Hii dua ingeandikwa hapa ingekuwa bora tukaihifadhi kwa usahihi
@muhammadmuaswara808710 ай бұрын
Maashallah mwamba
@munakassim2862 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah
@idrisarashidi40462 жыл бұрын
Allahu Akbar
@abcmnbb26102 жыл бұрын
Shukran
@mwashambamakame44352 жыл бұрын
Wema hauozi na ubaya hausauliki.. Maashaallah
@ahmedyusuf96342 жыл бұрын
Masha Allah
@hajatihajati5357Ай бұрын
Kila mara wenye tunao wafanyia wema njoo wenye kutudhuru
@rayaahamad55022 жыл бұрын
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar
@eshamohamed33492 жыл бұрын
Mashallah
@shaabanrajabu99972 жыл бұрын
All kg
@sharifaaljahdhamy76332 жыл бұрын
سبحان الله
@swallehabdallah2 жыл бұрын
Satan can never be trusted. He Is the hippocrit of the highest order
@abuyunusmohamed69612 жыл бұрын
Hki kisa chako kiboko.ukipeleka Hollywood au Bollywood unapiga hela ndefu.Nakumbuka picha ya kihindi inaitwa nagin na nyoka anaongea.Lakini ya hii nyoka kuongea na kuingia tumboni ni Kali Sana.Sijui sheikhe ametoa kwenye kitabu gani kilicho sahihi au chakutungwa tu?
@khuiii90322 жыл бұрын
Maneno ya ufethuli hayo na kejeli
@abuyunusmohamed69612 жыл бұрын
@@khuiii9032visa vingine haviingii akili I hata kidogo.ushawahi kusikia katika mitume 124000 ya mungu kufanya haya.kumeza nyoka mdomoni?jiongeze akili Yako.Ndio maana nikasema kwenye sinema ndio vinaoneshwa visa hivi
@mbarakahussein91072 жыл бұрын
Kumbuka kama ww n muisilam,ila kama huna kumbukumbu basi fanya haya au fuatilia vizuri utaelewa,hatumii maneno yake ila anatumia maneno maneno matukufu ya quran
@abuyunusmohamed69612 жыл бұрын
@@mbarakahussein9107 wapi kwenye Quran au Hadith sahihi za mtume Kuna story za mtu kummeza nyoka mdomoni zaidi ya kuona kwenye picha za kihindi.Angalia picha ya kihindi inaitwa nagin ndio utaona nyoka anaongea.Neno story za ukweli kwenye dini hakuna.Tunataka dalili.
@aminaluttu6492 жыл бұрын
We kama ni muislam kwel usingeuliza hil swal jaman kafafanua vitabu kivubwa viwil bukhar na muslim zaid ya hapo usihoj sana ukakufuru