Wito Wangu S07EP06 na Pd. Patrice John Oisso Ndemasi CP wa Shirika la Mateso ya Yesu (Passionists)

  Рет қаралды 6,067

Jugo Media

Jugo Media

Жыл бұрын

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/GDS87FVmKB5...
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+255757560764?text=NIUN...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+255757560764?text=Taar...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 27
@paulina.baynit7970
@paulina.baynit7970 Жыл бұрын
Hata mimi nilipomsikia kwenye novena ya pd.Pio nilimpenda sana huyu pd. na kila mara nilitamani hata wale ninaowapenda wafaidi mafundisho yake. Asante sana Jugo medea kutuletea pd.Patric.
@johnrizi5978
@johnrizi5978 Жыл бұрын
Hongera kwa intaview nzuri.
@denizakituli4714
@denizakituli4714 Жыл бұрын
Hongera sana kwa maongezi bora kabisa, yamrnifurahisha sana, nimemjua vizuri baba lakini maongezi yamekuwa kama mafunzo. Nimenufaoka sana kupitia maongezi haya. Mungu aendelee kumpa uhai na,nguvu aendelee kufungua watu wengi zaidi.
@antoniaandrewmaganga5547
@antoniaandrewmaganga5547 Жыл бұрын
Naomba namba ya ft. Patrice
@jescaaloyce545
@jescaaloyce545 Жыл бұрын
Kiongozi wangu wa Tycs Umbwe. Ubarikiwe sana
@charlesmoshi4411
@charlesmoshi4411 Жыл бұрын
Thank you fr. Nemeguswa Sana na maongezi yako ya kiimani
@kellymwandiga8953
@kellymwandiga8953 Жыл бұрын
Kipindi kizuri kwa kweli Hongereni sana Jugo Media Kwa uinjilishaji huu mzuri, na kutafuta watu sahihi kuonyesha dira ya Kiroho, Tafadhali naweza kupata nambari ya baba Padre kama ataruhusu!
@aidankombe6720
@aidankombe6720 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe na wanadamu tupate utakatifu
@breezy9ine
@breezy9ine Жыл бұрын
Asante, Fr. Kwa ushauri
@patricenyaanga8731
@patricenyaanga8731 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuongoze Kwa kazi nzuri ya unjilisti.
@andreakiberenge9481
@andreakiberenge9481 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana. Mungu awabariki.
@gonzalob7774
@gonzalob7774 Жыл бұрын
Nimefarijika sna kuiona interview yote kiukweli nilitamani isiishe hongera yko Mr Daniel kwa maswali mazuri pia Fr.Patrice ameongea mambo mengi mazuri yanayotia kiu moyoni ya kumkimbilia Mungu wetu kwa kila jambo, maana tupo hapa Duniani si kwa bahati mbaya bali kwa mpango wa Mungu
@jovitusrugahenda7139
@jovitusrugahenda7139 Жыл бұрын
Asante sana Padre Mungu akubariki sana
@meshackmtewele718
@meshackmtewele718 Жыл бұрын
Dominika ya Leo Fr.Patrice ametuaga kua amepata uhamisho anaelekea Jimbo la kondoa kuendelea Na utume.hakika mbegu alioipanda Kwa wanategeta Na Dar kwa ujumla hakika tutakukumbuka Lakini yote mema
@generosakinemo5490
@generosakinemo5490 Жыл бұрын
Nimebarikiwa na maelezo ya Fr Patrice Oisso. Baba Mungu akubariki na akutunze. Kwa nini hiyo elimu isifundishwe seminari kuu ili tupate mapadre ambao wanatoa huduma hiyo
@veronicashirima1309
@veronicashirima1309 Жыл бұрын
Hongera sana baba,kwa Utume mzuri
@peterclavery9989
@peterclavery9989 Жыл бұрын
Amina nimebarikiwa mno.
@gracendonjekwa1262
@gracendonjekwa1262 Жыл бұрын
🙏🙏
@generosakinemo5490
@generosakinemo5490 Жыл бұрын
Naomba no ya Fr Patrice Oisso
@anordalexanior2906
@anordalexanior2906 Жыл бұрын
Nimepend a saaan mafundisho ya Pr. Ndemasi Samahani. Ninamatatizo ya kifamilia Samahani naweza pata namba yake ya simu Ili niweze kuongea naye ili anisaidie naomba hilo. Asante
@edgarelikana7204
@edgarelikana7204 Жыл бұрын
Tunaomba mtusaidie Namba ya Father plz plz tunauhitaji
@reginawaryana2944
@reginawaryana2944 Жыл бұрын
Paroko ninaomba utembelee hata mkoani Mara musoma.
@benedictampery3275
@benedictampery3275 Жыл бұрын
Tunaomba number za kuwasiliana Padre
@calisterpeter8159
@calisterpeter8159 Жыл бұрын
Baba padre naomba namba yako baba
@aristarikimrina3830
@aristarikimrina3830 Жыл бұрын
Baba Padri naomba namba zako
@hermanbenard4040
@hermanbenard4040 Жыл бұрын
Axante xana fr
@odilongowi7019
@odilongowi7019 Жыл бұрын
BABA NINAKUELEWA SANA,KUNA NGUVU YA ROHO MTAKATIFU NDANI YAKO,ENDELEA KUNYENYEKEA ATAKUKUZA SANA REJEA YOHANA 3:30
Wito Wangu S07EP07 na Padre Romuald Rutagerekwa Mukandara
49:00
Jugo Media
Рет қаралды 1,2 М.
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 41 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 24 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 6 МЛН
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 29 М.
DRAMA!🔥 MARTIN WA JANET KWARIA THUTHA WA INTERVIEW YA RUTH WA MUM
8:57
E- KIKUYU NEWS Tv.
Рет қаралды 13 М.
MWIMBIENI BWANA - Kiambu Melodic Voices Ft.  Cedrick Lumiti
5:28
Kiambu Melodic Voices
Рет қаралды 10 М.
BREAKING NEWS: IG Koome resign
15:16
Caleb_Juma
Рет қаралды 183
خط التماس : الصافي سعيد
1:28:57
Shbebek - شبابك
Рет қаралды 73 М.
“DON'T WANT SUNBURN IN GOA”
6:32
Prudent Media Goa
Рет қаралды 1,1 М.
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН