Рет қаралды 231,610
Musharaf Abdallah ni mmoja wa wafungwa waliotoroka gerezani Kamiti
Familia yake imetueleza alivyoondoka nyumbani akiwa na miaka 14
Musharaf aliondoka kwenda kusoma mafunzo ya dini ya kiisilamu
Mamake amtaja mwanawe kuwa mtulivu licha ya kutajwa kuwa mhalifu