Рет қаралды 3,447
DW Kiswahili
Mji wa Songea ulioko kusini mwa Tanzania ni miongoni mwa sehemu zenye historia kubwa ya mapambano ya wakoloni na waafrika. Vita vya maji maji vilipiganwa katika mji huu katika ya mwaka 1905-1907.