KIVUMBI! BIBI ALIYEBOMOLEWA NYUMBA NA CCM, MAKONDA AWABANANISHA VIONGOZI WA CHAMA JUKWAANI

  Рет қаралды 208,101

Wasafi Media

Wasafi Media

5 ай бұрын

KIVUMBI! BIBI ALIYEBOMOLEWA NYUMBA NA CCM, MAKONDA AWABANANISHA VIONGOZI WA CHAMA JUKWAANI
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 384
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 5 ай бұрын
Mungu akubariki sana makonda from Congo🇨🇩 to Sweden 🇸🇪
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 5 ай бұрын
Hii nchi imeoza kwa kipindi kifupi tu ,Mungu asante kwa zawadi huyu kijana makonda ❤❤❤
@melkizedekwiliam-hi7bz
@melkizedekwiliam-hi7bz 5 ай бұрын
Huyu Makonda ni Rais 2030.
@frankjohn8706
@frankjohn8706 5 ай бұрын
Hujamjua Mungu bado Mungu sio mtu Mungu SI kigeugeu Mungu ana watu wengi.alimuacha Saul na KUMPA Daud ufalme.
@estakapufi7582
@estakapufi7582 5 ай бұрын
Bila hii mikutano tusingeyajua kama hata viongozi wa ccm wasio wema na chama wadhulumati safi sana makonda mungu amlinde raisi wetu mama samia
@GabrielSimba-gx5er
@GabrielSimba-gx5er 3 ай бұрын
Ww ao wakilitka eneo lako wanalichkua kwanguvu tena napolisi unaltewa
@user-ym3qt5fd2u
@user-ym3qt5fd2u 5 ай бұрын
Makonda songa mbele baba Mungu akulinde,waangalie sana wasikuue,,wabaya sana mafisad wamenuna zaiiiiid
@tisiradidas
@tisiradidas 5 ай бұрын
Asante Makonda wasambaratishe hao dhulumati wa CCM ndio wanaoangusha chama.
@user-el5fd8kk6y
@user-el5fd8kk6y 5 ай бұрын
Mzimu wa Magufuli umemvaa Makonda bira kupinga😂😂😂😂😂😂😂😂
@diipesa
@diipesa 5 ай бұрын
anawachapia na mapambio kabisa🙌🏻
@mahijjaeidi9144
@mahijjaeidi9144 5 ай бұрын
Kabisa yani makuful kafa nafsi imeenda kwamakonda mungu amlinde
@user-pn5kp4rm2d
@user-pn5kp4rm2d 2 ай бұрын
Exactly
@AsifiweChaula
@AsifiweChaula 5 ай бұрын
Hongera mwenezi kwakusikiliza kelo za wananchi wa tunduma songwe
@NabiiMkuupdYohana7974
@NabiiMkuupdYohana7974 5 ай бұрын
Makonda, Makonda, Makonda, utafika mbali kwa jina la Yesu
@ezraochora8495
@ezraochora8495 5 ай бұрын
Acha.kutaja.jinala.yesu.kwenye.komedi.kamaizi
@EliaMwaijumba
@EliaMwaijumba 5 ай бұрын
Asante samia kwa kumpa kazi huyo kijana makonda safisha wanao kicha chama
@Zubaiba
@Zubaiba 5 ай бұрын
Magufuli mdogo oyeeeeeeeeee🎉🎉🎉🎉
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 5 ай бұрын
Anakuaje makufuli mdogo wakati yeye Magu alimuona hamfai ndio akamfukuza kazi na kumkosesha ubunge kwa makusudi.Mama ndie aliemleta na kumpa madaraka makubwa sasa hapo jina la Magu linahuzikaje?Badala ya kumtaja Mama Samia unamtaje mtu ambaye alimfukuza kazi na kumwekea vikwazo au mdio udini na ukabila vinawasumbua?
@frankjohn8706
@frankjohn8706 5 ай бұрын
YESU KASEMA ufalme haujifitini .eti wakomeshe hao CCM wakati nae ni CCM .hata wakale walisema zimwi likujualo halikuli likakumaliza.unaetengenezwa hapo ni wewe mwanainchi wa Hali ya chini
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 5 ай бұрын
Nani alimpandisha tukamjua​@@user-oh6pc7zd4s
@user-ip3el1zw1u
@user-ip3el1zw1u 5 ай бұрын
i am from kenya good job bro keep it up makonda
@abdulaisha4145
@abdulaisha4145 2 ай бұрын
Mungu awabariki watanzania wanapata viongozi bora
@stephenwainage2523
@stephenwainage2523 5 ай бұрын
Huyo jamaa anasoma barua kama kapiga gongo😅
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 5 ай бұрын
Kweli bhana atakuwa kapiga kidogo😂😂
@MwigaKatumpula-mi3zt
@MwigaKatumpula-mi3zt 5 ай бұрын
Tunduma hoyeee 😃😀😀
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 5 ай бұрын
Ameanza vzr kusoma lakn mwishoni akaanza kujifanya amelewa
@user-pv9em1qz9t
@user-pv9em1qz9t 5 ай бұрын
​@@MwigaKatumpula-mi3zt😅😅😅😅umeambiwa usome barua
@melkizedekwiliam-hi7bz
@melkizedekwiliam-hi7bz 5 ай бұрын
eeeee Mungu umlinde Rais wetu Samia Raisi wetu mpendwa. Pia na mwenezi Makonda.
@rithersospeterkati2303
@rithersospeterkati2303 5 ай бұрын
Be blessed Makonda. MUNGU hakutangulie.
@user-me5qu5kw4u
@user-me5qu5kw4u 5 ай бұрын
Makonda damu ya yesu ikufunike kaka kazi njema umefanya
@melkizedekwiliam-hi7bz
@melkizedekwiliam-hi7bz 5 ай бұрын
Hakika
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 5 ай бұрын
Amen
@GraceMhoja-zc7yg
@GraceMhoja-zc7yg 5 ай бұрын
Tuendelee kumuombea raisi wetu wa baadae
@faustinasway2745
@faustinasway2745 5 ай бұрын
Makonda hongera Mungu amekuchagua na mama yetu akiwa ndiye kichwa fanya kazi ya Mungu bila kuchoka
@elfacechongera6648
@elfacechongera6648 5 ай бұрын
Love ❤️ for Makonda kwangu ni ya mda Sana be blessed bro
@josephmihayo6236
@josephmihayo6236 5 ай бұрын
Paul Christian MAKONDA Mungu akulinde, hakika unapiga kazi. Dhuluma waliotaka kuifanya UWT -Tunduma kwa huyo mama imenitoa machozi. Tunashukuru Mungu tatizo limeisha na liishe hivyo lisitokee jitu kubatilisha Tena Hilo jambo. Hakika tunamuona Magufuli ndani Yako.
@ramadhanipadon3577
@ramadhanipadon3577 5 ай бұрын
Makonda utabarikiwa na mungu🙌🙌🙌🙌
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 5 ай бұрын
Kamata wote wanaofanya maovu kwa wananchi makonda oyeeeeeee love you man ❤❤❤😂😂😂
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 5 ай бұрын
CCM Kuna watu wezi na waonevu tu wanaichafua chama
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 5 ай бұрын
Kuna watu wanapaswa kufungwa maisha
@user-ym3qt5fd2u
@user-ym3qt5fd2u 5 ай бұрын
Afungwe huyo anayesoma mwizi huyoooo
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 5 ай бұрын
@@user-ym3qt5fd2u 😅😅😅😅😅
@salumsaid1861
@salumsaid1861 5 ай бұрын
Hii nchi kuna watu wanawaonea sana watu .. Hongera Makonda
@user-rq7wp9lt9z
@user-rq7wp9lt9z 5 ай бұрын
Mheshimiwa makonda mungu akubariki sana Kwa kazi nzuri unaewatendea watanzania kwani umekua mkombozi wa watanzania... Tunakuomba ututembelee na sisi siku Moja wananchi Wa kata ya KIA wanchi tuna nyanyaswa sana na kampuni wanao jiita CARDCO tunakuomba sana mkombozi wananchi tumenyang'anywa maeneo yetu.
@jumaigoti7541
@jumaigoti7541 5 ай бұрын
Hao Ni machumia tumbo hovyo kabisa
@JOYCEPASTORY-up6tg
@JOYCEPASTORY-up6tg 5 ай бұрын
Hongera sana karibu mwenezi Taifa.weweni mwokozi wetu wanyonge
@eliusngereza156
@eliusngereza156 5 ай бұрын
Mungu tu amlinde ili ikimpendeza yeye aliye juu ampe uraisi bac
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 5 ай бұрын
Hatuhitaji Rais Mbumbumbu, uraisi lazima usome.
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 5 ай бұрын
Hata viongozi wenye misimamo kama yako Makonda viongozi mikoani wanawachukia sana hasta kina mama wanajarribu hata kuwawekea mizengwe wasijiendeleze
@fancytulula9537
@fancytulula9537 Ай бұрын
May God bless you & give you long life.. Amen!!!! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 5 ай бұрын
Nipeni namba yamakonda nimwambie na hawa tiaraei mbeya pare tazala watume mpelerezi
@fikirimachela4778
@fikirimachela4778 5 ай бұрын
Mimi sijawai kuwapenda wanasiasa ila kwa makonda unanishawishi sana allah akulinde inshaallah
@user-tz6co2yf3e
@user-tz6co2yf3e 4 ай бұрын
Mama samiha umefanya mahamusi sahihihi samiha hoyeeeee makonda poa ccm poaaaaaa
@user-kq9lb7bd8l
@user-kq9lb7bd8l Ай бұрын
Piya tunamshukuru saaaaana mama yetu SAMIYA mama mimi kama mimi nakupenda sana mama na makonda ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏
@NabiiMkuupdYohana7974
@NabiiMkuupdYohana7974 5 ай бұрын
Mungu akukumbuke zaidi mheshimiwa Makonda
@AminaKissenge
@AminaKissenge 4 ай бұрын
Kweli kila nikiangali kazi za makonda naishiakulia.watu wanateseka,wanateswa na viongozi.Makonda Mungu akulinde na azidi kukuongoza. Makonda,mwanangu piga kazi .Tetea wanaoonewa
@rithamatiko4952
@rithamatiko4952 3 ай бұрын
Mh Makonda Tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu aendelee kukubariki napia kuendelea kutetea haki za Wanainchi hakika umeletwa na Mungu watanzania tuna imani sana nawe
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 5 ай бұрын
Eeh M/MUNGU tusaidie mm amuachie uyu 2025 agombee uraisi🙏
@user-jg4bx9hs4p
@user-jg4bx9hs4p 4 ай бұрын
Kwel Mzee watu watu wamezowea kuwazulumu wanyonge Asante sana muheshimiwa
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 5 ай бұрын
Magufuli ndani ya makonda 😢
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 5 ай бұрын
Kwani si ni Magu aliyemfukuza huyo MAKONDA?TUACHE UNAFIKI MPONGEZE MAMA ALIYEMREJESHA? AU UDINI NA UKABILA VINAKUSUMBUA?
@JosephAtanazi-hs3gw
@JosephAtanazi-hs3gw 5 ай бұрын
Hakuna cha tunduma oyee soma barua na tumbo lako hilo
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 5 ай бұрын
WATOE NA FIDIA KWA KUMSUMBUA MAMS WA WATU IILA NAMPA HONGERA KAPAMBANIS HAKI YAKE NA AMESHINDA.
@edinachami4318
@edinachami4318 4 ай бұрын
Ndonaamini yale maneno yamtaani yakuwa makonda ni first born wamagufuli ambaye alimzaa kipindi anajifunza mapenzi🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️
@RajabJuma-pe9ml
@RajabJuma-pe9ml 5 ай бұрын
Mh! makonda mungu akubariki sana karbu kwetu Tanga vijiji mnazi kupitia mkomazi mboga zawanyama karibu sana mkuu
@NabiiMkuupdYohana7974
@NabiiMkuupdYohana7974 5 ай бұрын
Zipo siku si nyingi utapata cheo kikubwa zaidi katika jina la Yesu
@SimonLucas-ls5sz
@SimonLucas-ls5sz Ай бұрын
We ni magufuli namba mbili mungu akupe maisha malefu makonda
@user-sv1ki5zt6t
@user-sv1ki5zt6t 5 ай бұрын
Asanteeh
@SaidHassan-wz1px
@SaidHassan-wz1px 5 ай бұрын
Mama huyu anafaaa Kua waziri Mkuu Mama msaidie huyu Kaka mm nampenda Sana
@janetchinga695
@janetchinga695 5 ай бұрын
Watu hawaana huruma jamani uyo mama anavio onekana munawezaje kumubomolewa nyumba????😢😢😢😢😢 mmmmm
@user-gg5ow9bg6y
@user-gg5ow9bg6y 5 ай бұрын
❤ nakupenda sanawkaka mako mwenyezi mungu akuzidi shie umli mlefu uzidi kupamba nia watu
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
Makonda Mungu azidi kukulinda....Makonda Mungu azidi kukulinda, maadui zako wote wateleze na kuanguka mbele yako.
@hafidhdrogba3392
@hafidhdrogba3392 26 күн бұрын
Makonda mungu akupe afyanje teleyele akuongezee nauhaipia
@drallan6879
@drallan6879 5 ай бұрын
bravo makonda for the excellent job
@DaudMsessa
@DaudMsessa 5 ай бұрын
😊😊😊😅😊😊
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 2 ай бұрын
May God bless you sir ❤❤
@onespour7189
@onespour7189 5 ай бұрын
Je niwangapi wanaohitaji kumuona. Makonda kwa changamoto Kama hizi!??
@user-im3le1tv5b
@user-im3le1tv5b 5 ай бұрын
Majibu ya kifedhuli Sana, akamlete Magufuli , atamtoa wapi? Yaani jamani
@EliaMwaijumba
@EliaMwaijumba 5 ай бұрын
Mungu kamleta kijana wamagufuli
@user-ki3gt6gy1l
@user-ki3gt6gy1l 5 ай бұрын
Makonda makonda Mimi lukas siku ukitokewa kwenye kitengo hichi Mimi nahama chamaaa
@user-ko8xi4qs2n
@user-ko8xi4qs2n 2 ай бұрын
Respect kiongoz one day hii nchi itakuelewa 2,nanukuu maneno yako kuwa "usiogope kuonekana waajabu Kama unakitu unakiamini"
@reubengapy2878
@reubengapy2878 5 ай бұрын
Makonda oyeeeeeee
@sabrinaandrew4245
@sabrinaandrew4245 5 ай бұрын
Nakuombea poul makonda mwenyezi mungu Akulinde baada ya miaka mitano mingine ya mama wewe ndiyo uje uwe my president🎉🎉🎉🎉🎉🎉💯🙏🙌🥰👏🤲
@user-ml3zf7mw1y
@user-ml3zf7mw1y 5 ай бұрын
Makonda unanifurahisha sana maana unawabana mpaka majibu yanapatikana papo kwa papo yaani njia ya muongo ni fupi
@alphoncealexander8536
@alphoncealexander8536 5 ай бұрын
Huyu jamaa anaesoma mbabaishaji sana 😂😂😂 au kalewa
@TinahFrank
@TinahFrank 2 ай бұрын
Asante makonda apo apo dozi juyadozi
@user-kl4yh8yh5m
@user-kl4yh8yh5m 5 ай бұрын
Mwanangu,hongera kwa kuwasaidia wanyonge wanaonyanyaswa
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 2 ай бұрын
Congratulations keep it up good job sir ❤❤❤
@Michoarbah
@Michoarbah 5 ай бұрын
Mmmmmh
@user-uw4pu9nm1u
@user-uw4pu9nm1u Ай бұрын
Tunduma oyeee oyaa soma barua 😂😂😂😂 nimependa hiyooi
@BhM255
@BhM255 5 ай бұрын
Tupambanie wanyonge sasa viatu vya baba vimepata mwenyewe kweli mama anakijana.mmemuona huyooo🎉🎉🎉🎉
@magangiralucas6516
@magangiralucas6516 5 ай бұрын
Kweli mama unamoyo pamoja nakufanyiwa ubaya na viongozi wa chama ccm lakin bado tu bibi kavaa Sale ya chama kwakwer anakipenda chama kama mm siwez kuivaa
@geleminapatrick8701
@geleminapatrick8701 5 ай бұрын
Makonda angalia huyo mama anavyolia NAMI nalia huku Kwa wema wako makonda mungu akulinde sana sana
@emyfaustin7618
@emyfaustin7618 3 ай бұрын
Nakupenda sana makonda kila siku nakuonea baba karibu arusha
@GetrudeRashid-be8bs
@GetrudeRashid-be8bs 5 ай бұрын
Kwel mungu ni mwema,,haku ya mtu haipotei,, Kaka yangu makonda mungu akutunze,,ww nimsema ukweli 🎉
@zuberichelesi
@zuberichelesi 5 ай бұрын
ubarikiwe sana makonda mungu akupe miaka mingi ya kuishi
@victoriapaul-kj6st
@victoriapaul-kj6st 2 ай бұрын
Hongera sana mungu akulinde
@ShijaJafari
@ShijaJafari 4 ай бұрын
Mungu hamtupi mjawake mkonda fanya kazi br.
@flavourboyke
@flavourboyke 5 ай бұрын
Magufuli amefufuka ndani ya makonda😂😂😂
@janetchinga695
@janetchinga695 5 ай бұрын
Masikini dunia yote tunaonewa sana mungu tulinde
@user-pz9by1ml2x
@user-pz9by1ml2x 5 ай бұрын
We makonda yani cc tunalia kila siku tukiangalia Hutuba zako Mungu akulinde
@hermentthomas6945
@hermentthomas6945 5 ай бұрын
Makonda tunahitaji viongozi kama ww maana nchi hii Ina uozo mwingi sana
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 5 ай бұрын
Kabisa kabisa kabisa Mungu wetu aliye HAI, AENDELEE KUMLINDA RAIS WETU MAMA SAMIA SULUHU HASANI, PAMOJA NA VIONGOZI WANAOMSAIDIA, AKIWEMO MH PAUL MAKONDA.
@frednyangwechi774
@frednyangwechi774 3 ай бұрын
Huyu makonda ako na umagufuli ndani yake ako vizuri sana
@ramadhangona9085
@ramadhangona9085 5 ай бұрын
Sasa kama hizi ziara hakuna wakuzifanya hawa wanyonge ambao ni wengi watasaidika vipi...Mbona binadamu wanakosa hofu na Mungu....especially viongozi?
@user-bt7ki5pz9t
@user-bt7ki5pz9t 5 ай бұрын
Makonda apewe nchi asaidie mama
@kimjuiyoung1686
@kimjuiyoung1686 4 ай бұрын
Magufuli number 2! You're the next president baba...u got my vote
@SolomonJumakitigwa
@SolomonJumakitigwa 2 ай бұрын
Safi huo ndo utendaji ulio makini sisi haki za binadamu tunapenda watu wasinyayasike
@bahatimwaigaga5947
@bahatimwaigaga5947 5 ай бұрын
Binamu umetisha sana
@mustafarajabu4005
@mustafarajabu4005 5 ай бұрын
Makonda unanipa raha.kweli makufuli halikufunza na ukaitim.mkombozi wa wanyonge❤
@joahsteve-wc3gp
@joahsteve-wc3gp 10 күн бұрын
Tunaomba uje dodoma wilaya ya mpwapwa jimbo la kibakwe watu wananyanyasika sana na viongozi diwani hajasoma hata la saba anataka aongoze miaka 20 sasa anawatesa wananchi kila siku kula za kufosi hataki kuachia madaraka watu wamemchoka.
@user-kq9lb7bd8l
@user-kq9lb7bd8l Ай бұрын
Makonda mungu akuzidishiye miyaka
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 5 ай бұрын
Kwani chongoro alikuwa na ziara gani kwenye hii nchi
@user-lh5cd5xn7k
@user-lh5cd5xn7k 4 ай бұрын
Ulindwe na Mungu mtetezi wa wanyonge,,,
@user-ki3gt6gy1l
@user-ki3gt6gy1l 5 ай бұрын
Mmeona makonda uwt mmemuangusha mama ombeni msamaaa chama
@Chachadaudimniko
@Chachadaudimniko 2 ай бұрын
Kaka makonda mungu akubariki
@mjanja28
@mjanja28 2 ай бұрын
Vindication of the lady u can tell huyu mama ameteseka sana.
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 5 ай бұрын
Msomaji kisha piga vitu vya studio😂😂
@alhabibsudi7997
@alhabibsudi7997 5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 kumbe ulimshtukia eee
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 5 ай бұрын
@@alhabibsudi7997 Mapema tu .
@daudkindy8062
@daudkindy8062 5 ай бұрын
Hapa akipatikana na Sabaya kazi itakuwa nzur
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 5 ай бұрын
Kabisaa
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 5 ай бұрын
Na mr polepole
@user-tg1ob1gr7l
@user-tg1ob1gr7l 5 ай бұрын
Paul makonda jemedal la taifa njoo mwanza uninyooshee maafisa ardhi dhuruma zimejaa
@rehemakabogo1992
@rehemakabogo1992 2 ай бұрын
Mungu akubariki san
@neemamoses6728
@neemamoses6728 5 ай бұрын
Km namuona Baba yangu magu hongera kijana
@ChristerShao
@ChristerShao 5 ай бұрын
Mbona Tulia Acksoni ni msomi mjua sheria zote,mwalimu wa sheria hajawai lisikia hili? Ngoja inyeshe tuone panaponyesha.
@funnuelmwalukasa4506
@funnuelmwalukasa4506 5 ай бұрын
Mchumia tumbo huyo tumbuaa
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 60 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 61 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 82 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 60 МЛН