KILIMO BORA CHA PILIPILI HOHO

  Рет қаралды 1,361

Shamba Darasa TV

Shamba Darasa TV

Күн бұрын

MAFUNZO YA KILIMO CHA PILIPILI HOHO 2022 KUTOKA KWENYE SHAMBA LA MTIMBI'S FARM CHINANGALI 2 DODOMA
@Rijkzwaantanzania kwa kushirikiana na @young_world_feeders I inakuletea mafunzo ya kilimo cha mboga mboga tarehe 25/03/2022 ijumaa hii kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana.
MBEGU YA TANGO CHOTORA Mydas rz f1 -rijk zwaan tanzania
Massa - rijk zwaan
#mkulimasmart
#shambadarasa
Pilipili hoho za kijani, Njano na Nyekundu- Tofauti ni nini??
1. Pilipili hoho za kijani
Hoho za huwa na rangi hii kwasababu ya kuchumwa mapema kabla hazijakomaa. Na hivyo mara nyingi huitwa hoho changa. Kwasababu hua zinavumwa bila kukomaa hua na ladha ya uchungu na hua hazina utamu kama zile za rangi nyekundu au njano.
2. Pilipili Hoho Nyekundu
Hoho zenye rangi Nyekundu ndio zilizokomaa. kwa sababu hua zinachumwa baada ya kukomaa kabisa hua zina utamu sana. Mara nyingi hua na ladha kama ya matunda. Ingawa idadi ya vitutubisho vilivyoko kwenye pilipili hoho nyekundu ni sawa na vile vilivyo kwenye hoho za kijani, virutubisho hivi hua vingi zaidi kwenye hoho nyekundu kwasababu zenyewe hukaa kwa muda mrefu zaidi kabla ya kuvuna.
3. Pilipili hoho za Njano/ zenye rangi ya chungwa
Hoho zenye rangi hizi hua zimevunwa kabla hazijakomaa vizuri lakini pia sio changa kama hoho za kijani. Matunda haya hua kati ya yale ya nyekundu na kijani kwa ukomavu. Hoho hizi hua hazina uchungu na mara nyingi huwekwa kwenye kundi moja na hoho zenye rangi nyekundu.
PILI PILI HOHO YA NJANO
bei ya pilipili hoho 2022
gharama za kilimo cha pilipili hoho
bei ya gunia la pilipili hoho 2020
kilimo cha pilipili hoho pdf
kilimo cha hoho za rangi
kilimo cha pilipili hoho jamii forum
kilimo cha hoho pdf
Maajabu ya pilipili HOHO
Unatamani kulima pilipili hoho za rangi kibiashara?
kilimo cha tango pdf
bei ya matango sokoni
kilimo cha matango iringa
soko la matango tanzania
matuta ya matango
kilimo cha matango f1

Пікірлер: 5
@shambadarasaTV
@shambadarasaTV 2 жыл бұрын
KARIBU SANA
@florencekivunge7366
@florencekivunge7366 Жыл бұрын
Umesema dawa gan broo
@shambadarasaTV
@shambadarasaTV Жыл бұрын
UNAITAJI
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 2 жыл бұрын
GOOD
@shambadarasaTV
@shambadarasaTV 2 жыл бұрын
karibu
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 17 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 27 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 14 МЛН
MAGONJWA YA PILIPILI HOHO NA JINSI YA KUDHIBITI : 02
13:02
AGALUS TV
Рет қаралды 6 М.
MUONGOZO WA KUTUNZA HOHO KWA WIKI TATU ZA MWANZO
18:40
MINJA KILIMO
Рет қаралды 1,6 М.
UFANISI WA MBEGU ZA SEEDCO
24:40
HABARI MCHANGANYIKO
Рет қаралды 17 М.
PILI PILI HOHO YA NJANO
28:41
Kilimo Biashara
Рет қаралды 9 М.
UKIZINGATIA MAMBO HAYA KILA MBEGU UTAKAYOPANDA  KWENYE TREY LAZIMA ITAOTA .
6:45
Kilimosmartprojects KSP
Рет қаралды 1,3 М.
Kilimo cha Pilipili Hoho/Green Pepper Farming in Kenya ||Akili Shambani
28:16
How to Start a Small Farm | A Step-by-Step Guide
17:57
No-Till Growers
Рет қаралды 1,3 МЛН
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 17 МЛН