MAKARAMA YALIYOMTOKEZEA SHEIKH WALID

  Рет қаралды 142,310

DARSA TV

DARSA TV

4 жыл бұрын

MAKARAMA YALIYOMTOKEZEA SHEIKH WALID
FULL VIDEO YA MAKARAMA YALIYOMTOKEZEA SHEIKH WALID TANZANIA USISAHAU KUTU FOLLOW KWENYE FACEBOOK PAGE YETU NA INSTAGRAM NA KU SUBSCRIBE KWENYE KZfaq CHANNEL YETU KWA VIDEO NYINGI ZAIDI THANKS
SUBSCRIBE
COMMENT
LIKE
SHARE
THANKS

Пікірлер: 294
@ashiimohmedi6051
@ashiimohmedi6051 Жыл бұрын
Shekh walidy wallah nakupnda,kwasjil ya Alla wallah wabillah mwenyezimungu akupe umri mrfu tena wamanufaa"" na akufe mwisho mwena"" nmeandka sms hii kwa mapenz makubwa sana"" allah akuongezee elinu yko mpka ukinahi"" mm bado ni kijana mdgo lakin siku alla atanijaalia nitaoa akisha akanijaalia watto wema lazma nikuletee watto wangu mja wapo umleee"" Allah akuweke mpka hpo nitakapojaaliwa kuoa"" na kma amekuchukua basi akupe daftar lako la amar kwa mkono wa kulia"" napia akuingize peponi bila ya hesabu🤲🤲🤲🤲
@mussaissa6796
@mussaissa6796 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana al akh Yaani umeongea maneno yale tulikuwa tukiyasikia zamani kwa watu aina hiyo
@halimaauthman9324
@halimaauthman9324 2 жыл бұрын
Shukran sana shekhe Walid Allah akuhifadhi na mabaya ya duniani na Akhera
@wamanja5572
@wamanja5572 3 жыл бұрын
Allah Akuzidishie Elimu imamu na sisi angalau angalau tupate kitu In shaa Allah.
@fatumahamisi7064
@fatumahamisi7064 2 жыл бұрын
Allah akutangulia sh. Wetu akuhifadhi na madhila wa masheytwani
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 2 жыл бұрын
Wallah sheikh nimekuelewa sana...
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 3 жыл бұрын
جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الأستاذ الحبيب وليد
@ashagrace3333
@ashagrace3333 3 жыл бұрын
Assalam aleykum warmtlh wabrkth sheikhe,mm miko kenya nakufatilia sana Allah akulinde sana.
@daudikhamis1595
@daudikhamis1595 4 жыл бұрын
Allah akujalie katika kudumu kudarasisha Darsa hili la Quran
@issabinmaryam7450
@issabinmaryam7450 4 жыл бұрын
Angepanda mnazi angefika America...
@afric01
@afric01 Жыл бұрын
Aslm alkm ww... Masha Allah!!!! Uko na miaka 55 kama hungeongea hatungejua. Kweli ukiwa mcha Mungu huzeeki haraka. Shukran sana Kwa darsa. Allah akuzidishie umri. Jazakallah kheir 🙏😊😊😊
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 3 жыл бұрын
ALL IN ALL SHEIKH IS SOO CONFIDENCE WHAT IS TALKING ABOUT IT LIKE IT mashallah and I enjoy my self
@columbusdoo593
@columbusdoo593 3 жыл бұрын
Assalamu Alaykum. Tafadhali ni postiye video zengine. Hizi nisha zi repeat sana. Na khutba za ijumaa pia usisahai kuni postiya
@fatumashaibu1461
@fatumashaibu1461 4 жыл бұрын
Subhanallah, Allahu Akbar baada ya kuomba uwe na umri wenye heri we unataka umri mwingi. Allah akujalie umri mrefu wenye heri nawe. Aamin
@janataninaim9193
@janataninaim9193 2 жыл бұрын
Amin
@abdilllahimohammed219
@abdilllahimohammed219 3 жыл бұрын
Nimeshuhudia Mimi na mke wangu sana mungu atuongoze na shukran kwa mawaidha
@asgarsidi8021
@asgarsidi8021 2 жыл бұрын
MashaAllah. Ustad Walid wewe ni Shariff SubhanAllah. Tu kumbuke kwa dua.
@swabrianwar1020
@swabrianwar1020 2 жыл бұрын
ndugi yangu asgar sidi, shariffu n ambae nasaba yake ni mpaka mtume sallla lahu aleihi wasalam
@ashrafukirya1947
@ashrafukirya1947 4 жыл бұрын
Allah akulipe inshallah
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 жыл бұрын
Toba yarabbbi Allah tizama waja wako wanayoyafanya na dini yako vinavovurugwa ya Allah.
@ruubajuni1641
@ruubajuni1641 4 жыл бұрын
Unajua ndugu zangu wakat mwingine inategemea pia na umekulia makuzi gani au umezaliwa wapi,na ndiyo maana wengi wanakuwa hawaamini,lakin karama zipo sisi watu wa bagamoyo tulikuwa nao hao watu wengi sana,kwa waliokiwa nje ya bagamoyo walikuwa wanasema bagamoyo kuna wachawi wengi sana,lakin si wachawi illa palikuwa na watu wengi wenye karama,si wanaume si wanawake,ni mkweli mtu akikunyooshea kidole unaathirika kama hautozikwa,so nakubakiana na Maalim Walid maana hata Mimi nimehadithiwa na pia nimebahatika kuona baadhi ya vitu kwa macho yangu
@abilugome7461
@abilugome7461 3 жыл бұрын
Uchawi mtupu hakuna lolote na ivyo vitabu vya Mambo ayo vipo watu hawavitumii coz ni vya kishilikina
@ahlutwariqaalqaadiriya3538
@ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 жыл бұрын
Kabisa wanakataaa karma je miujiza ya enzi hizo nawao sindo wange kuwa katika makundi ya kushirikina kuziita uchawi😭😭😭😭😭tusiwe wajinga hivyo karama zipo zipo zipo
@ahlutwariqaalqaadiriya3538
@ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 жыл бұрын
@@abilugome7461 Weww lugome usiwe kama mushrikiina akhii wakina abuu jahli wao miujiza waliipinga kwa lakabu kama hizo kuita uchawi doh😳😳😳😳Chunga imani yako
@sammarley1413
@sammarley1413 3 жыл бұрын
@@ahlutwariqaalqaadiriya3538 TATIZO LAO HAO NIKIBRI YANI KITU ASICOKIJUA YY BASI HICO HAKIPO. KABAKWAMBA YY NDIO MWENYE KUIDHINISHA KUWEPO AO KUTOWEPO KARAMA.
@ahlutwariqaalqaadiriya3538
@ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 жыл бұрын
@@sammarley1413 sasa huyu leo kakutana na mimi aniongopei chochote mpk hapa ajatoa hadith wala aya mm namchapa tu kwaajili ya allah 😆😆😆
@mwanakheirkihambwe6824
@mwanakheirkihambwe6824 4 жыл бұрын
Amina shekhe wangu mungu akulipe umri refu wakutumikia dini yetu
@mtimbaabdallah681
@mtimbaabdallah681 Жыл бұрын
subhaana llah yaani masufi wanatabu sana yaani makosa hayo ya kiaqida yote chafu na mwamsifia..innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiun
@hosnabintmariam3287
@hosnabintmariam3287 Жыл бұрын
Allahumma Aamiyn. Alumri twawiyl ziadah sheikh
@janataninaim9193
@janataninaim9193 2 жыл бұрын
Mashaallah swadaktah sheikh subhanaallah
@bilalihussein-dg8dp
@bilalihussein-dg8dp Жыл бұрын
mashallah tunastafidi kwa elimu hii, Allah akuweke sheikh
@mbarouksalim1568
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Mashaa Allah dini ya Allah hi dini ya Allah haina pengo Tunakuomba YA RABBI ss na vizazi vyetu na vyawenzetu tujitahidi kuelekea ili utuongoze kuwa ktk watu wema ili uweze kupata radhi zako hakika tukipata zako radhi tutakuwa ktk watu tulio faulu tasamehe yetu madhambi hakika ww unasamehe madhambi Alhamdulilah Alahuma swali ala saydina muhamadi S.W.S. Amiin
@missrukia9661
@missrukia9661 3 жыл бұрын
Mashallha shekhe
@neemainabikorwa5570
@neemainabikorwa5570 2 жыл бұрын
امين يا رب العالمين
@rahmaabuubakar1751
@rahmaabuubakar1751 Жыл бұрын
HAWA MASHARIF WALIKUWEPO WALLAH NA NNAHISI MMOJA MMOJA WAPO. ALHAMDULILLAH
@saumtolbazi8616
@saumtolbazi8616 2 жыл бұрын
Masha Allah
@ernestmagoda3824
@ernestmagoda3824 Жыл бұрын
Mimi NI mkristo hakika Huyu NI mtu wa watu.
@tumajunior6080
@tumajunior6080 3 жыл бұрын
Mashaallah
@uthmanihimbawe5244
@uthmanihimbawe5244 2 жыл бұрын
Allah Akbar 😭
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft Ай бұрын
Kwaviongozi wa namna hii waislam tuna mtihani wallahi
@DarsaTV.
@DarsaTV. Ай бұрын
tunakupa wewe uongozi
@omaralwi3946
@omaralwi3946 Жыл бұрын
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم
@abdulhamidisiraja4930
@abdulhamidisiraja4930 Жыл бұрын
Mashaaaallah
@doddyhassan862
@doddyhassan862 3 жыл бұрын
Yeyote anayeona kwamba sheikh amekosea ni vizuri kumfata kama unaweza vinginevyo utakuwa utovu wa adabu katika ilmi,
@meandme3437
@meandme3437 Жыл бұрын
Subhanallah bibi maryam mamake nabii issa alikua akiteremshiwa chakula kutoka peponi direct mpaka nabii zakaria akamuuliza ni vipi? TUMCHENI ALLAH SANA😢
@doddyhassan862
@doddyhassan862 3 жыл бұрын
Shukran sheikh Waleed
@mussakasimu2811
@mussakasimu2811 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea ukweli mtupu. Maashallha shekh nakupata nikiwa tanga mjini hapa
@nilihamhamisi1927
@nilihamhamisi1927 Жыл бұрын
Asslam alykum warahamatuallahi wabarakatu sheikh walid naomba niwe mke Mdogo kwa baraka za Allah ndani ya Rajabu hii ya rabby takbar dua ya Yangu
@khalidmuhsin8430
@khalidmuhsin8430 Жыл бұрын
Ucjali q
@AhmedSaid-xz3kj
@AhmedSaid-xz3kj 3 жыл бұрын
Jazakallah kheir
@abamohamed7092
@abamohamed7092 2 жыл бұрын
Sheikh walid hakika maneno yko ni kweli kabisa ,Mimi Kuna jambo Moja lilinitokea ,nikayaona makarama ya as sayyid abdul qadir bin abdul Rahman Al juneid
@omarijuma6692
@omarijuma6692 Жыл бұрын
Allah akupe kila lakheri sheikh letu tupate kufaidika na wewe pia akupe umri
@feiz3180
@feiz3180 4 жыл бұрын
Sadiki ukipenda.
@abeliever6823
@abeliever6823 2 ай бұрын
أكرمك الله يا شيخنا الفاضل
@ashagrace3333
@ashagrace3333 3 жыл бұрын
Subuhana allah.
@barackhaamidu7841
@barackhaamidu7841 2 жыл бұрын
maa shaa ALLAH ALLAHU AK'BAR
@muhrajovic752
@muhrajovic752 4 жыл бұрын
innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuun!!!!!!!!!
@athumanikaoneka7413
@athumanikaoneka7413 3 жыл бұрын
Nicee
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
maashaallah maashaallah
@suleimanally2065
@suleimanally2065 4 жыл бұрын
Watu wengi tunapenda muhemko unafikia kumwita sheikh walid muongo huku ni kukosa adabu kwa masheikh zetu tuwaheshim hawa ndio walimu wetu na watoto wetu
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 3 жыл бұрын
Uongo ni uongo tu. Haijalishi shkh wala mtumwa.
@hassanomar7340
@hassanomar7340 3 жыл бұрын
@@abubakarmuhammadsaid3244 kweli kabisa bro....kw nini lkn watu tunatekwa nyara kiasi hiki. Dini yetu ni ya dalili c kwa matamanio au rai ya mtu.
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 3 жыл бұрын
@@abubakarmuhammadsaid3244 uongo ni uongo lakin kumuita Sheikh muongo huko ni kukosa heshima na hayo anayohadithia ni ya kweli kabisa
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 3 жыл бұрын
@@aliabdalla9297 Kila anaesema uongo ni muongo. Na hayo anayoyasema mimi nina ushahidi kuwa ni uongo. Je, wewe unaemtetea, unao ushahidi wa ukweli wa hadithi hiyo!?
@slamecktz
@slamecktz 2 жыл бұрын
@@abubakarmuhammadsaid3244 Kwani uongo upi umesemwa hapo tuelimishe tukuelewe
@omarmohammed7132
@omarmohammed7132 Жыл бұрын
Mashàallaah
@chafimcaisse6340
@chafimcaisse6340 Жыл бұрын
Shekhe tunakupata vizur sana na tunakupenda kalibu Mozambique
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 2 ай бұрын
Mashaallah tabarakya Rahman
@abdallahahmed7983
@abdallahahmed7983 2 жыл бұрын
mashallwah
@maryamkobelo8290
@maryamkobelo8290 Жыл бұрын
Mashallah
@user-mt4sd6cj5y
@user-mt4sd6cj5y 11 ай бұрын
JazzakahAllahkheir.
@Mbaraka_Mbwambo
@Mbaraka_Mbwambo 3 жыл бұрын
Baaaaraka Allah
@abdul-waqeljuma8868
@abdul-waqeljuma8868 3 жыл бұрын
Sio kwa uislamu huu ndugu moyo bado mzito rekebisha aqida na simamisha dini tuache hadithi!!
@fatumahamisi7064
@fatumahamisi7064 2 жыл бұрын
Shekh walidi binafsi ninaomba namba zako ili niweze kukutafuta sh. .in sha allah kwaajili ya allah
@jumannesaidi2917
@jumannesaidi2917 4 жыл бұрын
Allahu akbar
@user-cv8kw8kd4k
@user-cv8kw8kd4k 7 ай бұрын
Haya anayosema shekhe Walid ni kweli kabisa.
@SeifRupatu
@SeifRupatu 4 ай бұрын
Nanyinyi WAZEE wakupinga tuambieni masheikh WENU walikuajee Kama mnaoo Hao Masheikh
@luqmanjumanne4667
@luqmanjumanne4667 Жыл бұрын
Shukraan sana maa asha allah
@muryd6999
@muryd6999 4 жыл бұрын
Mimi naamini yote aliyozungumza..Karama zipo
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
Kabisa Kama zilikuwepo zamani na dini ndo hii hii itashindwaje kuepo Sasa
@ahlutwariqaalqaadiriya3538
@ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 жыл бұрын
Pamoja tupo waache washirikina walipinge
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
A/a ndugu wa islam tujaribuni kuisoma Tawheed ndio njia pekee kuujua uislam safi.
@abdebasalsalum1309
@abdebasalsalum1309 4 жыл бұрын
Kila la kheri shekh
@mzeemzee7503
@mzeemzee7503 7 ай бұрын
ALFU MABROOK SHEIKH WALEED
@mename6020
@mename6020 3 жыл бұрын
Allah Akbar
@ramadhanimussahramadhani4868
@ramadhanimussahramadhani4868 Жыл бұрын
Wengine hawamjui walidi tunaemfahamu tunajua anachokiongea Na Allah atamlinda
@kadoditsa3805
@kadoditsa3805 2 ай бұрын
Sanaaa
@jumamohamedi4495
@jumamohamedi4495 4 жыл бұрын
Kamba / sound za waziwazi! Tumche Allaah ! Eti mtu kapanda mpapai! Shekh mche Allaah
@bakarimketo188
@bakarimketo188 4 жыл бұрын
Naionea huruma nafsi yako ambayo kumbe hata ibada zako hazina faida nawe...haya hata wewe unayaweza ukiondoa huo ujinga kichwani mwako inshaallah
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 2 жыл бұрын
Shehe wamwlimu wetu Allah amtehem ilkuwa ukiiba ndiz shambn kwake wapeleka kwako hamaki umefka kwake unasem shehe nimeleta Amana😀
@hollyfildspinks2161
@hollyfildspinks2161 2 жыл бұрын
Takbiir
@TheSalimMash
@TheSalimMash Жыл бұрын
Allahu akbar
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Allahu Akbar
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
A/a na muomba mwenye ezimungu atuhifadhi na hizi bidaa uzushi,uzushi za mpeleka mtu atembee kwenye giza bila kuogopa mwenyezimgu aropokwa tu iblis ampeleka bila kujali wala kuzingatia hi ni Dini ya mwenye zimungu, naukikosa imani ya dini ni hatari muislam.
@hamedag7911
@hamedag7911 4 жыл бұрын
Maashaallah
@cholomsury1548
@cholomsury1548 4 жыл бұрын
Hakuna kinachoshindikana kwa idhni ya Allah refers kisa cha nabii suleyman na malkia balkis kuhusu kiti chake
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
Twayyib
@simmyndamo6539
@simmyndamo6539 4 жыл бұрын
Allahu akhubar
@asiaidi3700
@asiaidi3700 4 жыл бұрын
sheikh walidi 55 kama miaka 38 vile
@adamjutto5849
@adamjutto5849 3 жыл бұрын
Raha iliyooje kwa wale wanazuoni walioleta fani ya mustwalahul hadiith,maana isingekuwepo ile mbona uongo ungekithiri na mtume angezushiwa kila aina ya matukio,lkn alhamdulillah watu wameijua ilmu rrijaal na wakatunza maneno ya mtume kwa ufahamu wa wema waliotangulia,asa hvyo visa anavyovitoa sheikh walid ni uongo mtupu,ataka kujifanya yuwaona ghaibu sasa
@ahlutwariqaalqaadiriya3538
@ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 жыл бұрын
Wewe adamu juto unaandika usiyo na uhakika nayo kutoka na mashekh zenu wakiwahabi wakina bin tayma waharibifu wa uislamu bin Baaz wote ni waharibifu wa uislamu allah atulinde na shari zao
@adamjutto5849
@adamjutto5849 3 жыл бұрын
@@ahlutwariqaalqaadiriya3538 kitendo cha kusema ibnu taymiyyah ni sheikh wa kiwahabi tiari nishajua kua kiwango chako cha elimu ni kidogo saana, sasa kasome kisha ndo uanze kutukana hao unaowaita mawahabi kama utaweza,na hautoweza moka qiyaamah إن الرسول قد جعل الجهل داء،و شفاء العي هو العلم Hvo soma utoe huo ujinga wa kusema ibnu taymiyyah ni sheikh wa kiwahabi
@ahlutwariqaalqaadiriya3538
@ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 жыл бұрын
@@adamjutto5849 mpaka naandika hivi nimesoma mengi na nimetosheka ibnu taymia si mm nilietamka maneno hayo ni sheikh ibin batuta istoshe unataka mjadala???😁😁😁maimamu ni shafi.hambali.maliki na abuu hanifa nimemaliza..
@shabanijuma4162
@shabanijuma4162 3 жыл бұрын
اللإسناد من الدين فلولا اللإسناد لقال من شاء ما شاء
@adamjutto5849
@adamjutto5849 3 жыл бұрын
@@ahlutwariqaalqaadiriya3538 kadhaaaab,kaaah ibnu batuutah yupi huyo aliyesema ibnu taymiyyah ni sheikh wa kiwahabi,vile vile mie sitaki mjadala na wewe kwa sbbu huwezii,mi najua wewe ni mtu unaeskia sikiaa tuu masheikh alaf ndo unakuja kusumbua huku kwenye mitandao,kaa chini usome dini haipatwi kwa udaku,inatakiwa usome,uelewe na kuhifadhi mas-alah,hahahhaa eti ibnu batuutah kasema wamjua ibnu batuutah wewee au unaropoka tuu
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Allah Akbar!!!
@AhmedSaid-xz3kj
@AhmedSaid-xz3kj 3 жыл бұрын
Allah ibarek
@abuumudhakkir3688
@abuumudhakkir3688 2 жыл бұрын
Mnatumia majini kisha mwajidai makaramaaaa. Hebu acheni uchawi huooo
@hijamaulidi7382
@hijamaulidi7382 3 ай бұрын
Mm kila nikijitabiria mambo mabaya na mazuri yanatokea kweli sjui nna Nini yaan kama maono yanakuja
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 жыл бұрын
Shetwani anawachezeaga mpaka masheikh msishangae do!!!
@mamussi6872
@mamussi6872 3 жыл бұрын
Tuletee ya kwako wewe sasa
@user-pu8yl2zj8x
@user-pu8yl2zj8x Жыл бұрын
Hhhhhhhhhh
@hudkhan.2920
@hudkhan.2920 4 жыл бұрын
Anasema kweli sheikh visa hivi vipo kabisa
@aboudsaidaboud7667
@aboudsaidaboud7667 2 жыл бұрын
ndevu hana
@omaryabduli7328
@omaryabduli7328 4 жыл бұрын
Chaiiiiiii
@issabinmaryam7450
@issabinmaryam7450 4 жыл бұрын
Visas visas wengi uongo mnatia chumv ndimu pilipili hii toooo much
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 3 жыл бұрын
Una ushahidi
@tausinzwiba4180
@tausinzwiba4180 3 жыл бұрын
Huyu sio mkweli anapenda sifa, anajifanya mcha mungu kumbe mganga tu.
@mamussi6872
@mamussi6872 3 жыл бұрын
Weweee!!!!! Usimhukumu mtu huyajui yaliyopo baina yake na mola wake. Hivi waislam wa leo tunanini lakini????
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
umejuaje kama mganga
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 3 жыл бұрын
Huyo jamaa kapewa mambo wala si uongo wakati huo alikuwa anataka akimbie hasa msikitini
@abuumudhakkir3688
@abuumudhakkir3688 2 жыл бұрын
hayo sio makarama bali ni uchawiiiii
@yahayaali7970
@yahayaali7970 2 жыл бұрын
Kama hujui usiseme hakuna anaye jua/ kwasasababu hujui daarsalam unasema hakuna fly over
@ramadhanmatumbatu4228
@ramadhanmatumbatu4228 4 жыл бұрын
Duh we kwa uongo ni hatari sana we wapange tuu
@agogotvharoune989
@agogotvharoune989 4 жыл бұрын
Mche mungu ndugu yangu unauhakika gani kama amesema urongo? Kuwa na dhana njema kwa ndugu zako waislam khasa viongozi wako wa dini na si kumdhalilisha kumuita mrongo na km kweli wajua mrongo basi mstili
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
@@agogotvharoune989 twayyib
@slamecktz
@slamecktz 4 жыл бұрын
Hukumu muachie Mwenyezi Mungu na laiti ungekuwa unamuelewa Alhabib Shekh Walid usingediriki kuongea upuuzi uliouongea, Tafuta Historia yake ya elimu na Mashekh waliomfundisha mpaka anakabidhiwa uimamu Masjid Kichangani utamuelewa. Ila katika uhai wako fahamu kila ulitendalo utaulizwa siku ya hesabu. Tafuta Muda umfahamu Alhabib Shekh Walid ni nani katika Maswala ya dini.
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
@@slamecktz dohhh
@slamecktz
@slamecktz 4 жыл бұрын
@@@DarsaTV.
@muhammadbilali8209
@muhammadbilali8209 4 жыл бұрын
Si amesema passport yake huwa anasafiria angalau mara 20 kwa mwaka ss iweje kusafir wiki mbili iwe kutoroka darsa!
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
Brother msikikize vizuri huwa anasafiria but ikifika kipindi Cha darasa ambayo no ramadhani huwa yupo darasani
@jamalabdul6113
@jamalabdul6113 4 жыл бұрын
Hilo darsa liko ktk mwezi maalum tu (ramadhani).
@slamecktz
@slamecktz 4 жыл бұрын
Ndugu yangu jifunze kusiiliza na kuelewa kisha uliza usichokielewa utafaidika hapa duniani na kesho ahera. Darasa hilo la tafsiri ya Quran Shekh Walid alikabidhiwa na Mashekh zake na walimuhusia asiache darasisha mpaka mwisho wa uhai wake yeye ni binadamu kuna wakati anakuwa na safari sasa kama ni kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kipindi alicho elezwa asiache fundisha akipanga kusafiri ndo hua yanamtokea hayo anayoyaeleza sasa. Mwenyezi Mungu akipuka uhai ukafika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani jitahidi uhudhurie Masjid Kichangani baada ya swalath Laasiri utafaika sana kwa darasa la kiwango cha juu kabisa linalotolewa pale. Mwenyezi Mungu akuhifadhi.
@amenaafrica7046
@amenaafrica7046 3 жыл бұрын
@@slamecktz shukran na mashaAllh
@sadiqselengu4197
@sadiqselengu4197 3 жыл бұрын
@@slamecktz Watu wengi wanasikiliza kwa mihemko thn waanamini kwa masheikh wanawajua wao waliowachaguwa kuwa ni wa kweli na wenye dini wengine wamewaweka kwenye daraja la si ktkt watu na masheikh wa kweli Ndio haya yanakosekana kwao na yanaonekana ya uongo coz kuna vitu hawajashikamana navyoo
@munirahmed7753
@munirahmed7753 4 жыл бұрын
Mmhh mbn mabalaa hayo
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 4 жыл бұрын
Hivi mm naombaa kulizaa kunaa anaweza kumnyooshea mtu kidole akafaa wakti mtoaji rohoo mungu tu mm sijamuelewaa hapo shekhe bilaa idhini ya mungu hakunaa nafsi inaweza kuondokaa hebu tuweke sawa hapo shekhe sijakufahamu kabisa
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
Ndugu yangu upo sahihi kabisa ni kweli idhini inatoka kwa mungu katika kila Jambo duniani hatukatai hata wachawi Wana wanga wanawadhuru watu mashetani na majini wanau uwezo mbali mbali akiwemo pamoja na iblisi na hao woote idhini zinatoka kwa mungu Sasa Kama wao wanafanya kwa walii mtu ambaye ni yupo karibu na mungu ishindikanike vipi kufanya makarama na idhini ikiwa inatoka kwa kipenzi chake mungu tatizo watu hubisha husema haya Mambo ni ya zamani ya mawalii wazamani wakati uislamu ndo huu Kama wewe utakua karibu na mungu na unayafanya ayatakayo utakua na uwezo mkubwa kuliko hao wachawi na majini binaadamu sisi mungu katupa uwezo mkubwa maana mpaka Adam kapewa cheo Cha kusujudiwa siyo mchezo shekhe wangu
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 4 жыл бұрын
@@DarsaTV. mm nimekuelewaa maana hataa mtume alishawahi kurogwa swali langu ukiwaa walii inamaana mungu anpendezewaa na unayoyafanyaa naunakuwaa karibu na mungu mtu anaekuwaa karibu na mungu uwezo wakuuwa mtu anaupataa wapi wakti yeye ni mtu wa amani mdaa wote na mwenye kutoa roho ni mungu pekeyake sio kiumbe chochote hapaa duniani .kunatofauti kati kupiganaa mpka roho ikatoka ma kumtoa mtu roho hataa majini hawana huwezo huo labdaa wakushambulie ndio mauti yakukute
@alliyrubea5731
@alliyrubea5731 Жыл бұрын
Uko vizuri sana lkn uvaaji wa hizo pete ktk mikono miwili sheikh sio mafundisho sahihi au mm sikuelewa vizuri!
@hassanomar7340
@hassanomar7340 4 жыл бұрын
Uongo live alafu wasema karama. Tumcheni Allah
@mamussi6872
@mamussi6872 3 жыл бұрын
Utakapomcha Allah kikweli utayapata hayo makarama hujamcha Allah bado
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 2 ай бұрын
Kweli hata mimi pia ninayo makarama
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 жыл бұрын
Ukiona mtu anapinga ujue huo ni wivu maana yeye hajapewa
@saidisalum1514
@saidisalum1514 Жыл бұрын
MAJITU YA MAULIDI YOTE NI MACHAWI YANALOGANA HADI MISIKITINI
@saidbanga
@saidbanga 4 жыл бұрын
Ni Vizuri ila angalia usije kuingia kwenye Ghurur na Kujisifu....!
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
Naam alhabib
@bakarimketo188
@bakarimketo188 4 жыл бұрын
Subhanallah huyu hasemi kwa kujisifu Bali anazipa uhai nafsi yako na yangu sisi vipofu ndiyo maana karama zote ansema ametendewa siyo yeye mtenda
@mohamedhatibu4046
@mohamedhatibu4046 4 жыл бұрын
Duh apa kuna darsa au story za kushika watu maskio???
@omarikunguru1487
@omarikunguru1487 4 жыл бұрын
kuwa na adabu kk huyo ni mwanachuoni muheshimu bac ss tunampenda na tunamuelewa sheikh wetu
@abuahlaam
@abuahlaam 2 жыл бұрын
Shekhe acha kutanganya uvhawi na karama Wewe hizo story zako za mpapsi na kuchora mstari ni wazee walokua wachawi Hakuna kuskiza darsa miskiti mitano waqti mmoja hao walikua wachawi tu
@jamalisagutiy921
@jamalisagutiy921 Жыл бұрын
Laanak llah yaa mufrisss😪
@salimahmed2494
@salimahmed2494 Жыл бұрын
Baba jitaidi kusoma
@AhmedSaid-xz3kj
@AhmedSaid-xz3kj 3 жыл бұрын
Hiyo simu ya vibrate yakeraa darsaa
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 22 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 17 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 31 МЛН
UTAFURAHI SHEIKH SHAFI ALIVYO KUTANA NA WAHUNI WAKATI WA KUZIKA
10:05
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 66 М.
DR.SULLE HATAKI MASIHARA TENA//ELIMU YANGU ITADUMU NITAKUMBUKWA NA........
38:03
KIMETOKEA NINI BAADA YA KUFA HAMZA- SIMBA WAMUNGU - DR SULE
30:12
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 56 М.
SHEIKH SAID ATOA SOMO JIJINI DSM, MTOTO WA BACHU USIPOELEWA HAPA BASI
19:54
PAZIA LA KUJIKINGA NA MISUKOSUKO YA MAISHA - SHEIKH WALID ALHAD
37:29
ZAINAB ONLINE TV
Рет қаралды 73 М.
Гениальный План Хвостатых 😂
0:28
ДоброShorts
Рет қаралды 2,4 МЛН
ПОМЫЛ МАШИНУ #shorts
0:26
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,8 МЛН
Русалка
1:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,5 МЛН
腹黑小天使把黑天使整惨了#short #angel #clown
0:20
Super Beauty team
Рет қаралды 9 МЛН