No video

KAFARA ZA SIRI WAZITOAZO KWA SHETANI EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 25,481

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

#0766998994 #0788871769 #call0688199370 #call0688199370 #0688199370

Пікірлер: 81
@uzeelnaizi8520
@uzeelnaizi8520 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu sana kumjua huyu mtumishi wa Mungu, Yani kupitia shuhuda zake na mahubiri yake nimejifunza mengi kiroho, wheeh jamani sio madhabahu zote ni za Mungu haswa haya makanisa ambayo Yana sarakasi za miujiza, sjui vitambaa, mafuta, maji huwezi nipata huko, Mungu azidi kumtumia Ile kujua njia sahihi za kwenda mbinguni
@immaculateforchrist3518
@immaculateforchrist3518 Жыл бұрын
Mimi nimegundua kumbe ndio maana nikapoteza nguvu za kuomba na kufunga toka siku nilituma KWA nabii moja hapa Kenya
@FrankwasafiJustin-fn6pm
@FrankwasafiJustin-fn6pm Жыл бұрын
Mungu akubali sana ukweli wako mimi kama mimi niliona makanisani Kwasababu ni kama sio kanisa la bwana AMEEN❤
@user-zx4zr3hc7y
@user-zx4zr3hc7y 21 сағат бұрын
Simkubali huyu muongo sana aliyejaa wivu na chuki kwa watumishi wa Mungu
@derickcowly6681
@derickcowly6681 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe sana muda wao umefika kila palipo na upofu Mungu ktk Kristo Yesu anavunja yote Mazabao yao Nuru imeshaingia Mtumishi wa Mungu ktk kristo Yesu Pascal endelea kutembea kwenye nuru umekubali nuru na nuru inakuangazia ktk uduma yako ya kwrlu ktk Kristo Yesu
@isayachamsa3849
@isayachamsa3849 Жыл бұрын
Toa kwanza Kibanzi Kilichopo Kwenye jicho lako Ndipo Utoe kwa Mwenzako!, Lakini Angalia Usihukumu!! Na kujifanya Mtakatifu Sana!! Na kujiona Huna Makosa!! LA MUHIMU KUSIMAMIA KATIKA UTAKATIFU!! TU YESU KRISTO ANARUDI KUCHUKUA KANISA!
@OLIVIAMSIMBI
@OLIVIAMSIMBI Жыл бұрын
nakutazama nikiwa kenya napenda sana kukufatilia kwa kua unazidi kunifungua akili na mambo yenye sikua najua Mungu azidi kukuinua 🙏🙏
@ByamunguErnest-jc7kd
@ByamunguErnest-jc7kd Жыл бұрын
Naomba mutuombee ss wakimbizi tunao ishi malawi🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@lenardkenedy542
@lenardkenedy542 3 ай бұрын
Mungu yupo atawaponya na shida zote kwajina la Yesu
@standardtv3494
@standardtv3494 Жыл бұрын
Paschal ninawaza sana kunielewa labda pengine haitakuwa rahisi, kama unachosema ni sawa kwa hiyo social media sio tatizo tatizo niwatu wenye vipindi ndani ya social media narudia tena tatizo sio social media tatizo ni mashetani wanaotumia social media
@gastondofra9151
@gastondofra9151 Жыл бұрын
Wow,Mungu akubariki kutupatia hizo siri za hao wa agenti wa shetani baati nzuri akuna siku nilishatoa pesa zangu kwao.Asante ndugu kwa shauri nzuri
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 Жыл бұрын
Wote aliowasema Casian ni Genuine /True servants of God siyo , Brother usisapoti ujinga wa watu wengine Muulize Mungu,chunguza mambo kiroho utaelewa,Geordavie,Mwamposa,Suguye,Mwingira,Kuhani Mussa ni watumishi wa Mungu wa mbinguni,
@kessyjuma2361
@kessyjuma2361 Жыл бұрын
mungu akubaliki sana mtumishi umasema kweli ya biblia
@sharonetsisiche5184
@sharonetsisiche5184 Жыл бұрын
Kweli mtumishi,,nami mmoja wao,kuna mchungaji nilikuwa namfwatilia kupitia njia ya mtandao,,kisha baadaye nikasikia akimtetea jodevi,kwamba n mtumishi wa MUNGU wa kweli,hapo ndio nilikoma,kabisa kumfwatilia,,asante kwa mafundisho mazuri
@felbathgospeltv3862
@felbathgospeltv3862 Жыл бұрын
Ndugu! Nitajie huyo mchungaji nisije nikamfatilia na mimi
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Жыл бұрын
@@felbathgospeltv3862 ndugu watumishi wa shetani ni rahisi sana kuwatambua ikiwa tu unasoma biblia wewe mwenyewe. Ukilijua neno la Mungu utakuwa na uwezo wa kupambanua Kila sentence anayoisema anapokuwa madhabahu ni. Mfano siku moja nilimsikia mhubiri mmoja akisema maskini hawezi kuingia mbinguni ukiwa masikini, palepale nikakumbuka kisa Cha Lazaro na tajiri. Nikang'amua kuwa yule mtumishi ni mwongo.
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 Жыл бұрын
@@felbathgospeltv3862 wapo kama mnyororo huyo geod niliambiwa kabisa sio mtumishi wa kweli, Tena wanatendaga miujiza lkn IPO siku Mungu atawaangusha kama miti mikubwa wakati unakuja nao ukaribu sana
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 10 ай бұрын
Malisa
@ByamunguErnest-jc7kd
@ByamunguErnest-jc7kd Жыл бұрын
Mungu atusaidie kwa iyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@SelestinaJoshua-pn4zv
@SelestinaJoshua-pn4zv Жыл бұрын
Mimi mawakala wa shetani wamenitafuta mno ni neema ya Mungu tuy imenisaidia walitaka kunitoa kafra
@CecileNgendapasi
@CecileNgendapasi 6 ай бұрын
Bwana wetu yesu christo apewe sifa
@SafiAkinyi8361
@SafiAkinyi8361 Жыл бұрын
Amen Amen 🙏 🙌 nimekuelewa sana brother 🙏
@rosekemunto660
@rosekemunto660 Жыл бұрын
Kweli kabisa nakutisama nikiwa Nairobi Donholm .
@user-ix7nt6ur6d
@user-ix7nt6ur6d 11 ай бұрын
Nikweli kabisa ntumishi sema tupone
@BerthaShauri-sz9ek
@BerthaShauri-sz9ek Жыл бұрын
Acha kuongelea watu mwongelee Yesu na utuonyeshe Yesu wa kweli uliye nae basi acha usanii hauna jipya
@lenardkenedy542
@lenardkenedy542 3 ай бұрын
Mtamfikiaje Yesu wa Kweli kama Ujui ulipokosea na kutubu
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 Жыл бұрын
Amen Amen mtumishi naomba number yako ya mpesa
@PeninaPaskal-xy1gt
@PeninaPaskal-xy1gt 6 ай бұрын
MUNGU akusimamie mtumishi
@davidarsen2392
@davidarsen2392 Жыл бұрын
Ni kweli baba yangu na mimi nimenusurika mahali
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 10 ай бұрын
Amina mbarikiwe sana
@millifire693
@millifire693 Күн бұрын
Na hapa kwenye hii video namba zinapita tujiungamanishe na madhabahu yako hio 😅....
@richardnicholaus1990
@richardnicholaus1990 Жыл бұрын
upo sahihi sana mtu wa MUNGU
@PatientGastonkawaya
@PatientGastonkawaya 22 күн бұрын
Umbarikiwe❤
@SelestinaJoshua-pn4zv
@SelestinaJoshua-pn4zv Жыл бұрын
Ufunikwe kwa damu ya yesu
@irenemuia2718
@irenemuia2718 Жыл бұрын
Amina,Asante mtumishi 🙏🙏🙏🙏
@user-zx4zr3hc7y
@user-zx4zr3hc7y 21 сағат бұрын
Huyu kinachomtesa ni wivu na Chuki
@salambarobert3020
@salambarobert3020 Жыл бұрын
Upo sahihi saaana mtumish wa Mungu Nakuelewa saana.. Asante kwa Kuendelea kutufungua Akili.
@furahinidaudi7851
@furahinidaudi7851 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@user-tu9tj7gf7g
@user-tu9tj7gf7g Жыл бұрын
Muda wakuhubiri injili umeanza tumeishawajua wakina georgedevi mwamposa suguye na kuhani musa nenda kwenye injili sasa tupo makini kukusikiliza mtumishi wa Bwana
@Zepequeno-ln1ot
@Zepequeno-ln1ot 9 ай бұрын
wewe huna jipya watu wanacho kifata nikuponywa jitahidi na ww uwaponye watu watakufata acha papalilaa fanya kazi vizuli upate watejaa
@agathasebastian2189
@agathasebastian2189 Жыл бұрын
Mtumishi naomba utusaidie kwa wale ambao wameshajiungamanisha watatokaje
@mathiaspeter397
@mathiaspeter397 Жыл бұрын
KWANINI UMEISHIA KUOMBA HELA TENA? HEEE ACHA UTAPELI BWANA!
@otacyndula5491
@otacyndula5491 Жыл бұрын
Amen Mtumishi tupo pamoja Mungu akubariki
@BerthaShauri-sz9ek
@BerthaShauri-sz9ek Жыл бұрын
Wewe mhubiri huyo unaemwamini na fundisha neno la Mungu acha kutafuta umaarufu mtandaoni,mbona wewe hautuonyeshi Yesu wa kweli??
@aminielmbise
@aminielmbise Жыл бұрын
Preach the word . Don't talk about other servants whether they are of God or of the devil.
@priscahbosire4608
@priscahbosire4608 Жыл бұрын
Kwaiyo tungamie kwa kutojua ukwel
@mathiaspeter397
@mathiaspeter397 Жыл бұрын
Exactly! We are sent only to destroy the works of the devil! I don't what this man is talking! He is telling lies and full of jealous!
@fordingofabian6956
@fordingofabian6956 Жыл бұрын
He is talk really
@fordingofabian6956
@fordingofabian6956 Жыл бұрын
​@@mathiaspeter397 even u you're among of devils site pole
@leonardernest8528
@leonardernest8528 Жыл бұрын
Amen
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Ila mm sielewi na wewe kwA sehemu unawapa nguvu mbona mtume paulo alisema hawatasonga sana na akasema injili ni uweza wa Mungu ihubiriwe kwA hila kwA unafiki.itasonga mbele kwann usihubiri injili ambayo.ina.uwezo wa Mungu kuliko kushindana na watu.unaowahisi ni mafreemason mm nakereka kwA kweli tunakuwa kama tunawasapoti manabii wa uongo wacha Mungu tusome biblia sana kwA sasa kila mtu anataka aonekane yeye na ni loho inazunguka ikimvaa mtu hajioni anajiona yuko sawa ila mwingine hawezi lakini kuhubiri dunia peke yako.huwezi.watumishi.kama mtu.anatumia uchawi kuhubiri imekula kwake hatuna.haja ya kuwajadili
@royalpriestsmusic5685
@royalpriestsmusic5685 Жыл бұрын
TUYACHUNGUZE MAANDIKO AS INDIVIDUAL
@lukasezekiel7692
@lukasezekiel7692 Жыл бұрын
Penda kutoa Crip fup fup Kama hiz zinatia hamu ya kutizama kuliko Zile ndefu Zaid
@yohanasemeka6882
@yohanasemeka6882 9 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeeen
@MiraclemirajiMiraclemira-jm1ud
@MiraclemirajiMiraclemira-jm1ud Жыл бұрын
Mtumishi mbona na Wewe unatumia mfumo uwo wa sadaka mtandaoni
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 Жыл бұрын
Ukweli.
@justacebwire1310
@justacebwire1310 Жыл бұрын
Tunatumia majina ya watu wengine kuongeza followers kwenye page zetu ila unaweza kufikisha ujumbe pasipo attack watu wengine
@ericfelician7996
@ericfelician7996 Жыл бұрын
Na wengi ni wamama
@devothamagembe1775
@devothamagembe1775 10 ай бұрын
MB zangu kukusiliza ww zinaniuma unalopoka tu sikuwai kukuelewa kazi kukosoa watu na picha kwanin asishitakiwe na uzalilishwaji una huakika gani wivu tu unawasumbua
@patiencehumbled3519
@patiencehumbled3519 Жыл бұрын
Neno uja kwa wakati na majira yake,ubarikiwe mtumishi,yupi kijana mmoja mwimbaji aniliomba number ya whatsaap,jambo ya kwanza aliniambia ni kwamba nitoe video zako kwa social media yangu lakini namshukuru Mungu maana siwezi nikaotoa
@christophertz
@christophertz Жыл бұрын
🤝🏿
@diana56-lorient
@diana56-lorient Жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@Direct-0000
@Direct-0000 Жыл бұрын
na wewe tuta kuaminije mzee,maana nawewe umetoa namba,kwanini usifanye bure tu,mungu atakubaliki sana ukijitoa bure
@user-qv2rc5nm5s
@user-qv2rc5nm5s Жыл бұрын
Usitumie Nguvu kuwaangusha wenzio wew hubiri Neno LA Mungu sepa sijawai ona mtumishi wa Mungu kila kukicha anaongelea wenzie tuu, Niwe mkweli tuu Namshukuru baba yng Askofu Kakobe hajawai taja majina ya manabii wala Nabii yeyote unachotakiwa ni kumwomba Mungu tuu awafunulie kondoo zake na sio kuwataja watu majina wew mwenyewe baada ya kumaliza unataja Habari ya Sadaka sasa Mim nitakuaminije kuwa wew ni mtakatifu punguza porojo mtumishi wa Mungu hawezi kuwa wa namna hii kutwa kusema wenzake Acha kupenda kunyooshea wenzako vidole ningekuona wa maaana Sana kama ungetufundisha jinsi ya kuwakamata au tuombee kwa Mungu tupate macho ya rohoni alafu atawanao tuma Sadaka kupitia namba yko nao wawe makini maana Kamwe siamini mtumishi wa Mungu ambaye anasema wenzake kupitia mafundisho hayo ni Majungu badala ya kuwaombea wew unapiga kelele kwenye media ,Ushauri wangu hakuna kinacho shindikana Kwa Mungu yote yanawezekana piga magoti kwa Mungu waombee na sio kuwaongelea.
@Lissarams
@Lissarams Жыл бұрын
Ukweli
@estermathias8354
@estermathias8354 Жыл бұрын
Kila mtu na wito wake sasa ww na huyo kakobe wako ..na wengine na paschal ..we kama humwel pita hiv kamsikilize kakobe
@user-qv2rc5nm5s
@user-qv2rc5nm5s Жыл бұрын
Hivi wew Esther wito unaujua kweli au kama unasema ndio alivyoitwa basi apunguze mdomo kuongelea watumishi wa Mungu maana Ata yeye pia naweza nikasimama nikasema sio mtumishi wa Mungu maana maandiko yamejaa kibao mifano ipo kibao kwenye biblia kwanin kutwa kusema watumishi
@mariammganga5061
@mariammganga5061 Жыл бұрын
Martha godwin hii vita si yakwako,,, jiulize hao wanaotajwa KILA siku hawaoni au hawasikii,, jiulize kwanini hawajitetei??? Je unahisi nani anaweza kusimama amtaje mtu live bila woga huku hana uhakika na anachokisema??? Mtu apendae mafundisho hupenda maarifa,, jifunze tu,, ukielewa sawa humuelewi mtumishi pascal achana nae,,, Tena huyo baba YAKO wa kiroho ndio amesemwa mengi Sana miaka iliyopita NAHIC ungekutana nahizo habari ZAKE ungepata stroke,, hizi ni nyakati za mwisho kuwa Makini mitego ni mingi Sana,,, kuna sehemu unaweza ona umefika kumbe umepotea kabisaaaaa
@user-qv2rc5nm5s
@user-qv2rc5nm5s Жыл бұрын
Wivu punguza Cassian Ukiona hawakujibu ujue wamekudharau na wameshajua Shida yko inayokutesa hivi mtu kama Suguye au Mwamposa Akikujibu ujue atajishusha daraja ukiona wenzako wameshavuka huko kelele za mtandaoni nnje na Maandiko hawanaga labda Mzee wa transformer Mzee wa Upako Lusekelo ndio anaweza kukujibu
@judybarasa-qj2ko
@judybarasa-qj2ko Жыл бұрын
Amen
@mamita336
@mamita336 Жыл бұрын
Acha awaongee watu wapone
HI KALI CASSIAN AMGEUKIA MAMA ASIKOFU MTOKA MBALI  EV PAACHAL CASSIAN
1:22:54
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 6 М.
AMRI YA KIFO YA TOLEWA KWA WAKTSTO WAUWAWE  KIKATILI UNABII WANZAKUTIMIA EV PASCHAL CASSIAN
22:43
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 37 М.
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 2,4 МЛН
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 14 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
MWAMPOSA VIDEO OFFICYALY PASCHAL CASSIAN
11:53
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 106 М.
KWANINI UNAFANYA MAPENZI  NDOTONI? EV PASCHAL CASSIAN
50:22
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 3,6 М.
ZUMALIDI NA NABII SUGUYE NI IMANI MOJA BABA MMOJA  EV PASCHAL CASSIAN
42:30
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 7 М.
CASSIAN AFUNUA UKWELI JUU YA KANISA LA EAGT ASIKOFU MKUU MWAKIPESILE
28:34
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 10 М.
PAT 2 NABII MKUU NI NABII WA UONGO SIO NABII WA KWELI  EV PASCHAL CASSIAN AZIDI KUFAFANUWA
33:00
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 72 М.
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 421 М.
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 2,4 МЛН