Unapongelea Kukua kwa chuo kikuu cha St Augustine University of Tanzania ni Wewe Baba Kitima... Askofu Mkuu Nyaisonga, Askofu Mfumbusa, Askofu Kassala haya yote ni Matunda ya uongozi na Hekima yako Ulipokuwa Makamu mkuu wa Chuo Saut.. Udumu katika Utumishi na Uongozi mwema Dr Rev Baba Charles Kitima...
@baghabaghaingwengwe1750 Жыл бұрын
Sister alikuwa anafanya Tamisemi Dodoma alikuwa mchapa kazi hodari kweli kwenye kitengo cha Elimu
@ponsianamataka46072 жыл бұрын
Asante Pd. Dr. C. Kitima. Kanisa Katoliki liko vizuri na utaratibu wake ni mzuri kiroho na kimwili kuienzi, kuiendeleza na kuiishi kazi ya Mungu. Baba Mungu tunaomba uendelee kulilinda na kuliongoza Kanisa Katoliki.
@mallelivenance1796 Жыл бұрын
Fr Kitima Ni miongoni mwa Mapadri ninao waheshimu sana tangu akiwa pale SAUTU - MWANZA namwombea maisha marefu zaidi na yenye mafanikio juu ya KANISA na sisi.
@user-gd4eg4dp5mАй бұрын
🙏🙏
@fredrickmichael2317 Жыл бұрын
Majibu manzuri sana
@leonardmrope95282 жыл бұрын
Thanks for that !!
@baghabaghaingwengwe1750 Жыл бұрын
Hata anaye gawa chakula vitani ni mpiganaji
@eliasnganira76612 жыл бұрын
Nimekuelewa baba
@hezronmsogoya15722 жыл бұрын
Umeeleweka sana
@josephpetermaganga29072 жыл бұрын
safi
@paulina.baynit79702 жыл бұрын
Majibu mazuri sana pd. Kitima.
@filbertrobert11412 жыл бұрын
Safi sana
@denismabubu2912 жыл бұрын
Hongera sana na ufafanuzi fr ç kitima
@mekumeku24842 жыл бұрын
Looh asee basi kanisa catholic limejipanga asee nimewakubali
@mekumeku24842 жыл бұрын
Umeelewa hapo..ukwel wa ki Mungu na kisheria.....
@YohanaWanday-ye2mo Жыл бұрын
Ahsante sana PhD wetu Kwa maelezo yakinifu
@mlangiralameck91582 жыл бұрын
Thanks father
@johnkyashama22992 жыл бұрын
Safi sana padrii
@bujikuwilliam76802 жыл бұрын
Umenena
@luganomwasongwe11582 жыл бұрын
Good!well elabolated
@gilbertshirima26842 жыл бұрын
Eti nn🤔
@reginaldhhayuma69072 жыл бұрын
Well elaborated Dr kitima
@jumasaidi81572 жыл бұрын
nimekuelewa vizuli
@gilbertmathias75942 жыл бұрын
Asante padri kwa maelezo na una upeo mkubwa sana
@ysmasalu2 жыл бұрын
Maelezo yamejitosheleza!!
@audaceleroi13702 жыл бұрын
Dkt Kitima amepotea siku hizi
@emanuelmlowe68542 жыл бұрын
Nimekusifu kusema viongoz WA kisiasa wafuate sheria
@benedictmrisho23612 жыл бұрын
"Mikakati mizuri ya kumtumikia mwananchi."
@ktkkilan2 жыл бұрын
It is very surprising that this issue is raising a lot of heat. in Kenya priests in the Military is common place. In fact they are also ranked. Bishop Rotich who was the Bishop of Military Ordinariate was a Colonel at the time of his retirement, in line with Kenya's military rules. He is now the Bishop of Kericho Diocese.
@wannaproducts2 жыл бұрын
Baki na Kenya yako acha ulinganifu...watu wamehitaji ufafanuzi kwa Jambo ambalo hawajawahi kuliona nchini kwao labda lipo lakini halijawa wazi, halafu wewe unatuletea ukenya wako hapa, jifunze kubalance shobo wewe. Kwahiyo huko Kenya hao mapadri ni makomandoo, PhD holders na mengineyo? Jiheshimu
@celestinshayo72952 жыл бұрын
@@wannaproducts hii kitu kweli ni ngeni kwetu watz. lakini kwani ukimjib u mtu kwa kauli ya kiungwana unapungukiwa nini
@ktkkilan2 жыл бұрын
@@wannaproducts ndiyo!, kutojua kwako na kutotaka kufunzwa ni shida na ugonjwa mkubwa. Inaitwa ignorance. Ili si jambo la Kenya peke yake. Hata kwingineko utapata mapadri machaplain wa kijeshi,polisi etc, na wasomi katika viuo vikuu. Kubali kufundishwa yale huyafahamu ndugu.
@charlespatrick48592 жыл бұрын
Muandishi bado sana
@NgambilabalinziBaliguluk-os3ln10 ай бұрын
Hongera father kitima
@mdoefrancisketto19892 жыл бұрын
Undercover
@bujikuwilliam76802 жыл бұрын
Umenena
@mzazi14672 жыл бұрын
Mtangazaji nanga rudi shule, unarudiaje maswal.
@gesusgegangphray76892 жыл бұрын
Kuna tafsili cyo.alikuwa mwanajeshi na sasa padre ..mwandishi wewe huna akili kabisa ,,umesomea wapi unajenga hoja kupotosha umma.. fwatilia Jambo kabla ujakulupuka,, research.
@emanuelmlowe68542 жыл бұрын
Upumbavu wako naujinga wako kulinganisha mambo us nchi nyingine