KISA CHA KWELI!! Siri ya matajiri wa Korea hii hapa

  Рет қаралды 174,107

Josephat Gwajima RudishaTv

Josephat Gwajima RudishaTv

2 жыл бұрын

Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

Пікірлер: 110
@Pen960
@Pen960 2 жыл бұрын
Kumbe huyu mtu ni mzuri hivi bhana!!! Akitulia hivi, Mungu atamuinua zaidi sana. Mungu na am bariki zaidi Ndg. Josephat Gwajima.
@hermanstephenntabahungu5310
@hermanstephenntabahungu5310 10 ай бұрын
Ukimsikiliza ndio utajua, ila ukisikiliza maneno ya mtaani bila kumsikiliza, utahukumu isivyo haki.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
Nabarikiwai na mafundisho yako hasa unapoyanena katika utulivu wa Roho Kama unenavyo Leo.... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@lusajolamsonmgala6184
@lusajolamsonmgala6184 2 жыл бұрын
Mchungaji Gwajima ni mstarabu sana mno. Ila mpaka umchokoze au ulitukanishe jina la Bwana wake hapo ana amsha Dude.
@dissankone3425
@dissankone3425 4 күн бұрын
AMEEN AMEEN ASANTE BISHOP NIMETIWA MOYO SANA😭😭😭🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙌🙌
@shabbyprotus6552
@shabbyprotus6552 2 жыл бұрын
Alijitoa sadaka kwa mungu na kizazi chake kimeinuliwa na mungu yupo nimkubwa sanaaaa
@egonmatwiga9102
@egonmatwiga9102 2 жыл бұрын
Mungu azid kukuinua mtumish
@ibrahimuimaniofficial
@ibrahimuimaniofficial 2 жыл бұрын
Amina bishop somo hili ni ufunguo wa maisha ya mkristo
@awefamilyvlogs7936
@awefamilyvlogs7936 2 жыл бұрын
My brother Bishop. This blind man's sacrifice moved me to tears.
@muganzomaendeleo735
@muganzomaendeleo735 2 жыл бұрын
Munguwako na awe Mungu wangu,ubarikiwe baba.
@phoebynjacky3252
@phoebynjacky3252 2 жыл бұрын
Amen
@nelsonbreidon6600
@nelsonbreidon6600 2 жыл бұрын
Mtumishi naomba uniombe nipate kazi ninakazi mshahara mdgo sana arafu ayinipi nafasi yakwenda kanisani nataka niwe nakazi yinayo nipa nafasi yakwenda kanisani nimechok mtumishi mwaka wapili sjati mugu nyumbani mwaBwana naumiya sana nikubukekwenye maombi naitwa Nelson Brydon
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 2 жыл бұрын
Imani ya kiwango cha juu sana.
@michaelmoro4801
@michaelmoro4801 2 жыл бұрын
Kwali kabisa Askofu matendo mema yanane
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 2 жыл бұрын
Barikiwa na Mungu wa mbinguni akulinde zaid na zaidi Mtumishi wake🙇🙏🙏🙏
@scovianalubega9221
@scovianalubega9221 2 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah
@chedielmmbuji8844
@chedielmmbuji8844 2 жыл бұрын
Amina baba ubarikiwe
@neemaleatitia6915
@neemaleatitia6915 2 жыл бұрын
Amen 🙌🙌🙌🙏🙏🙏nimebarikiwa Sana baba
@reginamukama7333
@reginamukama7333 2 жыл бұрын
Asante baba kws kutunoa juu ya swala hili "" Damu inenayo mema'
@samwelimwanja4105
@samwelimwanja4105 2 жыл бұрын
Ameni
@barakamwakapoma2702
@barakamwakapoma2702 2 жыл бұрын
Umenifariji Sana baba askofu Kumbe shida yetu inakwenda kuisha huwa najiuliza tunakosea wapi
@BoniphaceLuzaria-jx5yi
@BoniphaceLuzaria-jx5yi 4 күн бұрын
Amen
@festomayengo1418
@festomayengo1418 2 жыл бұрын
Amina
@sarhkimboi9085
@sarhkimboi9085 2 жыл бұрын
Amen Baba!
@rithersospeterkati2303
@rithersospeterkati2303 2 жыл бұрын
Amen Amen Baba.
@marygregory7566
@marygregory7566 2 жыл бұрын
Amen dady
@charlesedson5538
@charlesedson5538 2 жыл бұрын
Nimekuelewa na Ahsante
@servantofalmightygoddranth2511
@servantofalmightygoddranth2511 2 жыл бұрын
AMINA KUBWA
@jossyngumbi1916
@jossyngumbi1916 2 жыл бұрын
Ameeeen asante Baba Barikiwa Sana
@pastormashimo3305
@pastormashimo3305 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki baba yangu
@rahmarahma920
@rahmarahma920 2 жыл бұрын
Nakuaminia Ukisema imeshakua
@scovianalubega9221
@scovianalubega9221 2 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah
@dissankone3425
@dissankone3425 4 күн бұрын
WAOOO👏👏👏
@graceluvinga190
@graceluvinga190 2 жыл бұрын
Amn
@marymanoni5536
@marymanoni5536 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@littlekingregal1723
@littlekingregal1723 2 жыл бұрын
Aminaaa
@aminalimu5150
@aminalimu5150 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@sablinajabiri45
@sablinajabiri45 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana pastor
@fredkyara3278
@fredkyara3278 2 жыл бұрын
Ameen mtumish
@clarajulius4477
@clarajulius4477 2 жыл бұрын
Ameen
@pmall8867
@pmall8867 2 жыл бұрын
mwenyezi MUNGU tuwekee Huyu mtu Bado tuna muhitaji Sana......
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 2 жыл бұрын
Ameen
@bawhizzy6202
@bawhizzy6202 2 жыл бұрын
Ikiwa ni kweli Mungu ainuliwe
@scovianalubega9221
@scovianalubega9221 2 жыл бұрын
Glory be God
@jeshimungiki5793
@jeshimungiki5793 2 жыл бұрын
Tumemis mawe mzee
@agnessimon2155
@agnessimon2155 2 жыл бұрын
Ange bernad
@danielmkagila7459
@danielmkagila7459 2 жыл бұрын
Mungu atubarikiiiiii
@gladyskiplimoart
@gladyskiplimoart 2 жыл бұрын
This is worth listening 👍
@paskarmkala7660
@paskarmkala7660 2 жыл бұрын
Baba kauli wamekunyamazisha una lolote
@antoniaemmanuel6754
@antoniaemmanuel6754 2 жыл бұрын
😭 Duh mtu katoa hd macho kwaajili ya kazi ya Mungu Mungu tusaidie nasi tuwe watoaji wa Mali zetu.
@ngasayoabu1728
@ngasayoabu1728 2 жыл бұрын
👏👏👏👏nakuelewa
@godwinmunyaga4002
@godwinmunyaga4002 2 жыл бұрын
Hakika Bwana ni mwema kila siku na fadhili zake ni za milele
@Commentsplus
@Commentsplus 2 жыл бұрын
Sio kwa hapa bongo
@kelvinchisongela870
@kelvinchisongela870 2 жыл бұрын
Nimejifunza kitu hapa nimebarikiwa hapa
@pascaljr.5439
@pascaljr.5439 2 жыл бұрын
Somo zuri.. shukran bishop gwajima
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 2 ай бұрын
Duh hadi macho watu wanaweka skuizi bana
@mamuyaamina7343
@mamuyaamina7343 2 жыл бұрын
Hv kuna watu wanamuamini huy mtu kweli aisee
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 жыл бұрын
Wanakondoo mnaishi kwa Hop, Gwajima anawapoteza huyu ni muhuni amkeni ndugu zangu wa Tanzania.
@madeintanzania2995
@madeintanzania2995 2 жыл бұрын
Acha bangi
@user-ej1et1ic2f
@user-ej1et1ic2f 4 ай бұрын
MUNGU Akurehemu kwa maana hujui ulisemalo
@muhammedsuleiman2137
@muhammedsuleiman2137 2 жыл бұрын
Mh uongo mweupeeee hauna hata dowa
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Ama hakika yaliyopita hayawezi kubadilishwa, kusahauliwa, kuhaririwa, au kufutwa. Unaweza kukubalika tu
@ilovejesus666
@ilovejesus666 2 жыл бұрын
Wew ni wa motoni tu ipo siku watajua
@majengodaniel5460
@majengodaniel5460 2 жыл бұрын
Kwanini, nieleweshe
@elizabethbernard5143
@elizabethbernard5143 2 жыл бұрын
Hii ndio kazi ulitakiwa ufanye sio siasa
@ikupangalla7716
@ikupangalla7716 2 жыл бұрын
Lakini pia hata kwenye Biblia Daudi alikuwa Mfalme at the same time alikuwa mtumishi wa Mungu,inategemea Mungu amekwambia nini.
@obadiamwashambwa1634
@obadiamwashambwa1634 2 жыл бұрын
Hujui usemalo
@mwalongojulius1755
@mwalongojulius1755 2 жыл бұрын
Jitoe ccm mtumishi uje uwe rais wa nchi hii kwa kuwa mgombea binafsi
@amiribakari2528
@amiribakari2528 2 жыл бұрын
Kumbuka ahadi kawe chuo cha uvuvi na zile bot
@user-ej1et1ic2f
@user-ej1et1ic2f 4 ай бұрын
Kumbuka Hapo hahubiri kuhusu siasa na uchumi
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 2 жыл бұрын
Eti shida za Tanzania zinaenda kuisha wakati pamoja na kupata uhuru miaka 50 na iliyopita matundu ya choo bado ni ngumu.Tanzania hata ipewe miaka 1000 hamna kitu kinaweza tokea.
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 жыл бұрын
Gwajima kamfufue Jembe Mangufuli..😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@babuchaya1410
@babuchaya1410 2 жыл бұрын
Mpaka sasa hakuna technology ya kubadili macho sjajua hii history ni yakimwili au yakimani ..
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 2 жыл бұрын
Mwongo huyu amewadanganya watu wa Kawe, stori tu.
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 жыл бұрын
Gwajima anampenda sana Magufuli mbona haendi kumfufua..? Hamjiulizi swali nyinyi watanzania?
@madeintanzania2995
@madeintanzania2995 2 жыл бұрын
Mwenye uwezo wa kufufua ni MWENYEZI MUNGU pekeee!
@jembastephen2189
@jembastephen2189 2 жыл бұрын
Fred
@mrttony1661
@mrttony1661 2 жыл бұрын
Haha 😂 kuna mijitu inajua kuunda vitu kweli haha 😂
@furahamwaseba7910
@furahamwaseba7910 3 ай бұрын
Mtumishi nunua sasa tren leli imesha jengwa uliongea ckunyingi kabla hata reli ya umeme ilikuwa hamna timiza maono yako
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 жыл бұрын
Gwajima atakuwa na matatizo ya akili..
@emmanuelgyy7232
@emmanuelgyy7232 2 жыл бұрын
Kumbuka unavidole vitano...Kimoja kwa gwajima vinne vyakuangalia wewe...
@madeintanzania2995
@madeintanzania2995 2 жыл бұрын
Hivi huyu jamaa mbona kang'ang'ania?
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 жыл бұрын
Gwajima ahubiri uwongo na anaongea uwongo mpaka uwongo umeisha, anarudia uwongo..huyu anamatatizo ya akili.
@parambili1382
@parambili1382 2 жыл бұрын
😂😂😂😂acha bangi wewee umeandika pumba ata ivo u si wazee wa kibakuli kuchwani mnao penda kuwa magaidi dini ya kishoga tuu alf uyo mwamedi wenu akulawitiwa kweli mbon watu wake mnaongea kama mashoga🙄🙄🙄
@enockoward2656
@enockoward2656 2 жыл бұрын
Ungemtaja huyu mtu ili yumgoogle Tusome taarifa zake kama n kweli mtumish
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 жыл бұрын
Zile meli za uvuvi ulizotuahidi Kawe, ile treni ya umeme na Ndege viktig wapi wee tapeli, vitu vingapi vya uongo unavyoonge hao masikini wasiojielewa wakuamini..gwajima wewe ni tapeli acha kupotosha watu masikini
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 2 жыл бұрын
Mnamwamini huyu koro,hata hii story sijui ya jamaa kuuza jicho ili ajitolee anataka waumini wake wauze figo ili wamletee pesa.
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 жыл бұрын
@@africanmandetraveler2847 kila siku ana Story mpya.😂😂😂😂
@muhammedsuleiman2137
@muhammedsuleiman2137 2 жыл бұрын
Kasahau anahitaji kukumbushwakumbushwa gwajima ni mkweli sana hadi anasahau ahadi alizozitowa, tunamsubiri 2025 atuletee ahadi za kutupeleka america .
@eliyauhaula5224
@eliyauhaula5224 Жыл бұрын
Misimu huamua
@user-pn1rd1fs9x
@user-pn1rd1fs9x 23 күн бұрын
Upo sawa Baba yangu barikiwa
@yudatadeimdoe9215
@yudatadeimdoe9215 Жыл бұрын
ASKOFU MFUFUA WAFU 😄😄😄😄
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 жыл бұрын
Dugu zangu Waikristo mnakubali kuingia Motoni na huyu mwehu..tunakuwa vipofu na viziwi kiasi hiki..Mungu hafanyiwi Dhihaki, kama alihubiri South korea au japani aweke video tuone na lile treni la umeme, zile boti za uvuvi alizo tudanganya wana wakati wa uchaguzi..🤣🤣🤣
@lupaprince1229
@lupaprince1229 2 жыл бұрын
Nakusikitikia ww maana huijui njia, bali Yesu alisema yeye ni njia kweli na uzima, lakini shida iko kwako unamuamini mtume Muhammad ambaye alisema hajui aendako.
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 жыл бұрын
@mGamingMemories. sasa wewe huwezi kumuuliza mtume Gwajima lile treni la umeme, zile Meli za uvuvi ziko wapi.😅😅
@evansshirima5279
@evansshirima5279 2 жыл бұрын
Huyu Mheshimiwa Nilikuwa Namuelewa lakini baada ya kushiriki na kuingia bunge kwa hila mh! +na huo Mfano jicho alioutoa hapo Ananimaliza kabisa Maana sijawah kusikia Opereshen ya kupandikiza jicho na likaona!
@emyemy3045
@emyemy3045 2 жыл бұрын
Amen
@estermathias8354
@estermathias8354 2 жыл бұрын
Amina
@juliananasari2526
@juliananasari2526 7 ай бұрын
Amen
@lameckvlazaro2423
@lameckvlazaro2423 2 жыл бұрын
Amen
@neematanganika7221
@neematanganika7221 2 жыл бұрын
Amen
@nelsonbreidon6600
@nelsonbreidon6600 2 жыл бұрын
Amen
@kibetmiteiezekiel916
@kibetmiteiezekiel916 2 жыл бұрын
Amen
@rwekasimlizi2029
@rwekasimlizi2029 2 жыл бұрын
Amen
@vailethkinabo7961
@vailethkinabo7961 2 жыл бұрын
Amen
@vincentgittu863
@vincentgittu863 2 жыл бұрын
Amen
Ndiyo! Mimi ni Jasusi | Walifikiri wamenizika kumbe wamenipanda
22:50
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 31 М.
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 102 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 8 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 524 М.
USHUHUDA WA MCHUNGAJI WA KWANZA WA KIKE WA TAG
30:21
NY TV
Рет қаралды 2,4 М.
tumelogwa Bishop Gwajima
5:05
UZIMA TV
Рет қаралды 820
Faida ya Kukaa Kimya -  Pastor Sunbella Kyando.
20:06
Chomoza Tv
Рет қаралды 120 М.
Hotuba ya Askofu Gwajima 'iliyomvunja mbavu' Rais Magufuli bungeni
9:30
Daily News Digital
Рет қаралды 486 М.
HUKUZALIWA KWA BAHATI MBAYA, WEWE NI MPANGO KAMILI WA MUNGU | BISHOP DR. JOSEPHAT GWAJIMA
16:10
USIGOMBANE NA MWANAMKE; WOMEN TALK! | USHAURI WA ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA KWA WANA-NDOA
23:13
MICHORO YA UOVU: BISHOP DR JOSEPHAT GWAJIMA: 03.11.2019
2:48:13
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 27 М.
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 102 МЛН