historia mbaya ya kukopa😂😂😂😂😂dada mwenyewe sasa😂😂😂😂
@user-yf9yn8ym3k
@user-yf9yn8ym3k Ай бұрын
😂😂😂😂😂 nilijua namuona mimi tu
@nwntz
@nwntz Ай бұрын
@@user-yf9yn8ym3k 😂😂😂🙌
@AwaziRajab
@AwaziRajab Ай бұрын
Hata Mungu Anisamee Bule Yani Mdada Anaetangaza Mkopo Na Ilo Domo Analieka Upande Kama Yeboyebo Za Tatizo Za Mitumba Sasa Iyo Mikopo Itakua Vipi
@nwntz
@nwntz Ай бұрын
@@AwaziRajab balaa tupu
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Ай бұрын
Huyu mwanasheria jibu hawa ndio wala rushwa wakuu
@chaggaboi255
@chaggaboi255 2 күн бұрын
ndo raha ya cha arusha ukitumia unakuw umenyooka saana
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 Ай бұрын
Arusha neema imeingia.
@miriummbisse2278
@miriummbisse2278 Ай бұрын
Watumbue baba
@user-ty2kc5jy7s
@user-ty2kc5jy7s Ай бұрын
Cku rc akidhurika tu tunaomba serikali ianze na viongozi au watumishi wote wa Arusha waliotumbuliwa na paul makonda
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 16 МЛН
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 13 МЛН
Оказался НЕНУЖНЫМ и Его БРОСИЛИ🐶💀
0:38
ИССЛЕДОВАТЕЛЬ
Рет қаралды 4,6 МЛН
Ужасное свидание🤯 #стальноймужик #жиза #еда
0:50
SteelMan XXL | Стальной мужик
Рет қаралды 3 МЛН
У Тебя Есть 3 Желания! 😌 @NutshellAnimations
0:46
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 3,7 МЛН
育児6年目の韓国人父が娘と遊ぶ方法4 #shorts
0:11
ミョリムMyorimu
Рет қаралды 10 МЛН