KIPINDI MAALUM CHA RAIS DKT MAGUFULI KUFANYA ZIARA BANDARINI MARCH 23,2017
Пікірлер: 42
@Manumbu7 жыл бұрын
love you Mr president. twakuombe wewe na nchi yetu, Mungu akubariki sana
@tanzania25592 жыл бұрын
Tunakukumbuka baba 🙏🏾
@williamemmanuel77863 жыл бұрын
Mr President John Joseph pombe Magufuli, binafsi nakupongeza sana kwa kazi nzuri sana ya kutumikia watanzania, najua siyo kazi rahisi, ila Mungu anakulinda na anakuongoza
@princerwamugira6446 ай бұрын
Mwamba alikuwa amesoma kweli chemestry,,macompaund usingelimdanganya jembe letu kweli mungu alilaze mahari pema
@7ndasir3237 жыл бұрын
Good work. . Mr President. ..
@innocentmleli1196 Жыл бұрын
Umefanya wajibu wako baba, Mungu akupe pumziko la milele.
@fidelislugusi5361 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@tanzaniakwanza95647 жыл бұрын
Kazi nzuri Mh. Raisi hongera sana Mungu awe nawe daima
@kalokola Жыл бұрын
Magufuli was a MAN. Mungu tunaomba utupatie mwingine kama huyu.
@idrisashelimo3077 жыл бұрын
safi
@ezeckielsyantata1295 Жыл бұрын
Magufuli Mkemia, kiongoz Bora ba baba Bora upumzike kwa amani
@twahamtumbi65277 жыл бұрын
mh pombe unahitaji Team kwanza youth wapewe elimu ya kujijua. hicho kitu muhimu sana. Wape fulsa marasta wakupe msaada wa elimu kwa youth
@khamisikazungu98584 ай бұрын
Ur were the only one in the world
@mcdonaldkazungu2052 жыл бұрын
Mungu akubariki popote ulipo. Mfalme wetu
@kenethfanuel40153 жыл бұрын
Mungu ibariki tanzania, mungu mbariki raisi wetu mpendwa magufuli.
@fadharzanzibar39124 жыл бұрын
Fantastic!!!
@abousalehahmed5612 жыл бұрын
Hayo magari yangechukuliwa bure na serikali maana hayamo.katika Orodha au list wangepewa mitumba iliyoandikwa kwenye list tu
HOFU YA MUNGU NI CHANZO CHA UZALENDO. UZALENDO HUINUA UHAI WA NCHI NA UTAJIRI WA NCHI KWA MAANA ZOTE . MZALENDO: MH HAYATI J P MAGUFULI, HAKIKA HUJAONDKA. UTAISHI DAIMA NA DUNIA IMESHATAMBUA HILO. MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿 .
@japhetmisogalya94734 жыл бұрын
Duu
@user-rq6vm5gj4j10 ай бұрын
Nice speech my last President JPM, rest in pic Jembe la kazi
@adelaudarutagwela5070 Жыл бұрын
Ninakukumbuka daima JPM
@aguerohmiyangu Жыл бұрын
Dah ningekuwa mlinzi wa huyu jamaa ningeua hadi nzi (🇹🇿❤️magufuli)
@salimmoha79625 ай бұрын
Sai mzigo unasafirishwa kama kawa
@unclegmihale455 Жыл бұрын
Magufuli was the one of the president Never happen
@erickleonard8162 Жыл бұрын
Huyu Baba watu walimchukia bure tu. Alipiga kazi hasa.
@thadeimkula7093 Жыл бұрын
Huyu raisi alitumwa na mungu kuja kutuongoza
@jworld1480 Жыл бұрын
chuma hiki hatari
@halifajuma54510 ай бұрын
Hapa tuli poteza Rais kweli walio baki ni vilaza tu Leo ni bure tu
@erickleonard8162 Жыл бұрын
Huyu Baba alikuwa na nia njema sio kwa Tanzania tu hata na Africa!
@luciusnditi56127 жыл бұрын
watuachie changa wetu....kama ingekuwa haunakitu wangewezaje kukubali cost ya kuusafirisha makontena na makontena?Wanatutia umaskini hawa
@heridadia96343 жыл бұрын
😂😂😂😂may rest in peace my soul
@nassirsadi3525 Жыл бұрын
Walimuua washenzi
@unclegmihale455 Жыл бұрын
Magufuli was the one of the president Never happen