Mau uko vizuri saana kazi zako Ila hii yaleo inachukua mda saana jalibu kufupisha siku fanya japo wiki mara2
@mbwanaismail22305 жыл бұрын
Nzuri lakni fupi halafu muda ni mrefu sana toka j3 hadi j3 atleast mara 2 kwa wiki ingekuw poa sana
@Ninjaboytz575 жыл бұрын
Yh
@Zawadi-15 жыл бұрын
Watching from Canada, unanivunjaga mbavuuu.
@kbmsouth5 жыл бұрын
Zawadi Ndikumana But you born at burund .. thanks for the love ✌🏻
@Zawadi-15 жыл бұрын
@@kbmsouth no I wasn't born in Burundi, oh lord people nowadays munajua watu kuliko watu wenyewe wanavyo jijua 🙄🙄
@omarhaniy90795 жыл бұрын
Zawadi Ndikumana hatariiiiiiiiio
@kbmsouth4 жыл бұрын
@@amourally7704 😂😂😂
@hamisimapalala77094 жыл бұрын
Yap
@ramadhaniramji70484 жыл бұрын
Anamkataa Tajiri wa kekoo😂😂😂
@yazidmahrez59495 жыл бұрын
Fundi mmoja tuuu 😆😆😆😆😆
@richiegeorgekiputa28615 жыл бұрын
Kwani Hazard Anavyotakiwa na Madrid,Kwamba Hana timu??? 😂😂😂.
@samirahmakeupstudio71155 жыл бұрын
Endeleeni kutongoza ili msisahau😂😂mna apdate swager
@mathayomarwa90775 жыл бұрын
Fupi sana pia inachelewa kutoka
@OmarMohamed-oj5cv5 жыл бұрын
We jamaa hatar kwa afya hahahaaaa
@BuraK-bk9iw5 жыл бұрын
Cha mtu huliwa na mtu chuma ndo huliwa na kutu 😂😂😂😂😂😂
@hellyfridy5 жыл бұрын
Nakukubali sana mau hujawahi. Kwa wale wapenzi wa soccer pita kusubscribe kwenye chanel yetu ili uwe wakwanza kupata habari zote kari kuhusu soccer duniani kote
@yazidmahrez59495 жыл бұрын
Nakubal sana
@raphaelmganga3745 жыл бұрын
Daaah we jamaa ni noumaa... Tupe muendelezo.
@jasnafclassic85595 жыл бұрын
Heti mboma !! Heti mimba😂😂😂😅😂😀😀😂
@omariamiri55565 жыл бұрын
Mau mimba zako...... Aaa mambo zako
@youngnoyn41195 жыл бұрын
😂😂😂 ety mtaa nimeununua
@festomtilikwa53195 жыл бұрын
I can't forget you my comedian from home Tz. Watching from UK
@FundiTv5 жыл бұрын
Ahsante sana
@festomtilikwa53195 жыл бұрын
@@FundiTv fany japo mara 2 kwa wiki my comedian
@nurudinigelevasgodfrey66824 жыл бұрын
Mtilikwaa Haaaaaaaa
@gowithmesafaris5 жыл бұрын
Kweli we fundi Kiko koko
@luqmanhamed97104 жыл бұрын
Tajiri wa keko furnitute👏😊😂😂nkupta vzry..
@iammateso5 жыл бұрын
First one again USA 🇺🇸!! This video is amazingly funny and can’t wait for more! Ww kwa kweli ni the little funny fella 👏🏿👏🏿👏🏿💥💥💥🇹🇿
@FundiTv5 жыл бұрын
Ahsante sana
@happyzephania69915 жыл бұрын
😁😁😁😁😁 mbav zangu mauu
@saidijuma84455 жыл бұрын
ni nzur xanaa ila iwe ndefu afu iwe Mara mbili Kwa wiki brooo
@honekisebwa2265 жыл бұрын
Nakubar wa muhila
@innocentmpulule84864 жыл бұрын
mau ; samahani dada nakuomba kidogo dada ; mimi? mau ;hamna huyo mwenzio ulieongozana nae Mimi ; hahahahahaha
@santarubinson1374 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mr_convex2 жыл бұрын
Watching from houston texas kweli Hii video nimeipenda ahisee ✊🏾✊🏾✊🏾
@athumanhassan93605 жыл бұрын
😝😝😝 mauuuuuu mbavu jmn ila ongeza dkk bn ht nuxu xaaaaaa ila big up xnaaaaaaaa🙏🙏🙏
@pendondossy21584 жыл бұрын
Jmn mau embu acha ukolofi eti mimba,mboma hahahaha
@samirahmakeupstudio71155 жыл бұрын
Mi mwenyew nimemwbia abiria mwenzangu ktk daladala kapata bahati sana kukaa siti moja na bosi mwenye daladala man nimeinunua 😌ni mwendo wakununua tu
@FundiTv4 жыл бұрын
😃😃😃
@hawahawa69154 жыл бұрын
😄😄😄😄
@youngkis98873 жыл бұрын
Mmb
@nassermussa3565 жыл бұрын
Shabiko ako toka india bas nikiwekaga status videk zako watu hua wananisumbua kishenz yan yan unakubalika kaka
Mau nisajili niwekweny kundi lako namin naweza Ila sna saport
@abiyolayolamu69174 жыл бұрын
tajili wakeko
@kondeboyjr6805 жыл бұрын
vifupi mpk vinakera kuviangalia😏😏😏
@aminamwangile10474 жыл бұрын
Nakukubar
@mugheiry5 жыл бұрын
hapa umechemsha jipange utafute story za kuchekesha sio hapa unaongea sana...dakika 3 nzima clip inaanza music tu
@FundiTv5 жыл бұрын
Sawa mtaalam sana
@mugheiry4 жыл бұрын
@@FundiTv asante kwa kutambua hilo. Nyie watu mbadlike movie zenu background music inakua kubwa kuliko mazungumzo au inakaa muda mrefu dakika 3 au 5 nzima music tu.