#SYLASS TV ONLINE WASILIANA NASI KWA +255742692079 UNAWEZA KUTUMA SADAKA YAKO KWA M_PESA +255742692079 YOU CAN SEND YOUR LOVE OFFERING TO THESE NUMBERS M_PESA +255742692079
Пікірлер: 197
@LucyWangoi-vh8lx31 минут бұрын
God's general..i remember you many years ago at redeemed gospel huruma kenya.was touched by your testimony including this one.true servant of God most high
@safarijoseph95912 жыл бұрын
Amena sana Ingelikuwa sio mahubiri ni vichekesho watu wangecomment wengi Mungu tuhurumie kwa kuwa na roho ya isiyopenda Mungu
@samwelrobeth77632 жыл бұрын
Kabisa uko sahihi
@naomichristopher3941 Жыл бұрын
Ahsante kwakutufundisha NENO hili lisilogoshiwa hata SASA mafuta haya tunatembea nayo , pumziko la mile umpe EE BWANA NA MWAMGA WA MLELE UMWANGAZIE .
@wardawarda6109 Жыл бұрын
Mavuno ni mengi watenda kazi ni wachache.
@sumsum9493 Жыл бұрын
Asante mungu kwamutu mish8 wko
@linusdavis90722 жыл бұрын
Eeeeh Mungu tusaidie Mtumishi wa Mungu tutakukumbuka kwa mafundisho yako ya kweli
@annastaziakimaro304210 ай бұрын
Asante Yesu kwa kunipa nafasi ya kumsikiliza mtumishi wako, nimejifunza jambo kubwa sana leo, kila jaribu ni kama ugonjwa lazima ujue ni wa aina gani alafu ndo uutibu, naamini naenda kupata majibu ya maswali yangu, usiniache Yesu wangu mi ni udongo kazi ya mikono yako, tena bidhaa iliyonunuliwa kwa damu yako, tena mtumwa wako kwa kuwa umeninunua kwa damu yako nitumikishe kwenye utumwa ule uliokuwa kusudi la kuninunua kwa damu yako, nakuomba Ee YESU wangu.
@dicksontaifagastanzania83108 ай бұрын
🙏🙏
@fredrickgureyu24488 ай бұрын
Asate yesu napenda nenorako rinanisayindiya
@fredrickgureyu24488 ай бұрын
Asate ysu napenda nenorako gupitiya huyu mutumishi wako ninagushukuru sana
@WiliamMlama-my2ib7 ай бұрын
Amen
@DenisCasey-kh8ub6 ай бұрын
Amen🙏
@hfexen22728 ай бұрын
Aminaa tunabarikiwa saaana na mahubili yako Baba tutazidi kuyaishi
@user-vl7zn4bb8e7 ай бұрын
Natamani hata Sasa huyu mtumishi angekuwa lkn hata Ivo ushuhuda wake unaishi Amen shujaa wa Yesu huyu
❤naimiss Sana hii injili jamaniiiiiiiii kifo hiki,Mungu tusaidie tupo nyakati za mwisho
@user-dz3rl1ki6u9 ай бұрын
The choosen servant of The Mighty Living God am sure you are resting in a Glorious pasture waiting for your better pay as per your great work you did
@siliviamaneno290510 ай бұрын
Asnte mungu kwa mutumishi uriye tipa arafu ukamuchukuwa mbinguni ata uko still azidi kutuombea amen
@rebeccanghwasa7387Ай бұрын
anayetuombea ni Yesu na Roho Mtakatifu sio watakatifu waliotutangulia. kuwaomba hao watuombee ni ibada ya sanamu na ni machukizo kwa Mungu Baba yetu.
@ambindwilehosea6837 Жыл бұрын
Oooh hallelujah Mungu akubaliki wewe ulie leta habari za Moses kulola barikiwa sana
@secilianyomolelo3487 Жыл бұрын
Mahubiri haya yawe mbegu mpya moyoni mwangu na nikasimame vizuri amen
@LucyKisia-nh7pv7 ай бұрын
Asante Yesu Kwa muda uliotupa huyu mtumishi wako
@HezronMathayo3 ай бұрын
Mungu uendelee kuumzisha mwiliwa mtumishi wako mahlapema Amen🙏
@anthonyyalanda1540 Жыл бұрын
Injili iliyo safi kabisa haina mawaaa daaaaa natamaani sana
@woindeeliakim716010 ай бұрын
Mungu akutunze baba, Injli yako ya kweli na ilitufundisha mno nnakumbuka nikiwa mdogo mlikua mnakuja Kijijini kwetu huko masama Mbweera na mchungaji Emanueli lazaro OOO YESU YU HAI LEO HALELUYA. MANENO YENU YANAISHI MBARIKIWE MNO GLORY TO GOD AMEN 🙏 🙌 ❤
Napenda kumuita PAULO WA nyakati zetu mtu alotoa maisha yke akadharau utajiri maisha na fedha akajifny dhabihu kw Bwn. Injili yke Ina ngv km anahubiri Leo vle na n Bora kuliko maelfu ya wahubiri WA Leo.wahubirio maneno lainilaini kuuteka wengi kw ajl ya ufalme WA shetani Ahsnt Yesu Kwa kutupa Shujaa WA Injili kw nyakati zetu,umemtwaa bc km mbegu ilokufa ARDHINI iinukavyo huja na mbegu NYINGNE za aina yke nyng bc inua maelfu ya watumishi km huyo! 28:50 28:51 28:53 30:19
@angelitapaulo10 ай бұрын
Hakika
@Vincentsyona-bj6qj7 ай бұрын
😭😭😭
@user-jt4nx1fi9l5 ай бұрын
😅😅..... . . .
@user-ks3vd4cv8p8 ай бұрын
Aminaaa mungu andelee kunipa kibali Cha kusikiliza mahubiri ya mtumishi kulola kwakua nimejifunza mambo ya mungu
@erastosanga1694 Жыл бұрын
Eeh Yesu wa Nazareth tukomboa thidi ya maangamizi haya ya kidunia ya majini na wachawi
@user-yc5ej5ck4j6 ай бұрын
Asante yesu kwakunipa kibali kumsikiliza mtumishi wako kulola amen
@MamaLio4753 ай бұрын
Mic u grandpa ❤
@veronicawilson426310 ай бұрын
MUNGU wa Mbinguni naomba unitengeneze kwa jina la YESU Kristo nimeomba nikiamini Ameeeeeeen Ubarikiwe san
@REDEMPTAKOMBA7 ай бұрын
Asante Mungu Kwa mafundisho Jaya ya mtumishi wako nimejifunza mengi
@pendochalo2 ай бұрын
Amina mtumish baba yangu aliponya mimi nilikuwa naumwa aliniponya huy baba
@happynessallanАй бұрын
Powerful Message..
@MchungajiMarwa20 күн бұрын
Thank you Jesus for this chance I have learnt slot
@musakasingo594 Жыл бұрын
Hakika Mungu Ni Mkuu Sana.
@issamohd68147 ай бұрын
Amina sana nmebarikiwa na shuhuda za mosec kulola
@davidsamson82042 ай бұрын
Mungu anatupenda hii ni Injili halisi ninaona fukuto la ndani ya Moyo Wangu ninapo sikia Hii injili napata Amani
@PierreNacom7 ай бұрын
Thank Sylas on line tv God bless you...am turning back
@VeronikaJerome-wr8yz10 ай бұрын
Amen mchungaji naomba uniombee kichwa kina niuma sana
@reginanduku37465 ай бұрын
Mtumishi huyu alishakufa atakuombea vipi,
@user-rj2tg3jg1w6 ай бұрын
Mungu awalinde,awatuze watu wote wanaosikiliza ujumbe wa mungu
@user-cc6ed3fy9q2 ай бұрын
Habari njyema ya yesu Kristo hufungua huponya roho n'a mwili
@ZawadiMangi-sf8fz Жыл бұрын
Ingawa umekufa lakin bd unanena hatuta sahau büşra zako
@paulinusdaki26292 жыл бұрын
Amen!, Karibu YESU ndani mwangu
@kabangomatete6101 Жыл бұрын
amen muhubiri mungu akubariki, asante sana
@hagaindewario-rd3dr9 ай бұрын
Ameen mchungaji tuko nyuma yako kuineza injil ya bwana
@humphreysilungwe873 Жыл бұрын
Our legendary in faith
@faridakigava490410 ай бұрын
Exactly
@agnesspaul18662 ай бұрын
Umepumzika Baba mwendo mzuri uliumaliza tuombee kiroho tunaamini mpo pamoja nasi
@VeronikaJerome-wr8yz10 ай бұрын
Amen Mungu akubariki mtumishi wetu
@monicangongi7891 Жыл бұрын
Ameen..utukumbuke Ee Bwana
@zawadilutufyo2312 жыл бұрын
Kazi uliifanya baba!🙏
@agnesspaul186610 ай бұрын
❤❤Mungu awe nawe huko uliko maneno yako yanaishi baba
@emmanuelgwae830711 ай бұрын
Mungu utukuzwe...sana milele na milele...
@shalomuezra59722 жыл бұрын
Amina mtumishi WA MUNGU aliye hai
@user-vb9ci1wl5e9 ай бұрын
Nilikuwa mdogo jmn nimisi hii injili pale mby tulikaa chin lkn tulimuona mungu wa kwel
@Zakayo-wv4bn Жыл бұрын
Amen mtumishi
@fatumamussa5612 Жыл бұрын
Mungu wetu aliyeiumba mbingu na nainchi tusadie nafamiliya zetu
@lucialaizer557210 ай бұрын
Mungu nisaidiee nizidi kuyaishi katk maneno yako rest easy pastor hakika umeacha mbegu nzuri dunian zidi kutuombea hk uliko
@user-tl7fx1ug1u3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumisha mpaka leo nakukumbuk
@JohrldanyTz Жыл бұрын
Mungu ni mkuu🙏🙏🙏🙏
@emmanuelamani2652 Жыл бұрын
Injili ya kweli ya kristo yesu
@naahbby-fk9vo10 ай бұрын
Naima ni kazi hii ,use me God
@rosemarymathias4496 Жыл бұрын
Mungu wangu uliyehai nifinyange unifanye kma upendavyo
@myself412811 ай бұрын
Kasema Kweli...kuna kitu wanaita Shape Shifting Lizards yaani wanajibadilisha maumbile hawa wapo kama wote Ulaya na marekani ndio usiseme!
@charlesgatunzi Жыл бұрын
Dunia ina mambo mungu atuepushe
@user-jm3rp3nv5z4 ай бұрын
Upendo wa mungu kwetu ni mkubwa alisema neno lake halito mrudia Bure amedhibitisha.
@user-fm1tn6ih9f Жыл бұрын
Ntkukumbuka sana
@paulojoel65513 ай бұрын
Barikiwaaa
@jumapilimwendo13358 ай бұрын
EAGT ipo salama kwa msingi wa baba yetu
@judithbeda15858 ай бұрын
Kabisa EAGT ni msingi ulioimara kupitia huyu baba. Mungu atusaidie Daima
@shannywilson7336 Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nimebarikiwa
@angelngoye49104 ай бұрын
Asantee Yesuuuu🙌
@mamita336 Жыл бұрын
Injili isiyo goshiwa, pumzika kwa amani
@user-kz4go5ew4m10 ай бұрын
Yesu Ni BWANA amen
@bonifaceorlin41222 жыл бұрын
Akika Yesu aliye hai aliishi ndani ya huyu Mtumishi siku za uhai wake
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Mungu wape hidaya waokowe viumbe wako wanapotea
@MamaLio47511 ай бұрын
Amen amen
@elizabethnzunda92239 ай бұрын
Eee mtumishi wa mungu ninakukumbuka na nitakukumbuka daima
@fidemikaeli8145 Жыл бұрын
Amen my dad utukufu kwa bwana
@SarahBanzi-zo9kx10 ай бұрын
Amina RIp huko uliko
@stunningtv842610 ай бұрын
Huyu alikua ni mtumishi wa mungu kweri, mafundisho yake yataishi Daima! Yesu nisaidie nisipende fedha kama huyu mtumishi wako!
@drkhesejosepzabron38289 ай бұрын
Mungu akupumzishe kwa amani
@kwidengemvyaesaie4587 ай бұрын
Asante Mungu wangu
@marinemodest17982 жыл бұрын
BWANA YESU na akukumbuke
@davidmembedalamethepsalmis2885 Жыл бұрын
Ameen ameen God's general
@user-qu1ut5ri2z2 ай бұрын
Amen
@danstonecool1734 Жыл бұрын
wisdom
@naomimariki7360 Жыл бұрын
Mungu atusaidie
@SensaManzagata-tv7ds8 ай бұрын
This comment should be downloaded
@doreen2038 Жыл бұрын
Amina
@user-le6jm2tf5y19 күн бұрын
AMEN
@user-ho4rl5bg6g6 ай бұрын
Kulola nakuelewa Sana sipat mahubiri take nisaidiwe kwa hilo
@PhilipoKamwela10 ай бұрын
Ameeen baba
@cubakamuhizi13963 ай бұрын
True gospel
@marinemodest17982 жыл бұрын
amen and Ameeeen
@Philipo-rv1zc10 ай бұрын
Yesu mukumbuke mtumishi wako
@user-bm8rv6db9q11 ай бұрын
Mungu tufungue tuyasikie mafundisho haya
@user-ky5vh7uu8i10 ай бұрын
Hii ndio injili ya kweli ya YESU KRISTO inayogusa maisha ya watu hakika nimebarikiwa Sana Ee MUNGU endelea kunitengeneza Mimi na familia yangu nakushukulu Sana BWANA Amina
@hoseanoah687 Жыл бұрын
Amenn
@MagufuliKamsamba-qq4ck7 ай бұрын
Maneno ya mtumishi wa kweri wa MUNGU hayajawahi vuja utafikili upo Upumzike kwa aman
@MusaMwambene-ll6cf7 ай бұрын
Sylas tv usikatetamaa
@shyprince92974 ай бұрын
Nimemmis sana baba😭😭
@user-jn4vw5mv5s5 ай бұрын
Amen amen amen
@NeemaNyoni-wc6lr11 ай бұрын
❤
@agnesspaul18662 жыл бұрын
Alianzaje kwenda kwa mtoto wa Mungu huyu alijianzia tu