No video

Jumba La Kifahari Lafurumishwa Na Bomoa Bomoa Dar

  Рет қаралды 181,032

SIMU. Tv

SIMU. Tv

Күн бұрын

Nyumba zaidi ya 20 zimebomolewa katika Manispaa ya Kinondoni kufuatia operesheni ya bomoabomoa jijini Dar.

Пікірлер: 147
@user-tr3bi1ry6t
@user-tr3bi1ry6t 4 ай бұрын
Hii imeenda
@zulekhaponti9353
@zulekhaponti9353 2 жыл бұрын
siyo vizuri ! wakisubiri watu kutoa vitu vyao ! na kuwapa haki ia.
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 5 ай бұрын
Ndio maana bora ule; ugali na mchicha
@ashanziku3498
@ashanziku3498 4 ай бұрын
Safi sana
@rahmaabdullah4538
@rahmaabdullah4538 7 жыл бұрын
Kesho kwa Allah kuna mengi mno subhana llah
@kamazimaishengoma5464
@kamazimaishengoma5464 7 жыл бұрын
Pole sana hakika hii ndo Tz yetu
@anthonympemba8262
@anthonympemba8262 5 ай бұрын
Mh waziri kazi nzuri mungu akulinde karibu mwanza kuna nyumba nyingii ambazo zimejengwa kwenye viwanja visivyo harari. Nyumba zibomorewe nazo
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 5 ай бұрын
Mungu mkubwa Allah Akbar huruma huzaa upendo na upendo huleta Amani viongozi kuweni na hekima kujenga kugum kama ni haki yenu basi Mwenyezi Mungu atakua na nyinyi
@ibrahimbutera201
@ibrahimbutera201 7 жыл бұрын
aisee! pole sana mamaangu
@maryamsinganomaryamsingano7938
@maryamsinganomaryamsingano7938 7 жыл бұрын
mungu atawahukumu nyie imani zenu nidhaifu mungu awatie imani familia hiyo
@nurujuma1897
@nurujuma1897 5 жыл бұрын
Hongeren Sana mlobomoa pole mwanamke mwrnzang Allah yupo
@omarymwigula5479
@omarymwigula5479 7 жыл бұрын
Hii sijui namba ngapi tunayo isoma ccm oyeeeeeee
@boniphacejoseph3389
@boniphacejoseph3389 6 жыл бұрын
Ni hasara kubwa sana kwa viongoz kukosa hekma na busara hii ni dhuruma ....serikali haiheshim mahakama ....haya mambo ya kubomolewa nyumba yasikie tu kwa mwenzio.
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 5 ай бұрын
Mungu amehukumu tayari, bora angeshauriwamwenye chake amlie kiasi😮
@linahsemindu9575
@linahsemindu9575 4 жыл бұрын
dah sitojenga maishani kwangu kote 😭😭😭😭😭😭nahis kama ni mm ningekufa kwa.plesha.kbc milion.500
@evaemil856
@evaemil856 5 ай бұрын
Wivu na dhuluma vimewazidi
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 7 жыл бұрын
Afrika kupata maendeleo tusahau. Nina masuali2 . 1.Sawa kavamia,jee kibali cha kujengea kakipata wapi? 2.Tangu alipoanza ujenzi serikali ilikua wapi? Wizara na sheha wa eneo wanafanya kazi gani.
@MaryamMaryam-nt5so
@MaryamMaryam-nt5so 7 жыл бұрын
aah africa yangu kweli nitatamani kurudi ikiwa hali ndio hiyo slali mchana wa ucku kwa kutafuta aah😢😢😢cyamin
@shaabanramadhan5402
@shaabanramadhan5402 7 жыл бұрын
Yaaan inauma inauma inauma inauma inauma inauma inauma inauma tena Sanaa lkn hyu Jamaa aliye pewa jukumu lakuvunja nyumba zawatu Sijui km ataachwa salama
@doramwantingo801
@doramwantingo801 7 жыл бұрын
Munguanguu mbona dhambi kubwa sana bila hata chembe ya huruma kiasi hiki...
@zuhuradmbonde3532
@zuhuradmbonde3532 7 жыл бұрын
Dah!inaumiza sana hii
@andrewnyumayo9306
@andrewnyumayo9306 6 жыл бұрын
poleni wahanga Mungu atawapa haki yenu.
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 5 ай бұрын
FIDDA HUSSEIN NI TAPELI WA NYUMBA ZA WATU
@haithamjuma6686
@haithamjuma6686 7 жыл бұрын
mtihani duh
@mussaiddy8148
@mussaiddy8148 6 жыл бұрын
Maisha ya unyanyasaji hayo
@filimonmpinge6039
@filimonmpinge6039 5 ай бұрын
Tanzania ni nchi ya ovyo sana tangu Magufuli afe kwakweli ni kasheshe mbona hawataki kumsikiliza huyo mama jaman usikute hao wanaobomoa hiyo nyumba hata kiwanja hawana hapa mjini pole sana ant
@user-mg2fb1to9j
@user-mg2fb1to9j 5 ай бұрын
Wapo isitoshe wanadhulumu hata yatima njoo arusha
@missmuunasharifu2323
@missmuunasharifu2323 7 жыл бұрын
subuhannallah hivyo ndivyo wanyonge tunavyosaidiwa asanten sana hata kutoa vitu vyake khaa aende wap akaish kaaaaaaaa!
@missmuunasharifu2323
@missmuunasharifu2323 7 жыл бұрын
mapesa yote hayo ya ujenz jmn sikufuru hiyo jmn yote hiyo wanyonge wavunjiwa sababu ya kujengwa viwanda sasa wawekezaji wana thaman kwa sasa kuliko wananch tena waliokupigien na kura bado.Hizo ndio shukran zenu za dhat kwa wananch mnazitoa asanten sana sana saaanaaa.
@geckoniarobben3588
@geckoniarobben3588 7 жыл бұрын
kaka ndiyo hvo shukrani ya punda mateke hapo bado mamtu fulani ambayo hayajui uzito na kutafakari kuhusu hilo swala yanashabikia na kuipongeza serikali inayofanya madudu hayo na mengineyo
@user-tm3jl4yx9f
@user-tm3jl4yx9f 5 ай бұрын
Hii serikali jamani
@ashanziku3498
@ashanziku3498 5 ай бұрын
Hawa matajiri. Wanasumbua. Sana na vihela. Vyao
@mushxwaggz5258
@mushxwaggz5258 7 жыл бұрын
soo fair ata kabis af uyu Magu huw anamaamuz magum xana
@MartinsAgufana
@MartinsAgufana 7 жыл бұрын
Waafrika tunapenda maendeleo lakini hatutakubali kushiriki kufuata sheria
@shababygirlshambuwa8388
@shababygirlshambuwa8388 7 жыл бұрын
huuu ni ukatili ila mwenyezimungu atawalipia hawajatenda haki
@shivalonso8277
@shivalonso8277 2 жыл бұрын
Inauma sana aisee askwambie m2
@rosesilio9008
@rosesilio9008 5 ай бұрын
Da imeniuma
@zakayomasingoti9238
@zakayomasingoti9238 5 ай бұрын
Watanzania acheni dhuruma na janjajanja..haki ya mtu haipoten inacheleweshwa tu
@user-mg2fb1to9j
@user-mg2fb1to9j 5 ай бұрын
Hili zoezi liendelee uku arusha wapo
@dickmkweji9068
@dickmkweji9068 7 жыл бұрын
biko
@user-mg2fb1to9j
@user-mg2fb1to9j 5 ай бұрын
Iwe fundisho kwa wengine
@shimoneycashtalk9176
@shimoneycashtalk9176 5 ай бұрын
Kipindi anajenga mlikuwa wapi kwanini hamku tumiya nguvu ya kumziwiya mungu atawalipa😢
@sarahidrisa50
@sarahidrisa50 8 жыл бұрын
ukatili huo
@user-oo2fx8nk5r
@user-oo2fx8nk5r 5 ай бұрын
Wanachofanya Siyo vzr Niunyanyasaji huo sawaa Amejenga sehemu Siyo yake Je Alinunua? Nakama hakununua Alikipataje? Sasa Mnavyobomoa Nyumban za Watu Na vitu ndani hajahamisha Hapo Sikurudisha maendeleo ya Mtu Kama Kuna Kukubarian Mwenye Eneo Na Aliyejenga Nibora Kuzuia Kwa Gharama yoyote lkn Siyo kubomoa Nyumban ya Gharama hivyo eeeh Mungu Ingilia Kati Dunia Simama Nishuke
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 5 ай бұрын
Mwisho wa dhuluma nimbaya
@MeckyLanyer
@MeckyLanyer 5 ай бұрын
Kwel bongo nyoso
@summanelson3718
@summanelson3718 7 жыл бұрын
Yaani huu ni unyama. Ule utu tuliokuwa nao watanzania unaanza kupotea. Hata kama kajenga mahali pasiporuhusiwa wangempa notice at least miezi mitatu.
@Ezekiel_abel
@Ezekiel_abel 7 жыл бұрын
Cku moja MUNGU ATAIDHIHIRISHA IPI ULIKUWA N HAKI NA IPI NI LAANA
@ilumvalameck1901
@ilumvalameck1901 2 жыл бұрын
Naweza nife kwa mawazo🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 7 жыл бұрын
Dah, huruma kwa kweli mwanamke wa watu kaingia hasara kisawasawa
@deodadeo2016
@deodadeo2016 5 ай бұрын
Ivi pindi watu kama hawa wanajenga, nyie mnaojifanya wakuu wa nchi mnakuwa wapi?
@JoasMsaki-ol9fn
@JoasMsaki-ol9fn 5 ай бұрын
Waliojenga kwakodiza wanachi haiwaumi,
@stephanoyusuph1256
@stephanoyusuph1256 4 жыл бұрын
Loooh Tanzania tumchague lisu
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 8 жыл бұрын
duuuuuu!!!!! Subhanallah
@mhandyeyoo6591
@mhandyeyoo6591 7 жыл бұрын
Duuuuuuuu hii chuki binafusi sasaaaaa, sheria hii wapiii? Mungu yu nasi kila jambo na wakati wakeeeee 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@ayoobalqasmi3062
@ayoobalqasmi3062 8 жыл бұрын
ati hivyo ndo rais wa maana
@kenyomarion5605
@kenyomarion5605 7 жыл бұрын
Hii nchi imekuaje !?? mbona tunakua watumwa kwenye nchi yetu!! Aliyetoa agizo la kuvunjwa kwa nyumba hiyo bila hata yakutoa muda wa kutoa thamani za ndani alaaniwe , alaaniwe ,alaaniwe,
@NeemaMlay-jb6zj
@NeemaMlay-jb6zj 5 ай бұрын
Hatari
@aminatuabdhulahi8405
@aminatuabdhulahi8405 7 жыл бұрын
la haula walakuwata ila billah! nimebaki kinywa wazi machozi yanilenga lenga nahisi kama nyumba ni yangu! Loh! simgemrushia vitu nje ndo mkabomoa? 😬😬😬😢😢😢😢😢😢
@Rugemalilatv1994
@Rugemalilatv1994 7 жыл бұрын
Serikali hii sio
@joshuaenock7953
@joshuaenock7953 7 жыл бұрын
noma
@salumuhamissi3492
@salumuhamissi3492 4 жыл бұрын
Ccm ooyeeeeeee
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 5 ай бұрын
Haya sasa kutiana umasikini tena mkubwa.. wangepata na kupata mhafaka.
@dinatalib2616
@dinatalib2616 8 жыл бұрын
Dah ni hasara kwa kweli hii nchi inatisha lazima ukiziwa kitu kuhakisha Serekal inashuhudia kwa macho mawili lasivo unakufa ukiwa mbich kwa shindikizo la damu
@ARFIddy
@ARFIddy 7 жыл бұрын
pole xana
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 5 ай бұрын
Wewe tuliza mshono dhulma ina mwisho
@agneskigeme1197
@agneskigeme1197 7 жыл бұрын
Inaumiza sana jamani pole sana mama
@lulujames5193
@lulujames5193 6 жыл бұрын
tunge. kuwa watanzania tunajierewa wote 2020 tusiipingie kula ccm ipate kula2 maana tuna onewa sana jamani hata baba wataifa hakuwa hivi
@ayoobalqasmi3062
@ayoobalqasmi3062 8 жыл бұрын
ni bora mngemchagua lowasa kuliko huyo hivyo ndo maisha bora ya watanzania kweli
@ibrahimbutera201
@ibrahimbutera201 7 жыл бұрын
Ayoob Alqasmi Sasa lowassa ndoo angefanya nini? hao ni watu wawili wenye kugombea hicho kiwanja na sio serekari ya JPM, hebu watanzania wakati mwingine tukaacha ushabiki wa kisiasa tukaangalia uhalisia kamili,chakufanya kwa sasa ni kumpa pole huyo mvunjiwa lakini kama umeshawahi kujenga juu uchungu wa ujenzi anaeujua ni yule aliishawahi kujenga
@aboutpius1415
@aboutpius1415 7 жыл бұрын
+Ibrahim Butera serikal yake imevunja nyumba za watu kama maeneo ya kimara nk sasa sisi tunaona live ww unaleta siasa penye ukwel tuseme na ndo malipo ya wanyonge hayo watu wanalala nje na familia zao halafu ww unatetea uovu dah
@perrychicken5876
@perrychicken5876 7 жыл бұрын
Ufisadi tu na choyo
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 7 жыл бұрын
mliipenda wenyewe
@tichamichaek2206
@tichamichaek2206 6 жыл бұрын
Nyokoooooooooo
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 5 ай бұрын
Hivi hii awamu ya sita mbona hawana huruma, na wananchi, RIP JPM
@kibatishasanaissa8225
@kibatishasanaissa8225 8 жыл бұрын
mmhh yauzunishaa sanh pole mama
@sirenderharoney7139
@sirenderharoney7139 8 жыл бұрын
Tuliwambia tubadili matokeo mmepotezea
@ramadhanimohamed4190
@ramadhanimohamed4190 5 ай бұрын
Ni kwel inauma ila ukisikia kiwanja kinamgogoro basi unatakiwa kuchukua taadhari mapema na sio kutumia pesa
@estheroscar6520
@estheroscar6520 4 ай бұрын
Hapo ndo mnawakomesha wanaochukua viwanja vya watu
@StAr-yu3vz
@StAr-yu3vz Ай бұрын
Rakini sio angetoa vitu vyake
@chancesholdan342
@chancesholdan342 7 жыл бұрын
Ipo siku tu
@ashahaji4936
@ashahaji4936 7 жыл бұрын
mm kwa mtizamo wangu bora angeambiwa atoe vtu
@salehally1082
@salehally1082 5 ай бұрын
Samahani sana Mimi nauliza tu !! Hii nyumba haikuota kama uyoga ilianza kujengwa tokea msingi na kama kulikuwa na Malalamiko juu ya ujenzi na kesi ilikuwa mahakamani je kulikuwa hakuna agizo la kusitisha ujenzi na kuanzia mjumbe wa serikali ya mtaa Hadi manispaa walikuwawapi wakati ujenzi unaendelea ? Je ni nani WA kulaumiwa ? Na kama alivamia maeneo ambayo sio yake je wahisika walikuwa wapi mpaka nyumba inamalizika ?
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Eeeee Mungu tusaidie nautupitishe salama kwenye hya mapito magumu na yenye maumivu makubwa yakuuumiza moyo.
@rahmaabdullah4538
@rahmaabdullah4538 7 жыл бұрын
Si uungwana wala si ubinaadam
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa 5 ай бұрын
Ila sirikali iangaliye ni kurudishana kimaendeleo kama ni kiwanja cha mtu na kurudishana garama kuliko kubomowa ka visa vile watanzania
@allyflavour8005
@allyflavour8005 4 жыл бұрын
Yaaani mnajibu mtu hivyo simtu ambaye anaweza ones huruma mtu khaa
@zuhuraali9983
@zuhuraali9983 8 жыл бұрын
duh hatari san
@cvanocharles6001
@cvanocharles6001 7 жыл бұрын
Amakweli haki mbinguni kwa Baba
@carriebfunny3885
@carriebfunny3885 5 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢
@adiliwasanga4521
@adiliwasanga4521 7 жыл бұрын
Duuu selekali hiii mmmmh cjui
@MaryamMaryam-nt5so
@MaryamMaryam-nt5so 7 жыл бұрын
jamani twatiana umaskini
@doctorbuhayagroupdoctor3507
@doctorbuhayagroupdoctor3507 6 жыл бұрын
Selikali ya Tanzania Inafanya VITU kwa sifa kubwa sana hongera Sana mliobomoa malipo hapa hapa dunian
@YusuphMarcOgaga
@YusuphMarcOgaga 5 ай бұрын
Mwenye haki apewe haki yake sio huruma
@shimoneycashtalk9176
@shimoneycashtalk9176 5 ай бұрын
Ingekuwa wewe paka mweusi unge kufa na msongo wamawazo
@YusuphMarcOgaga
@YusuphMarcOgaga 5 ай бұрын
@@shimoneycashtalk9176 ingekuwa ndo shangazi yako amevamiwa eneo lake mtu akajenga mnasumbuana mahakaman miaka nenda rudi ungetumia iyo huruma unayotaka...kwann uone huruma kwa anayebomolewa ila usione huruma kwa aliyevamiwa eneo lake
@YusuphMarcOgaga
@YusuphMarcOgaga 5 ай бұрын
@@shimoneycashtalk9176 ilo sio la kupanua barabara ni la kumrudishia mwenye eneo lake aliyevamiwa na mtu akajenga
@zahrangittu2109
@zahrangittu2109 5 ай бұрын
Idiot
@petermwanyondo6459
@petermwanyondo6459 7 жыл бұрын
omba yasiku2te
@elijahthomas7855
@elijahthomas7855 7 жыл бұрын
aise Tanzania
@castormpunga528
@castormpunga528 7 жыл бұрын
duuh
@sadamosses9763
@sadamosses9763 8 жыл бұрын
mambo ya rushwa hayo, babu kubwa
@adrianoshadrack1895
@adrianoshadrack1895 7 жыл бұрын
mungu aitie nguvu famlia hiyo.
@shawty20112
@shawty20112 7 жыл бұрын
Wasiopenda maendoleo ni wengi kweli wivu huyo,pole sana dada yangu.
@muruanimhanga
@muruanimhanga 5 ай бұрын
apa kongo au Tz?
@beieieih9179
@beieieih9179 6 жыл бұрын
Laanatuاللهx10000000000000000 heee uonevu tu loooooh
@ayoobalqasmi3062
@ayoobalqasmi3062 8 жыл бұрын
hana lolote huyo magufuli mwenyewe duuh
@feiz3180
@feiz3180 7 жыл бұрын
Yaani hata kam amejenga hapo hakuna haja kuibomoa namna hii. Serikali hii inafanya mambo hayaeleweki lakini iko siku.
@sylviamoisso7132
@sylviamoisso7132 7 жыл бұрын
Huyu mvunja nyumba za watu hata kama anapewa order lazima usiku akilala atakua anaweweseka sana
@doramwantingo801
@doramwantingo801 7 жыл бұрын
Sylvia Moisso kweli kabisa
@user-zo8ub3tl9g
@user-zo8ub3tl9g 5 ай бұрын
Iko kiwanja kinadhamani Gari? Ni bora wangefidiana tu
@sylviamoisso7132
@sylviamoisso7132 7 жыл бұрын
Oooh my god hawa wabomoaji kama sio binadamu duuu
@stevemwandambo587
@stevemwandambo587 2 жыл бұрын
Hawana makosa wanatimiza wajibu wao c unajua kil mtu analinda kibarua chake ila kuomba MUNGU tu atusaidie maana afadhali ata walio sudani na congo
@dedihsupertal9186
@dedihsupertal9186 8 жыл бұрын
Aaagr ata kama bt huu sio ungwana!!!
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 5 ай бұрын
Vitu viyadhuluma havifai mtu akijiona anapesa afanye anachotaka
ALIYEVAMIA KIWANJA CHA MTU AVUNJIWA GHOROFA.
6:08
MAKAZI MPANDA
Рет қаралды 1,6 М.
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 902 М.
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 22 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 66 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 29 МЛН
JKLIVE | Lee Njiru: Ears of Power [Part 1]
35:23
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 902 М.