Kanuni ya kuanza kufanya mambo.

  Рет қаралды 20,054

Joel Nanauka

Joel Nanauka

3 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 167
@hellenismail4351
@hellenismail4351 3 жыл бұрын
Blessed man of God....mtu wangu bora wa nguvu nimpendaye Tanzania💎...Ubarikiwe zaidi na zaidi my dearest brother😍
@elibarikilaizar5423
@elibarikilaizar5423 3 жыл бұрын
Naanza na Mungu ya pili Afya Tatu kupanga mambo yangu inayotengeneza kesho yangu Nne subira na uvumilivu kazini Tano kukubaliana na riziki niliyo pata na kujifunza maarifa pamoja na watu waliofanikiwa na habari ka hzi...🙏🙏🙏
@jkyamba3200
@jkyamba3200 3 жыл бұрын
Asante sana bro joel unanifanya nichange mind day to day
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 жыл бұрын
My people VIDEO KAMA HIZI ZINAKUWAGA NA VIEWERS WACHACHE, BUT VedioS ZA UDAKU NA MIZIKI ZINAKUW NA VIEWERS WENGI NDANI YA MUDA MFUPI ,HII INAONESHA KWAMBA BADO WATU NI VIGUMU KUFANIKIWA KULIKO KUANGAIKA NI KM ILIVYO UFALME WA MBIGUNI ILIVYO NGUMU KUFIKIKA!!! Anyway :THANKS BROTHER JOEL NANAUKA KWA KUENDELEA KUPIGANIA NDOTO ZETU WATU WENGI HAWAJUHI KWAMBA HYO KAZI UNAYOIFANYA ILIVYO NZITO NA MUHIMU KTK MAISHA YA BINADAMU, NA ASANTE KWA KUTUJARI ZAIDI UNAUPLOAD VIDEO ASUBUHI AS UNAELEWA KBS UBONGO WA BINADAMU UFANYA KAZI zaidi ASUBUHI KULIKO jion ...again thanks 4 breakfast🙏🙏 Blessed 🙏
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 3 жыл бұрын
Akili za kivivu zipo hivyo bro vitu muhimu huwa kwao havina mana
@liliangrace5436
@liliangrace5436 3 жыл бұрын
Asant
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ahsante sana kwa.Nashukuru
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 жыл бұрын
@@joelnanauka asante brother Joel umebadilisha maisha yangu Kwa kiasi kikubwa na bado nazid kubadilika every day yaan umekuwa inspired as sponsor ktk future yangu, SIWEZ KUKULIPA ILA NAKUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU BLEASSED!!!!
@mgallason...5686
@mgallason...5686 3 жыл бұрын
Uko sahihi ndugu, watu wamekuwa wadaku na wambea sana kuliko kuulisha ubungo Mambo ya msingi kama haya, ni wavivu wa kupindukia na walalamikaji mno, huwa Napata hasira sana watu hasa Vijana wa kitanzania wanaendekeza kufuatilia ujinga wa kina diamond na nyimbo zao za hovyo bila kujua wanaendelea kuwapaisha juu wakati watu kama kina Joe wanapuuzwa, Mungu atunusuru sana aisee
@godwinwilson3837
@godwinwilson3837 3 жыл бұрын
Thanks brother Joel for this motivation cilp...Nataka kunza kuamka Mapema na kupanga siku yangu vizuri
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
sawa, usisahau kutupa mrejesho
@mericktamba7981
@mericktamba7981 2 жыл бұрын
Nice......brazzzzzaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💥💥💥💯
@saidmuhamed6321
@saidmuhamed6321 3 жыл бұрын
Inshaa Allah nimeamua kufanya biashara ndio jambo langu LA zima
@AmuliJr
@AmuliJr 3 жыл бұрын
Amen, Mungu akubariki joel
@bibianaalfred8444
@bibianaalfred8444 3 жыл бұрын
My brain smiling....🧠# see u at the TOP
@abdlhaleem8380
@abdlhaleem8380 3 жыл бұрын
NGULIIIIIIIIIIIIIIIIIIII ❤️ ❤️ in the air 🔥....
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 3 жыл бұрын
Thank you my brother Joel for the Morning motivation be blesed bro
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Karibu sana
@bushimani1544
@bushimani1544 Жыл бұрын
Niwe tajiri
@yasinikateula6605
@yasinikateula6605 3 жыл бұрын
Thank you brother
@Josantv16
@Josantv16 3 жыл бұрын
Napenda piah kuwaa muhamasishaji kama ww
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Inawezekana. Tena kuwa mkubwa sana kuliko hata mimi.
@dr.danielmagomele721
@dr.danielmagomele721 10 ай бұрын
A living reality
@mjunijoseph2742
@mjunijoseph2742 3 жыл бұрын
Kuanza kipindi Cha Nguvu ya mwalimu kwenye redio&tv... Lazima nianze na naamini Mungu atanisaidia...kufanikiwa...
@jembestory255
@jembestory255 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana brother ,napata mambo makubwa ninapozisikiliza video zako.... me nataka nifanye "biashara ya maziwa "
@stevenmnzavajoseph
@stevenmnzavajoseph 3 жыл бұрын
Nilipanga kutumia dakika 30 kila asubuhi kwa ajili ya mazoezi ya mwili nina wiki ya tatu sasa, naheshimu mchakato. Asante 🙏 kwa somo zuri, kwa sababu kuna siku naamka mwili mzito lakini najilazimisha mpaka sasa nikikosa siku moja naona siku haijakamilika.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Safi sanaaaa, Hongera mnoo.
@chrissally2397
@chrissally2397 3 жыл бұрын
Nataka kuwa mwanasayansi mkubwa Sana na lazima NIANZE...Ahsante Sana kaka unanifunza mengi.
@josephgabriel8593
@josephgabriel8593 3 жыл бұрын
Nataka nianze tuition ya olevel Na A level naomba unishauri brother Joel.
@greadyhebron3469
@greadyhebron3469 3 жыл бұрын
Asante kaka kwa mafunzo mazuri, mm kwa mwaka huu nataka lazima niweze kuvumilia maumivu ili nipate kilicho bora yani kuweza kusimama pekeyangu ata kama watu hawanielewi
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Kila la kheri
@yoramdogezah8000
@yoramdogezah8000 3 жыл бұрын
Lazima nifungue duka la nguo kabla 2020 kuisha.
@azizaisack2572
@azizaisack2572 3 жыл бұрын
Asant San kaka Mungu azid kukubariki
@mkamikimelo9268
@mkamikimelo9268 3 жыл бұрын
Mungu naomba uniongoze mwaka huu kabla haujaisha,nami wazo langu litimie inshallah
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Nakutakia kila la kheri
@abelalfredlyanga4772
@abelalfredlyanga4772 2 жыл бұрын
Asante kaka masomo yako yamenisaidia sana katika biashara yangu
@ramakheri9824
@ramakheri9824 3 жыл бұрын
Nkukubali bro,ww n life coach wa kwel Be blessed
@tawfiqomary8837
@tawfiqomary8837 Жыл бұрын
Thanks brother kwa maarifa mazuri
@allanndomba4700
@allanndomba4700 3 жыл бұрын
Kaka unatupa vitu vingi sana
@frankmare1708
@frankmare1708 3 жыл бұрын
Asante kwa elimu nzuri
@herimailo8183
@herimailo8183 Жыл бұрын
Shukran bro joel
@mariamayoob8734
@mariamayoob8734 3 жыл бұрын
Me Hii video niyangu kabisa umeni sema mimi apa nina mpango wakufungua biashara mwezi ujao ilaata chumba wala eneo nilikua sijaanza kufya tilia mahari nitakapo weka thanks brother Joel kwa kuni fungua akili
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Hapa sasa,uanze kuchukua hatua bila kuchelewa kabisa.
@Mkapamlunya
@Mkapamlunya 3 жыл бұрын
Asanteee sana hyo ya mtoto nimeipendaa sana
@sikitumwamwenda9535
@sikitumwamwenda9535 3 жыл бұрын
Asante Sana kwa mafundisho mazuri nataka nianze na namba mbili Barikiwa
@ibrahimAhmed-zq5hj
@ibrahimAhmed-zq5hj 3 жыл бұрын
Thank you so much ❤️❤️💗 God bless you 🙏❤️💞
@frednandcharles4642
@frednandcharles4642 3 жыл бұрын
Dah!! thanx alot broh🙏🙏
@magrethjohn7423
@magrethjohn7423 3 жыл бұрын
Heshimu Mchakato,Matokeo Ni Lazima yatafuata....Well said Mentor Joel.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Kabisa Magreth
@sufiansaid2023
@sufiansaid2023 3 жыл бұрын
Kaka una vitu muhim sana kwa anaye kufuatilia na kukuelewa, naomba niulize huna WhatsApp group?
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Lipo, karibu ujiunge 0756-094875
@francisshaula7291
@francisshaula7291 3 жыл бұрын
Let's focus on consistency, Barikiwa sana Mr Joel.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Kabisaaa
@neckikikoti6256
@neckikikoti6256 Жыл бұрын
Kaka Joel. Your the best motivational speaker, Mungu akufanikishe internationally
@allydotto8665
@allydotto8665 2 жыл бұрын
Lazima nianzise biashala yangu mwenyewe
@mrongasteven7166
@mrongasteven7166 3 жыл бұрын
Kwa mwaka 2020 na mwaka 2021 Natalia nijishughulishe na ufugaji wa kuku hatua ambayo nimeanza nayo ni kujenga Banda liko tayari naanza na kuku 50 tu,ili ifikapo Dec 2021 niwe na kuku 200
@matronanzogela6346
@matronanzogela6346 3 жыл бұрын
Yaah!kabla mwaka haujaisha lazima nianzishe biashara.
@pocianfrancis3327
@pocianfrancis3327 3 жыл бұрын
Joel...kuwa miongoni mwa vijana 100 wenye ushawish africa umestahil kabisa...una tu inspire sana...Ubarikiwe
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen, nashukuru sana
@agnesmwangama2553
@agnesmwangama2553 3 жыл бұрын
Ahsante kwa somo zuri, barikiwa.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen, nashukuru sana
@SKYVISUALS07
@SKYVISUALS07 3 жыл бұрын
Thanks a lot brother
@user-sx8iz4dj8n
@user-sx8iz4dj8n 11 ай бұрын
Nataka kumnunulia mama yangu bati na kumjengea
@tecnospark4260
@tecnospark4260 3 жыл бұрын
MUNGU akubarik kaka
@pambaquick8177
@pambaquick8177 3 жыл бұрын
Well said Sir. 🤝🤝
@bensonkimaro8892
@bensonkimaro8892 3 жыл бұрын
Asante sana kaka Nanauka
@dulesame1193
@dulesame1193 9 ай бұрын
Kweli mkuu++@
@sevenlord7q.e.d182
@sevenlord7q.e.d182 3 жыл бұрын
I was really struggling. . Hii imenisaidia mno. Thanks Nanauka
@Cyper255
@Cyper255 3 жыл бұрын
Asante sana Mtu mwenye ushawishi Afrika.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ahsante sana
@reganimushi8062
@reganimushi8062 3 жыл бұрын
Asubuhi njema bro Mungu akutunze kaka
@user-sx8iz4dj8n
@user-sx8iz4dj8n 11 ай бұрын
Nataka kumnunulia mama angu bati na kumjengea
@dennisjorvis627
@dennisjorvis627 3 жыл бұрын
Nitakaka nianze public speaking hatua yangu ya kwanza nikutenga 30 min daily zakuzungumza
@annshort4074
@annshort4074 3 жыл бұрын
nashukuru sana mr joel nakufatatilia kwa makini sana
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Pamoja sana
@sadamofficialtz
@sadamofficialtz 3 жыл бұрын
Somo zuri
@ABOUBAKARYJAPHARY
@ABOUBAKARYJAPHARY 11 ай бұрын
Asante kwaushauli
@julianadionizi8823
@julianadionizi8823 3 жыл бұрын
Daaah ur the great br
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Thanks pamoja sana
@stephanoedimund7841
@stephanoedimund7841 3 жыл бұрын
Nihudumie wateja laki Moja per year kwa kuproduce Stijoh_Coconut Oil ninufsishe NGOZI& Nywele zao ziwe healthy kwa Virgin coconut pure Nazi % nazii no any chemical added and no heated
@fettymdoe2100
@fettymdoe2100 3 жыл бұрын
thanks somuch JNanauka🙏🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Karibu sana
@magrary2455
@magrary2455 Жыл бұрын
Tabia ni kwa na utamaduni wa kusoma vitabu
@lindajohn2156
@lindajohn2156 3 жыл бұрын
Asante sana kakangu
@tarbiyah1027
@tarbiyah1027 3 жыл бұрын
Kiukweli Joel Unamchango mkubwa sana Kwenye Mafanikio yetu. Mwenyezimungu akupe Akupe Maisha Marefu Amiin
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen
@marthakimario7348
@marthakimario7348 3 жыл бұрын
Kabla mwaka huu haujaisha nataka nianzishe biashara yangu ya vinywaji
@mercysuka7294
@mercysuka7294 3 жыл бұрын
Kaka barikiwa...ila ingekua vizuri zaidi ujumbe ufike pia kwa maneno ili ujumbe ufike kwa wote
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 3 жыл бұрын
Xwadakita Mkuu
@obedmlanga3227
@obedmlanga3227 3 жыл бұрын
Asante kwa chakula cha ubongo kaka joel Hata mbuyu haukuangalia utakuja kuwa mti mkubwa kuliko ,but ulianza kaama mchicha More thanks Brother
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisaaa
@komboomar8275
@komboomar8275 3 жыл бұрын
Thanks
@saidmuhamed6321
@saidmuhamed6321 3 жыл бұрын
Hatua ya mwanzo ni kupata taarifa malumu
@ilambonahwago
@ilambonahwago 3 жыл бұрын
Ahsante Mkubwa wetu uxye na wivu una tufungua akili na fahamu nna pata faida sana kupitia ww Mungu akulinde na uzidi kufanyika baraka kwa wote wakupendao
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen, nashukuru
@RehemaFaki-or7eu
@RehemaFaki-or7eu 2 ай бұрын
Asante kaka Kwa video zako zenye kutuelimisha
@norbethifabiani4598
@norbethifabiani4598 3 жыл бұрын
Mwaka huu naitaji nifungue biashara yangu sema nipo kwa boss na boss uyo ni ndugu yangu kabisa na yeye ataki Mimi niondoke je nifanyaje
@evermsembempelekehatawwtu402
@evermsembempelekehatawwtu402 3 жыл бұрын
Ongea nae kiutu uzima kwamba wewe unataka kujitegemea na una ndoto na Marengo yako Tena tumia lugha nzuri tu.kama ni mstaarabu atakuelewa lkn hata asipokuelewa wewe ondoka tu penda Marengo yako na maslahi yako zaidi.hata Kama hajakubari lkn nafsi itamsuta tu kuwa ulimuaga .
@mariamogelasanayohana7442
@mariamogelasanayohana7442 3 жыл бұрын
lazima niazekufanya bishara
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Unataka kuanza kufanya lini?
@mariamogelasanayohana7442
@mariamogelasanayohana7442 3 жыл бұрын
mwezi wakumi nabiri talehe kumi lazima niaze
@paulwerema8978
@paulwerema8978 3 жыл бұрын
Mungu akubariki brother Mimi natamani kabla mwaka haujaisha niwe nimeanza kujenga
@festoantony4673
@festoantony4673 2 жыл бұрын
Nitanza kujifunza kingereza, kwa kujisomea vitabu vya kingereza hata kama sijui maana ya nachosoma.
@monicakauky8914
@monicakauky8914 Ай бұрын
Lazima nianze kufunga,kila siku naahirisha.
@whoza_
@whoza_ 3 жыл бұрын
Nataka kuanza kuandaa speech
@nimubonainnocent2183
@nimubonainnocent2183 Жыл бұрын
Salama kaka mimi nafanya byashara ndogo sawa na mutaji wa 1000000 ila sasa natamani nifanye zingine byashara sababu nawona kama kipato siyo kizuri vile nilitamani nini nifanye wala ni basilishe aje nataka musada wako
@asnaabububu2297
@asnaabububu2297 3 жыл бұрын
Dicoreshion yani hii lazima nikianze sabab kila kit kipo tyr bado kuanza tuu kaka Joel sabab napenda sana hii kz
@elialaurent8800
@elialaurent8800 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@AfiSoul103
@AfiSoul103 Жыл бұрын
Kiukweli mimi kuanza kwangu ni rahisi ila muendelezo hua unanipa tabu..ila nipo katka kujitahidi kutokubakia na hii tabia..nifanyeje ili niwe constant?
@linussiwitilisitv4830
@linussiwitilisitv4830 3 жыл бұрын
Kuanza kufanya ninachopipenda stationary & kuuza vitabu naanza na Vitabu
@innocentmwahalende6310
@innocentmwahalende6310 2 жыл бұрын
Nakata kubadili mazingira kutoka kijijini kwenda mjini, shida naanzaje au nawezaje maisha ya mjini?
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 жыл бұрын
Mm nachokifanya mwaka HUU NI kuahacha KAZI NINAYOIFANYA na kuanza biashara (KUJIAJIRI)
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Kila la kheri, naamini ulijiunga na ile kozi ya kujiajiri kwa mafanikio. Kama bado nakushauri uisome mapema kabla haujachukua hatua ILI USIKOSEE kama wengine, tuwasiliane 0756-094875
@reginaldipeter2272
@reginaldipeter2272 2 жыл бұрын
Lazima nianze KUOMBEA wamama wasio na Watoto na wajawazito wazae bila upasuaji au operation.
@Josantv16
@Josantv16 3 жыл бұрын
Kuanza kuwamuhamasishaji kaama ww
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
SAFI KABISA, endelea kuchukua hatua
@pendojeremiah9111
@pendojeremiah9111 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@akidaamani2156
@akidaamani2156 Жыл бұрын
Mimi nataka nianze kazi la duka la chakula sasa capital iko kidogo
@rajabuhamimu3342
@rajabuhamimu3342 2 жыл бұрын
Ninahitaji kuanza kufungua kampuni ya ujenzi
@mshamba5174
@mshamba5174 Жыл бұрын
Kaka nataka niamze kujenga
@isackjonathan8937
@isackjonathan8937 3 жыл бұрын
ukweli kaka Joel unamchango mkubwa kwa mafanikio yetu barikiwa sana
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Nashukuru sana Isack
@dicksongadson2223
@dicksongadson2223 3 жыл бұрын
mwaka uhu lazima nikae kwangu nyumba za kupanga nitatizo
@nurdinchilambo1486
@nurdinchilambo1486 3 жыл бұрын
you were talking about process so we need process/progress on this kind of your lesson' never go back to coach and motivating lesson
@SylviaCornelyBalemba-ne8ti
@SylviaCornelyBalemba-ne8ti 11 ай бұрын
Nishaanza kujisomea Kwa ajili ya kureseat mtihani wa form 4
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 3 жыл бұрын
My Brother Joel my Plan is to open a cereal shop I've done my research but the problem is to start also I keept some amount of it already the issue is how and when should i start this usually i skipped the date to open i don't know what's exactly wrong with me Bro.🤔
@lameckjohn3257
@lameckjohn3257 3 жыл бұрын
Follow this chain will help you 1.Spirit create 2.Mind receive, store and process creation 3.Body manifest creation Therefore starting is all about physical action or manifestation.So if you fail to start the biggest issues is in the MIND or SPIRIT. Become conscious and you will automatically start
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Dawa ni uanze, na kuanza hakuna anayeweza kukufanyia,ni wewe mwenyewe. usiwe mmoja wa watu watakaojuta kwa kushindwa kuanza mapema.
@dansondannytv8111
@dansondannytv8111 3 жыл бұрын
umenipa matumaini na njia kwa maana nipo kwenye process na jambo lenyew naliona kubwa hata naogopa
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Usikate tamaa, jipe moyo utashinda
@daudmlima6288
@daudmlima6288 3 жыл бұрын
Lazima nifanye biashara
@ronaldomselleronaldomselle6238
@ronaldomselleronaldomselle6238 3 жыл бұрын
Asante san kak umenipa kitu apo
@iskakamangula1441
@iskakamangula1441 2 жыл бұрын
Nataka nianze kujenga ukumbi wa shelehe.
@CoseRobert
@CoseRobert 5 ай бұрын
Kuweka akiba ya 30% ya mkopo wangu
@nshimirimanasteve1900
@nshimirimanasteve1900 3 жыл бұрын
Nataka kufunga nguluwe
@sebastianmaganga2843
@sebastianmaganga2843 3 жыл бұрын
Brother mim na Jordan nilikuw napenda kabla mwaka u uja Isha nifikishe kiasi cha fedha ninacho kiitaji
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ni mpango mzuri, jiwekee nidhamu na chukua hatua
@yoelnguli3928
@yoelnguli3928 2 жыл бұрын
Nilikuwa nawaza kuanzisha gereje yangu ya kuchomea chuma lakn ata sina pesa
@evancemrema3715
@evancemrema3715 3 жыл бұрын
Thanks @JoelNanauka
VITU VITAKAVYOFANYA UTAJWE - JOEL NANAUKA
8:55
Joel Nanauka
Рет қаралды 2,1 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 22 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 25 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 484 М.
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 34 МЛН
ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO SEHEMU YA PILI
35:42
Harris Kapiga
Рет қаралды 66 М.
MAMBO 10 MUHIMU YA KIUCHUMI KWA MWANAMKE  - JOEL NANAUKA
14:04
Joel Nanauka
Рет қаралды 24 М.
Mambo ya Kuzingatia Unapojiandaa na Usaili wa Kazi/Job Interview
13:01
MBINU 4 ZA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA MAISHA.
8:08
Norbypol TV
Рет қаралды 3,5 М.
Makosa kumi (10) wanawake ufanya katika ndoa
13:33
Chris Mauki
Рет қаралды 248 М.
UKITAKA KUFANYA JAMBO LOLOTE SWALI SWALA HII//DUKTUR ISLAM
6:54
Fauz Production
Рет қаралды 2,9 М.
Njia Tano (5) Unazoweza Kuzitumia Kuongeza Ujasiri
9:37
Joel Nanauka
Рет қаралды 177 М.
LAZIMA USHINDE HOFU HIZI - JOEL NANAUKA
10:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 64 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 22 МЛН