Katika Nyayo za Musa | Waarabu wanauita Mlima Sinai ulioko nchini Misri 'Jabal Musa'

  Рет қаралды 157,054

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Жыл бұрын

Mlima Sinai ndio moja wapo wa maeneo yanayokisiwa kuwa matakatifu katika nchi za kiarabu. Mlima huo pia ukitambulika kama Jabal Musa, kwa kiarabu. Historia inanakili kuwa ni katika mlima huo ambapo Nabii Musa alipopokea amri kumi za mungu nyakati alipotoa mwongozo kwa wana wa israeli. Mlima huo ukiwa na umuhimu wa kipekee kiimani kwa wakristo na waisilamu kote duniani.

Пікірлер: 257
@salomekibe3547
@salomekibe3547 Жыл бұрын
So wonderful, I thank God He enabled me to climb the mountain to the top safely
@kennedymaina9514
@kennedymaina9514 Жыл бұрын
Mt Zion is in kenya
@EdgarLeyian
@EdgarLeyian Жыл бұрын
Giza totoro sio Giza tororo may fren
@mercy342
@mercy342 Жыл бұрын
Mtembee mlimani wala mbinguni mhimu ni kutubu na kutenda yaliyo mapenzi ya mungu Kwani dunia imefika pabaya God have mercy
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 11 ай бұрын
Matendo mema na kutubu ndo muhimu.
@emmanestor-wz7pk
@emmanestor-wz7pk Жыл бұрын
Expendable,dj,afro
@martinnjeru9419
@martinnjeru9419 Жыл бұрын
MAY THE NAME OF MOST HOLY GOD YAHWEH BE ACKNOWLEDGED TO WORLD FOREVER AMEN.
@Goch46
@Goch46 Жыл бұрын
Mara uko saudi Mara ya uko misri Tena wengine wanasema jordan Hii yote ni biashara
@GDSTAR254
@GDSTAR254 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@justerkaregi8044
@justerkaregi8044 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa 🤣🤣🤣
@ismailwhiterich1347
@ismailwhiterich1347 Жыл бұрын
Uko Saudia
@ismailwhiterich1347
@ismailwhiterich1347 Жыл бұрын
Uko Saudia
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
Jabal arafaa nidio walipo kutana adam na hawa bada ya kupoteana na uko saudia ndio ukihiji hapo lazima kuna dua na hija kukamilika .ibrahim alipo ambiwa amchinge mwanae huko jangwani kulikua jangwa pasipo na mtu ndio esmael alipo taka kuchinjwa na kubadilishiwa kondoo na hapo sasa pamekua hija kwanza kbla ya uislam ni al aqsa ndo mana mana bee wote wakua hapo kusali huo msikiti mkbwa musa mlima sanaa upo kati ya egipty mipakani kuingia phalstina lakini uko mikononi mwa misri .
@Hannah-oz7si
@Hannah-oz7si Жыл бұрын
Me I thank God coz mungu na kristo wake amentokea live live no need to wolk in sinai
@francisoluga3156
@francisoluga3156 Жыл бұрын
Amazing
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Жыл бұрын
North Sudan, Ethiopia, Egypt and Yemen have history of moses.
@ismailwhiterich1347
@ismailwhiterich1347 Жыл бұрын
And Saudi Arabia
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Жыл бұрын
@@ismailwhiterich1347 Yes and the bible gets the part of the story of moses right and the story of Joseph WRONG.
@mauricekitana6587
@mauricekitana6587 Жыл бұрын
That mountain(In Sinai peninsula-Egypt)IS NOT mt. Sinai . Mt Sinai is right across the gulf of Aqaba(The Exodus crossing site) of the red sea in today's Saudi Arabia historically inhabited by the Midianites. That is also the region where Moses had earlier fled to and lived with the father inlaw, Jethro, the Midianite(The Midianites were closely related to Israelites)
@Lt._Connor
@Lt._Connor Жыл бұрын
true. people should know that they haven`t been to MT Sinai (Jabal Musa). the real Jabal Musa
@briandera3972
@briandera3972 Жыл бұрын
Not in Egypt as u said, remember Moses was to cross the Red sea 1st b4 receiving the ten commandments
@allyabdulrahman5742
@allyabdulrahman5742 Жыл бұрын
Uuud 3...3
@leaharusei5131
@leaharusei5131 Жыл бұрын
A I agree with you satan is behind the lies here abt God's law iko saudia after gone through red sea
@simonoluoc
@simonoluoc Жыл бұрын
Sasa wewe toka hapa utulete news
@patrickngugi9207
@patrickngugi9207 Жыл бұрын
My Kenya is mt sinai
@kingibandajembe2247
@kingibandajembe2247 Жыл бұрын
Wakenya ni vibaraka vya wazungu wanaupenda utumwa
@babusmusings
@babusmusings Жыл бұрын
The true Sinai seems to be in Saudi Arabia... Remember Moses and the Israelites had crossed the Red Sea before they came to Sinai.
@nambiainspire
@nambiainspire Жыл бұрын
Yeah
@ramla6068
@ramla6068 7 ай бұрын
no it is in gypt not saudi mlidanganywa na waisraeli
@munirashughuli618
@munirashughuli618 Жыл бұрын
Allahu Akbr
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
Jabal musa kwa kiarabu mlima wa musa
@justerkaregi8044
@justerkaregi8044 Жыл бұрын
Kwani c Mt Kenya 🙄
@kingpharaoh6981
@kingpharaoh6981 Жыл бұрын
I like Kenyans tukifika a broad tunasahau kiswahili so another Kenyan has to interpret 🤣 😂 🤣 😂
@josephkamaumbugua3492
@josephkamaumbugua3492 Жыл бұрын
😃😃😃😂😂😂
@wambuievelynwaithira
@wambuievelynwaithira Жыл бұрын
😄 🤣 😂 😆 😄
@Lisashelldons
@Lisashelldons Жыл бұрын
😂😂😂😂
@tirusmwiti5419
@tirusmwiti5419 Жыл бұрын
Wakenya wengi hawajui kiswahili. Watanzania ndio wako sawa na kiswahili. Hata mimi sijaenda abroad, but ukinifanyia interview before camera will prefer answering in English.
@jameskimani6850
@jameskimani6850 Жыл бұрын
Only Musa climb sisi tunajua kirinyaga
@kennedykabole4326
@kennedykabole4326 Жыл бұрын
Kirinyaga ni mlima zion.
@stevendocha25
@stevendocha25 Жыл бұрын
Uwongo
@b.9811
@b.9811 Жыл бұрын
@@kennedykabole4326 ingekuwa there could not have been much killings in that area
@clavankalinga734
@clavankalinga734 Жыл бұрын
Ipo nyayo ingine mkoa wa songwe momba mujemfanye utafiti watalaamu
@kingibandajembe2247
@kingibandajembe2247 Жыл бұрын
Musa ni mtu kama wewe tu history za uwongo na biashara sisi tunaamini miungu mmoja waliyobak wote njaaa
@daktariwakienyeji
@daktariwakienyeji Жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏
@ngo.poepleofgoodwill104
@ngo.poepleofgoodwill104 Жыл бұрын
Si mkenya mmoja anguzwe anilipie fare niende huko aky
@dominicdommy9194
@dominicdommy9194 Жыл бұрын
Hadi uchore saba
@emmanestor-wz7pk
@emmanestor-wz7pk Жыл бұрын
Lambo bay dj afro
@charleskirina267
@charleskirina267 Жыл бұрын
Mount Sinai where Moses was given the 10 commandments is in Saudi Arabia...Shalom Aleichem
@beatricemwamini2044
@beatricemwamini2044 Жыл бұрын
Amen.
@abdubboru860
@abdubboru860 Жыл бұрын
Musa ni Muislamu kweli
@ismailwhiterich1347
@ismailwhiterich1347 Жыл бұрын
Yes infact he is..Alipotoka Egypt na wenzake alienda wapi?
@kaytwok2345
@kaytwok2345 Жыл бұрын
Basi kama musa ni muislamu kubali waislamu basi ni wakristo wapinga kristo,,, Genesis 32:28 [28]And he said, Thy name shall be called no more Jacob, but Israel: for as a prince hast thou power with God and with men, and hast prevailed. Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda. Then baada ya yusufu mwana wa yakobo abaye jina limembadilika kuwa Israeli akauzwa na ndugu zake misiri,,ndio baadae njaa ilipoingia yusufu akaleta baba na nduguze nchi ya misiri dio mwishowe falme zikanja ambazo azimtambui yusufu wala kabila la yakobo ambaye dio Israeli... Hapo dipo wana wa yakobo/Israeli ilifanywa kuwa watumwa na baadae walipo zaana kwa wingi wamisri wakasema kila mtoto kijana katika kabila ya wana wa yakobo/Israeli aliye chini ya miaka 2 auwawe..aliye mzaa musa akaficha mtoto kwa miezi mitatu hatimaye akamuweka kwa kikavu akakitumba baharini ndio msichana wa falao amuokote na musa akalelewa katika ufalme. Hivyo basi thibitisha musa alikuwa muislamu kivipi
@ismailwhiterich1347
@ismailwhiterich1347 Жыл бұрын
Ni Muislam yes na Ni Muarabu
@manenoagrey1519
@manenoagrey1519 Жыл бұрын
Muuùuuuuuu
@manenoagrey1519
@manenoagrey1519 Жыл бұрын
@@ismailwhiterich1347 sheria kumi zimo ndani ya biblia
@Mungai_Media
@Mungai_Media Жыл бұрын
It's not the real mount Sinai the real mount senai is in Saudi Arabia wake up people
@sanyoras
@sanyoras Жыл бұрын
Mimi haya yoote huyachukua kama drama ama movies za wabeberu nia yao kudanganya africans
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist Жыл бұрын
Very true
@rubefabi8366
@rubefabi8366 Жыл бұрын
Unajidanganya mwenyewe, mateso ya utumwa hayawezi kufuta ukweli usioweza kupingwa. Nijuacho mimi hapa duniani hakuna uwiano ulio sawa miongoni mwa wanadamu na hili hatuwezi kulisawazisha sababu ya dhambi inayotawala dunia. Isipokuwa baada ya maisha haya kila mtu atahukumiwa kwa usawa. Wa kwenda mbinguni wataenda na wa jehanamu vivyo hivyo na hapo hapatakuwa na standards.
@tiberiuskuja6764
@tiberiuskuja6764 Жыл бұрын
Sawa Kama wewe your opinion
@josephmungai1799
@josephmungai1799 Жыл бұрын
Eti? Kitabu cha Biblia ndicho kitabu ambacho kimechambuliwa zaidi ya vitabu vingine vyote, kimechambuliwa na kukosolewa na hakuna mtaalamu yeyote ama mtu yeyote ambaye ameweza kuonyesha tone la uongo katika Bibilia. Miongoni mwa vitabu vyote vya kale, vile vya Plato, vile vya Aristotle, na hata maandishi ya Misri na Babuloni, Bibilia ndicho kitabu chenye nakala nyingi zaidi za kale ambazo zimenulukiwa bila makosa yoyote yawezayo kubadili maana. Kwa mfano, kitabu cha Agano Jipya kina nakala zaidi ya elfu tano zilizo kamili ama vipande, zilizoandikwa na watu ambao walihusika kwenye matukio yenyewe, na zote zakubaliana. Vitabu kama kile cha Plato kiitwacho JAMUHURI, kuna nakala moja peke yake na iliandikwa miaka mia tatu baada ya kifo cha Plato mwenyewe. La pili, Bibilia sio kitabu ambacho chajithibitisha chenyewe, Koran ya waisilamu ni mfano wa kitabu ambacho chajithibitisha chenyewe, yaani, "twajuaje kua koran ni ya kweli? Kwa sababu Muhamad alisema koran ni ya kweli. Na twajuaje Muhamad alisema ukweli? Kwa sababu Koran yasema Muhamad alisema ukweli. Sivyo kwa Bibilia, Bibilia yaweza kuthibitishwa kwa jeographia, kwa sababu yanena kuhusu miji na nchi ambazo zipo hadi wa leo. Bibilia yadhibitishwa kwa historia, kwa maana yanena kuhusu watu na matukio ya kihistoria, falme kama Misri, Uajemi, Babuloni, Ugiriki, na wafalme kama Nebukadineza, Kaisari nk. Katika bayolojia, katika fizia, katika masomo yote yajulikanayo, Bibilia yadhibitishwa. Hakuna uwezekano wowote wa Biblia kuandikwa na binadamu. Hakuna. Hio ni imani isio na msingi wa kweli.
@mondamoriasi6209
@mondamoriasi6209 Жыл бұрын
Stephen letoo could do it best
@josephkamaumbugua3492
@josephkamaumbugua3492 Жыл бұрын
Reporting while shaking
@rizikivincent5255
@rizikivincent5255 Жыл бұрын
Kwanini hamkwenda mchana?kwani mbona wao wanapoenda kutalii kwetu waenda kutalii mchana?
@AAa-wz9cd
@AAa-wz9cd Жыл бұрын
Koisi guys
@kitsaosulubu337
@kitsaosulubu337 Жыл бұрын
Teach us teacher
@hamadmohamed3056
@hamadmohamed3056 Жыл бұрын
How can the Bible be the word of God while it has Soo many contradictions,errors and confusions! Dear Christians God is Not the author of confusion!
@mauricekitana6587
@mauricekitana6587 Жыл бұрын
The confusion here does not come from the bible but from secular historians who through their efforts to dissaprove the bible's historical accuracy come up with all sorts of theories.
@kaytwok2345
@kaytwok2345 Жыл бұрын
Out of that so many can you please mention only 1 contradiction only 1
@florencewaweru2386
@florencewaweru2386 Жыл бұрын
Stop lying to Kenyans that mount Sinai is in Egypt, read the bible, it is in Saudi Arabia.
@charleskamau3835
@charleskamau3835 Жыл бұрын
Aki huku wachanganuzi wa bibilia wamejaa lakini wasilamu wamewakilishwa na wasomi wa habari
@OldisGold1982
@OldisGold1982 Жыл бұрын
Huyu journalist habambii😏
@rb3176
@rb3176 Жыл бұрын
Jabal Musa is in Saudi Arabia na hakuna mtu anafaa kuenda mahali hapo...Na evidence ipo ila hakuna mtu anae ruhusiwa kuingia eneo ilo...
@Gratefulme770
@Gratefulme770 Жыл бұрын
Uwongo. Musa was not an arab
@remiomar7154
@remiomar7154 Жыл бұрын
jabal nuur ndio liko Saudia Arabia
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
@@Gratefulme770 kumbe alikua wapi ndio mashariki hiyo arab
@Gratefulme770
@Gratefulme770 Жыл бұрын
Na Musa aliendaje kama watu hawafai kwenda. Ama Musa hakuwa mtu🤔
@fatlose606
@fatlose606 Жыл бұрын
Safari ya kuandika biblia ilianzia Afrika, pia mtu mweusi ndiye aliyeumbwa wa kwanza ambaye ni Adam na Hawa katika jangwa la Sahara, unapochunguza vizuri mtu mweusi ndiye hufanana na matope alafu mtu mweusi ako na uwezo wa kuzaa watu wa rangi tofauti tofauti kwa mfano mtu mweusi huza alpino ambaye ako na rangi sawa sawa na mzungu, umeshawahi mzungu amezaa albino black? Kuna kisiwa fulani bara Asia kuna blacks ambao wako na blonde hair kama za wazungu, juu Mungu alilaani Adam na Hawa kama wazazi wa dunia ndio manake blacks laana iliwashika zaidi kwa sababu hao ndio wazazi wa mataifa ya watu wenye rangi nyeusi.
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
Uongo adam na hawa aliubwa kama malaika peponi ila bada ya kuja duniani mchanganyiko wa rangi ulitokea bada ya vizazi kuzidi mmungu ndie ajuae. Na yy alie umba na kutuma manabee kua binadam ni kwa udongi aliubwa lakini ktka umbo zuri
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
ni injili ilio ya mwanzo biblia ilifata badae ktk
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 Жыл бұрын
Hao watu weusi wenye blondism wapo visiwa vya pacific,,Papua new guinea,Vanuatu,Australia na maeneo mengne ya Pacific islands,na nikweli na kiukweli malaika walioanguka ndio hasa mababu wa wazungu na jamii zao zote huo ndo ukweli
@peacetv9666
@peacetv9666 Жыл бұрын
I didn't see the bush. Sithani huo ni mlima sinai
@jackymontet3507
@jackymontet3507 Жыл бұрын
Mr gachanja I see you mom
@nicohmuinde1673
@nicohmuinde1673 Жыл бұрын
Moses??
@kevoJASIRI2546
@kevoJASIRI2546 Жыл бұрын
Kila kitu ilifanyika Africa
@douglaskihara3886
@douglaskihara3886 Жыл бұрын
Uongo real mt sinai is not that one doma vizuri Bibilia
@geoffreynganga2541
@geoffreynganga2541 Жыл бұрын
The real Mt Sinai is in Saudi Arabia.......
@missindependent1893
@missindependent1893 Жыл бұрын
Yes
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist Жыл бұрын
It is not in Saudi Arabia, It is in Africa at the Center of Sahara Desert known as EMI Koussi one of the Tibesti mountains
@geoffreynganga2541
@geoffreynganga2541 Жыл бұрын
@@trutharchaeologist even if you follow with the Biblical story it doesn't add up
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist Жыл бұрын
@@geoffreynganga2541 It automatically adds up, especially once you understand Genesis 13 :1 What direction Abraham went after leaving Egypt going to the promised land, Genesis 13:1 [1]And Abram WENT UP out of Egypt, he, and his wife, and all that he had, and Lot with him, INTO THE SOUTH. When someone GOES UP FROM EGYPT INTO THE SOUTH. how does he end up in North East Africa after leaving the same place?
@geoffreynganga2541
@geoffreynganga2541 Жыл бұрын
@@trutharchaeologist Abram went north not south after leaving Egypt.....read your Bible well...... The Moses crossed red sea to Mt Sinai...... to EMI koussi..... where do you cross the sea
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist Жыл бұрын
That is not Mt Sinai, It is very bad to rewrite History, Mt Sinai is supposed to be at the Center of the desert, which would make it to be EMI Koussi one of the mountains of Tibesti in Chad. Central Sahara.
@kevoJASIRI2546
@kevoJASIRI2546 Жыл бұрын
This is Sinai trust you
@nambiainspire
@nambiainspire Жыл бұрын
Saudi Arabia is believe to be the current name for the Land of Median I think Mt Sinai is in Saudi because it's recorded in the bible
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist Жыл бұрын
The land of Midian is not located in Saudi Arabia but in the regions of Congo, not DRC but Congo Republic regions
@Gratefulme770
@Gratefulme770 Жыл бұрын
No Mt Sinai is Mt Kenya😁
@nambiainspire
@nambiainspire Жыл бұрын
So mt.walicross red sea wakiteremka Africa ama?😅
@nambiainspire
@nambiainspire Жыл бұрын
The bible says Mt.Sinai is in Arabia
@Gratefulme770
@Gratefulme770 Жыл бұрын
@@nambiainspire which verse in bible?
@sylviaalu5867
@sylviaalu5867 Жыл бұрын
Jamani kuna mwingine kule tiktok alisema ni nchi Namibia
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Kwani Wana wa Israel walikuwa Namibia ktk historia ya vitabu
@alkebulansenteusenteu640
@alkebulansenteusenteu640 Жыл бұрын
Tangu lini Musa akawa muarabu, ilhali alizaliwa Misri, mbwana mwatufanya ma bwege was historian.
@ismailwhiterich1347
@ismailwhiterich1347 Жыл бұрын
Kwani ni mnyamwezi au mbaluhya?
@halimahamis3742
@halimahamis3742 Жыл бұрын
Kutokana Na milima ilinyo Mingo kieneo hamna uhakika Ni kilele kipi
@annandaga7997
@annandaga7997 Жыл бұрын
M. Pawa mkopp
@shalyneshikoli2129
@shalyneshikoli2129 Жыл бұрын
Mt sinai iko Egypt hua tunaenda every year for a trip
@tairusondoo2181
@tairusondoo2181 Жыл бұрын
What evidence do they have that is Mt Sinai
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist Жыл бұрын
It is not Mt Sinai
@janet7740
@janet7740 Жыл бұрын
@@trutharchaeologist mt Sinai is in saudia arabia
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist Жыл бұрын
@@janet7740 You worship Arabs and European gods, I read the scriptures and believe what they say, Mt Sinai is a real Mountain not a hill, and the book of Jubilees contained in the original KJVA of 1611 is very clear that Mt Sinai is at THE CENTRE OF THE DESERT. Jubilees 8:19 [19]And he knew that the Garden of Eden is the holy of holies, and the dwelling of the Lord, and Mount Sinai THE CENTRE OF THE DESERT , and Mount Zion -the centre of the navel of the earth: these three were created as holy places facing each other. EMI KOUSSI, the highest mountain in Chad, Central Sahara Desert, that is the Real Mount Sinai, very black at the summit, read the scriptures including those taken out by Europeans and understand that the Scriptures is African Bantu people History and has nothing to do with Middle East
@shalyneshikoli2129
@shalyneshikoli2129 Жыл бұрын
Its is i can prove it
@janet7740
@janet7740 Жыл бұрын
@@trutharchaeologist now you have confused me more 🤣 coz i looked at the map and i saw red sea and if Moses was given ten commandment at mount Sinai and they had already crossed red sea to me seemed it should be in saudia arabia
@Sahra3718
@Sahra3718 Жыл бұрын
😁
@Gratefulme770
@Gratefulme770 Жыл бұрын
Those saying its in Saudi kwani Musa alikuwa mwaraabu ama muyahudi??
@b.9811
@b.9811 Жыл бұрын
Alikuwa mybe muyahudi who stayed in 🇸🇦.
@issaisandeko6217
@issaisandeko6217 Жыл бұрын
Kwani Misri sio waarabu au ndo network error
@ismailwhiterich1347
@ismailwhiterich1347 Жыл бұрын
Wayahudi ni kabila la waarabu..Abraham baba Yao ni Mwarabu.
@itiamekimbui722
@itiamekimbui722 Жыл бұрын
Musa alikuwa black
@Gratefulme770
@Gratefulme770 Жыл бұрын
@@itiamekimbui722 From Kenya😀
@aplokimo405
@aplokimo405 Жыл бұрын
Wakenya ?kofia niyanini?
@IamJemoh
@IamJemoh Жыл бұрын
Real Sinai is in Saudi Arabia.the rest sis hearsay
@tairusondoo2181
@tairusondoo2181 Жыл бұрын
Any proof of Israel existence in that place
@ismailwhiterich1347
@ismailwhiterich1347 Жыл бұрын
They still live there today.
@leonardalphonce8924
@leonardalphonce8924 Жыл бұрын
nahitaji kwenda huko
@Wastara001
@Wastara001 Жыл бұрын
Usiku tororo? Mna aibu
@brendawafula6592
@brendawafula6592 Жыл бұрын
Aty Giza what 🤣🤣🤣
@loveyourself7941
@loveyourself7941 Жыл бұрын
Mlima Sinai uko SAUDI ARABIA
@user-ek5fj3ww8k
@user-ek5fj3ww8k Жыл бұрын
WAAFRIKA NI LINI MTACHANUKA???????????.........
@RKBro-jr1ts
@RKBro-jr1ts Жыл бұрын
My swahili isn't that good but usiku TORORO is a no
@Godsfavourite.1507
@Godsfavourite.1507 Жыл бұрын
😂😂😂
@gilleanomungo4381
@gilleanomungo4381 Жыл бұрын
😁😁
@ezekielronoh4282
@ezekielronoh4282 Жыл бұрын
You are right for the first time
@Gratefulme770
@Gratefulme770 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@johnnabie5445
@johnnabie5445 Жыл бұрын
Sycamore tree
@jayhm4331
@jayhm4331 Жыл бұрын
Does this trip make them Ten Commandments keepers any more than before? Of course for touristic reasons ye but to meet God is to Love and fear HIM AND KEEP THE TEN COMMANDMENTS which also means loving fellow man and sharing your bread Isaiah 58 KJV Ezekiel 8 and Ezekiel 9, knowing what is the MARK OF THE BEAST --FORCED SUNDAY WORSHIP LAW and how to avoid RECEIVING IT. REVELATION 14:12 says HERE IS THE PATIENCE OF THE SAINTS- HERE ARE THEY THAT KEEP THE COMMANDMENTS OF GOD and HAVE THE SPIRIT OF PROPHECY- repeated again in REVELATION 12;17 - the DRAGON was WROTH with the WOMAN (SDA GENERAL CONFERENCE CHURCH) and went to make WAR with REMNANTS OF HER SEED who KEEP THE COMMANDMENTS OF GOD and have the FAITH OF JESUS. The LAST BATTLE is between the COMMANDMENTS OF GOD and the COMMANDMENTS OF MEN (NEU WALD ORDER, RULERS, KLYMET CHANGE SUNDAY worship MOVEMENT. The COMMANDMENTS OF GOD are IMMUTABLE, GOD will fight fot the little class that still KEEP THE TEN COMMANDMENTS and the SEVENTH DAY SABBATH which is the SIGN between GOD and the CHILDREN of ISRAEL for A PERPETUAL COVENANT.
@kennedykabole4326
@kennedykabole4326 Жыл бұрын
Uwuongo mtupu,ambao umetumiwa na wabeberu kuwa tawala wafrika. Mlima wa Musa uko nchini Namibia, kwa jina GOREB, ambao uko katika sehemu wanaokaa wa Bantu. Hawa ndio uzao wa Abraham, Isaac na Jacob. Uzao wa Jacob na Yesu ni wa Bantu.
@brianokello1779
@brianokello1779 Жыл бұрын
Hii yako siwezi kubali hata na dawa
@kennedykabole4326
@kennedykabole4326 Жыл бұрын
@@brianokello1779 Wazungu walifanya kazi. Sisi tulikuwa vivyo hivyo.
@RKBro-jr1ts
@RKBro-jr1ts Жыл бұрын
Hehehe
@missgitau7128
@missgitau7128 Жыл бұрын
@@brianokello1779 😂😂😂😂😂😂😂😂
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist Жыл бұрын
Mt Sinai is not in Namibia but in Central Sahara Desert, Namibia is the land of Judea, Southern Kingdom, that's why it is Desolate, European South Africans in Western Cape are occupying the land of Canaan
@martinkibet8495
@martinkibet8495 Жыл бұрын
Mount Sinai can never be in EGYPT. Hii ni uongooo
@shalyneshikoli2129
@shalyneshikoli2129 Жыл бұрын
Iko my dear im in Egypt nishawai enda sinai.not even once
@mauricekitana6587
@mauricekitana6587 Жыл бұрын
@@shalyneshikoli2129 It is true that there is a site where people go for pilgrimage thinking it is the actual mt. Sinai. The site was errorneously identified. The actual mt. Sinai as recorded in the bible is in Saudi Arabia right after crossing red sea at Gulf of Aqaba. Did you cross any red sea when you visted the site?
@shalyneshikoli2129
@shalyneshikoli2129 Жыл бұрын
@@mauricekitana6587 ask Google where's mt sinai located because I have been there not once
@mauricekitana6587
@mauricekitana6587 Жыл бұрын
@@shalyneshikoli2129 I agree you have been to a site that for a long time people(including google) have believed to be the actual site mt Sinai. New archaeological evidence that fits the description of the bible shows that the site you have been many times is not the actual biblical mt Sinai(It was an error by early historians). The actual Mt Sinai is in Saudi Arabia and it is under the protection of Saudi government.
@valerineval3233
@valerineval3233 Жыл бұрын
Mambo mengi hutokea ila nikuyaskia na kuyatupilia mbali mlima Sinai uko misri ambako Musa alipewa sheria kumi ila hao wamsri wengi ni wanyama huenda kinyume na hizo sheria kabisaa
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 Жыл бұрын
That's a lie,they lied to us. Even by reading the book of Exodus you would notice something before you look at the maps . They say the Isrealites crossed the Red sea and after trekking into the wilderness,Moses departed to go to Mt Sinai then when you check the maps,the Sinai peninsula is inside Egypt 🤔. If you detect one lie,the rabbit hole is deep.
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 Жыл бұрын
Again those in modern day Egypt are not the same people as in Moses day.Didnt you hear Kevin Hart was banned to perform in Egypt recently when he claimed "ancient Egyptians were Black"? So deep but true.
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 Жыл бұрын
beautiful
@ismailwhiterich1347
@ismailwhiterich1347 Жыл бұрын
Sinai Ipo Saudia
@ismailwhiterich1347
@ismailwhiterich1347 Жыл бұрын
@@justinamusyoka4986 are Arabs black or white?
@Joyjemes
@Joyjemes Жыл бұрын
😂😂
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist Жыл бұрын
Muwache kudanganya waafrika na uzungu na uarabu wenu, wazungu walivitoa vitabu vitakatifu ili wamteke mwafrika kwa ukoloni na slavery, Mlima Sinai uko katikati ya jangwa la Sahara, sio Arabia, Historia yote ya Biblia ilifanyika ndani ya Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Mlima Sinai ni EMI Koussi uliopo Chad katikati ya Jangwa. Jubilees 8:19 [19]And he knew that the Garden of Eden is the holy of holies, and the dwelling of the Lord, and MOUNT SINAI THE CENTRE OF THE DESERT , and Mount Zion -the centre of the navel of the earth: these three were created as holy places facing each other.
@AaronJoshua
@AaronJoshua Жыл бұрын
It is possibly the location of the biblical Mount Sinai, the place where, according to the Torah, Bible, and Quran, Moses received the Ten Commandments. It is a 2,285-metre (7,497 ft), moderately high mountain near the city of Saint Catherine in the region known today as the Sinai Peninsula.
@AaronJoshua
@AaronJoshua Жыл бұрын
Quran 20 verse 9-21 هَلْ أَتَاكَ حَدِيثُ مُوسَى(9) 9: Has the story of Moses reached thee? إِذْ رَأَىٰ نَارًا فَقَالَ لِأَهْلِهِ امْكُثُوا إِنِّي آنَسْتُ نَارًا لَعَلِّي آتِيكُمْ مِنْهَا بِقَبَسٍ أَوْ أَجِدُ عَلَى النَّارِ هُدًى(10) 10: Behold, he saw a fire: So he said to his family, "Tarry ye; I perceive a fire; perhaps I can bring you some burning brand therefrom, or find some guidance at the fire." فَلَمَّا أَتَاهَا نُودِيَ يَا مُوسَىٰ(11) 11: But when he came to the fire, a voice was heard: "O Moses! إِنِّي أَنَا رَبُّكَ فَاخْلَعْ نَعْلَيْكَ ۖ إِنَّكَ بِالْوَادِ الْمُقَدَّسِ طُوًى(12) 12: "Verily I am thy Lord! therefore (in My presence) put off thy shoes: thou art in the sacred valley Tuwa. وَأَنَا اخْتَرْتُكَ فَاسْتَمِعْ لِمَا يُوحَىٰ(13) 13: "I have chosen thee: listen, then, to the inspiration (sent to thee). إِنَّنِي أَنَا اللَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا أَنَا فَاعْبُدْنِي وَأَقِمِ الصَّلَاةَ لِذِكْرِي(14) 14: "Verily, I am Allah: There is no god but I: So serve thou Me (only), and establish regular prayer for celebrating My praise. إِنَّ السَّاعَةَ آتِيَةٌ أَكَادُ أُخْفِيهَا لِتُجْزَىٰ كُلُّ نَفْسٍ بِمَا تَسْعَىٰ(15) 15: "Verily the Hour is coming - My design is to keep it hidden - for every soul to receive its reward by the measure of its Endeavour. فَلَا يَصُدَّنَّكَ عَنْهَا مَنْ لَا يُؤْمِنُ بِهَا وَاتَّبَعَ هَوَاهُ فَتَرْدَىٰ(16) 16: "Therefore let not such as believe not therein but follow their own lusts, divert thee therefrom, lest thou perish!".. وَمَا تِلْكَ بِيَمِينِكَ يَا مُوسَىٰ(17) 17: "And what is that in the right hand, O Moses?" قَالَ هِيَ عَصَايَ أَتَوَكَّأُ عَلَيْهَا وَأَهُشُّ بِهَا عَلَىٰ غَنَمِي وَلِيَ فِيهَا مَآرِبُ أُخْرَىٰ(18) 18: He said, "It is my rod: on it I lean; with it I beat down fodder for my flocks; and in it I find other uses." قَالَ أَلْقِهَا يَا مُوسَىٰ(19) 19: (Allah) said, "Throw it, O Moses!" فَأَلْقَاهَا فَإِذَا هِيَ حَيَّةٌ تَسْعَىٰ(20) 20: He threw it, and behold! It was a snake, active in motion. قَالَ خُذْهَا وَلَا تَخَفْ ۖ سَنُعِيدُهَا سِيرَتَهَا الْأُولَىٰ(21) 21: (Allah) said, "Seize it, and fear not: We shall return it at once to its former condition".
@AaronJoshua
@AaronJoshua Жыл бұрын
So my friend rudi na hii mambo yako amabaye unaandika kwa comment sections shame on you 😑
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist Жыл бұрын
@@AaronJoshua Read the SCRIPTURES stop following religions. Everything, except the spreading of the Gospel to the scattered Jews in Rome, Ephesus, Corinth, Thessaloniki, Phillipi, etc happened in Africa, EXODUS from Egypt to the promised land, the land of Canaan happened Southwards from Misri, not North East, Jubilees 8:19 [19]And he knew that the Garden of Eden is the holy of holies, and the dwelling of the Lord, AND MOUNT SINAI THE CENTRE OF THE DESERT , and Mount Zion -the centre of the navel of the earth: these three were created as holy places facing each other.
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist Жыл бұрын
@@AaronJoshua You think you know a lot, When did South of Egypt become Middle East? Explain to me how how this scripture verses in relation to the Exodus of the Children of Israel from Egypt led them to the "Middle East" just opposite the same place Exodus began in Ramses. Jasher 85:1 [1]And king Arad the Canaanite, WHO DWELT IN THE SOUTH , heard that the Israelites had come by the way of the spies, and he arranged his forces to fight against the Israelites. Numbers 33:40 [40]And king Arad the Canaanite, which dwelt IN THE SOUTH IN THE LAND OF CANAAN , heard of the coming of the children of Israel. Numbers 21:1 [1]And when king Arad the Canaanite, WHICH DWELT IN THE SOUTH , heard tell that Israel came by the way of the spies; then he fought against Israel, and took some of them prisoners. Genesis 13:1 [1]And Abram went up out of Egypt, he, and his wife, and all that he had, and Lot with him, INTO THE SOUTH.
@dennismichael6495
@dennismichael6495 Жыл бұрын
Mt. Sinai was not in Egypt but after Crossing the red sea hence out of Egypt
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Funikeni vichwa vyenu nyie
@motivatedfitnesscentreyoga
@motivatedfitnesscentreyoga Жыл бұрын
Nonsense
@TeacherBeatrice_
@TeacherBeatrice_ Жыл бұрын
Misri_Egypt not saudia
@ismailwhiterich1347
@ismailwhiterich1347 Жыл бұрын
The traveled through Egypt bt the actual Mountain is in Saudi Arabia
@ismailwhiterich1347
@ismailwhiterich1347 Жыл бұрын
SAUDI READ YOUR BOOK WELL THIS TIME WITH A MAP
@horessmohamed3319
@horessmohamed3319 Жыл бұрын
Big lies mount Sinai is in Saudi Arabia not Egypt
@alphiembai4080
@alphiembai4080 Жыл бұрын
I just believe the Bible and i never question it!!!! Someone from my village questioned the Bible a lot and became mad!!!
@mohammedsalim3315
@mohammedsalim3315 Жыл бұрын
Kuna baadhi ya mapungufu ,lazima uulize .
@teacherdenniskauga1720
@teacherdenniskauga1720 Жыл бұрын
@@mohammedsalim3315 the Bible is the source of confusion that we had been witnessing....if you can't question then you are a slave of lies
@morriswanyoike3324
@morriswanyoike3324 Жыл бұрын
Total lies Mt Sinai is in Africa bana.
@joelpowell9996
@joelpowell9996 Жыл бұрын
You are another one.I lov it..
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
Duh kilimanjaro nn
@leaharusei5131
@leaharusei5131 Жыл бұрын
What a lie?? Read the bible mt sinai iki saudia after escape from the hands of parao .how cometh the world cheated on you after visited Egyptian the so called cop 27.n speaks this lies .anyway we can be save for finding where moses located but we saves for not breaking God's laws by grace. The laws in our mouth n heart period.
@mohamedhussein8431
@mohamedhussein8431 Жыл бұрын
Uliza mu Islamku beke
@kahuhowanjoki7227
@kahuhowanjoki7227 Жыл бұрын
Dini ni utumwa
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
Kwa shetani ninitumwa ila kwa mmungu ni njia sahihi ww kumuabudu kwani ulitokea wapi hujijui na uendako
@kahuhowanjoki7227
@kahuhowanjoki7227 Жыл бұрын
@@gh7naa hii ujinga mtawacha lini? Mtu kama hafuati dini anafuata shetani?
MAAJABU NDANI YA MLIMA SINAI - BY BISHOP FJ KATUNZI.
18:36
MARANATHA ONLINE TV.
Рет қаралды 3,4 М.
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,4 МЛН
Sodom And Gomorrah - Real Place || Lot's Wife Pillar Of Salt
21:48
Coolkenyan Inisrael
Рет қаралды 4,5 МЛН
Safari ya kwenda Israeli kwenye kaburi la Yesu. Mtanzania akisumulia
15:56
WAUMINI WA KANISA KATOLIKI
Рет қаралды 4,9 М.
MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUHUSU BABA ASKOFU DR. MOSES KULOLA
6:56
Christian Online Services
Рет қаралды 12 М.
MLIMA SINAI NA KICHAKA CHA MUSA KISICHOTEKETEA
5:34
LIBE Tz TV - Kiswahili / Kiarabu Jifunze
Рет қаралды 377