Huwa napendaga kusikiliza visa unavyosimulia maashallah
@abdallahsudi30472 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu wenye kheir na wewe tuzidi kufaidika
@winstonkazungu6298 Жыл бұрын
Am not a Muslim but this guy is the best ever he preaches the word without critising other religions
@Nurusureymani4 ай бұрын
Nuru sureymani
@salimbabukirgit23772 жыл бұрын
Allah akuzidishie elmu ,rizq ,umri na Afya
@ssulking81362 жыл бұрын
Allah akuzidishie Shekh Kipozeo uendelee kutupa dawa. Ameen in shaa Allah
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Nomba radhi kutoka leo nitajitahidi kukaa kimya si dini si siasa nikiwa na nia njema na watu wote tutakiane rehma shukran
@modricseif10182 жыл бұрын
MashaAllah
@nurdinibrahimu73129 ай бұрын
Barabbara kabisa🙏🏃
@mariamchembea90892 жыл бұрын
Mungu amlaani shaithwan
@apangomombasa92302 жыл бұрын
Ma Sha Allah ya sheik
@user-bs2ix5wf2k7 ай бұрын
Maashallah
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Nimesema kwako mzee sababu najuwa ujumbe umefika .
@goodluckmhagama42362 жыл бұрын
Shekh kpoozeo nakupnda kwa ajil ya Allaa
@rahmahasan322 жыл бұрын
Masha Allah
@jumakapilima56742 жыл бұрын
Profesa kipoozeo!
@safielimjema45933 ай бұрын
Mim siyo wa Muhammad ila wew Kipozeo sina shaka nawe
@jumakhamis2262 жыл бұрын
Jazaka Allah khaira shekh kipozeo
@chabunu33672 жыл бұрын
Hakika ya sheitwan kwenu ni adui na nyinyi mfanyeni adui hakika yeye sheitwan anawaita katika kundi lake ili muwe watu wa motoni
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Jazaka Allah kheri mzee
@idrissamustafabukenya61102 жыл бұрын
Jazakallah khaira
@marcoshepardson26632 жыл бұрын
Allah Akbar
@akimmiradji9812 жыл бұрын
masha Allah
@matukiotvonline63662 жыл бұрын
Shekh mashallah
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Saf sana shehe kipozeo
@adamnoah43342 жыл бұрын
Mungu Jehovah ndiye anajua kila kitu kwa kisa hk
@omypaxtore87402 жыл бұрын
Ndo mungu yupi huyo?..
@yohanankondo19392 жыл бұрын
Mashaallah
@ibinmgeta24062 жыл бұрын
Subhanallah
@saay42732 жыл бұрын
SubuhanaAllah
@allymtungunyu24252 жыл бұрын
Tuletee habari za mizigo bana sisi tunapenda mizigo km wewe tu
@mohamedhaji22002 жыл бұрын
Weeeeee
@Ngangabwite2 жыл бұрын
Huyu sheikh ana thwawabu kama zote peponi
@htvtanzania34832 жыл бұрын
🤣🤣🤣 shetan mjinga na ana wivu mnoo
@abdalakawambwa93192 жыл бұрын
Shukuran.shekh.tumevifika
@abdulhakimhasan76732 жыл бұрын
Maisha mema mazuri ya muislamu .
@mohameeddoaan22962 жыл бұрын
MashaaAllah kisa kizuri kimenikumbusha babu yangu alikuwa kipofu ila MashaaAllah alikuwa akienda msikitini ALLAH amrehemu
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@abcmnbb26102 жыл бұрын
Mashaallah tabarakaallah
@abudoeugenio69032 жыл бұрын
Anzu biilhai minashaitwani raajim.
@iddihamisiharuna82612 жыл бұрын
Kipozeo acha kunyoa ndevu
@fatmahmohammed78382 жыл бұрын
SubhanAllah
@minskbelarus72552 жыл бұрын
Fc POROJO 🤔🤔🤔🤔
@sulleympemba2552 жыл бұрын
Bloody
@naswaha2 жыл бұрын
Suali langu ni huyu iblis aljuaje kama huyu kipofu kasamehewa dhambi manake iblis hajui ghaib ispokuwa Allah na mtume pia hakuteremshiwa wahyi je iblis aljuaje? Kama mwanafunzi naomba kufundishwa SHUKRAN
@Omary_Mjema2 жыл бұрын
Wanajua Kheri Zote shekhe ndio mana anatumia Nguvu Kubwa Kkupotosha
@abrahamabdala12072 жыл бұрын
Bilis alikua malaika acha kujisahaulisha
@erimikatz9042 жыл бұрын
Umejaribu hii kzfaq.info/get/bejne/iNuWbNR4sazTk6s.html
@haditvswahili40452 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/mrx3n5aYyMrOcXk.html TIBA YA KIISLAMU SEHEMU YA (18) MADA : FALSAFA YA KUU UGUWA NI NINI
UTENZI MPYZ HURUMA KWA MAYATIMA kzfaq.info/get/bejne/rL6RdrmordWwo3k.html
@thabitalwiy12 жыл бұрын
Hivi Sheikh kipoozeo hii Hadith inapatikana wapi mbona unatupiga makamba 😂😂😂
@ahmedmpimbi96842 жыл бұрын
Nilishawahi kuisikia sehemu ingine ni kweli
@thabitalwiy12 жыл бұрын
@@ahmedmpimbi9684 kusikia na kuwa kweli ni vitu viwili tofauti. Hizi hadithi ni za kiisrail wao ndio wana hadithi nyingi za uwongo. Na pia Waislamu tumekuwa wavivu wa kusoma Quran na kuielwa matokeo yake tunapenda hadithi zilizotungwa na watu. Subhanna LLAH
@ahmedmpimbi96842 жыл бұрын
@@thabitalwiy1 kuna sheikh alitoa hicho kisa namaanisha hvo, hadithi zipo ambazo ni sahih na zisizo sahihi hapo tunakuja kwenye matni yake, labda useme tu sio sahihi kwasababu zipi, Qur-an tunasoma na hadithi zinasomwa vile vile ili kuelewa zaidi
@arafatbarissa83922 жыл бұрын
@@thabitalwiy1 Astaghfirullah. Unadhani pale msikitini hamkuwa na wanachuoni waliokuwa wanasikiliza sheikh alipokuwa akizungumza? Hata mimi mwenyewe najua sheikh alichokizungumza ni ukweli na nilifunzwa na sheikh wangu. Ulioyazungumza utahukumiwa,mtafute sheikh umuombe msamaha. Kama hujawai sikia kitu katika dini basi endeleza masomo usiseme ni uongo.Wewe hujasoma kama hujui hicho kisa.Endelea kusoma utoe ujinga na kiburi. Na uache kusingizia masheikh kuwa wanazungumza uongo wakati muongo ni wewe, ambae hajui kitu...
@thabitalwiy12 жыл бұрын
@@ahmedmpimbi9684 hicho kisa anachokielezea hakina mashiko. Na wala sio Hadithi ya Mtume Muhammed wasimzulie.
@abumuadh10532 жыл бұрын
Kipozeo wacha porojo, kisa hiki cha patikana kwenye kitabu kipi? Na huyo swahaba kipofu aitwa nani?
@mohamaalim70132 жыл бұрын
Wewe wacha kuongea mbaya kwa Sheikh Umbwa wewe
@abumuadh10532 жыл бұрын
@@mohamaalim7013 mbwa ni mamako shoga wewe
@irtshisekedikhamis56482 жыл бұрын
Kisa Cha wongo mtupu. Uyo kipofu Jina lake ni Nani?
@rashid3562 Жыл бұрын
Acha ujinga usichokujua ww sio useme tu uongo wew soma tu elimu haijamaliza