KIBANO KINGINE KWA WATU WA BIDAAH MASUFI, SHK, QASSIM MAFUTA.

  Рет қаралды 712

ABDALLAH HUD - HUD (salafiy)

ABDALLAH HUD - HUD (salafiy)

6 күн бұрын

Changia uwendeshaji wa chaneli hii
kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu
Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah
Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah
JAZAKUMULLAH KHAIRAH

Пікірлер: 13
@user-oc8uo9rl3u
@user-oc8uo9rl3u 4 күн бұрын
Mawahabi chechei 😂
@user-rc7in6cs8b
@user-rc7in6cs8b 4 күн бұрын
Shekh suali lang ni hil kama allha yup juu ya arishi kabla hajaiyumb iyo arishi alikua wp
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 4 күн бұрын
😂nakama yupo mahali popote alikua wapi kabla yakuumba mbingu na ardhi umelikumbuka hilo😂
@hafidhsalum-jp2mw
@hafidhsalum-jp2mw 4 күн бұрын
Uko wap ww na hadith ile ya mtume kua Allah huteremka adi mbingu ya mwisho wa dunia robo tatu ya mwisho wa usiku na kupokea dua za waja wake waliokua macho wakati kufanya ibada na kumuomba dua
@huseynmaitaya9002
@huseynmaitaya9002 4 күн бұрын
Hauja takwa kujua ali kua wapi kabla ya kuiumba hiyo Arshi, Na angetaka angekuambia
@malickyhussein9032
@malickyhussein9032 4 күн бұрын
Ile hadithi inayosema kuwa Mja hua karibu na mola wake wakati aliposujudu.. Hili limekaaje..?
@RuwaidaSaid-un3pc
@RuwaidaSaid-un3pc 2 күн бұрын
​@@hafidhsalum-jp2mw kwaiyo Allah hushuka sio anashuka tena taratibu kwa madoido duhhh mawahabi ni vibaraka wa makafiri kweli
@malickyhussein9032
@malickyhussein9032 4 күн бұрын
Kusema maimamu woote wanalithibitisha huo ni uongo abulfadhili.. Na ulete dalili katika hilo
@malickyhussein9032
@malickyhussein9032 4 күн бұрын
Lete dalili ya imamu shafiii Na Dalili kwa ahamad bin hanmbali Ya abuu hanifa na dalili kutoka kwa imamu maliki…. Halafu aqida ni kuwa Allah yupo bila mahala wala upande.. Haisemwi kuwa Allah hayupo juu hapana.. Inasemwa kuwa Allah hatagemei mahala wala upande kuwepo kwake.. Hakuiumba Aarishi ila yawe ndio makazi yake, huko sio kumpwekesha Allah.. Halafu kama shida ni maana ya neno istawuu.. Mbona linatumika hata na maimamu kutuambia tuziweke sawa swafu zetu na sio ziwe juu swafu zetu. Pale imamu akisema istawuu sufufukum.
@malickyhussein9032
@malickyhussein9032 4 күн бұрын
Lakini pia Dalili unayoitoa kuwa Mtume alimuona Allah kwenye sidratul muntaha ni dalili dhaifu…( na uzuri umeikiri hapo kuwa hiyi ni dhaifu) Lakini dalili ya kusema kuwa sababu aliambiwa na Nabiii musa kuwa “rejea kwa mola wako” ukawaombee tahfifu ummati wako bado sio dalili pia.. Kwasababu hata huku Duniani tunaambiwa kuwa mja rejea kwa mola wako, na panasemwa kuwa katika sijjida ndio mja hua karibu zaidi na mola wake.. Na hiyo ni dalili kuwa Allah yupo bila mahala wala upande, bila kujali wewe upo wapi Allah yeye yupo. Lakini bado naomba dalili ya kuwa maimamu woote wanne wamesema Allah yupo juu ya Aarishi..( hii uteletee na usipoilete itakuwa umekiri kuwa ni uongo uliyoyasema)
SHEIKH WA KISALAFI ALIVYO UWAWA KWA DHULMA AFUGHANISTAN, SHK, QASSIM MAFUTA.
16:09
ABDALLAH HUD - HUD (salafiy)
Рет қаралды 1,9 М.
HAKUNA KUCHUMBIA HADI UTAMKE SHAHADA, SHK, MBWANA ABDI.
9:36
ABDALLAH HUD - HUD (salafiy)
Рет қаралды 194
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 111 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 107 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 142 МЛН
MATAJIRI WENYE FEDHA ACHENI KUWA NYANYASA WATU, SHK, ABUU FAARISS.
9:02
ABDALLAH HUD - HUD (salafiy)
Рет қаралды 88
NASAHA KWA MASALAFI WALIOPO UNGUJA,ZANZIBAR
2:58
@Abuu Twalha
Рет қаралды 3,1 М.
MAKARAMA YALIYOMTOKEZEA SHEIKH WALID
17:20
DARSA TV
Рет қаралды 142 М.
MIUJIZA TELE YA MTUME AMBAYO HAUJAWAHI KUZISIKIA, SHK, QASSIM MAFUTA.
43:35
ABDALLAH HUD - HUD (salafiy)
Рет қаралды 475
MUME AMEATHIRIKA NA UKIMWI NA MKE WAKE HANA NA WANA WATOTO, SHK, MUHAMMAD SALIM.
7:11
ABDALLAH HUD - HUD (salafiy)
Рет қаралды 302
MAMA AMPA MWANAE JINA LA KISHKI.
21:44
Kishki Online TV
Рет қаралды 36 М.
JIFUNDISHE KUFANYA BAHTHI EWE MWANAFUNZI, SHK, QASSIM MAFUTA.
4:33
ABDALLAH HUD - HUD (salafiy)
Рет қаралды 184
SALAFI ALIYEOA MKE BIKRA ALIYE INGILIWA KINYUME NA MAUMBILE, SHK, MBWANA ABDI.
5:30
ABDALLAH HUD - HUD (salafiy)
Рет қаралды 2,1 М.