Kifungo cha Manara Kuisha ni Ngumu | Vita ya Karia na Manara Yafikia Pabaya

  Рет қаралды 82,904

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

8 ай бұрын

Kifungo cha Manara Kuisha ni Ngumu | Vita ya Karia na Manara Yafikia Pabaya

Пікірлер: 485
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 8 ай бұрын
😂😂😂 bongo wivu Sana et alifungiwa miaka 7 ila bongo Rahaa Sana ila karia una roho mbya Sana tena ya chuki za wazi😂😂 lkn tutaishi tu
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 8 ай бұрын
Yaaan waz kabsa
@personpeter2221
@personpeter2221 8 ай бұрын
Fungien miaka Mia bt hamwez fungia liziki yake
@Kanyawela
@Kanyawela 8 ай бұрын
Chuki za karia ni mbaya sana maana uyo kwa kuwa ni Simba na kupigwa kwenye timu yake ya mang
@drmohammed-di4nt
@drmohammed-di4nt 8 ай бұрын
kweli kabisa
@mudrickbarton8911
@mudrickbarton8911 8 ай бұрын
Kwaiyo mtu mwenye mchango hatakiwi kuadhibiwa
@is-hakayussuf9981
@is-hakayussuf9981 8 ай бұрын
Mo nimemuelewa vizuri karia hujamaa kichwa sana asee
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 8 ай бұрын
Haji ni zee la kukera na ni kama maji usipokunywa utaoga😂😂😂😂
@edwinrwabinyas7335
@edwinrwabinyas7335 8 ай бұрын
Ili jamaa ni linafiki sana, Mzee icho ni cheo tu, kumbuka kuna maisha baada cheo hicho
@athumanfuko199
@athumanfuko199 8 ай бұрын
Wewe tulia unadhani Karia anaamua yeye peke yake.
@athumanfuko199
@athumanfuko199 8 ай бұрын
Taratibu lazima zifuatwe Haji bado hajaanza kutumikia adhabu.
@dennissix8732
@dennissix8732 8 ай бұрын
Nukuu kauli, "Hata nilivyomfungia" Ina maana TFF sio taasisi tena na hata hayo maamuzi ya kamati ya nidhamu ni maelekezo toka kwa Karia..
@jumakassim8718
@jumakassim8718 8 ай бұрын
Swadakta
@mahmoudukusso4488
@mahmoudukusso4488 7 ай бұрын
Nanukuu Kamati yangu
@user-fe2zi9py1j
@user-fe2zi9py1j 8 ай бұрын
Haji haelewekiiiiiiiiiii full.
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 18 күн бұрын
😂😂😂 Tena msimfungulue jeuli sana Bado anaongea tu Wala hajafungiwa huyo
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 8 ай бұрын
safisana shabiki Wetu karia,SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤, muongezi miaka mingine
@kisinza6077
@kisinza6077 8 ай бұрын
Laana itaendelea kuwasaga mtafukuzana hadi mashabiki,🤣🤣🤣🤣🤣
@kisinza6077
@kisinza6077 8 ай бұрын
Laana itaendelea kuwasaga mtafukuzana hadi mashabiki,🤣🤣🤣🤣🤣
@ahz6907
@ahz6907 8 ай бұрын
Apigwe mitano tena😂
@MohamedKongoroka
@MohamedKongoroka 2 ай бұрын
Karia we ni mnafiki tu na unachuki na manara acha roho mbaya kwa kiuwezo wa kipesa humfikiii embu acha ubaya na manara Mungu atakuhumu vby sana we subiri tu
@awadhally1052
@awadhally1052 29 күн бұрын
Kweli kabisa lina roho mbaya sanaa hilo jamaaaa. au lina asili ya Somalia nini.
@OS-pf6op
@OS-pf6op 8 ай бұрын
Huyu awe voted out!
@RithaaDotto-xg9sr
@RithaaDotto-xg9sr 8 ай бұрын
Chukii binafsi hizo bnaa!! Rais! Karia
@user-sm3zb3ee1t
@user-sm3zb3ee1t 8 ай бұрын
He couldn’t hide it anymore The hate he showed kama vile hatakufa yani
@ttss7716
@ttss7716 8 ай бұрын
Sasa asishabikie yanga una roho mbaya😢
@jumakassim8718
@jumakassim8718 8 ай бұрын
Hata nashangaa ana chuki binafsi tu
@kisinza6077
@kisinza6077 8 ай бұрын
Niambie profesa aliyefanya makubwa kwenye Nchi hii na yumo ndani Kwa kifungo! Na usimtaje Mungu Karia wewe ni mnafiki tu! Na Mungu atakunyoosha sana na timu lako bovu.
@mbwizax87
@mbwizax87 8 ай бұрын
Lipumba kashafungwa sana, was always in and out of prison
@DM_15
@DM_15 8 ай бұрын
Watu wana muoneahuruma manaratuu lkni yulekiroporopo mbona akina maiko wambura, kitumbo, rais aliemtangulia karia nawengine wengi akiwemo kiongozi wayanga manji na imani Madagascar wakowapi sasa why manara kwani ni mungu wampira watz. Itabidi tusime albadiri sasa ili huyo manara afe ksbisa , kwasababu yeye ndio chsnzo chahuu ushabiki wakutamkiana maneno yqhovyo . Zamani hatukuwa nautani wakuitana makoro sijui gongowazi utopolo. Yeye ndootqtizo kutoleanalugha zahovyo
@contempo_builders
@contempo_builders 8 ай бұрын
​@@mbwizax87 Kafanya nini kwenye nchi?
@joycekaishozi1177
@joycekaishozi1177 8 ай бұрын
"hata nilipomfungia pia dk 0:12"😂😅
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 8 ай бұрын
Doh, tatizo la karia ana hasira sana, ukimuhoji ni mwepesi kupanic...kiongozi hapaswi kuwa hivyo....Kwani mtu akifungiwa usemaji hawezi kuwa mshabiki au kutoa maoni mitandaoni kama mshabiki..!
@benayasamson1270
@benayasamson1270 8 ай бұрын
Haji mtu wa watu wew ngoj tyu utoke kweny hicho kiti
@festovenas502
@festovenas502 8 ай бұрын
Mtu wako au 😅😅
@charlesayubu6449
@charlesayubu6449 8 ай бұрын
Ata ukimskikiza unaona anachuki pinafsi mpaka mtangazaji amekuelewa kuwa haj unasema hana akili ila mwenye kujisifia huwa kila siku ndo mjinga. Na hayo yote subiri mtayapata akisha toka madarakani kwa sababu hao hao wasaidizi wake anataja ndo wat1tupa ukweli.
@rogersiddy
@rogersiddy 8 ай бұрын
Sanaaaa anachuki sana mpumbavu huyu
@mangiclaus
@mangiclaus 8 ай бұрын
huyu jamaa tatizo anashindwa kuficha chuki zake akiulizwa kuhusu haji
@MuuYascohy-oc7os
@MuuYascohy-oc7os 8 ай бұрын
Jamal Malinzi nae alikuwa anachuki na Haji ?? alimfungia miaka 7 nae vile vile alikuwa anachuki ?? acheni ushabiki wenu wa kisenge km mnawatetea waliofungiwa wateteeni wote Kitumbo,wambura,shaffih dauda n.k siyo mnaleta vicoment vyenu vya kichoko choko apa
@athumanfuko199
@athumanfuko199 8 ай бұрын
Watanzania hizi issue zenu za kupindisha sheria kutokana na umaarufu wa mtu ndio maana hamuendelei tuwe straight.Karia anauliza swali nzuri why Haji kwann wasiwe hao wengine wanahabari mnacheka kwa dharau mnashindwa kujenga hoja.wanahabari ndo mnaharibu sana soka letu.
@awadhally1052
@awadhally1052 29 күн бұрын
Choko sanaa huyuu
@awadhally1052
@awadhally1052 29 күн бұрын
Lina chuki sanaa hilo chuki
@eliyamichael7310
@eliyamichael7310 8 ай бұрын
Hili jinga sana
@yustochitema-iq8zo
@yustochitema-iq8zo 8 ай бұрын
Pole sana ndugu yangu Haji Manara...kwa hiki kinachoonekana hapa na maelezo ya Rais wa tff endelea tu na majukumu mengine riziki popote bro.
@user-od5mj4rw7n
@user-od5mj4rw7n 8 ай бұрын
Raisi wa TFF wakati hata hujui kupiga danadana toka waachie kazi watu wa mpira
@cracemwenda
@cracemwenda 28 күн бұрын
Ww kalia unaroho mbaya haijifichi ila tambua Dunia ni duara
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 8 ай бұрын
Safi kalia Nidhamu iwepo
@khadijahussein5298
@khadijahussein5298 8 ай бұрын
Safi sana karia👍
@masoudmtonda5291
@masoudmtonda5291 8 ай бұрын
Zile media zilizoendelea huwa zinaweka waandishi mahususi kwenye mahojiano mahususi kama haya. Huyu ni rais shirikisho letu inakuaje mnamuweka mwandishi ambae hajui hata sheria za mpira au TFF? Hata kama mnataka kufanya utetezi kwa mtu fulani sio sawa hata kidogo kuleta mabishano kama mko kijiweni bana. Ndio karia anawezakuwa anakosea ila kwa namna mahojiano mlivyoyafanya hakika mmeniangusha sana. Yawezakuwa mnatumika ila tumikeni kwa kutumia maarifa. Clouds nikubwa sana msifanye tuamini mmefika mwisho wa ubunifu
@albertmullah2377
@albertmullah2377 8 ай бұрын
Mumfundishe kazi huyo dada, hajielewi
@immortaljoe
@immortaljoe 8 ай бұрын
Hana lolote huyo kaamua kumkalisha kimya manara tuu maana hakupenda atoke simba 😂😂😂
@awadhally1052
@awadhally1052 29 күн бұрын
Choko hili lina chuki sanaaa
@user-pi9kp7mj1m
@user-pi9kp7mj1m 8 ай бұрын
Karia mnafiki sana
@KatemboSaid-jp3zs
@KatemboSaid-jp3zs 8 ай бұрын
Hili jitu bana
@Aidansimwanza
@Aidansimwanza 8 ай бұрын
Safi kaliaa umepigajee hapooo
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf 28 күн бұрын
Ww kalia nakuita mala3: unacho kifanya Siyo mpaka Kwa mungu akimpendezi" Afu kwanza we kalia wajikuta nani kabisa ww
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 8 ай бұрын
Kalia mjinga ti
@faisaloaljabry6400
@faisaloaljabry6400 8 ай бұрын
Kazi nzuri zipi? Matusi !!
@nashonmwinuka1758
@nashonmwinuka1758 8 ай бұрын
Watu wanaroho mbaya sana
@rasvegas8991
@rasvegas8991 8 ай бұрын
Huyu dada anaongea kitu hjuh
@ferezaisaack9836
@ferezaisaack9836 8 ай бұрын
Huyu mzee anaonekana anaroho mbaya sanaaa
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 8 ай бұрын
Balaa
@samweljoseph1454
@samweljoseph1454 8 ай бұрын
Mnamuona haji anahaki sio
@user-wi5wj2yh5m
@user-wi5wj2yh5m 7 ай бұрын
Huyu nikiongozi asie jua mpira na mungu ata mhukumu anawafungia sana watu kujihusisha na mpira kama eye ndie aliye wafanya waupende mpira mungu anakuona
@AgustinoJoseph-jq7or
@AgustinoJoseph-jq7or 8 ай бұрын
Unarohoo mbayaa kmaa sura yakoo
@user-fh7gu7eb2d
@user-fh7gu7eb2d Ай бұрын
huna dini ungemsamehe mungu anakuona,na una mkono mtahukumiwa kwa mungu ,unamtaja mungu unachuki na watu huna pepo hapo
@khadijahussein5298
@khadijahussein5298 8 ай бұрын
Kweni uyo mtu anamaajabu gn mpaka mnang ang ania mchezaji au kocha😂😂😂
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 8 ай бұрын
Acha ushabiki ww mdada kuna taratibu na sheria ikishakuwa taratibu kuna miongozo acha mazoea ya kishabiki
@Swaumu-b2m
@Swaumu-b2m Ай бұрын
Mbwa uyo rais
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 8 ай бұрын
Manara alikuwa anamkera sana Karia kwa kuisema Simba na Coastal Union. Hawezi akamfungulia kabisa ni zaidi ya Adui
@ananiamwatebela3159
@ananiamwatebela3159 8 ай бұрын
Huyu mbwa hataki kuambiwa ukwel
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 ай бұрын
MANARA FEDHULI
@timetravellor5367
@timetravellor5367 8 ай бұрын
Huyu anajiona Mungu mtu
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 8 ай бұрын
Hakuna lisilo na mwisho walokuepo wangapi na leo wako wapi ha hilo litapita
@SalimAbdallah-tg1yo
@SalimAbdallah-tg1yo 8 ай бұрын
Nikulize swali tu karia anaingia madarakan akakuta haji kafungiwa miaka 7 akawambia kamati huyu haji anarufaa yake mbona amuiskilizi kuskizwa haji katoka baada ya hapo kasahau ubinadamu enda mfokea rais wa tff mbele ya adhara mbele ya waheshimiwa wabunge wakuu wa mikoa nk bado mwasema kaonewa na upande wa kutumikia adhabu kweli haji hatumikii adhabu mpaka leo anajiusisha na yanga hakuna mtu asojua kwaio akitaka adhabu ishe akalipe faini anze kutumikia adhabu
@sonicaghendewa9886
@sonicaghendewa9886 8 ай бұрын
,lijinga
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 8 ай бұрын
Miaka 2 ndo ishakwisha...tafuta jingine rahisi😂😂😂
@SalimAbdallah-tg1yo
@SalimAbdallah-tg1yo 8 ай бұрын
@@mamboshepea8888 hujamuelewa rais haji hajatumikia hukumu yake bado
@waziriwaziri115
@waziriwaziri115 2 ай бұрын
Huyo dada anakela sana yeye anasema hajui Nini Sasa unauliuliza kaa kimya
@georgewarioba9769
@georgewarioba9769 8 ай бұрын
Huyu hakuna anachokifanya katika mpira wetu na anachokiangalia ni uchaguzi ujao na kupiga pesa! Na kwa majibu hayo anaonekana ana chuki binafsi huyo.
@robertphilip385
@robertphilip385 8 ай бұрын
Agombei Tena katiba ya tff hairusu labda abadilishe katiba
@festovenas502
@festovenas502 8 ай бұрын
Kwan manara kaadhir nini kwenye mpila kisa kukaa kimya
@cadiaonesmo9660
@cadiaonesmo9660 8 ай бұрын
Fanya wewe
@emillwakatare7192
@emillwakatare7192 8 ай бұрын
Mavazi tu ya raisi napata majibu.. #freehajimanara#kwataifalijalo
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 8 ай бұрын
Unataka avae kanga
@emillwakatare7192
@emillwakatare7192 8 ай бұрын
@@user-lt1bi5nr1x kwani kanga ndio nini ? Kumbe mko wengi
@abujumanne7570
@abujumanne7570 Ай бұрын
Ukweli mtupu haji ni choko sana..wandishi nae wanafki sana
@FATUMABACARCADANGE
@FATUMABACARCADANGE 16 күн бұрын
kwaiyo.unamfungulia au umfungulii acha kujikombakomba ww kenge
@ThomasJulius-rj8rq
@ThomasJulius-rj8rq 2 ай бұрын
Fara wew karia
@ahmadally5554
@ahmadally5554 26 күн бұрын
Hawa yanga niwajinga sana mbona hawa wengine walio fungiwa hawawatetei kwan uyo manara ninani katika inchihii
@petrochikawe1797
@petrochikawe1797 8 ай бұрын
Karia kichwa kibovu
@oyay2821
@oyay2821 8 ай бұрын
Haji hawamuwezi, sasa ndio ana nawiri zaidi.
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 8 ай бұрын
kamati hiyo ilikuwa yakipuuzi sana,,kwamaana tuliona wote mkitoleana maneno,na ata kutaka kupigana,sasa iweje akaliwe kikao mtu mmoja,,ata ww ulikosa heshima na adabu kama raisi huwezi taka pigana na mtu unae muongoza,,nawe ulipaswa uadabishwe na kamati ya maadili,ikiwa ni pamoja na kuachia kiti cha uraisi wa TFF
@bonifacemwakifwamba1760
@bonifacemwakifwamba1760 8 ай бұрын
Mpumbavu huyu Hana akili na Na rais mama Samia haoni uonevu huu ,,,msomali mmoja kakimbia vita kwao anakuja kinyanyasa watanzani kwenye ardhi Yao huu niupuuzi
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 ай бұрын
​@@bonifacemwakifwamba1760HATA MJALUWO OBAMA AMERICA SIO KWAO NA KAWA RAISI WACHA UKABILA NA UBAGUZI WASOMALI NI WA AFRICA WENZETU WEWE.
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 8 ай бұрын
@@bonifacemwakifwamba1760 ndomana ni mbinafsi sanaa,,hana asili ya kwetu kumbe
@EmanuelMzulla
@EmanuelMzulla 28 күн бұрын
Ukweli haufichiki maneno yanatafsiri uhalisia mwenye upeo mkubwa wakufikiri anaelewa 😂😂
@user-xn1en3jo1m
@user-xn1en3jo1m 8 ай бұрын
We mama embu kausha kama haujui chochote et me naogpa kusema chochote why unaulza maswali 😂😂😂
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 8 ай бұрын
Hili zee bwege sana
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 8 ай бұрын
U as a Muslim u have to forgive,,cheo ni Cha mda tu,,acha chuki binafsi na watu wa mpira
@enockbange77
@enockbange77 8 ай бұрын
Kwan yey kakosea nin
@maendeleoleo2594
@maendeleoleo2594 8 ай бұрын
Wambura kafungiws maisha katulia kwanini Haji manara😅😅
@nasramohd9924
@nasramohd9924 8 ай бұрын
Ipo siku utajibu hoja kw mungu kama aliomba razi kw nini mshindwe kumsamehe wew unajifanya mungu mtu ila kuna kifo shehe wangu tubu zambi zako kazi nisehem ya mtihni uo ni mtihn kwko
@gabrielsanga5313
@gabrielsanga5313 8 ай бұрын
ukifanya kosa mahakama ikiamua kukufunga maisha unataka kusema ukiomba msamaha inakuacchia huru?
@user-wg9jy7xq6z
@user-wg9jy7xq6z 8 ай бұрын
Uyo hajui mcheza picha chafu wa nn
@raymondshuma7421
@raymondshuma7421 8 ай бұрын
Mh kwel elimu muhimu, ukiomba msamaha kutokan na kosa kisheria ndo unaachwa huru duh 🙌🙌🙌
@nicksonkinyaga3638
@nicksonkinyaga3638 8 ай бұрын
kària hii nchii sio yako kumbuka hilooo
@ommybrain9607
@ommybrain9607 8 ай бұрын
Zingatia sheria
@MultiKelvin1994
@MultiKelvin1994 8 ай бұрын
Ulimsaidia alivyokuwa kolo mwenzio... Kahamia kwa mabingwa umeonesha rangi zako za kweli.... 😂😂😂
@yusuphmkenza3019
@yusuphmkenza3019 8 ай бұрын
huyu mzee n simba bila kujificha ndo maana alimsamehe manara alivyokuwa kwa makolo lakini manara alivyoingia yanga tu ndo anajifanya mkavu
@SoudiAsila
@SoudiAsila 2 ай бұрын
😂😂 anaongea Kam ni mshabik na sio Kam msemaj wayanga ni Ally kamwe huna sababu roho Mbaya t ww
@victorphilipo
@victorphilipo 19 күн бұрын
Acha roho mbaya ungekuwa wewe uwe unajiuliza kwa Nini usijibu acha ushamba haji yuko juuu kuliko wewe huna rorote
@mbakijonas5647
@mbakijonas5647 8 ай бұрын
Kama mlimkuta na hatia basi nyie gongeni tu nyungo msisikilize maneno, ila na nyie kama mnamunea bila kosa basi mjue mnakosea sana😂😂😂😂😂
@erastocyprian3555
@erastocyprian3555 8 ай бұрын
Huyo ana visasi vya kisomari,
@SoudiAsila
@SoudiAsila 2 ай бұрын
Roho Mbaya t ww km Mwazo ulisem ww ndio ulienda muombea mbon hili umeshundw ww una kiroho na manara
@bakarirajabu3783
@bakarirajabu3783 8 ай бұрын
Huyu karia ni chizi tu anachuki za kitusi ipo siku
@mbokanitaribo5106
@mbokanitaribo5106 14 күн бұрын
Wewe ndo sababu umbwa wewe mnyamurenge😂😂😂😂😂
@muzneali4747
@muzneali4747 8 ай бұрын
Huyu anachuki na Haji si kweli kabisa
@anithqpaul3923
@anithqpaul3923 27 күн бұрын
Wewe Kama nibinadamu na unautu kwanini usimsamee kwani kumfungia unarahagani
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 2 ай бұрын
Viongozi wa serikali wanamjuwa huyo wanasubili kipindi cha uchaguzi ndio bay bay huyo msomali hatumtaki anachuki za sio za kitanzania wenyewe tunasameheana
@mussamtupa
@mussamtupa 8 ай бұрын
Jamaa ana roho mbaya kama ngozi ya Futi Kama anapewa Uraisi wa Nchi Wapinzani wote ndani. Maana hakuna mtu anasemwa vibaya kama Raisi wa nchi. Siku azigandi atakuja kujua baadae thulma haidumu.
@mussamohd4414
@mussamohd4414 15 күн бұрын
Huyu jamaa anyonesha wazi kama anachuki na haji hafai kuwaraisi lbdaraisi wakuku
@eisryhamad5662
@eisryhamad5662 8 ай бұрын
Huyo dada mtangazaji hata hajielewi maskini, hajui anauliza kitu gani...
@kilianmeja4277
@kilianmeja4277 8 ай бұрын
Amengiza ushabiki
@user-td4ed9zk4h
@user-td4ed9zk4h 8 ай бұрын
Tupatupaa umeniangushaa umekaa kama unafundishwa halifuu
@ramadhanbigirimana2617
@ramadhanbigirimana2617 8 ай бұрын
Huyo Karia anaroho mbaya, mumchunguze labda sio mtanzania halisi labda nimugeni roho mbaya sana nachuki kwa Manara
@BensonMpomo
@BensonMpomo 27 күн бұрын
uyu mzee ni bunju yani anaushabiki tena wazi kabisa
@aboubakarymsati7080
@aboubakarymsati7080 8 ай бұрын
Yanga ni Taasisi mbona mmemuacha Rais wa nchi kaingilia suala la Feisal na nyie mmekaa kimya.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 ай бұрын
KILA MMOJA ANAONGELEA TASISI YAKE KWANI NYIE HAMNA MIDOMO MPAKA MUSEMEWE???
@user-br7dv8xn5c
@user-br7dv8xn5c 21 күн бұрын
Kwakuwa wewe ndiyo mwenyekiti ugomfi ni wako na yeye haki basi msamehe
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 8 ай бұрын
Kulalamika ndo nn umetumwa na haji.unatetea haji haji.umepewa mfano wengine wamefungiwa maisha lakin bado uelewi
@bonabonala5559
@bonabonala5559 8 ай бұрын
mnaona kua huyo ni dictetar wa kisomali anapambana na mtz haji manara
@drmohammed-di4nt
@drmohammed-di4nt 8 ай бұрын
Acha roho mbaya
@SurprisedCherryPie-xp3fi
@SurprisedCherryPie-xp3fi 2 ай бұрын
Tunaiomba serekali ya tanzania iangalie haya anayofanyiwa Haji Manara. Hakika mama Samiya uliweza kulimaliza suala la Feisali la Haji Manara linakushinda?
@JamiliJuma
@JamiliJuma Ай бұрын
Bado hata hapo bado ww unaonyeshaubabe hata kwa waandishi
@samwelgeho2602
@samwelgeho2602 8 ай бұрын
Kwa hiyo kamati ya maadili na hayo magoli ya mchongo je hiyo kamati ipo?
@Kulindwa
@Kulindwa 6 ай бұрын
Chuki ipo wazi kabisa dhidi ya Haji...
@waziriwaziri115
@waziriwaziri115 2 ай бұрын
Hukumu ya haji haijaanza kabisa siku yoyote akinyamaza ndiyo inaanza kutumika miaka miwili
@user-nf3dc9fb6v
@user-nf3dc9fb6v 8 ай бұрын
Chiziwewe kalie
@SaidSalim-bg1hh
@SaidSalim-bg1hh 8 ай бұрын
Ww pia humuogop ww mnafiki tu kwenye socere let
@Heismasai
@Heismasai 8 ай бұрын
Huyu Dada ajielewi!!
@kingungeii6520
@kingungeii6520 8 ай бұрын
Sijamfurahia kabisa hajielewi kabisa kakosa kujua mipaka ya kazi yake, yeye anatetea kitu asicho kijua hapo kaniacha hoi
@Heismasai
@Heismasai 8 ай бұрын
Miyemko ya kike inamtesa 😅😅
@chosen1.
@chosen1. 8 ай бұрын
We huoni Raisi ana matatizo ya ki akili?
@kingungeii6520
@kingungeii6520 8 ай бұрын
​@@chosen1.Tusaidie kujua dalili alizo onesha kuwa ana matatizo ya akili, kumbuka Manara hajawaji hata siku moja kuwa mtiifu kwenye mamlaka yoyote. Rejea ugomvi wake na EX-CEO wa Simba Sports Club
@jkasindi
@jkasindi 8 ай бұрын
ila huyu jamaa jeuri sana aisee dah
@rasvegas8991
@rasvegas8991 8 ай бұрын
Nidham nimhmu kwa kazi
@jumakibasame3210
@jumakibasame3210 8 ай бұрын
Wewe unaifanya tff ni Mali yako.ngao ya ufunguzi umefanya timu 4 Sheria hiyo umeipanga wewe ili matakwa yako.hukai milele hapo.
@EdwardSimon-zl4qm
@EdwardSimon-zl4qm 8 ай бұрын
Huyu ni tako kama tako lingine
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 55 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 72 МЛН
MZEE SAID: WACHEZAJI WALINDWE | MSIMU UJAO VIKOMBE | AZIZ KI KABAKI?
24:46
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН