kanisa la walevi tu! papa wa kanisa hilo abatiza kwa pombe

  Рет қаралды 32,234

Noni News

Noni News

6 жыл бұрын

Пікірлер: 50
@letssee204tuone2
@letssee204tuone2 5 жыл бұрын
Dunia limetoboka kweli...Mungu tusaidie
@beatricen1228
@beatricen1228 5 жыл бұрын
Hahaha
@abokeasukulusucre3430
@abokeasukulusucre3430 2 жыл бұрын
Yesu kristo kahishaga tufia msalabani kwaajili ya zambi zetu. kanisaa hii wala ahijakosea Maana angalia kuna baazi yakanisa ahiruusu pombe lakini sasa kuna baadhi yawahumini wao wanaenda kanisani huku wakiwa wamepiga mvinyo tena kwauficho . Sasa hiikanisa kama himefupisha hivovyote sisawa tu. Kwanza wangeliiweka hukukwetu Marekani wahumini wangelikuwa wengi sana
@abokeasukulusucre3430
@abokeasukulusucre3430 2 жыл бұрын
Mimi sijaona kama kunakosa hapo dini hii ingekuwa apakwetu Marekani USA mimi ningekuwa muumini wakwanza katika hili kanisa nimehikubali sana
@bettiejoy-mtotowamama
@bettiejoy-mtotowamama 5 жыл бұрын
Sina la kusema mimi ....wacha ni cheke ujinga tu 😂😂😂
@d.i.kd.i.k2551
@d.i.kd.i.k2551 5 жыл бұрын
God is indeed merciful.... When finally God does way with the sinners I hope you shall also find a place for them...
@cateogwayo8138
@cateogwayo8138 4 жыл бұрын
Amen indeed God is great..
@zitomomade930
@zitomomade930 3 жыл бұрын
Ukristo sio dini ya mungu kabisa. Iila atuepushe na makafiri kama hawa
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 2 жыл бұрын
sjawahi kuona mkristo yoyoye ambae anafuata mafundisho ya Yesu na bibilia,hata mmoja
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 5 жыл бұрын
Alhamdulilah am muslim
@wahidawahida6675
@wahidawahida6675 5 жыл бұрын
Najivunia sana kuwa muislm dini isio na shaka na huezi kushika kitabu chake bila kuwa msafi.ilahuku tanzania nabii tito kumbe anawenzie adi nje ya nchi
@jacksaid
@jacksaid 4 жыл бұрын
Usipo yaona ya ukweli utaona ya pombe, hatari hii
@godisgreat1845
@godisgreat1845 4 жыл бұрын
Nashukuru kusikia kanisa hayo hayashangazi maana kanisani kuna mvinyo na qakaubadilisha jina qakaita damu ya Yesu piga kilevi wakristo Yesu kesha wafia dhambi
@patricklochoto-bx1sr
@patricklochoto-bx1sr 5 ай бұрын
Wanafanya mzaha na Mungu
@manganamanganamanganamanga7313
@manganamanganamanganamanga7313 5 жыл бұрын
Jamani huyu anaehubili watu kunywa. Mmm ama kweri dunia iko mwisho
@amjaadn4277
@amjaadn4277 5 жыл бұрын
Dunia kwishaaa hii ndio zama za mwishooo
@saidibadawi469
@saidibadawi469 6 жыл бұрын
Kazi kwelikweli nilifikili bongo tu.
@michaelmwigulu1491
@michaelmwigulu1491 6 жыл бұрын
dunia imeisha kwel kwel
@NoniMsafiri
@NoniMsafiri 5 жыл бұрын
KABISA
@victorngereza5497
@victorngereza5497 5 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkayoliki kanisa lenye misingi na linalofuata muongozo wa kikristo napnda ukatoliki wangu
@rosemutinda4671
@rosemutinda4671 5 жыл бұрын
Babeli mkuu,mama wa makahaba,chukizo LA nchi Rev:13
@mzimyadavid1030
@mzimyadavid1030 5 жыл бұрын
Haaaa!!!!!!! Mungu atuhurumie
@cateogwayo8138
@cateogwayo8138 4 жыл бұрын
Kwa kweli dunia ina mambo, bado siamini maskio na macho yangu ,this is devil at work how can you be Baptist with alcohol which spirit are you receiving..
@Kelvinchristopher072
@Kelvinchristopher072 3 ай бұрын
😂😂😂
@wantted6707
@wantted6707 5 жыл бұрын
Afungue branch Kenya.. nijoin praise and worship.
@bellaferrer3390
@bellaferrer3390 5 жыл бұрын
Weweeee!!!!! Nyako wii racha yawaaa
@Princelewismwangip
@Princelewismwangip 4 жыл бұрын
This is iluminanti
@davidobed3978
@davidobed3978 Жыл бұрын
Work up don't ask God why?
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Huyo Yesu anayo kazi ya kumjibu Mungu Mola Muumba kuhusu hawa wafuasi/waumini wake maana kila Kanisa/dhehebu la Kikristo hujinasibisha na Yesu na humfanya ni Mungu na mwokozi wao ! Wakati Yesu hakuwacha Kanisa wala Biblia! Yesu alikuwa akifanya ibada ktk Masinagogi (Miaikiti ya Wayahudi) na a likuwa akihubiri Injili sio Biblia ! Wapagani (Makafiri/Wafuasi as shetani) wa Antokia na Paulo ndio wamewadanganya Wakristo wakawacha Uislamu dini ya kweli na ndo dini ya mitume wote kuanzia Adam hadi Muhammad S.A. W. wote walikuwa wakihubiri aabudiwe Mungu mmoja tu ambaye ni Allah hakuzaa (hana mwana/mtoto), hakuzaliwa. Matatizo ya kutokusoma na kufanya utafiti ndo hayo yanawakuta Wakristo wanarithishwa kukariri na kutithishana Uwongo ! Uislamu ni Amaan na kujisalimisha/kunyenyekea kwa Allah (Mungu mmoja) pekee kwa kuguata/kutenda anauoyatidhia Allah na kuwacha yanayomchukiza Allah na kwa ufupi hiyo ndo maana ya ibada ya kweli kwa mujibu wa Uislamu. Wakristo na baadhi ya Taasisi za Kisetikali wamrjitungia miongozo/mifumo yao ya kuabudu na kufanya ndo miongozo(dini zao) ktk kuyaendea shughuli za maisha ya duniani na Akhera ! Meenyekufuata mwongozo kinyume na mwaongozo wa Mungu huyo/hao ndo wenyekupata hasara Akhera japo duniani watajiona wanatesa na kufanuwa, wataitwa Waheshimiwa nk lakini wasubiri adhabu za Mungi Mola Muumba na huyo Yesu wao atawakana siku ya Kiama/siku ya hukmu. Wafanye touba, watubu dhambi na waache ushetani wao, wamrejee Allah (Mungu wa pekee), wawe Waislamu ndipo wasalimke/wanusurike na Adhabu ya Akhera. Ndomana msbalaa yanazidi duniani kwa upuuzi ufanywwao na baadhi ya wasojielwa, hawajui kama hawajui na hawajijui kama hawajui. Ni shida !
@mathayowilson1525
@mathayowilson1525 4 жыл бұрын
WALEEEEVI....MAIGIZO MAKUU..
@fahadsanad4163
@fahadsanad4163 3 жыл бұрын
Illuminati part 2 duniani
@petermatonya6890
@petermatonya6890 5 жыл бұрын
Siku za mwisho
@jacksonfredrick2210
@jacksonfredrick2210 6 жыл бұрын
😂😂😂😂
@teddyjoackim3152
@teddyjoackim3152 6 жыл бұрын
kanisa la walevi Duuh!!!!
@davidobed3978
@davidobed3978 Жыл бұрын
The end
@sarahstephenofficial2648
@sarahstephenofficial2648 5 жыл бұрын
GOD Why ??? Why all this Lord ?????
@mamaishimwejoshua5818
@mamaishimwejoshua5818 5 жыл бұрын
He said in the name of our Father God ??? Which God ? Why is it so hard for him to mention the name of Jesus?
@millicentmadamyaya1608
@millicentmadamyaya1608 5 жыл бұрын
mama ishimwe Joshua he knows the consequences
@angelinamagambo8733
@angelinamagambo8733 6 жыл бұрын
Duuh
@hamisikinye6178
@hamisikinye6178 5 жыл бұрын
Faliipupa
@sadettinozcelik4779
@sadettinozcelik4779 5 жыл бұрын
k
@millicentmadamyaya1608
@millicentmadamyaya1608 5 жыл бұрын
My fellow Christians we have to repent in JESUS NAME 😭😭😭😭🙏🙏🙏 before is too late please please please this is too much
@sadettinozcelik4779
@sadettinozcelik4779 5 жыл бұрын
Jesus come quickly,hurry up don't wear your sandals....🙈
@dullyvidully7798
@dullyvidully7798 5 жыл бұрын
Hahahahaha wakristo mtapata tabu sana
@letssee204tuone2
@letssee204tuone2 5 жыл бұрын
Dully Vidully Hatutopata kwa jina LA Yesu
@esiveanderson7227
@esiveanderson7227 4 жыл бұрын
Shida gan wkt tu YESU anae tuongoza na kututetea sk zote
@sadettinozcelik4779
@sadettinozcelik4779 5 жыл бұрын
Jesus come quickly,hurry up don't wear your sandlas...🙈
@letssee204tuone2
@letssee204tuone2 5 жыл бұрын
Sadettin Õzcelik Are you ready for him???
"Nabii Tito" amwambia Kamanda "mimi ninatumia Biblia"
8:26
Millard Ayo
Рет қаралды 716 М.
Kanisa la walevi kaunti Turkana
3:59
KTN News Kenya
Рет қаралды 10 М.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 37 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,4 МЛН
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 13 МЛН
GUMZO KANISA LA WALEVI SOUTH AFRICA
6:29
Geita Tv Online
Рет қаралды 1,2 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 339 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
#Ripoti Maalum...June 29, 2022
54:01
ITV Tanzania
Рет қаралды 21 М.
Nabii Tito Kanisa la walevi
2:25
Nabii Tito
Рет қаралды 61 М.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 37 МЛН