Maa nshaallah! Shekhe washauli Wenye ndoa zishikeni vizur ndoa ni hadimu wanawake wengi hawana ndoa na wanatamani kuzipata hawazipati. Allah akupe jana Shekhe kwa kazi kubwa uliyo ifanya,. In shaa allah
@aishabasai848910 ай бұрын
Maa shaa Allah wallah mmenifurahisha kwakweli Alihamndulilah raha ya wasilam ndo hiyo
@FatnaAlly-hp7kw10 ай бұрын
Subhanallah allah tujirekebishe na turudi kwa allah
@fabssaleh727310 ай бұрын
SUB HAANA ALLAH. IN SHAA ALLAH
@abcmnbb261010 ай бұрын
Mashaallah tabarakaah Sheikh wetu nakupenda kwajili ya ALLAH """♥︎mungu akupe afya njema ""♥︎ """"♥︎♥︎"""shukran sheikh ""'♥︎♥︎
Sheikh kishiki kuoa wake mpaka 4 si tatizo lkn wanaume wengi hawana mahaba ya kweli kwa wake zao pia wengi wanawaacha ovyo wake zao bila hata sbb yeyeto.
@Ayuminchasi10 ай бұрын
Hujakosea na huduma mbovu pia
@asmaaomarimakoti93748 ай бұрын
Mashallah
@lastborn781010 ай бұрын
Katika historia ya tz sheikh kishki ameeka hitoria pia kile alichokifanya hakijawahi tokea tanzania In Shaa Allah mungu amlipe kheri yeye na kamati nzima ya Al hikma na wote walochangia.. Amiin
@AishaHamisi-qo8mp10 ай бұрын
Amiiin
@benjaminkangolo201710 ай бұрын
😂😂😂😂 I love my religion so beautiful MashaAllah hakuna utam kama kuwa muislam
@NimwindaRamadhani-pk9if10 ай бұрын
🙏
@fabssaleh727310 ай бұрын
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
@joycebongo927510 ай бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah Allah awazidishie inshallah
@imanmohamed221510 ай бұрын
MashaAllah TabarakkahAllah
@zahradido687210 ай бұрын
Masha Allah Allah atusamehe madhambi zetu
@eshasalim549610 ай бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALLAHU BAARIK, AMIIN 🤲
@fatumahussein63999 ай бұрын
Masha Allah Masha Allah!! Baba kobelo ume ongea sanaa. Zoezi liendelee na mwakani Insha Allah. Ila safari ijayo wenye Wake mmoja mmoja pia wapewe nafasi ya kuongeza ili wajane tustirike Insha Allah.
@jamilaomary638810 ай бұрын
MASHAALLAH TARAKA ALLAH
@AbibaSalleh4 ай бұрын
Mashaallah
@user-po8nm7su4x10 ай бұрын
Manshallah Allah awalipe kila la kheri ma sheikh ila muwaelekeze na ma sheikh wa inching nzingine wako na uwezo wafanye hivo kwasababu si 🇹🇿 tu iko na hiyo shinda
@khadijaaboubakary933810 ай бұрын
Uislam raha mashaa Allah
@bintsalimalbimany28710 ай бұрын
Jaman Mnavisa nyinyi we sheikh jafar ha ha Mwachen Shwikh Nurdiin mwenyewe katulia pirika hizo alizonazo kisha aongeze mke si nikujitia mashakan jaman😢Mwachen Mama yetu Maijemkamtia preasure😀😪
@romkasmabdall35110 ай бұрын
Allah akubaliki sheikh Nurdn Kishiki
@khadijaally-fv7bh10 ай бұрын
Mashaallah Allihmdulillah
@myunaniniahmad646310 ай бұрын
Namkubali sana kishki, kwenye masuala ya kuoa hafati mkumbo, ana misimamo yake ya kisheria. Pia Mtume alikuja kuongeza baada ya kufa Khadija. Kishki الله akutunzie Khadija wako.
@MawaidhaTvNetwork10 ай бұрын
MashaAllah
@Samsungjprime-ww9ve10 ай бұрын
Mashaallah shukrani Ahsanteni nyote nawapenda sana kwa ajili ya Allah
@fabssaleh727310 ай бұрын
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
@zainabmaulidi984610 ай бұрын
MashaAllah raha sana mwenyezimungu awajalie maisha marefu🤲🤲🧡🧡
@mwanakhalfani10 ай бұрын
Mashaallah kheri
@abuisa102110 ай бұрын
Mashaallah jazakallah khayri shekhe kishk
@jeaninevumilia5917Ай бұрын
Wewe hufahamu wanawake vizuri
@user-ho9qh5nw9w8 ай бұрын
Asalaam alykm nimpongeze shekh Nurudin Kishki nimefurahi kukuona na mtoto abduli akiongea mimi nakuombea kwa mwenyezi Mungu akujalie kila la kher mimi naitwa Safina almasi irika nipo singida natamani uje kwetu utuombee nasi tupate waalimu wakutufundisha pamoja na watoto wetu,,
@AishaAbdallah-fi2hv3 ай бұрын
Mashaallah shekhe kishki mungu akulipe Kila ulifanyalo shekhee
😂😂😂shekhe mchokozi. Maashallah Allah akupeni umri mrefu mzidi kuilingania dini ya Allah ,nasi pia atuwafikishe katika kuilingania.
@ubahamisi43110 ай бұрын
Yani nimecheka hadi raha,ila umemuingilia sana sheh wetu kishki😂😂😂😂❤❤❤
@mariamharoon184010 ай бұрын
❤❤😂😂❤❤❤❤❤❤ mashaaallaah
@zaytunsuleyman-pp3yl10 ай бұрын
😂😂😂😂 am here second wife from Tanga 😂😂 Masha Allah khutba nzur sana
@SelemaniDowile-mk1wm10 ай бұрын
Kwakweli Shekh ulioongea yoote yapo juu ya mstari na saiz tunafanyiwa Kila njia ili Zinaaa ionekane jambo la kawaida na wameshafanikiwa utamkuta mwanafunzi tu wachuo Muislamu anaishi chumba kimoja na John pita pasta wanawake wengi saiz hawazitaki ndio
@fatma-yt9ww9 ай бұрын
mashallah mashallah ❤❤❤😂😂😂
@HI-vn2gx10 ай бұрын
MashaAllah 😂
@miishhassn10 ай бұрын
😂😂😂islam so beautiful ❤😂
@jumarobertonyancha86055 ай бұрын
Haya sasa ndio mafundiso kwenye misikiti juu ya kuhoa wake wengi,😂😂😂😂😂. Ndiposa wengi mnapenda dini hii ya majini😅😅😅😅
@zainabhussain411410 ай бұрын
😂😂 MashaaAllah
@bentybenty234310 ай бұрын
Masha ALLAH Tabarakallah ❤❤
@omanmct13510 ай бұрын
Kweli kabisa
@cabylake232010 ай бұрын
Mashaallah 💓❤️💓💓
@Dafetty10 ай бұрын
Mashaallah 😂😂😂❤❤❤❤
@zainabmaulidi984610 ай бұрын
Ety sheikh anakuna nn🤣🤣🤣 sheikh mchawi mchokozi sana 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
@zaytunsuleyman-pp3yl10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 subuhanallah 😂😂😂 wallah nimefrah sana khutba murua Sana Alhamdulilah am so proud to be a Muslim
@aisajs8303510 ай бұрын
😂😂😂😂 alhamdulillah nmefurahi Allah awape umri mashekh wetu
@user-vu1bf3rn6m10 ай бұрын
Mashallah😂
@khadejarajab800710 ай бұрын
Mashaallah mashekhe mnapendeza kwa matani😂😂😂😂
@siriyangu472410 ай бұрын
Apa leo ni mwendo wakuvunja mbavu tu😂😂😂😂
@habibasalim309210 ай бұрын
Kweli kabisa dhambi kubwa ni shirk na zinaa, mzinifu katka hadithi kwamba mzinifu na sawa na mwenye kuabudu sanamu
@aswedayahya168110 ай бұрын
Shukuran
@azaniasaidi9310 ай бұрын
Mashaa'Allah Tabaaraka Allah ❤ Watu wanafurahi huku wanaelimika........Jazakum'Allahu khairaa