No video

KIMENUKA! JERRY SILAA ATOA SIKU 14 JENGO LIBOMOLEWE, AWAGEUKIA TARURA - "MJITAFAKARI"....

  Рет қаралды 34,532

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

KIMENUKA! JERRY SILAA ATOA SIKU 14 JENGO LIBOMOLEWE, AWAGEUKIA TARURA - "MJITAFAKARI"....
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewataka Wakala ya barabara za vijijini na mjini (TARURA) kujitafakari kwa kuchukua sheria yao ya bunge iliyowaunda na kujua majukumu yao kwenye ardhi ambayo imetengwa kwaajili ya ujenzi na hifadhi wa barabara
Ameyasema hayo leo novemba 25, 2025 alipotembelea eneo la Mikocheni jijini Dar es salaam na kujionea ujenzi wa jengo la kudumu linaloondelea kujengwa kwenye eneo la wazi na kusababisha kero kwa wakazi wa eneo hilo.
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 29
@globaltv_online
@globaltv_online 9 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 7 ай бұрын
Muheshimiwa waziri Slaa kaa na mwenzako wa ujenzi ili mtoe amri kwa Tarura mikoa yote walinde maeneo yao kwani ni kama TARURA wamelala watu wamejenga hadi kwenye hifadhi za barabara wakishirikiana na maofisa Ardhi walafi.
@user-mc3du2rz8l
@user-mc3du2rz8l 9 ай бұрын
WAZIRI UPO SAHIHI ...NA KWASASA MAMBO HAYO YAPO SEHEMU NYINGI TZ, MTU ANAJENGA ENEO LAKE LOTE KISHA ANACHUKUA ENEO LA WAZI LA SERIKALI .BILA KIBARI ANAJIMILIKISHA WAKATI WA KUUZA ANAUZA NA ENEO LA SERIKALI. FUATILIA MH UTAONA SEHEMU NYINGI MATAJIRI WAME YA HOZI.
@marthasolomon1359
@marthasolomon1359 5 ай бұрын
Uko sahihi, atembelee Sinza ajionee
@wanguwangu34
@wanguwangu34 7 ай бұрын
God protect you for what you're doing is good in the presence of God.big up
@bongo39
@bongo39 9 ай бұрын
Mbona sehemu kama hizo zipo nyingi tuu
@user-ez9qc2jo1x
@user-ez9qc2jo1x 7 ай бұрын
bomoeni hii structure kamaliza maagizo waziri ndyo maana matatizo haya hayaishi watendaji wanakula rushwa ilitakiwa aagize wabomoe,pia kuwasimamisha waliotoa kibali na kumpeleka mahakamani mjenzi pamoja na watendaji wa mitaa wanaoona ujenzi huu katika maeneo yao
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 8 ай бұрын
Mnamchosha waziri. Mkurugenzi yupo wapi mpaka haya yanatokea? Hii nchi
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 5 ай бұрын
Ndio utashangaa mpaka Jengo limefika pale watu wamekaa tu ofisini sasa Sioni hata ya hao wakurugenzi kweli wana mchosha Waziri kazi ambazo ni Majukumu yao Waziri anafanya
@florencemeza6540
@florencemeza6540 9 ай бұрын
Jerry nakuita UMETEREKEZA KITUNDA barabara mbooooovu wananchi tunapata shida subier 2025
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 5 ай бұрын
Hongera sn Mh Jery
@user-nw8ct3ud3f
@user-nw8ct3ud3f 7 ай бұрын
Ongera slaa
@PLAYPROGAMING568K
@PLAYPROGAMING568K 5 ай бұрын
Mheshimiwa hapa karikoo mbele ya majengo yetu tukikuwa na parking yetu lakini serikali ya mtaa wamewapa watu kujenga kisima na wakala na club yanga na plot yetu iko somali kipande plot 26 na 27 gerezanu , na kudai nafasi ya wazi na wamezima maduka ya majengo letu hayaonekqni na hatuna parking ,mjumbe anadai maji ya kisima yanasaidia wazi wa pale sasa kama inatoa huduma kwanini asijenge ndani ya jengo lake mbele kwanini ajenge mbele ya jengo letu na kuzima parking na emergency gate na mbona kisima anamiliki plot no 12 na yeye ndiyo anapokea pesa na mjumbe pesa za hayo mawalq na kisima anapokea nani ? Na kwanini kujenga mbele ya jengo na kudai nafasi ya wazi tokea lini mbele ya jengo la mtu kunakuwa na nafasi ya wazi Tunaomba msaada na wakala na machinga holela chini ya transformer na nguzo
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 3 ай бұрын
Slaa acha sifa, unajua unautamani uwaziri mkuu
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 7 ай бұрын
Muheshimiwa slaa nakuomba uje arusha tembelea huku ... unawezazimia kabla hujamaliza ziara
@KassianChengo
@KassianChengo 2 ай бұрын
Mheshimiwa BAOBAB karibu na Mapinga au Kimele watu wanazurumiwa maeneo na Pesa na kikundi kinajiita Kamati binafsi nakijua hiko kikundi na mimi ni mhanga wa hiko kikundi Masaada wako Mheshimiwa najua uko bize na Kazi lakini utusaidie Kaka....
@issayahya1640
@issayahya1640 5 ай бұрын
Jerry tusafishie njia ya tegeta tupate service road na njia ya kawe watu wajenge kwenye mawe ya ya viwanja wamezidi moaka kupita hakuna ,parking hakuna
@emanuelkilangilo5585
@emanuelkilangilo5585 7 ай бұрын
Mueshimiwa unaomba uongezewe ulinzi na wagaga wa kutosha hii nchi utaangushwa⚰️⚰️⚰️
@victorjames3730
@victorjames3730 8 ай бұрын
Building permit alitoa Nani?
@leokamil6284
@leokamil6284 7 ай бұрын
Siku hizi watu wanajijengea bila hiyo Parmit
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 5 ай бұрын
FIFDA HUSSEN NI MWIZI EA. ARDHI ZAWATU
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 6 ай бұрын
Hao wanao fanya hizo mambo hukohuko serekarini
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 8 ай бұрын
Dar ipo ivyo hakuna mitaa
@user-ny2bi8yj1o
@user-ny2bi8yj1o 9 ай бұрын
Nyie niwapumbavu mrikua mpaka waziri aje upuuz mkubwa
@billgussy6099
@billgussy6099 7 ай бұрын
Huyu jamaa hawezi kufanya kazi bila media??? Uongozi una mwisho
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 7 ай бұрын
Tawile tawile mkuu
@gracemtyaule562
@gracemtyaule562 3 ай бұрын
We
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 5 ай бұрын
Mbona hatujaona ilivovunjwa
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 7 ай бұрын
Wewe ni jembe uzidi kubalikiwa
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 66 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 49 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 191 МЛН
MFANYABIASHARA ATAPELIWA MAMILIONI ya FEDHA! ALIA NA POLISI
14:05
Wasafi Media
Рет қаралды 35 М.
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 66 МЛН